Kumekucha..! DUDU BAYA AFUNGUKA SIRI NZITO KUHUSU JOKATE MWEGERO SITAKI HATA KUONANA NAE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 128

  • @verbalverbal2019
    @verbalverbal2019 3 หลายเดือนก่อน +19

    Mwanafa ana roho ya peke yake sana, he's a real one!

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kusema unamchukia mtu ni dhambi kubwa hivyo wewe ni muumini wa aina gani hata Mungu hawezi kukusamehe. Usisahau kuwa wewe ulikuwa na mdomo mchafu sana hivyo sasa usitegemee huruma za watu uliokuwa unawatukana. Kuwa mpole tu uombe Mola akusamehe makosa yako kwanza.

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hongerazako kikubwa nikukumbuka wema ,hata Mungu anapenda tushukuru

  • @HassanSheikhghalib
    @HassanSheikhghalib 3 หลายเดือนก่อน +9

    Dudu baya mshukuru mungu Kwanza then na walio kusaidia hao ulio wataja wa kwanza rais kama ulivo sema unatibiwa muhimbili Kwa agizo la raisi sasa mwamposa amekutibu nini hebu usemeze dozi ulizo andikiwa muhimbili kunywa tu maji ya mwamposa uone kama hujakata moto kumbe huna akili nilikua nakuona mwamba kumbe Dudu jinga

    • @bobelichi7721
      @bobelichi7721 10 วันที่ผ่านมา

      Ila Kuna watu mashoga kumbe! Sasa wewe makaxiriko ya nini kwa mwaume mwenzio au ndio shoga kautaka nini😂

  • @queenMtamu
    @queenMtamu 3 หลายเดือนก่อน +9

    Safi Sana bora kusema kweli pia kushukuru nikitu muhimu Sana

  • @buzanation1040
    @buzanation1040 3 วันที่ผ่านมา

    Ila dudubaya wangempa hata ukatibu mwenezi wa mtaa wake jmn😅

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 วันที่ผ่านมา

    Asante sana Goodluck mbona ujanitaja

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 หลายเดือนก่อน +2

    Acha uchawa mwache atoe dukuduku lake uchawa utakusaidia nini

  • @FadhiliBakula
    @FadhiliBakula 3 หลายเดือนก่อน +6

    Usipende kulaumu kwani kusaidiwa ni lazima, mbona mwanao umeshindwa kumsaidia anauza mihogo coco bearch

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi binafsi sipendi mtu asiemjali mtu mwenye matatizo hata Mlimani pack waliimba ni vizuri ndugu kufanya vikao na kujadili gharama za matibabu na kuliko kuwaterekeza bila msaada wowote,alafu akifa unakuja na makamera ya video mazishini,

  • @NickJuma-x4d
    @NickJuma-x4d 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ni mambo ya ajabu sana! Huwezi kutupia lawama hovyo hovyo tu kwa watu! Wewe ulichezea maisha hukuweka akiba! ni aibu kulia lia!😅

  • @christinamsoka
    @christinamsoka 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwache Joket kabisaaa,Wala usimtukane, huwezi kujua nae alikuwa anapitua nini.

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nakupenda unamchana mtu live😅

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe Dudu baya Ni mbaya Sana..una kitu unekificha..au ukimtongoza?amekukataa? Mimi sioni sababu ya kuchukua.. kakunyima yeye,Lakini MuNGU kakuketea watu wengine wamekusaidia.cha mno Nini? Mpaka Bi Mkubwa kakusaidia..namshangaa mtu mmoja tuu??? Maneno kibaoo..we sema kweli unampendaaga.hawatongozagi kwa ubabe.sio fresh!

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo Konki sijakusoma . Ulihisi kwann hakupokea simu ? Sio sawa kuchukia mtu kwa sababu hajakusikiliza shida zako wakati hujui yeye anashida ngapi ..... charity begins at home au hilo hulijui ....?

  • @mauricemaungu4946
    @mauricemaungu4946 หลายเดือนก่อน +1

    Dudubaya huelewi lolote kuhusu maji, omba kufundishwa!

