Niliwahi kukutana na mukaka wa kiarabu mzuri sana yaani kanitongoza siku moja anataka niende kwake eti akanifanye massage weeee nikaijua hiyoo yaana wanaume wazuri wakikutaka we Kubali lakini ukijua munasitarehe2 akipatikana mwingine wewe kaa pembeni siwezi lia kisa mapenzi sasa nyooo😏😏😏😏
Mambo imechemka tena huku watumia WI-FE ya mwiguru tupatane😂😂😂😂gonga like hata 5
😅😅😅😅😅😅😅
yupo hapo😂😂😂
Nipo mwaya
😂😂😂
Hongera sana zuu uko vizuri kwakila movie😂😂
Kumbe zuu anaongea kwa hasira basi tuekeeni hausse GR basi tumalizie tuone mwisho wa kai na mkeo kwakumudharau baba yake mkwe
🤣🤣
Kabisa zuu nataka kumuona wakioana na boss wake ntafurahi sana
Kai naomba kama ujaowa basi muowe zuuh utakuwa utajiri tu 🎉🎉🎉🎉🎉
Zuu nywele zako mie hoi 😂😂😂😂😂
Wanaume wasikuiz ndo wapo Ivo tujifunze kitu apo
Zuu nimekukubali kilamuvi uko vizur sana
Kai kumbe anaongea hivi 😂😂Tuleteeni house girl tumalize jameni❤❤❤
umezidi kaka punguza ila tu congratulaion kazi njuri
🙏
Zuu usiwe mtu wa kula makombo saw dadaangu
Ni mwendo wakuzimaaaa
Kai jaman
Hongereni kwa kazi nzuri na wapa maua yenu nyote wausika 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Ndo hayo ss akikuchoka ushapotezewa muda weee ushachezewa weee tayari Usha muweka moyoni ushamzoeya
Hiiii nizuri mzeee shukrani kwa kunipa burudani
Kai unajua mpaka unajua tena❤❤❤
umezidi kaka punguza ila tu congratulation kazi nzuri
Asante sana
Kaii ww tena natena
Waaaaaaaaah 😮😮😮😢😢😢
😭😭
😭😭
Kai peyana kijiti😅😅😅
Ndo kukuta ii channel munipee Moja team housegirl❤❤
Ahsanten wana busati kutuletea mzigo mpya❤❤
Asante
Uyu zuu kama ana nyota hivi ya zuchu
Utanifanya nizimie pia 😂😂😂
❤❤❤❤❤kweli mtumwa unaweza ❤😂😂😂
Jameni fundi kila inauma😢😢😢
Ss wanawake bwana tunajizalilisha tuna tukitongozwa tu unabeba na mabegi Kwa mwanaume 😂😂
Kumbe unajua kutesa kai hya bhna ila hongera 🎉
Ilaa kai bhaaana 😢😢
Kai unajifanya mpole kwenye house gir kumbe waovyo ivi eeh jaman yan haupendezi kwakweli
Mi uniambie maneno hyo duuuh bora tuachane in peace ✌ila tatizo ni kuwa dada yetu amependa mahali pasipo stahili
Kabisaa
Mmmmmh zuu kumbe unaasira mmmmh kayhi sasa akifoka anani😂😂😂😂😂 kbs jaman lik kwajili ya kayhi na zuu 😂😂😂😂❤❤❤
🔥🔥🙌🏾
Mwanaume wewe na bado utasonga
nzuri sanaaaa, hongereni sanaaaa.
