ONA MAGUFULI ALIVYOONDOKA na KIJANA Huyu KAGERA "Utarudishwa"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- ONA MAGUFULI ALIVYOONDOKA na KIJANA Huyu KAGERA "Utarudishwa"
Rais Dkt John Magufuli, ameanza ziara yake Mkoani Kagera mapema leo ambapo amesimama barabarani na kuzungumza na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero zao.
#RAISMAGUFULI
www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here:
goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
Mungu akubariki Mh Rais ,Yaani nimetokwa na machozi ya furaha ..Mungu akubariki mno ..nakuelewa mpaka basi. I have the same spirit ..
Asantee sana mheshimiwa rais kwakweli mumgu akupe nguv snaa
Daaaaaaa JPM FOREVER
HUWA NADONDOKWA NA MACHOZ NIKISIKILIZAGA AONGEAYO MZEE HUYU,NAWAURUMIA SANA WASIO MWELEWA.....MAY ALLAH GRANT HIM JAANNAH ONE DAY........INSHAALLAH
Yaani huyu ni zaidi ya Tunu kwa Watanzania
Nilitoa chozi the same day amepata shavu la kugombea Urais.
Ila kuna kitu kilikuja moyoni mwangu. MUNGU ANAIPENDA TANZANIA
Jannah kijana si ya baba ako 😱
Abuu sufian ni hivi peponi tutaingia kwa Rehema zake ALLAH kwani unaona ajabu gani MAGUFULI kuingia peponi usikalili soma vitabu wewe
Hakika tumepata Rais... Mungu wa mbinguni akulinde siku zote za maisha yako💪
Am so Lucky to shake Uncle Magu's hand
Mungu akutangulie Rais wetu maana unampenda sana Mungu kila ukiongea neno unamuweka Mungu mbele
Robart Alembe kulitaja jina rahis tu mbona
Kama umemuona Jamaa anapunga mkono gonga like
Mungu akukumbuke rais wetu mpendwa
Nimeuona UPENDO USIOBAGUA KWA HUYU Mh MAGUFULI
Km ulimuona jamaaa kavua viatu wakati akipanda gonga like
Kama umemuona jamaa kavua viatu bac usipite bila like
Viva magufuli
This president is special
Yes, this is my president!! If you are reading this honourable Mr president, we are proud of you! Thank you the almighty God for this special gift
Mungu tangulia mbele yake daima amen
Thank u mr president
Mwenyezi mungu akupiganie
So nice 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Magufuli forever
Sjui nikusaidie eneoi /sehemu gani even for free nami uone spirit angu..God bless u once again
Mi Rwanda's Magufuri uko kiongozi kabisa
Nakupenda sana Rais wetu,ndo Mana nakuombea Kila siku iitwayo leo
Mungu aendelee kukutegemeza Rais wetu ,mpendwa kiukweli unaishi na kutembea kwa misingi uliyo tuaidi
Magufuli mungu akulinde na msimamo wako wakulinda WA Tanzania..
Mungu akutie nguvu rais wetu
Nilizani ni mtumishi was serikali wameigiza kumbe niraia hongera mkuu
Katiba ya Tanzania ni lazima ipitiwe upya,hasa ktk kipengele cha muda wa utawala ktk nafasi ya rais,kiongozi mchapa kazi kama mzee Magufuli,haitakiwi aachwe aende kwa kigezo eti muda wake umekwisha!!hapa inabidi wananchi wasikilizwe tena,ikiwa kwa kutumia kamati kuu ya CCM au kwa kuwashirikisha wananchi wote kwa ujumla ili kupata maoni sahihi !!!🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Juma Said nimekuelewa vilivyo ndugu yng
Tazania nigekuwaka mtazania nigeshukuru bicous ilike rais magufuri anapenda wanaichi siyokamawegine 1000%
Sitajuta kukujuwa raisiwangu kwakuwa umetufinguwa akili tulizowea kubweteka kwasasa tunakazi mungu akutunze sana raisiwangu
Daa muheshimiwa Raisi mungu awe kinga yako popote uendapo ninajifunza mengi kutoka kwako hasa kupenda wadogo
kma hujaona jamaa amevua viatu gonga like.....
