- 1 017
- 6 073 323
WALTER NEWS
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 5 ม.ค. 2019
AMUUA MKE WAKE KISA ULEVI BABATI, MWENYEWE ASEMA NI HASIRA TU.
#babati #ukatili #ndoa #mahusiano #manyara #mauaji #maweni
มุมมอง: 138
วีดีโอ
DC BABATI AMPIGA MARUFUKU MAULIDI KWENDA KWA GRACE.
มุมมอง 3.5K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#babati #dckaganda #maulid #grace #negams #familia #migogoro
MAAMUZI YA KAMATI YA MFUKO WA JIMBO SHULE YA SEKONDARI GEKUL.
มุมมอง 824 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#gekulsekondari #babati #mfukowajimbo
SIMULIZI YA MAUMIVU YA PAULO, ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU, SHILLINGI MILIONI 14 ZINAHITAJIKA.
มุมมอง 1899 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#paulo #ugonjwa #matibabu #raissamia #dareda #tanzania #babati #manyara #sendiga #jakayakikwete #mofoundation #matifoundation #walternews #walterhabari
MAELEKEZO YA WAZIRI MKUMBO BAADA YA ZIARA MKOANI MANYARA.
มุมมอง 9612 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#kitilamkumbo #ubungo #raissamia #manyara #babati #sendiga
MATI SUPER BRANDS YALIPA KODI YA BILIONI NANE 2024, WAZIRI MKUMBO AKOSHWA.
มุมมอง 67214 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#kodi #bidhaafeki #mati #raissamia #walternews #babati #usalama #babati
DIWANI ALIYEMPIGIA RAIS DKT SAMIA MAGOTI, AJIBIWA KWA VITENDO.
มุมมอง 33314 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mandoo #bashnet #babati #raissamia #afya
AKINA MAMA BABATI WAFURAHI, MAJI SASA MPAKA MLANGONI, SILLO AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI MKUBWA ARRI
มุมมอง 12016 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#babati #maji #karimfoundation #arri #uzinduzi #sillo
SILLO AAGIZA DARAJA LA DARWEDICK LIKAMILIKE KABLA SHULE HAZIJAFUNGULIWA.
มุมมอง 16519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#daraja #darwedick #secheda #shule #wanafunzi #walternews
WANANCHI WA ARUSHA WAPO SAMBAMBA NA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN MWAKA 2025.
มุมมอง 272วันที่ผ่านมา
#mwakampya2025 #raissamia #arusha #makonda
MZEE WA YANGA AWAPA SIMBA JINA LINGINE.
มุมมอง 1.8Kวันที่ผ่านมา
#galapo #yanga #simba #walternews #habari #matokeo #mabao #magoli #sillo
MILIONI 684 KUJENGA KITUO CHA AFYA CHA KISASA GALAPO, MBUNGE SILLO AKAGUA UJENZI
มุมมอง 148วันที่ผ่านมา
#mbungesillo #raissamia #galapo
KIMENUKA! KISA KUFUNGWA NA YANGA NA KUMFUKUZA KOCHA FOUNTAIN GATE, MAZITO YAIBULIWA .
มุมมอง 135วันที่ผ่านมา
#walternews#manyara
HAPA ARUSHA MIMI NI BALOZI WA RAIS DKT SAMIA.
มุมมอง 273วันที่ผ่านมา
#makonda #raissamia #churchillshow #arusha
CHURCHILI SHOW NI NOMA SANA , MSIKIE MC CHIPOKEEZY TOFAUTI YA WANAWAKE WA KENYA NA TANZANIA.
มุมมอง 254วันที่ผ่านมา
CHURCHILI SHOW NI NOMA SANA , MSIKIE MC CHIPOKEEZY TOFAUTI YA WANAWAKE WA KENYA NA TANZANIA.
AJALI YAUA WATU SITA BAADA YA GARI KUWAKA MOTO.
มุมมอง 438วันที่ผ่านมา
AJALI YAUA WATU SITA BAADA YA GARI KUWAKA MOTO.
HUU HAPA USAJILI ULIOFANYIKA NA TETESI ZINGINE ZA SOKA.
มุมมอง 20914 วันที่ผ่านมา
HUU HAPA USAJILI ULIOFANYIKA NA TETESI ZINGINE ZA SOKA.
MJUE MC ALIYEFANYA VIZURI HADI KUPEWA TUZO.