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 3 หลายเดือนก่อน +17

    Mamba sasa unaanza kuwa rafiki yangu kitendo Cha kumwelewa mama nimekuelewa sana.🎉🤔

    • @Tanganyika-w5p
      @Tanganyika-w5p 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni boya fara wa mwisho kabisa wewe

    • @eaglecrown1101
      @eaglecrown1101 3 หลายเดือนก่อน

      @@Tanganyika-w5p 😳😳😳😳😳😳😳🤪😊🎉

  • @storytownTv
    @storytownTv 3 หลายเดือนก่อน +4

    Uh ata usithubutu kuleta mambo ya Samia kanda ya ziwa, Zuchu kapigwa makopo wew ytapigwa maww huyo mama huko hata hawamtaman kumuona..😢

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 3 หลายเดือนก่อน +3

    safi sana kond umeseme ukweli asie penda akapige kichwa kwenye ukuta awa wakiwa ajatoka wanakua wanajifanya poa sana wakisha pata awajui thamani yako ndo maana mie sipend kuwasaidia wanawake roho mbaya sana,😡😡😡😡😡

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unasema ulifunga mwezi mzima kwaajili ya Maombi na pia humpendi Joket duu

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yeye ndo MUNGU akuponyeshe!!kanda ya ziwa wanajielewa hawanaga mda wa kujipendekeza kwanza kanda ya ziwa huna power yoyote acha makonyagi kipind cha enzi zako watu wanakusifia ulifanya nn saiv unaanza kulaum watu kwan mtu lazima akusaidie kusaidia ni maamuz ya mtu

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 3 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana konk kwa magumu yaliyo kukuta

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 หลายเดือนก่อน +3

    ,,,,,,,,unamwita mpuuzi, kwani msaada ni lazima?

  • @FrancisBena
    @FrancisBena หลายเดือนก่อน +1

    Huyu joket kwakweli si mwaminifu nilazima akupotezee , anakisakos chake cha kukopesha cha mtandaoni akanambia nimtumie ela kisha atanipatia mkopo nikamtumia basi kanipotezea labisa hapokei xm na hakibu jumbe zangu kibaka huyu

  • @MESHACKYLABISU
    @MESHACKYLABISU 3 หลายเดือนก่อน +5

    Asante kusema ukweli

  • @jandev3955
    @jandev3955 3 หลายเดือนก่อน +5

    Pole sana Konki, ningejua unaumwa binge support, Mungu akuponye

  • @bonyngoyindengoyinde6139
    @bonyngoyindengoyinde6139 3 หลายเดือนก่อน +3

    Apo umechemsha kdgo, kusaidiw co lazima asee!! Kwan una ukoo nae!?😅

  • @ivyroses9019
    @ivyroses9019 3 หลายเดือนก่อน

    Iman ni kitu kikubwa na hatuwezi kufanana kwenye yale tunayoamini.
    Iman yako itakuokoa au kukuponza ,basi tumwachie Mungu atu judge.

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 3 หลายเดือนก่อน +11

    Mama Samia Allah akubariki inshaallah

  • @allyboka4264
    @allyboka4264 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa wewe unaomba msaada uko bar lazima awaze vitu vingi binafsi utakiwi kumlaumu mtu mshukuru mungu

  • @hanifaa1487
    @hanifaa1487 8 วันที่ผ่านมา

    Mashallah mashallah

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ kweli tupu konki

  • @janerouhassanjanerou7933
    @janerouhassanjanerou7933 3 หลายเดือนก่อน +2

    We mtu wa kukasirika na kupiga watu tukajua we ni ngumi jiwe kumbe choko tu sasa humpendi mtu ili uweje

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wakipata uluwa au uwezo wa mali wanakua na kiburi ni mtihani mkubwa acheni mkipata uwezo kua na kiburi kibaya hata mkiwe na madaraka mnajisahau

  • @NeemaSamueli
    @NeemaSamueli 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tafuta pesa broo kujizalilisha kwa media aisaidii

  • @rosemkude4804
    @rosemkude4804 3 หลายเดือนก่อน +1

    Of course Mama atapita... Mitano tena!