Asante sana
😢😢😢😢 nimejikuta nalia mapenzi simama nipishe nikae 😢😢😢😢
Pole sana
Next ❤❤❤❤❤❤
Ipo full njoo WhatsApp tukupe Link's
Hayo maneno magum sn yamenikumbusha mbali daaah
Pole sana
Humble Kai...... wonders
Kai ww ukifa hutofika mbinguni 😢😢😢
🙏🙏🙏
Kai huyooo,ulipo nipo ntazidi kukupa support,hongera sana
Wa kwanza❤
We're Hongera
Huyu dada naye mtu amekwambia ni mzigo alafu anakwambia songea kweli uasongea aa
Ila mtumwa umetuangusha wanawake mbn king'ng'nizi hvyo Kwa Kai gan apo 😂😂😂😂
Yani hataki kuachika
Ila Kai handsome nyie😍😁
😍
Acha genye😂😂😂
@@taharamohd4853 Aaah wee nmependa tyr ila sema hiyo movie imeniogopesha vynye yuwamfanya huyo mtumwa😁🤣
@@faridahally6314 😂😂😂😂😂😂😂😂
Aisee kaz iko poa sana
Asante sana
Wansume wanaume wanamaneno matamu kweli pole dada aondio wanaume
kupɛɳɗɑ upѳԲu
Ni kweli
Kwer uyo mtumwa
🤣
🤣
Umevua samaki tayari, haina haja kuwahangaikia walio kwenye mtumbwi we unaangaikia waliopo kwenye maji we ntar sana
Hapo Sawa kai bapatubapa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kai heee jamani weee umeigia roho mbaya hii series
@@Sofiashabani780kai Baba ubaya🔥
@@Kai_busati haki tena
Sasa mwanamke unakuja kuja mikono nn mmh
🙏🙏
Yani mtu ukimpenda yuwakuona kinganganizi jaman khaa 😂😂
Mtumwa acha ufala tulikubaliana wanawake hakuna kulia😅😅😅
😂😂
Dah! Hadithi inawafumbua macho madada hapa kwa kweli mtaani hatutapata mademu 😂😂😂
😂😂😂
Mmh nimzr ila imeniumiza sana kiukweli maana aya mateso yananifnya nikumbuke mbali sana kiukweli 😢😭😭😭😭najikuta naumia sana moyo wngu
Pole sana
Nime wapenda bure
❤❤❤
😂😂😂huyu ni mm nakufa tu kwa amani
Mamamzimiyoo😂😂
Huyu Dada lakini Jina limemponza 😂😂.. mtumwa🤦
Hapo Sasa 😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Kaiii😂😂😂😂
🙏🙏
Mtumwa scene ya kulia inakufaa🎉🎉
Ni kweli
Nijikute mimi nizimie haswa😂😂😂😂😂
Balaaa
😂😂😂😂😂😂😂
Dada Nandy ukuje huku mwenzio nae mapenz yamemshika haswa
😂
Moyo ukipenda hata mbele huoni😅
Kabisaa
Wako ivyo waume wana mwanzo mwisho awana
Ila mtumwa ni mrembo kuliko kikebe😂😂😂
😂😂
Wanaume😢😢😢mpaka nawaogopa mm
Poleee
Mimi pia nawaogopa
Ila kijijini kuzur janm.
Dah tunaanza nahii sasa
Kwa raha zangu sasa.
Naenjoy🙌
Hongera
@@busatitv basi msilete ya majini
Niliwahi kukutana na mukaka wa kiarabu mzuri sana yaani kanitongoza siku moja anataka niende kwake eti akanifanye massage weeee nikaijua hiyoo yaana wanaume wazuri wakikutaka we Kubali lakini ukijua munasitarehe2 akipatikana mwingine wewe kaa pembeni siwezi lia kisa mapenzi sasa nyooo😏😏😏😏
🤣🤣
😮😢
Poleee
Mumetupa funzo kwa sisi wanawake
😂😂
😢😢😢😢
Poleee
Mimi wa tatu
Hongera
Kumbe kai una roho mbaya hivi😢
🤣🤣🤣
Mtumwa 😢 😂😂😂😂
🤣🤣
❤❤❤🎉🎉
😍
Bora hata unapelekeshwa na keni maan siyo kwa roho hyo mbaya😢
Tena uku wamgeuka😂😂😂
😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤
asant kwa movie nzuri yenye mafunzo daa lakini nyinyi wanaume hampendeki hata mkipendwa😂😂
Yani
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Vp ile Gwiji la Magwiji Ken iliisha mna n mda
Gwiji iliisha ipo mpaka episode ya 5
@@busatitvHapo ndio nliachia kumbe ndio mwisho eeeeh haya wacha tutizame hii
😢😢😢 nimejikuta nalia mapenzi simama nipishe nikae😢😢😢
@@busatitvvipi kuhusu house girl jamani 😭😭😭 tupeni kipande Cha 16 Basi
Tumalizie house girl plz
❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉🎉