CHEGE: KUNA MTU NYUMA YA JUMA NATURE, WCB HAWEZI LIPA HIVYO, TUNA KOLABO NA DIAMOND, ZUCHU NA MBOSSO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 195

  • @aishabiessscecile3312
    @aishabiessscecile3312 ปีที่แล้ว +19

    Chege ni mwamba💯💯💯💯💯💯💯

  • @NJOKA_1
    @NJOKA_1 ปีที่แล้ว +28

    Aisee chege kaongea kauli ambazo zitaishi miaka mingi katika karia ya muziki wetu

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar ปีที่แล้ว +20

    Huyu mwamba Namkubali kinyama 🔥💯💯

  • @abuubakarikirungi
    @abuubakarikirungi ปีที่แล้ว +13

    Jiulize kama mondi huwa anachukua million mia mbili je anaweza kuwa na dharau ya kumlipa msanii kiasi icho cha pesa🤔

  • @kweturaha439
    @kweturaha439 ปีที่แล้ว +11

    Aliye mwaribu nature ni p fank majani tuaifichefiche,na diamond ni mkuu pia anaudhalendo mkubwa sana,alafu chege uko vizuri sana umetufanya kuelewa baadhi ya vitu ,na Mungu akudikishe mbali

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz ปีที่แล้ว +11

    Ahsante kaka chege mwenyezi mungu akulinde endelea kumsapoti mdogo wako simba

  • @mussamkali9926
    @mussamkali9926 ปีที่แล้ว +7

    Unajua nature gongo nyingi sanaa

  • @themicbandforeveryone19997
    @themicbandforeveryone19997 ปีที่แล้ว +34

    Wa kwanza ni Mimi nam kubali chege naomba like zangu

  • @amissishauri-eq7sl
    @amissishauri-eq7sl ปีที่แล้ว +20

    Kumbe kaka chege anaweza kuwa ata mbunge maana kaongeya maneno mazuri af makubwa

  • @jamalahmad4173
    @jamalahmad4173 ปีที่แล้ว +12

    Dah.. Chege Ni Mtu na Nusu.. Unahtaji Ulinzi..🔥🔥🔥💚💚💛🇹🇿

  • @Swahili14
    @Swahili14 ปีที่แล้ว +21

    Chegge is smart 🤓
    No wonder ngoma yake na Diamond PLATNUMZ is one of the best collabos in bongofleva ❤️

  • @timochazze9845
    @timochazze9845 ปีที่แล้ว +6

    Chege nimekuelewa sana ❤❤❤❤

  • @maherimasase
    @maherimasase ปีที่แล้ว +9

    Chege aliongea ukweli lengo la watu nikumuangusha mond na hawataweza

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 ปีที่แล้ว +10

    Point aminifu balaa, salute sana chege, huenda nature walimzidishia bangi akaropoka

  • @maicgado58
    @maicgado58 ปีที่แล้ว +13

    Wangapi wanajua kama mchawi ni Qchief ndio anajaribu kuwalibia TNC

  • @FelixEmanuel-eu9fj
    @FelixEmanuel-eu9fj ปีที่แล้ว +13

    Naungana na chege

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 ปีที่แล้ว +7

    Huyo chege ni legend pia ana exist miaka yoteeee ila nature anajikuta et mkubwa 😂😂😂

  • @giftmsanzu-sp4ls
    @giftmsanzu-sp4ls ปีที่แล้ว +18

    Chege kaongea point sana

    • @user-rh2ex3dy1z
      @user-rh2ex3dy1z ปีที่แล้ว +2

      Uyu sasa ndo Gentleman anaongea true na point za maana sio yule Mwaija
      Hlf nature nae kazeeka sasa na bangi anayovuta inampeleka pabaya
      na kwanini akubali kuendeshwa

