Nawaombea sana Mungu awazidishie umbri, afya nzuri,upendo na ushirikiano ili muendeleze sifa nzuri na maendeleo yenu kwa familia zenu,,Siwezi kuisahau hii timu tangu 19z
Yaan kama kuna SKU mliwai kuwa na mzuka kwenye kipind Kwa huu mwaka hii ni namba moja zngne ndio zfate ebwana nature big up broo salute Kwa mjeda temba heshma Kwa chege chigunda mtoto wa mama said kama nawaona mlpokuwa mkja mwanza
@Riyam Matiko. Lazima Waangalie WASAFI. Majuzi Walijipeleka Rwanda. Red Carpet Babu Tale Kujua Wapo. Akaichelewesha Timu ( Simba,/Zuchu na Jux). Hahaaaaaaa!!! Walikaaa Red Carpet Weeeeee!!!! Ahsante Babu Tale
Nawaombea sana Mungu awazidishie umbri, afya nzuri,upendo na ushirikiano ili muendeleze sifa nzuri na maendeleo yenu kwa familia zenu,,Siwezi kuisahau hii timu tangu 19z
TCN Burundi tunawapenda saana big up 💪ngoma ni kali saana
Hawa ndugu , wanafanya vizuri sana ila wanaitaji Kupata Elimu zaidi kuhusu social media Management na faida zake.MUHIMU sana.
I like the song! Big up mbosso and TNC. Kitambo nmewakubali hadi Leo.❤
❤duujj mnatukumbisha mbalisanaaaaaa
T M K WANAUME FAMILY SHOW LOVE SNA ❤❤❤❤❤😅😅😅😅
Temba yuwamuangalia j makin mwezie anapo ongea❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaan kama kuna SKU mliwai kuwa na mzuka kwenye kipind Kwa huu mwaka hii ni namba moja zngne ndio zfate ebwana nature big up broo salute Kwa mjeda temba heshma Kwa chege chigunda mtoto wa mama said kama nawaona mlpokuwa mkja mwanza
Fact
Huu mwembo mkali Sana
Mbele ya
Chege
Temba
Juma N
Na Mbosso nimeipenda Sana 🔥🔥🔥
Aka bachuchu Mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mbosso killed it with the legends 🎉❤🎉
🙌🙌🇺🇸🇺🇸💵 Nc wasafi ngoma zuri sana twahisubir kwahamu ❤❤❤❤❤
Hii nyimbo haiboi Kwa sababu imeimbwa vitu vichache vya kunyooka haina makorokoro mengi👏👏👏👏👏👏👏👏
🔥🔥ngopa IPO kipaji kipo mistari IPO
🔥🔥 legends WAPO Chege YUPO
🔥🔥Aisee moto kama PASIII
Song tam sanaaaa
Nimeipenda style ya nature
Hichi kikosi achana nacho nihuyu nature atulie tu ....yanikumbusha long time wakija perform Kenya 🇰🇪🇰🇪
Daaaaah this is dope man ngoma kaliiiii sana damn
nawakubali wote tnc
Swadakta hapo Nature umejibu kumtaja Rich One ndo tulitaka umzungumzie.. Si unaona akina Chegge na Temba wanavyomuangalia jinsi anavyojinasua😂
mbosooo🔥🔥🔥
Kali sanaaaaaaaaaa❤❤❤❤
Hili dude la kuconquer Global#TNC+Mbosso🌹🌹🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯👏👏👏👏👏👏
❤
Wametixha sana
Hivi Nature anasauti ngap
Big up TNC ❤❤❤❤❤😂😂😂
Ngoma kalii sana onetrending
hawa ndo wasanii ambao nyimbo zao hazijawah kufa wala kuchuja, mistari imesimama, sawakubali mnoooooooo
Y dash yupo wapi jamani siku hz????
