Sasa ukipata hizo like unafaidk na nn Unashindwa kumuombea like madebe fundi aloumiza kichwa Ili ww upate funzo tunampa like Ili kumtia moyo je ww nn faida ya like au kisa mda mwingi unatumia mtandaon fany kaz ndg
kiukweli mmefanya vizuri Sana braza madebe Pamoja na dada viola na mbwela pia hongereni kwakazi nzury Niko naitazama hapa sasaiv nimimi azizi mohamed mushi nikiwa hapa lusaka Zambia
Mbwela napenda sana move zako❤
Jamani nimekuwa mtu wa tatu kutazama na wakwanza kukoment mwanzo wa movie hii.
Mkojan
Sasa ukipata hizo like unafaidk na nn
Unashindwa kumuombea like madebe fundi aloumiza kichwa Ili ww upate funzo tunampa like Ili kumtia moyo je ww nn faida ya like au kisa mda mwingi unatumia mtandaon fany kaz ndg
Mbwela mzee wa big boss
Hii Kali mana wale wakali wangu wote wamo❤🎉kaka mbwela nakuaminia tu sana❤😂😂😂👊
Akujaga kuwa mke wangu
Mbwela napenda move sana 💓 💞 zako kaka ❤❤❤🎉🎉
Mzee Mirambo atakikujulikana yke ety asitokendani mmmmh 😂😂😂😂😂😂
Nakubali sana
Nakubar. San🎉
sauti iko chini sana
Nampenda sana mbwela 🥰🥰🥰
Hii movie nimeipenda sana japo kauzuni kwa mbal🤔i
Iko fity sana
Bwela unatisha
Nakubali
Kwakuwa nimemuona mbwela ndomana nimeangalia hii movie
hongera jaman movie nzuri mnoo😍😍😍😍
Dolegumba kapendeza Na kipara
Nice job mr mbwela
mbwela banaa
Bwela much love from Kenya 🇰🇪❤❤
Duhh fundi dole gumba katoa rasta 😅😅 unyama sana
Daaaa
Muko vzr twendeni kazi sasa
mbwela wajina
Jamn kweli mambo mengine muhimu sana 😅😅😅 napenda sana😊😊😊
👌👌👌👊🥰
Epsd 2 tafadhar jamn nimeipenda nipeni like zangu
Ipo bomba
Move mbaya sana😂😂😂
Nice job mr Mbwela
❤❤❤❤kazi nzuri sana
kiukweli mmefanya vizuri Sana braza madebe Pamoja na dada viola na mbwela pia hongereni kwakazi nzury Niko naitazama hapa sasaiv nimimi azizi mohamed mushi nikiwa hapa lusaka Zambia
❤
Nitarudi❤❤❤❤❤❤🎉
JITAHIDINI KUBALANCE SAUTIII .
Yaan mtu unaangalia movie na rimot mkonon kama unaendesha drone
Maskini inasikitisha kweli 😅
Kaká Mimi ni shabiki was kwaza tatizo ruga Mimi naongea kireno
Good job ❤❤❤
Jamani tafadhali iendeee nizuri sana
Jaman Jaman huyu mzee mbona katoa tusi kuwa Sana "Fankulo" anaijua maana yake
Manaake nin😢😅😅
@@aishajuma18 hilo ni neno la kiitaliano linaandikwa Ma 'fankulo lenye maana ya Ma = but, however
Fankulo = fuck, screw it
@@mosquitoonlinetv2740 duuuh 🤣🤣🤣
@@aishajuma18 hapo sasa utaelewa kwann hatupaswi kucheka tu tunapo sikia mbongo kaongea lugha tofauti na kiswahili tunacho kjua
Doligumba we ni noma mwanang
Manamba❤❤❤😂😂😂
Bonge la series wasadau big up sana endeleeni kutuburudisha support zetu mnazo ❤❤
Uyu jamaa majabei ameludi 😂😂😂😅
Mash allah
Sasa hii ndio kali bwela pokea salamu zangu
Noma sana nakukubali miaka mia
Movie tamu sana leta muendelezo plz
Big up sna my friend Anna
Mnaogiza maisha halisi hii inanifanya nipende maigizo yenu
Iko hot sana
❤❤❤❤❤❤
Oya we Jamaa unatuliaga sana napenda uigizaji wako My brother
Kongole Atsumani Manamba nilikua nimezimiss video zako
Ila mzee Majaliwa kaporomosha matusi mseto😂😂😂😂
❤❤
Good movie
Hii majabei nae yupo tatizo huyu mzee anaongea sana
❤❤❤
Good Job Kaka Mkuu
😂😂😂😂mzee majabei😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂
❤❤❤❤
Ni kwli binadamu unawza ukampaka wanja akapndza na we akakpak pilpl
Jama ushauri wenye tunapata lakina atutimizi😂
Huyo kaka alosema binaadam walikuwa ngedere macho yake yanatisha sikwaubaya lakini 😢😢
Huyo mzee atakufa na pressure
🤣🤣🤣🤣
Nice
Tamuu❤❤❤
Dole kanyoa
Nice movie
❤❤❤❤❤
Nc movie
Yani madebe anatukatisha tamaa anatiwa picha alafu aiishi shilingi imeniuma
Mbona mwatwambia ni movie ya madebe alafu ni mjitu mengine?
Uyu mzee uku pia yuko tatizo uyu mzee anaongea sana mpka anakera😂😂😂
Saaan
Me hata simuelewagi kwakwel
😢
Timbwili imebuma kuisha
bado inaendelea
Hii imeeenda
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2 ep
Thanks
Mtume kama punda wa kilongwee😂😂😂😂😂
Movie znakuw na saut ya chini hadi uweke aer phone au ?? Simu uwek skioni wekea maik kwa karibu
Tatizo sauti dogo
Jamani mi mwisho nipeni likes bc
Timbwili ndo bs ama
itapanda leo saa 12 jioni
❤❤
❤❤❤❤