Hakuna anaye weza mupa collabo, Hana kitu Tena huyo, akijitahidi Sana Ni P-square, ila hata DIAMOND PLATINUMZ hawezi kubali kuimba naye. DIAMOND PLATFORM ana uwezo waku ingiza milioni sitini views Kwa mwezi , alikiba milioni 1.5, sijuwi Kwa Nini huwa Wana linganishwa Hawa watu wawili
King kiba yeebaba nice King
The kingkiba 🔥
🔥🔥🔥🔥🔥
The King himself
Tunaomba nyimbo Moja iwe international artist plz Sasa ata. Kama anaimbia burudani atuwekee na burudani za njee
Kiba ajaonyesha kuwa anafanya kazi kiushikaji sasa why akuna international collaboration it mean yeye ametosheka sasa
Sasa unampangia cha kufanya hiyo international collaboration nenda kaifanye wewe Ali kiba hana mda huwo mzee
Sitaki mumsifie tu Kw nn atafut international artist
Why hamna international collabo
Hakuna anaye weza mupa collabo, Hana kitu Tena huyo, akijitahidi Sana Ni P-square, ila hata DIAMOND PLATINUMZ hawezi kubali kuimba naye. DIAMOND PLATFORM ana uwezo waku ingiza milioni sitini views Kwa mwezi , alikiba milioni 1.5, sijuwi Kwa Nini huwa Wana linganishwa Hawa watu wawili
Ufanye wewe kama unadhani vyepesi
Hauna akili ww@@AlfroLyd
@@AlfroLyd we nae km mwehu, anaeza fanya na yyt maana mzik ni biashara
Wewe hiyo international collabo ulitaka aimbe nani au ama ulitaka aimbe na wewe😂