  • @gastonfuraha
    @gastonfuraha ปีที่แล้ว +17

    Fact mzee wangu

  • @CecilNtakirutimana
    @CecilNtakirutimana ปีที่แล้ว +11

    Sema chege

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 ปีที่แล้ว +6

    MIMI SIKUPENDA HATA KUSIKIA JUMA NATURE ATAKUWEPO KWENYE FESTIVAL YA WASAFI.KWANZA NATURE AFYA YAKE HAWEZI KUPERFOM KWENYE JUKWAA.NAOMBA NIWASHAURI MTUPENI YULE KIBABU....MBAKI NYIE TC TU.JUMA NATURE NI KITUKO SIKU HIZI HANA JIPYA MWACHENI AENDELEE KUKOGA ULABU USWAHILINI.

  • @elinagordon8161
    @elinagordon8161 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana endelea na moyo huo

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 ปีที่แล้ว +7

    Chege unakili nyingi bro 👏👏👏

  • @alibinali_
    @alibinali_ ปีที่แล้ว +14

    Kama kweli hela ingekuwa ndogo hivyo jamaa asinge ongea hivyo wasani walikuwa wingi mbona hawaja lalamika

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 ปีที่แล้ว +10

    point kabisaa

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 ปีที่แล้ว +7

    Safi Sana kaka chege uko poa❤❤🎉🎉

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 ปีที่แล้ว +21

    Kuanzia dakika ya 7 chege kaongea makubwa hapo,inaonekana kuna kauli mondi aliziongea za maana sana kuwa value pakubwa sana mabro (tnc) sema ndio ivo baadhi wamezingua hawajaona hiyo thamani waliyopewa sababu ya watu walio nyuma yao waliowaponza

  • @livingtemu483
    @livingtemu483 ปีที่แล้ว +33

    Mimi nimemwelewa chege anamaanisha hata kama wangelipwa laku tano kweli kutokana na project inayokuja inasimamiwa na diamond wangeingiza kikubwa zaidi

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว +4

      Umepatia 👍🏿💯

    • @HoneyBeel5
      @HoneyBeel5 ปีที่แล้ว +2

      Hata kama wangelipwa laki 5 ni kubwa sana maana hakuna watu wanawapa show saiz

    • @allyfatma7359
      @allyfatma7359 ปีที่แล้ว +1

      Yes

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 ปีที่แล้ว +4

    Chegge💪💪💪

  • @hamadathuman6939
    @hamadathuman6939 ปีที่แล้ว +8

    Bongo five Hongereni sana uyuu jamaaa kumpata Na kufanyanaee Intv u Aseee alafu Sound kalii mic zipoo sehem salamaa Big up sana

  • @Sandydaprincess-
    @Sandydaprincess- ปีที่แล้ว +16

    Chegge ni rastaman
    Marasta tunaakili sana ❤

  • @legera63
    @legera63 ปีที่แล้ว +11

    Fact💥

  • @amirimohammed2875
    @amirimohammed2875 ปีที่แล้ว +5

    Chege👍

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +11

    Juma Nature kakosea kwani katudanganya watz

  • @bahatipeter6304
    @bahatipeter6304 ปีที่แล้ว +6

    Akili mingi sana mwamba

  • @xhazzyxhazzy
    @xhazzyxhazzy ปีที่แล้ว +9

    Fact mwanang wew ni ginious

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 ปีที่แล้ว +6

    Sir nature ni hazina, chege kaumia sn kumkosa nature jukwaani ila nature tangu enzi huwa ana misimamo yake hasa linapokuja suala la fedha

    • @nembua
      @nembua ปีที่แล้ว +1

      Kweli

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 ปีที่แล้ว

      Vitu vingine haviombi nguvu kuelewa chege kasema kuna mtu anaempotosha nature halafu ww unasema ni msimamo wake ss tukuamini ww kenge au chege?😅

  • @OscarMuhumenya-yc4ot
    @OscarMuhumenya-yc4ot ปีที่แล้ว +9

    Tatizo sir nature mabange Kwa wingi

  • @mollel1938
    @mollel1938 ปีที่แล้ว +10

    Nature anatumia Gongo kali nyingi

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab ปีที่แล้ว

      Nature Muhuni anaejielewa na sio anaepelekeshwa pelekeshwa bro hauwezi kumchukua Nature ukamlipa Laki 5 kwa show unamjua nature wewe?