มุมมอง 23114 วันที่ผ่านมา
MJUE MC ALIYEFANYA VIZURI HADI KUPEWA TUZO.
RAIS SAMIA AJITOLEA KUMTIBU KIJANA HUSSEIN WA BABATI.
มุมมอง 66814 วันที่ผ่านมา
RAIS SAMIA AJITOLEA KUMTIBU KIJANA HUSSEIN WA BABATI.
IJUE HIFADHI YA TAIFA YA TARANGIRE NA UZURI WAKE -KNOW THE TARANGIRE NATIONAL RESERVE AND ITS BEAUTY
มุมมอง 13314 วันที่ผ่านมา
IJUE HIFADHI YA TAIFA YA TARANGIRE NA UZURI WAKE -KNOW THE TARANGIRE NATIONAL RESERVE AND ITS BEAUTY
RC SENDIGA AJA NA MPYA CHRISTMAS 🎄 NA MWAKA MPYA TAZAMA
มุมมอง 4014 วันที่ผ่านมา
RC SENDIGA AJA NA MPYA CHRISTMAS 🎄 NA MWAKA MPYA TAZAMA
MARUFUKU MWALIMU MKUU KUCHANGISHA FEDHA ZA CHAKULA SHULENI-RC MANYARA
มุมมอง 71714 วันที่ผ่านมา
MARUFUKU MWALIMU MKUU KUCHANGISHA FEDHA ZA CHAKULA SHULENI-RC MANYARA
HAWA MASHABIKI WA FOUNTAIN GATE WAMEMLIA PILAU NAMUNGO, EX HATONGOZWI.
มุมมอง 6314 วันที่ผ่านมา
HAWA MASHABIKI WA FOUNTAIN GATE WAMEMLIA PILAU NAMUNGO, EX HATONGOZWI.
MAELEKEZO YA RC MANYARA KUHUSU UANDIKISHAJI NA CHAKULA MASHULENI.
มุมมอง 7314 วันที่ผ่านมา
MAELEKEZO YA RC MANYARA KUHUSU UANDIKISHAJI NA CHAKULA MASHULENI.
RC SENDIGA AKABIDHI HATI MILIKI WARRET, WANAOPANGA KUUZA NYUMBA WAONYWA.
มุมมอง 60414 วันที่ผ่านมา
RC SENDIGA AKABIDHI HATI MILIKI WARRET, WANAOPANGA KUUZA NYUMBA WAONYWA.
MBUNGE HHAYUMA AWAPIGIA KIFUA WANANCHI WAKE, WAZIRI MKUU AMPA MATUMAINI.
มุมมอง 4821 วันที่ผ่านมา
MBUNGE HHAYUMA AWAPIGIA KIFUA WANANCHI WAKE, WAZIRI MKUU AMPA MATUMAINI.
NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA ATIA NENO NYUMBA 109 ZA SERIKALI.
มุมมอง 20621 วันที่ผ่านมา
NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA ATIA NENO NYUMBA 109 ZA SERIKALI.
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI NYUMBA 109 ZA WALIOATHIRIWA NA MAPOROMOKO HANANG'
มุมมอง 32221 วันที่ผ่านมา
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI NYUMBA 109 ZA WALIOATHIRIWA NA MAPOROMOKO HANANG'
KIFO CHA UTATA MAGUGU, PEMBENI YA MWILI WAKE ZIMEKUTWA NGUO ZAKE ZA NDANI.
มุมมอง 41021 วันที่ผ่านมา
KIFO CHA UTATA MAGUGU, PEMBENI YA MWILI WAKE ZIMEKUTWA NGUO ZAKE ZA NDANI.
KAMISHNA MKUU WA KODI AWAONYA WANAOZALISHA NA KUSAMBAZA POMBE KALI BILA TARATIBU.
มุมมอง 5721 วันที่ผ่านมา
KAMISHNA MKUU WA KODI AWAONYA WANAOZALISHA NA KUSAMBAZA POMBE KALI BILA TARATIBU.
Hongera dc
Du mzee bwana noma sana.
Safi Sana DC Mungu akubariki sanaaaa kwa kazi nzuri. MUNGU azidi kukutunza 🙏
Nimependa hii😂😂
@@Trendtz-yf8hm Asante kama watanzania lazima kuungana na kutiana moyo ni tendo jema sana kwa sisi jamii
Dc hongera sana endelea kutimiza wajibu wako ukimwakilisha Rais katika eneo lako.busara zako ndio nguzo kuu ya ushindi katika kazi yako Hongera.