  • @isakaonehealthdigitallabor8630
    @isakaonehealthdigitallabor8630 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi saaaaana Konki master 🎉

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 3 หลายเดือนก่อน +1

    Konk master nakupenda, unaongea vizuri.

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa unataka kila mtu akupende hiyo haipo na kwanini umchukie mtu bila sababu wengine ni madaraja tu

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 3 หลายเดือนก่อน

      Kumpokelea cm mtu sio dhambi hata I'm hutaki kumsaidia

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa kila mtu atakusaidia usimchukie mtu kwa kukusaidia

  • @salumusalumu4338
    @salumusalumu4338 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tafuta pesa kaka acha kulaumu watu

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ukimpa kula yako mama samia inatosha watu wanaakili sasaiv kama umesaidiwa si wew

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op 3 หลายเดือนก่อน

      Amin kaka mungu ni mwema

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 3 หลายเดือนก่อน

      Na wewe mnafiki 😅

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 หลายเดือนก่อน +1

    Njaa mbaya sana this is corruption kwahiyo sisi ambao tunaumwa na utajatibiwa na Bima sina

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 หลายเดือนก่อน

    Tepeli kweli mbona ulipelekwa moi ingekua mwamposa anatibia watu muhimbili ingefungwa mbona kila siku watu wanajazana muhimbili pale ndio kituo cha matibabu

  • @Chakulachakiroho
    @Chakulachakiroho 3 หลายเดือนก่อน +1

    Vingine Tumedanganywa🙄Tukubali Yaishe

  • @florafumbuka434
    @florafumbuka434 3 หลายเดือนก่อน +1

    Msaada hutoka kwa mtu kwa hiari siyo lazima kusaidiwa wewe ulikuwa msanii hukuweka akiba omba utapewa na aiyo kulazimisha

  • @jacksonmbena5410
    @jacksonmbena5410 วันที่ผ่านมา

    mama tunaye kaka

  • @LusiaThom
    @LusiaThom 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nayeye akupendi kwaza unamjua mungu kwann unasema Ivo uyo ni WA mungu na wewe ni WA mungu

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani dudu baya anaumwa nini????

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kusaidiwa ni hiari, si lazima

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 3 หลายเดือนก่อน +5

    weka akiba tuliza nyokepu acha kulaumu watu

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 8 วันที่ผ่านมา

    Mama samia hoyee

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน +1

    Usemayo kweli kabisa

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v หลายเดือนก่อน

    Dah 😂😂😂

  • @ndeleimanasayumwe670
    @ndeleimanasayumwe670 3 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂MZEE WA BAPA.

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa kuomba Msaada ni lazima usaidiwe

    • @ChireGriffin
      @ChireGriffin 3 หลายเดือนก่อน

      Sio lazima lakini inategenea unaemuomba mkoje nae.....

  • @isakwisamwamlenga
    @isakwisamwamlenga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaaa kachoka mwambie aje achukue nimpe hela ya saloon

    • @Zuhura-o5v
      @Zuhura-o5v 3 หลายเดือนก่อน

      Mpelekee

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 3 หลายเดือนก่อน +2

    Konki wapiga konyagi nini bro

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana sisi waganga wa jadi Niko inje ya nchi naitwa doctor.ogopa dunia na kupa pole sana nipe nambayako ya empesa wa nganga wa jidi tuna penda lohoza watu wapone na wewe mungu akuponye tunatibu mungu ana ponya

    • @cheddarman8436
      @cheddarman8436 3 หลายเดือนก่อน

      Rusha namba yako nikutumie uchanganye na yako umutumanie.

  • @Ax-xpress
    @Ax-xpress 3 หลายเดือนก่อน +2

    Msahada ni hiari Dudu! Wacha kulaumu watu kila mtu anachangamoto zake....Ukisaidiwa Shukuru ukikosa husilaumu wacha hizo man.. Jokate nae anachangamoto zake sio kwamba anafanya kaz Bank kuu..