I just love Juma Nature and he is very funny 🤣
Regend never die
Juma nature balaaa kidogo tu ila sauti tamu watoto wa baba moja tumekutana tena ohoooo hapo kaua sanaaa
Kaz nzur kaka zangu Allah awajalie kila la hel ngoma Kali na akilin nying Sana mmetumia 👏👏👏👏
Akilin nying Sana mmetumia🤜🤜🤜🤜🤛
Mmetukumbusha mbali full Raa hapa Texas
Leo ndo Leo
Juma talent inayokufa kiajabu ajabu sana akipata mshauri atakaa sawa
🔥🔥🔥🔥🔥
Kali iyo
Nice
NATURE NI MWONGO SANA 😂😂😂 APUNGUZE UTOTO. TEMBA NA CHEGE WAKO VERY SERIOUS NA MAISHA KULIKO. HAWACHEKI NA NYANI KWENYE MAOKOTO
Idia ya Leo ndio Leo bro ommy
Well Well mr temba nimependa ulicho kiongea
Nomaaaaaa
❤❤❤❤
Kudadeki ngoma kali
Mmeua mbaya mbovuu
Naturee ni mmoja tuy daaah tunaomb video
Ngoma kali mnooo
Chege kauwaaaaa
We're zombiiiii haujuiiiiii balaaaaaaa
Ni furaha kuaona waana wakiwa pamoja
Uwo wimbo ni wa mboso
Kiroboto anajua kuchezaa
Shida beat za sasa hivi hawawezi enda Nazo labda watengenezeww beat za kitambo kina majani
nature anasema uongo
Hongereni sana mmetisha gays
Hilo neno gays nimatusi
Shoga
Juma acha bangi
Nakubari ngoma kubwa😂
Yaani Nakua nasikiA Madingi wale, Babu kubwa
Iyo imefika hukutuliko
Hii imeenda burudan imerud maala pake leo ndo leo ft mbosso💣💣💣💥💥
Nature anareta ukatuni snaa kira jambo anazingua snaa
👊✌️👍。
Sikia Nature anavyotaka kutuaminisha eti walipanga asiwepo Wasafi Festival
Manyaga 😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤😂😂😂
Mzee wangu Nature huenda aliandika maana kuna wakati tukishakula hivi vitu vinaleta hisia nyingine 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂itakuwa
Huyu Juma ajitambui
baba iyoimeeendaa ngama kali
Maisha matamu aidia ya mziki tamu pia ngoma kali leo ndo leo
LEO NGOMA KALI SANA 💥💥💥💥 HII IMEENDA 🌎🌍💯
Watoto wa fela wana maneno ya kimiyayusho yani necha mwenyewe anacheka kwa maneno ya mboso 😁😁
WATU SIO MAZUZU,,,HIYO PROJECT ILIKUWA HAIENDI BILA NECHA....WANGECHACHA HAO...NAONA BUSARA ILITUMIKA KUMSOGEZA NECHA TENA
Bonge moja langoma
Pini kali Leo ndo leo
Nature akae pembeni tu
Yan temba stail ya kijiti mdomon bado hajaacha tu
Ko ndio mkaona jumanature mmpe ka Tshirt 👕 ka zuchu😅😅😅😅
Ko ndo mkaona mmpe jumanature ka Tshirt 👕 ka zuchu😅😅😅😅
Lil Ommy anajitahidi kumrudisha kwenye swali Nature anaruka ruka😂
Hata amapiano haingii hapa wachueni kizazi kipya mapyano nyie endelezeni hii ya zamani
Bangi zikizidi ndio shidaa hiyoo hataa yanayoulizwaa hayajibiki mtu anajibu anavyotakaa tu
Bonge la ukweju
Mi nataka waendeleze styl hii ya zamani ila wakibadili sitapenda. Sikia hizo sauti zao sasa ndo zinazonifanyaga nipagawe
Nature amelewa msenge huyuuu
Lazima asitue 😂😂😂
Anajibustigi kwenye interview nying analewa
Mmenikosha nyie du! Hivi lini mnaanza tena au ndo kututia kihoro tu
Lili ommy unakumbuka niliwahi kuwaleta Tabora Kama promoter
Hi
@@mudarisuburhan7182 hi too brother
Aka kamdada uwaga sipendagi maswali yake huwaga kana maswali ya uzushi na chuki tupu
Kiroboto kajib swala la laki tano kwa akili sana😂😂
Temba mtu na nusu
Washamloga kiroboto😂
Kiroboto bhnana😂😂 anazidi kuwa kama mtoto
Tatizo mitungi pombe kali
Na ugolo mwingi😂
Ngoma kali leo ndiyo leo
Maisha matam
nakumbuka ile liujumba wa necha 😂😂😂😂
@Riyam Matiko. Lazima Waangalie WASAFI. Majuzi Walijipeleka Rwanda. Red Carpet Babu Tale Kujua Wapo. Akaichelewesha Timu ( Simba,/Zuchu na Jux). Hahaaaaaaa!!! Walikaaa Red Carpet Weeeeee!!!! Ahsante Babu Tale
Mbona mpo negative sana
😅😅😅😅👐🙆
😂😂😂
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪👑👑👑👑👑👑👑👑
Juma nature anafanya nini WCB na alikua anaongea mbaya fala hii
Mwenye redio ndio amemruhusu
Wcb s moto
Labda ilikua Ni njaa tu😂
Angalia mbali wewe acha utoto
@@DeoMalungu utoto na alikua anaongea mbaya Fala wewe