  • @mackerphillip5179
    @mackerphillip5179 ปีที่แล้ว +4

    Juma nature kubwa jingaa
    Like za chegee basi

  • @djumariaabasi4138
    @djumariaabasi4138 ปีที่แล้ว +3

    Chege❤❤❤❤❤

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 ปีที่แล้ว +3

    Bro chenge uko vizuri ungekuwa mbunge ungekuwa vizuri

  • @user-ng6kg9ky8o
    @user-ng6kg9ky8o ปีที่แล้ว +2

    Chege unaakili sana

  • @user-hr7vb8on5u
    @user-hr7vb8on5u ปีที่แล้ว +12

    Chege umeongea maneno machache sana na ninabusala kwa mtu mwenye akili ataelewa

  • @robinisack8092
    @robinisack8092 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂 Aiseeee kweli Kuna mwisho wa Dunia ya watu wazima

  • @aliyumuhammed6054
    @aliyumuhammed6054 ปีที่แล้ว +11

    Mabange na Pombe ni vitu vya kuepukika hasa kwa Brand za Wasanii Kama Juma Nature.

    • @hemednassor4560
      @hemednassor4560 ปีที่แล้ว +2

      No gongo yule ishammlza

    • @user-yv6bi8rj5z
      @user-yv6bi8rj5z ปีที่แล้ว +1

      Yule anakula mpka gongo sas akili zake zinaendlea kuyumba 😅

    • @bossandingy412
      @bossandingy412 ปีที่แล้ว

      Huwezi kuwa mnyonge kwa mtu kiasi hicho Diamond hafanyi hivyo kwa mema mond anafanya hivyo ili mumshukuru then Apate credit Azidi kuwa juu Nature kapaona hapo

  • @mfarijidaudi1745
    @mfarijidaudi1745 ปีที่แล้ว +2

    Chege umetisha sana

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 ปีที่แล้ว +6

    Umesomeka kaka

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 ปีที่แล้ว +7

    Chigunda wape somo sabab kuna watu wakipig ndum wanaona milioni 25 kama laki tano

  • @pcthemaster9096
    @pcthemaster9096 ปีที่แล้ว +9

    Chege ana akili sana. Pia yuko smart sana uyu jamaaa. Safi sana

  • @patrickkaite3822
    @patrickkaite3822 ปีที่แล้ว +10

    👏👏👏👏

  • @sbreezedaclassictz9042
    @sbreezedaclassictz9042 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anaongea point

  • @slovetanzania812
    @slovetanzania812 ปีที่แล้ว +1

    Fact sana BILA UNAFKI

  • @user-nq4md3sj6d
    @user-nq4md3sj6d ปีที่แล้ว +18

    ndio mana WANAUME FAMILY ilikufa sababu ya Nature ni mtu wa ovyo sana anapelekeshwa kama mtoto na watu walio nyuma yake

    • @swalehmalik1875
      @swalehmalik1875 ปีที่แล้ว +3

      Basi kama ni mtu wa ovyo akae kando haina mjadala hilo mwana.

    • @robinisack8092
      @robinisack8092 ปีที่แล้ว

      Wewe umejuaje Kama anaendeshwa ? Je asiongee ukweli kisa diomond je amewafanyia nn ngoja tusubir watakachofanyiwa

    • @robinisack8092
      @robinisack8092 ปีที่แล้ว

      Chege mpaka Apo unasubir kuandaliwa na Diomond kweli Ni kusubir papai chini ya mpera😂😂

    • @user-nq4md3sj6d
      @user-nq4md3sj6d ปีที่แล้ว

      @@robinisack8092 huji kitu ww, hebu kaa kimyaa usinichoshe 🤐

  • @philiporaiswawcbduniani100
    @philiporaiswawcbduniani100 ปีที่แล้ว +7

    CHEGE NDOMANA HAJAWA KUSHUKA KIMZIKI ANA AKILI SANA🤔🤔🤔🤔

  • @wauwetz3426
    @wauwetz3426 ปีที่แล้ว +4

    Kabisa aise

  • @Mikejustins08
    @Mikejustins08 ปีที่แล้ว +1

    Fact mzee mshamba AWEZI KUELWA

  • @omaryshabandaud5235
    @omaryshabandaud5235 ปีที่แล้ว +13

    🔥🔥 ukwel mchungu Kwa juma zama zimebadilika

    • @abubakarkapena739
      @abubakarkapena739 ปีที่แล้ว +1

      zama ndo ulipwe kidogo

    • @svt3
      @svt3 ปีที่แล้ว +1

      ​@@abubakarkapena739: kama anaona ni kidogo aandae yake show alipe watu pesa nyingi si anajiita legend 😂😂😂

    • @fj8317
      @fj8317 ปีที่แล้ว

      @@svt3 alishawai omba ugali kwako ? watu wana maisha yao

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no ปีที่แล้ว +1

    Duuh utu uzima hapa ndo huonekana unavofanya kazi kabisa NATURE anazeeka vibaya😂😂😂

  • @hamisikafuku7606
    @hamisikafuku7606 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa Sana chege

  • @mialanomanqobo6639
    @mialanomanqobo6639 ปีที่แล้ว +15

    Juma nature ahandae festival yake akalipe millions yake 😅😅😅

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 ปีที่แล้ว +1

    Aweeeeeeee chegee

  • @majaliwadottokd9263
    @majaliwadottokd9263 ปีที่แล้ว

    Nimemuelewa sana Chege"

  • @user-jt2xo5dw7e
    @user-jt2xo5dw7e ปีที่แล้ว +5

    Itakuw ni album

  • @rusanzurubigo-kb8zx
    @rusanzurubigo-kb8zx 11 หลายเดือนก่อน

    Daaah! uko vzr mkuu

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 ปีที่แล้ว +1

    Chegge hazeeki

  • @user-jp6un2dd3s
    @user-jp6un2dd3s ปีที่แล้ว

    Kweli umeongea point Sana🙏🙏🙏

  • @Ngudure
    @Ngudure ปีที่แล้ว +2

    Rich one huyooo

  • @aceofspades3728
    @aceofspades3728 ปีที่แล้ว +2

    Chege linangaa afu liko smart japo liliniibia demu😅...Big up rasta nakukubali💪

    • @kekovasudi7388
      @kekovasudi7388 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha pole brother, ilikuwa mitaa gani hiyo. Hata hivyo na yeye alishaibiwa Demu tena na huyohuyo Nature. Unakumbuka ile ngoma yake ya "Goodbye", ndio huyo demu sasa aliyeibiwa na Juma 😀😀

  • @johnbarasa9929
    @johnbarasa9929 ปีที่แล้ว +1

    Nahisi ni Rich one😂😂😂

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 ปีที่แล้ว +8

    Kiroboto ana onesha chuki za wazwazi alitumia pesa vibaya sasa moyo unauma kutumwa na mdogo wake....BHANGI SIO POA

    • @fj8317
      @fj8317 ปีที่แล้ว

      kwani.lazima ifike hatua tuheshimu maamuzi ya mtu

    • @fj8317
      @fj8317 ปีที่แล้ว

      nature yuko vizuri kiuchumi umekurupuka

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 ปีที่แล้ว +2

    Maneno ya busara

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 ปีที่แล้ว +5

    mi sijui q chif na nature kakunywa nini

  • @abdullahissa7548
    @abdullahissa7548 ปีที่แล้ว +6

    Chege chigunda

  • @kweturaha439
    @kweturaha439 ปีที่แล้ว +2

    Bangi za majani,tunaelewa

  • @idrissahathumani5136
    @idrissahathumani5136 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli huezulupwa laki 5

  • @RaymondMhallilah-ed3se
    @RaymondMhallilah-ed3se ปีที่แล้ว +4

    Huwezi ukamtambulisha Nature , unamtambulisha Nature kwa nani?
    Chege ww ni msanii mdogo kwa Nature
    Huwezi kuwa namba 1 kwa Nature

    • @SolomonKapili
      @SolomonKapili ปีที่แล้ว

      Kaka alikua mkubwa tujalibu kuwa tunajiongeza

  • @HawaAbdala-wg6gj
    @HawaAbdala-wg6gj ปีที่แล้ว +1

    Nina rose 🌹 Yako hapa

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 ปีที่แล้ว +8

    Mtaje kaka huyo fala anajifanya anataka kumsaidia si angemsaidia alipopotea

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 ปีที่แล้ว

      Rich one Ndio anaendesha account zote za Necha ndio anampelekesha

  • @dukejoseph485
    @dukejoseph485 ปีที่แล้ว +1

    Rich one anazingua

  • @martingwanduluko1135
    @martingwanduluko1135 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 ปีที่แล้ว

    Wakuweke waziri wamichezo unaweza bro

  • @emmanuelkyandochali990
    @emmanuelkyandochali990 ปีที่แล้ว +4

    Chege bhana

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 ปีที่แล้ว +1

    Chege mm naona bora hilo kundi lingekua TC group yul nature hamna kitu mtakua mnambeba na habebeki kila sku

  • @jumaally8567
    @jumaally8567 ปีที่แล้ว +1

    Soloute chege

  • @elinagordon8161
    @elinagordon8161 ปีที่แล้ว +1

    Tatatizo la nutuer bangi Sana akili yake haiko sawa

  • @jofreypinga5885
    @jofreypinga5885 ปีที่แล้ว +2

    Chege kama Chege point sanaaa

  • @slovetanzania812
    @slovetanzania812 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa sio mnafki kaabisa

  • @user-qu9jn6td9m
    @user-qu9jn6td9m ปีที่แล้ว +1

    Hiyo nikweli KBs bro

  • @ibradx3029
    @ibradx3029 ปีที่แล้ว +1

    Chuki zimezidi bongo hii

  • @jamaliabduli9385
    @jamaliabduli9385 ปีที่แล้ว +2

    Uyo Ni rich 1

  • @shieldizzoone7636
    @shieldizzoone7636 ปีที่แล้ว +1

    Chege kaongea kitu cha maana sana

  • @lameckdingoo4404
    @lameckdingoo4404 ปีที่แล้ว +5

    Sikupingi chigunda

  • @naseebally7956
    @naseebally7956 ปีที่แล้ว

    Nature pia naye ni Sele😂😂😂😂

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 ปีที่แล้ว +9

    Chege wewe kichwa!

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 ปีที่แล้ว

    Wew chegge acheni kua najigey uana family ambao haupo uyo SAIDY FELLA angekua anamapenz na nyinyi kama mnavo mchukulia msinginge kua na maisha ayo nyiny saiv mlitakiwa kua na maisha mazury sana lakin mmetukimika miaka yote mkatupwa kapuni pumbavu ghabisa

  • @benjaminjulius8021
    @benjaminjulius8021 ปีที่แล้ว

    Fact

  • @misanamohamedi8438
    @misanamohamedi8438 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo wivu ndo unasumbua wng wao

  • @godfreymahundi3936
    @godfreymahundi3936 ปีที่แล้ว

    Nature yupo sahihi

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc ปีที่แล้ว +1

    Tushamjua ni q chief 😂😂😂