    • @sankofaman4112
      @sankofaman4112 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa ilikua na haja gani kumuuliza yuko wapi na kumpa matumaini halafu akatae kushika simu zake? Si unafiki tu huo? Kama hutaki kumsaidia mtu ni hiyari lakini usimpe hope za uongo.

    • @Kasika-hi6hf
      @Kasika-hi6hf 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@sankofaman4112 shida ya huyu konki hua anajisifu Sana kua yeye haombi msaada, ndo mana wanampotezea

    • @Ax-xpress
      @Ax-xpress 3 หลายเดือนก่อน

      @@sankofaman4112 Ndio hivyo cha mtu mav

  • @Nyaboke-123
    @Nyaboke-123 2 หลายเดือนก่อน +2

    Serikali iendelee kutibu wanyonge wasio na kipato chochote ambao hata kupata mlo mmoja ni shida

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 6 วันที่ผ่านมา

    Kama umeomba msaada unepewa.shukuru na ambaye hajakupa shukuru..Ila usiweke kinyongo.au wewe na jokate mlitongozana?

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 3 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu anafanya hiii interview kashalewa,,,hata anacho ongea hajitambui

  • @SophiaAlly-ih2ss
    @SophiaAlly-ih2ss 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ilimbuye❤

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 3 หลายเดือนก่อน

      Sophy

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa karibu anafariki,,,Hali ya afya yake iko Tete mno

    • @Rakim-y2z
      @Rakim-y2z 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu pombe tatizo anaumwa huku anatumia dawa na pombe juu

  • @godsson5954
    @godsson5954 3 หลายเดือนก่อน +6

    ameomba msaada akiwa bar triple 7 itakua shida ya konyagi hahhahaha

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sn konki

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kanda ya ziwa tumrudishe mama maana wapinzan wanapinga sana maendeleo tunayo taka kuletewa na serikali hawatukii mema

    • @AdamLameck-x5n
      @AdamLameck-x5n 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @allyboka4264
      @allyboka4264 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @DelphiniusDeocress
      @DelphiniusDeocress 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂akili

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY 3 หลายเดือนก่อน

      Hahaha mme uza bandari zetu sitaki mchagua atatuuza na sisi kamhonga dudu baya ampe kura yeye huyo mshenzi kabisa

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 3 หลายเดือนก่อน +1

    UNAONGEAGA UKWELI LAKINI LEO KUHUSU SAMIA UMEBORONGA MSENGE WEWE

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 3 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo asiseme ukweli kila mtu anavyoguswa ndivyo anavyorudisha kama samia umwelewi wenzako wanamfurahia so Huna unachomsaidia konki

  • @JosphatOndiere-ch5cn
    @JosphatOndiere-ch5cn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maybe mheshi hapendi kusaidia.

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 3 หลายเดือนก่อน +2

    Acha kulia Lia boya wewe msenge wewe tafuta hela acha kuwapa watu lawama

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 3 หลายเดือนก่อน +3

    Aisee, mie kwa Jokate huniambii kitu, kosa moja usimuite mpuuzi na msaada sio lazima konki

    • @Lilmbunah
      @Lilmbunah 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅

    • @EmanuelOdhiambo-rr2yv
      @EmanuelOdhiambo-rr2yv 3 หลายเดือนก่อน

      "Wacha kudanganya watu,......samia hausiki na chochote kukuhusu.....,ambia watu ukweli.Unatakatu Samia akusaidie huna lolote.Unaishi kwa jumba lakizamani ulipewa na mwaposa alafu wewe ni ngurue usiyekuwa na shukrani.Hao wote uliowataja mbona wasikupe hifadhi utoke hapo kwenye nyumba ya kizamani."Wacha kutafuta njia yakusaidiwa na Samia pamoja na Chalamila.Chalamila tumekua nae jana kasema haelewi hayo yote unayoyasema wala hajawai kaa kuongea."UNAONA.....??...!!!....lijitu lirongo tu ndio maana mwanao kageuka kibaka kinondoni."Endeleza konyagi utapona tu....."...huna lolote.Sema unataka Samia akununulie kitana cha nywele ngurue mwitu wewe."Mwanamke yupi anaweza kaa na wewe....???...."....Kafilie mbali na urongo zako.

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 3 หลายเดือนก่อน

    MPENDE ADUI YAKO .

  • @antonykomba6631
    @antonykomba6631 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe unasema unamjuwa Mungu na kanuni ZAKE huzifahamu!! Jokate siyo mpuuzi ila wewe ndiyo mpuuzi mkuu.
    Mtu hakusaidii eti kisa huna shida!! Hakuna kitu Kama hicho. Ila mtu anakusaidia akiguswa, Kama huyo mwana fa, chalamila ndiyo wanaokusaidia basi wameguswa

  • @mpingasaidi4493
    @mpingasaidi4493 3 หลายเดือนก่อน

    Nitumie samba ya konki

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน

    Afya ya akili

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 3 หลายเดือนก่อน

    Ushakuwa ombaomba ss hv

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 3 หลายเดือนก่อน +1

    KWANI KONKI MASTER ALIKUWA ANAUMWA NINI?

    • @WaziriMjukuu
      @WaziriMjukuu 3 หลายเดือนก่อน

      U T I

    • @modyshabani
      @modyshabani 3 หลายเดือนก่อน

      Sugu 😂😂😂😂

    • @RestitutaNjau-k8x
      @RestitutaNjau-k8x 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅​@@WaziriMjukuu

  • @Barakah2590
    @Barakah2590 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @mihayoonline1573
    @mihayoonline1573 3 หลายเดือนก่อน +3

    Labda Ziwa la kunyonya ila kanda ya Ziwa MWANZA, SHINYANGA, MARA, KAGERA, SIMIYU, GEITA. hizo kura sahau😅

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 3 หลายเดือนก่อน

      Hawa wasanii akili zao ziko kwenye makalio kwani kusaidiwa matibabu ndo kula za Kanda ya ziwa ndo kula zote ziende kiboya hivyo 😂

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 3 หลายเดือนก่อน

      Ccm kwenye uraisi hata waweke jiwe wanapita yani upinzani mwisho ubunge Tu uraisi adi ccm ikatike kama pazia la ile picha ya yesu 😂😂😂😂 yani tundulisu nimpe kula yangu nabifu nae alikuwa hampendi mjomba magu.

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Kila mtu humpendi, jifikirie na wachana na jokate

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 3 หลายเดือนก่อน

    Babu umezeeka,Pampula wewe

  • @zedyabdulrwabilingo9042
    @zedyabdulrwabilingo9042 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe hili nalo senge tu et kula zote mama samia fuck

  • @Mariam-w9s3b
    @Mariam-w9s3b 3 หลายเดือนก่อน

    Uche na pombe sasa

  • @ramadhanally4824
    @ramadhanally4824 3 หลายเดือนก่อน

    "mtu yeyote anayem-diss MWAMPOSA inakua amemkosea MUNGU...😢"...tutizame kauli tunazotoa tusifikie kukufuru

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kumchafua muheshimiwa tafuta hela msenge wewe acha kutia huruma tafuta pesa kenge wewe

    • @blacktagawa2316
      @blacktagawa2316 3 หลายเดือนก่อน

      Msenge mwenyewe acha kumtukana mshikaji

    • @jimmyhabarugira4232
      @jimmyhabarugira4232 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa ni mpuuzi mbona yeye alishindwa kumsaidiya mwanaye anauza mihogo Coco beach
      Halafu huyo huyo huwa anatukana wasani wenzake wakiumwa wanaomba msaada wa matibabu​@@blacktagawa2316

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 3 หลายเดือนก่อน

      @@blacktagawa2316 Kuma la Mama yako wewe

    • @HolelaJohn
      @HolelaJohn 3 หลายเดือนก่อน

      Acha matusi ww,, hujafa hujaumbika,, kwani ww ni kinakuuma yy kuwataja watu wema na kuwataja wasiokuwa na msaada kwake. Acha hizo ww bhana

  • @BoniThomas
    @BoniThomas 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