Leo jemsi kapatikana jemsi umeona jinsi vinavyo kua vitamu unavyo umiza wanawake njoukome lakini pole Tina atakua sawa ivi ameenda kuomba ushauri kwa Vicky japokua sijaimaliza
😂😂😂😂😂😂 nacheka venye james anashanga venye tina anamupokea amekuwa amezowea vituko kira siku nimependa veny umebadirika tina na kumupokea mme wako na heshima ❤❤🇧🇮
No 3 wana donta tv likes zinifuate❤❤❤❤❤from kenya
100% mko sawa kabisa mafunzo mazuri sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mwaaaaaaa from 🇰🇪
hongeren waigizaji wetu,kazi yenu ni njema,mnatufundisha mengi
Waaah leo James naye kawezwa 😂😂😂kumbe nawe unajua kunywea hiki kikombe
James umenyoa umependeza
Wakwanza jamani minipeni link yangu from merekani ❤
Leo nimekuwa wa pili. From Tz❤🎉.
Tina hiyo si vizuri
Mafunzwo baada y mafunzwo 🎉🎉🎉🎉 donta tv ❤❤❤❤
Burundi tunawapata Sana tupe prt 2🎉🎉🎉🎉🎉
Leo jemsi kapatikana jemsi umeona jinsi vinavyo kua vitamu unavyo umiza wanawake njoukome lakini pole Tina atakua sawa ivi ameenda kuomba ushauri kwa Vicky japokua sijaimaliza
Tina Sio Sawa kabisa mume hajibiwi Ivo akipata mwingine aefanyia vizuri ataenda
Hadi mume ywaogopa.mahaba ya tina😂😂😂😂😂
Tina mwamba lm from burundi 🇧🇮 💖 nawunik Morocco 🇲🇦 ❤
😂😂😂😂😂😂 nacheka venye james anashanga venye tina anamupokea amekuwa amezowea vituko kira siku nimependa veny umebadirika tina na kumupokea mme wako na heshima ❤❤🇧🇮
James safari hii kapatikana
😂😂😂😂😂donta my family,, napenda sana movie zenu
KUWENI MAKIN SANA WATU WANAONEKANA KWENYE KIOO MUVI IKIANZA TUNAJENGA SO KUBOMOA
Unamaanisha nini?
@@janethfelix9411 MUVI IKIANZA WATU WA NYUMA YA CAMERA WANAONEKAN KKWENYE KIOO
@@kikaboy11 ooh
@@janethfelix9411 YEAH
James huamini kma Tina amebadilika😂😂😂😂
HALAFU KIZO KAK KAK KAK KAK ZIMEKUA NYINGI SANA
Hongera sana daa Vick kw ushauri ulio mfundisha tina kw kweli tumepata kitu pia sisi😂😂
Jemsiiiiii ume pendeza
Yaani na hizo nywele Tina kama shumleta zitoe tu uko kichwani hujapendeza kwa kweli
kwel angebaki na nywele zake znampendezaga
Umeonae akayatoe tu
Kenya Watching, twapenda
Alex kanyoa umependeza ulikuwa kama jambaz jambaz ukisuka Kwa kweli
Nimekuwaa wa 42 uuuw jaman nihurumieeeen show love toka zanzbariiii hapaaa
Niwewe au tinna jamani 😂😂😂
Tina sio vizuri badilika basi mbona hivo
Vick❤❤❤❤❤❤❤
Nakupnd pia
James wewe unapelekeswa aje na tina vimba!!!!
Sasa me wangapi kweli aya kuleni izo like basi 🎉 kama amtanipea ata moja
Ila Tina jaman kanichekesha alivyompokea mume wake😂😂😂😂
Kwan uyu mke au redio. Kutoka cape town
❤❤❤❤❤❤❤❤Vicky❤❤❤❤❤
Tina punguza makasiriko
Umepatikana we mkaka pole😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
James jmn n mzur macho yako kaka yananivurugaaa
Jem's apa 🙏🙏🙏🥰🥰🥰
❤❤❤❤🎉🎉🎉 4:08
❤❤❤❤❤😂😂😢😢😭🤱🤱😢
❤❤❤🎉🎉
❤😂
❤❤👍👍👍👍👍👍👍
😂😂😂
❤😂😂❤🎉🎉
Ila Tina akili hana
Vik apo umetisha San kula chum😅😅😅😅😅
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