kavua
Mungu akulinde na akuzidishie upendo mara dufu baba Magufuli
Sema mzee waambie hao
Hahahahaha mziaghembee dah safi we lv, mkuu
Ni basi tuuu jamani kazi ya mungu sema hatuna budi ilaa magufuri niii waa pekeee mzalendo waa kweriii😢😢😢😢
Kiongozi tuliyemtaka tumempata hatuna budi kumuongezea muda zaidi angalau miaka 20 katiba sio Msahafu Ibadilishwe!!!
Asante san baba yetu asante san kiongozi wetu asante san raisi wetu mwenyezi MUNGU yupo pamoja nawe
Safi sana
Daah jamaa kawa kama mjomba kufunguliwa mlango na mabody guard kibao nyuma itakuwa history kwake enzi za mjomba magu mm nilipanda nae gar moja na kubadilishana mikakati ya maisha ya WATANZANIA
Piga kazi mkuu
Dah!! Mbona hatamimi nimeguswa aisee magu nikwere babako
Nakupenda sana president niko apa Burundi mungu tuu akulinde
Ameen
Zur
Katia uhai wangu nilitokea kukuamini sana mungu akupe mwanga wa milele, uliukomesha mtandao wa mafisadi sasa yapo live again
Marais wote ni bora kila Rais kwa wakati wake 👋
Mweshimiwa magufuri endelea kukanyaga
Kulwa mashaka kanyaga kanyaga sana
Kuanzia sasa namwita rais muafaka kwa mda muafaka mungu akutangulie tunakuombea watanzania
machozi yamenitoka kwa kweli rais wetu Mungu aendelee kukupa uhai uongoze miaka mingi zaidi
Safi mkuu
Jenga TZ
viva Rais wangu Magufuri viva
Piga kazi mzee wetu na Mungu akulinde wakati wote usiku na mchana
mungu anamlinda kila m2 ci0 rais tuu hta ww na mm anatulinda kuwa na imaan hiyooo
love u sana Rais wangu
Kazinzuri
Piga kazi mkuu tuu nakuombea
mungu akubariki mheshimiwa
thank you our president of tanzania god bless you
Big up kwa JPM
Mungu m,barik rais wetu, mpe nguv wakuyaendeleza mazuri yote na kufuta mabaya,
Kiukweli ni rais wetu mpendwa john pombe magufuli ni mfano wa kuigwa.
Ehee Mwz,mungu mzidishie kila jema, mpe umri na Afya njema.
Im glad I'm not a Tanzanian lakini nampenda pombe sana
sijuwi kama tanzania hii
tutampata tena raisi kama huyu
raisi asiejali cheo chake na kuona watu wote ni sawa tu
big upppppppp daktar
twayib mood kwel ndg yng
Hahahahahaha Jamaa kaanza kupunga mkono kana kwamba naye ni Rais hivi watanzania tukoje jamani!!!!!
Tunakuombea kila la kheri Rais wetu. Sisi wanachi wako tupo pamoja nawe bega kwa bega. Sisi ni Tanzania mpya.
Kwani huyu jamaa kafanyaje jmn
Rip my presdaaaaaaaaaaaa
Kwasababu lavuu hainaga ubaguz JPM 😂
hayo ndomaendeleo sasa
hahahaha dah! huyo raia kanifurahisha.
Jamaa kaona viatu vinamchelewesha kaamua kutoa
Huyu fala nae ana mbweembwe
Chattle
Hongoza baba adi 2035
moto
Akavua viatu mjamaa
Maraisi waliopita hawajafanya mambo kama haya.
