RAIS SAMIA AJITOLEA KUMTIBU KIJANA HUSSEIN WA BABATI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 11

  • @Trendtz-yf8hm
    @Trendtz-yf8hm 15 วันที่ผ่านมา +1

    Walter habari apewe hata tuzo ya heshima tu, anafanya kazi kubwa sana

    • @walternews3126
      @walternews3126  15 วันที่ผ่านมา

      Asante sana kwa Imani kubwa hiyo,ipo siku

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 15 วันที่ผ่านมา +1

    Huo siyo kweli kwa sababu,huyo mgonjwa alitakiwa atibiwe haraka,eti rais anamtibu.Kuna wagonjwa wangapi wa aina hiyo Tanzania?.
    Aibu kubwa,eti rais anamtibu,

    • @Trendtz-yf8hm
      @Trendtz-yf8hm 15 วันที่ผ่านมา

      Aibu ya nini, Rais atajuaje yote hayo? RAIS amewasaidia wengi sana anastahili pongezi nyingi na Dua.

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 15 วันที่ผ่านมา

    SUBAHANNAALLAH SUBAHANNAALLAH SUBAHANNAALLAH

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mtibie na yule kijana wa figo.2kuugua wa gongonla.Mboto,.anasaidia waislam tuu

    • @Trendtz-yf8hm
      @Trendtz-yf8hm 15 วันที่ผ่านมา

      Acha lugha za kibaguzi, dini inahusikaje hapo, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewasaidia wengi bila kujali Imani zao wala vyama vyao

  • @ramadhanmohamedi2496
    @ramadhanmohamedi2496 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kila hatua ni ibada