Jaman napataje nafas nimevutiwa sana
Upo wapi??
Upo wapi wewe?
Hakika uhafa ujaumbika
Was amazing
Hongera sana
Hongera Sana Karimu foundation kwa kazi kubwa na yenye kugusa maisha ya watanzania ktk sekta mbali mbali ktk miradi ya maji safi na salama, afya, elimu na kuwainua wananchi kiuchumi kwa kupitia miradi mbali mbali ya kilimo ufugaji na ujasiramali
Asante sana
Hakika wanastaili pongezi, bilioni 2 Si mchezo
Hahaha hahahahha ❤❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Noma sana 😂
Makonda ubarikiwe kwa kila jambo ulitendalo unamtia moyo Mama Samia jihadhari na maadui unao wengi wewe ni mti wenye matunda hauishi kupigwa mawe
Mungu akubariki sanaaaa kwa maono yako Kwa kweli tumpe maua yake Mama Samia kwa kukuteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sehemu yoyote aliyokuwa amekuteua tumeona mafanikio makubwa sanaaaa kwenye Uenezi ulifanya kazi kubwa kwa muda mfupi uliifufua Ccm Mama Samia oyeeeee wanawake jeshi kubwa Hatuna bidu kushukuru kusema Mungu ahsante
Mtu wa maaana kabisa🎉
Kama unahisi elimu ni gharama jaribu ujinga huyo watoto wake wapo private school ninyi mnatiwa moyo kusitisha michango subirini mafungu ya serikali
Noma Sana huo usajili FG FC
Yes nampata vyema mpambanaji
Yaan mzazi asichangie chakula lakin hapo hapo mnasema kila mwanafunzi ni lazma apate chakula shule, sasa hicho chakula kinatoka wapii😮 Kila mtoto analipiwa sh. 1500(Elfu moja mia tano) kwa mwezi je hiyo inatosha kumpa chakula mwezi mzma!!? Na hapo bado anatakiwa afanye test, mitihani n.k Hiz ni siasa za kipuuzi
Hongera yake sana
Wazazi wasiohudhuria vikao huwa ndo wanaoleta majungu.
Huo siyo kweli kwa sababu,huyo mgonjwa alitakiwa atibiwe haraka,eti rais anamtibu.Kuna wagonjwa wangapi wa aina hiyo Tanzania?. Aibu kubwa,eti rais anamtibu,
Aibu ya nini, Rais atajuaje yote hayo? RAIS amewasaidia wengi sana anastahili pongezi nyingi na Dua.
Mtibie na yule kijana wa figo.2kuugua wa gongonla.Mboto,.anasaidia waislam tuu
Acha lugha za kibaguzi, dini inahusikaje hapo, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewasaidia wengi bila kujali Imani zao wala vyama vyao
Walter habari apewe hata tuzo ya heshima tu, anafanya kazi kubwa sana
Asante sana kwa Imani kubwa hiyo,ipo siku
SUBAHANNAALLAH SUBAHANNAALLAH SUBAHANNAALLAH
Amin
Huyu busara huwa ni zero
Kila hatua ni ibada
Amin
Amen
Shulee zotee tz wana agizaa michango adi wa mama wana pagawa wana kua weuu michango
Kwani huyo amekazaza au katoa utaratibu mzr wa kuchangia. Changia nani unataka amlishe mwanao
@bbclondonulimwenguwasoka6126 we kweliii mweu ndio unaeongelwa apo Sasa mm mwang anakulaa dawati sio
Sikiliza hadi mwisho unakurupuka sana
Wewe jamaa hongera Sana aisee
Mama ubarikiwe Mungu azidi kukutunzaa ♥️♥️♥️
Asanteee Serikali, nyumba nzuri sana
Doooh poleni sanaaaa
Polenta sana wanafamilia mungu awatie nguvu
Poleni familia
Hawa fisi wa Hanang wa mchana ni vp jamani 😢😢😢
Noma Sana ester
Oh my God
Poleni sana mungu awanusuru Mwaminini pia tubuni
Dah polen
Poleni
M,mungu akulinde
Nice one
Thanks Walter habari
❤❤❤❤
nice
Kazi nzurii
good work
thanks preseder
Asante Rais wangu, waandishi waachwe,wasibughudhiwe
Mungu ni mwema kila wakati
Hongera baba mb leo upo nyumbani na mh mamboli
😅😅😅😅