Magufuli rais Jenga Tanzania na Afrika kwajumla,,,,,waAfrika tumebarikiwa na mali tukanyimwa viongozi wenye akili,,,,,magufuli Jenga Afrika,,,,,,
Jumaa Dena, nakupata kaka hisia ulizonazo kama za kwangu furaha inazidi mpaka sijielewi#
Mungu ni mwemaaa 😂😂😂
Kweli hakuna haijuae kesho yake bali Mungu pekee
Kapunga Tanzania raha kweli
MWENYEZIMUNGU AKULINDE RAIS WETU. MAGUFULI OYEEEEEEEEEEEEE
Nieleweshen mbaka. Baba Jeska kuonekana. Juu ya gar uwa anasimama kwenye nn Mungu mbariki. PORTY WETU KATUFANYA TUPOE NA AMAN TUITUNZE
New force Jv anasimamia siti ya nyuma
@@malickkasuga4805 wanainyanyua au nindefutu yenyewe
Yes ndefu zinatosha
@@malickkasuga4805 ok poa nashukuru
kuna stuli wanaweka anasimama juice yake
Sema Mwana Anajiona Na Yy Anekua Rais Ghafla Full Kupungia Watu Mikono Tu Daaaah 🤣🤣🤣🤣🤣 Wa Bongo Kavu Kweli
Alivopanda kweny gari akaona avue viatu
😁😁😁😁😁😁 eti amekuwa rais ghafla na yeye anawapungia wana nchi mikono!
Umenichekesha et anajiona amekua nN😂😂
Hahahaaaa hata nimeona
Mim kiukwel huyu rais mm namkubali sana tena sana . allaah amtangulie katika kaz zake , ampe nguvu na moyo wa huruma kwa watanzania wake.
Kupanda gari moja na Rais ni baraka tosha!!!
Hakika hekima ya namna hii ni adim saaana ee Mungu barki inchi yangu Tanzaniz
EEE MUNGU 2WEKEE RAHIS ADUMU DAIMA
Njaa kali huku niliko balaa
sina maana marais waliopita walikua wabaya,ila wewe unanivutia nakunifanya nisitamani mabadiliko niliyokua nayaitaji,wewe ni jasili na mwenye usubuthu.bure nakupenda mjomba magu
😂😃😃😃😃😀😀😀jamaaa anapunga mkono
Hahaahaa hata ningekuwa mimi ningepunga mikono yote chezea kushikwa mikono na presidaa, hei nimecheka kwa sauti kweli nikaongeza siku TZ kuishi raha sana kuna watu wanachekesha ghafla naye kawa rais kwa muda!!
hakyamungu mzee magu nimekuvulia kofia
mhhh umevua viatu ndo upande gari emetisha
Naona jamaa kapunga mkono kibaharia kabla ya kuingia kwenye gari ya Rais naquubali sana 😃😃😃😃
mama ushauri
😁😁😁😁😁daaah jamaa kavua viatu nimecheka sana na mikono kapunga lazm akaote huyu jamaaa
Kwakweriii maguuufuliiiii atabakiii kuwa juuuuuii
Kuna watu wamemwingia kwenye akili yake wanamwambia na kumshauri kuwa yeye umeshakuwa Rais B
Watanzania Mnabahati sana 😘
ctaman mabadiliko rais wng ubaki ww tuu
Panapo uzm nimiaka kumi tena bd tunahtaji utawala wako.
kweli tunakiongozi mwenye upendo na watu wake na mwenye kuitambua dini zenu
Jemedari Wetu
Kumbe jamaa huyu ni mzira nkende?
Jamaa kavua mpaka viatu aisee
Ni sawa unasema tusibaguane rais magufuli nina swali mbona hutembeleagi mkoa wa kilimanjaro kama unavyoendaga mikoa mingine kama kanda ya ziwa??? Kuna shida gani? Au siyo tanzania?? Kwa unzuri tuu naombeni jibu nafikiriaga sana hilo
Nilitaka raid kama huyu asante mungu.
Masikini jamaa kapatwa na kiwewe
Haamini kilichomtokea uyo baba kama miujiza vile
SIASA ZA KALE
Rais wangu,Mimi naendelea kukuombea,umalize kipindi chako salama,na uwe msimamizi na Mshauli wa Afrika