Aanguka kwenye mkutano, MAKONDA amwaga machozi, Polisi watupiwa lawama alikatwa mapanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 407

  • @munashabani
    @munashabani 10 หลายเดือนก่อน +27

    Makonda mungu akuweke maisha yako yawe mazuri mungu akulinde❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @AminaAminatunzo-m2o
      @AminaAminatunzo-m2o 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana mheshimiwa MAKONDA

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 10 หลายเดือนก่อน +20

    Polen ndugu zetu, hii nchi ukitazama kwa makin haki haipo

  • @orgenisabisai919
    @orgenisabisai919 10 หลายเดือนก่อน +47

    Ee mungu tunaomba umpe makonda maisha marefu na malaika wakimzunguka

  • @annamihayo142
    @annamihayo142 10 หลายเดือนก่อน +19

    MH. Makonda mungu akupe maisha marefu baba yangu ili utusaidie sisi wanyonge🙏hakika we ni mtu sahihi umeagizwa na mungu uje dunian

  • @godfreygammata9012
    @godfreygammata9012 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mwenyezi Mungu akubariki Makonda, endelea kuwa na moyo Huo wa kuwasikiliza wanyonge.

  • @SabinaEzekiel-b4c
    @SabinaEzekiel-b4c หลายเดือนก่อน +2

    Mh Makonda Mungu akubariki sana Watanzania tunakupenda sana, Uishi maisha marefu sana.

  • @Purityaroko
    @Purityaroko 6 หลายเดือนก่อน +5

    Nakupenda sanaaaaa brother makonda, MUNGU akupe mwisho mwema, endelea vivyo hivyo,Wala usiteteleke.duh inaumiza Sana ,sijajuwa kuwa viongozi wa nchi watajibu Nini mbele za MUNGU

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 6 หลายเดือนก่อน +3

    Be blessed Makonda,una hofu ya Mungu Sana🙏🏿Yesu akutunze

  • @MbabaziShamusa
    @MbabaziShamusa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana makonda kwakutetea wanyonge Mimi sio mutanzania natoka Rwanda rakini nakupenda sana

  • @amepotea
    @amepotea 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mweshimiwa Mungu akupe uraisi ulee wanyonge wote 🇰🇪.

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 10 หลายเดือนก่อน +31

    MAKONDA tutakulipa nini kaka Yangu kwa moyo wa Imani na upendooooooo 😢😢😢😢😢😢😢

  • @NeemaGauso
    @NeemaGauso 7 หลายเดือนก่อน +10

    Mama samia wewe huna baya tunakupenda watu uliowaweka watusikilize mamaa😢😢😢 ila tunashukuru kutuwekea makonda angalia mama hayo matesoo

  • @Aswan-f8r
    @Aswan-f8r 6 หลายเดือนก่อน +14

    Much love from Kenya I wish ungekuwa kiongozi wa Kenya uko na roho Safi sana ❤❤❤😢 guys like back

  • @EstherJeremiah-o9n
    @EstherJeremiah-o9n หลายเดือนก่อน +1

    Makonda mungu akubariki kwA kazi nzuri ❤️

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 10 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda mungu akupe maisha marefu yenye baraka zake Allah 🙏🙏

  • @melamseb-q5z
    @melamseb-q5z 2 หลายเดือนก่อน +1

    makonda mungu akufikishe mbali sana daaah hii nimelia kabisa yaani kwa hili

  • @hamisimwagarashi9501
    @hamisimwagarashi9501 2 วันที่ผ่านมา

    Vizuri havidumu ila ALLAH nakuomba mdumishe Kaka makonda aishi miaka mingi zaidi aweze kuwafariji wanyonge. Aaamiin

  • @RoydaspityKobero-jq9cm
    @RoydaspityKobero-jq9cm 10 หลายเดือนก่อน +12

    kwa kweli Mh. Makonda kama kuna siku ulitumia hekima ya kimungu ni kuhusu huyu jamaa maana km ungeongea ni kwamba ingekupasa kufukuza polisi wooote na viongozi wa serikali woote wa mkoa huo.ukweli inauma pole kaka uliyejeruhiwa Mungu yupo pamoja na wewe na atakusaidia na hutakufa.Mh. Makonda hongera sana kwa utumishi uliotukuka

  • @SurprisedGrapes-by5bw
    @SurprisedGrapes-by5bw 6 หลายเดือนก่อน +3

    Aisee!! ,Mungu atupe neema ya kupata viongozi wenye hofu ya Mungu. Mungu akubariki mh mkuu wa mkoa.

    • @LabanKaninyoge
      @LabanKaninyoge 6 หลายเดือนก่อน

      Mm mwinjilisti labani makonda okoa watu wa taifa lako sio Arusha tu watu wanateseka Baba

    • @LabanKaninyoge
      @LabanKaninyoge 6 หลายเดือนก่อน

      Viongozi wa serikali Salio wengi wamekalia viti kiubabe

  • @kimjuiyoung1686
    @kimjuiyoung1686 7 หลายเดือนก่อน +9

    Ooh, what kind, man, are you!!! God bless u, Sir. You're the next Tanzanian President

  • @selemaniidrisa1152
    @selemaniidrisa1152 14 วันที่ผ่านมา +1

    😭😭😭😭😭😭 Nilijaribu kujikaza machozi yasitoke ila nimeshindwa.

  • @SaidaAbdallaah-j2t
    @SaidaAbdallaah-j2t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan nimeliaa sana mm jmn😭😭😭😭😭😭 wadau wenzangu hv kuna mtu kalia km jmn😭😭😭😭😭 Makonda gombeaa urais tyu watu watakupa kuraa kaka angu, M//munguu Akufanyie wepesii kwa kila jambo unalolifanya kaka angu makondaa kaka angu,, wananchi wanakupendaa sn tn sn

  • @ZephaniaWilly
    @ZephaniaWilly 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akutie nguvu mheshimiwa makonda

  • @JULIANANASOLO
    @JULIANANASOLO 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika makonda unaweza mungu akulinde uzibe pengo la shujaa wetu

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 10 หลายเดือนก่อน +4

    Daaaa AISSEH Inauma sana 😭😭😭😭😭😭😭😭 jamani daaaa AISSEH
    Hapewe Uongozi huyu muhanga wa majerui

  • @amanishoo1813
    @amanishoo1813 10 หลายเดือนก่อน +7

    Kwa hii ht km mtu alikuwa anamkataa Makonda kwa hii huruma aliyoonyesha hapa kwa huyu mhanga utamkubali aisee,wangapi wamemwona huyu ndg alivyoumizwa lkn yy Makonda kamkumbatia na kumwagia mapesa kibao na kutoa maneno makali kwa watesi wake

  • @GenzMillenium
    @GenzMillenium วันที่ผ่านมา

    You are God sent Makonda, more grace of service

  • @FatimaAo-r9p
    @FatimaAo-r9p 29 วันที่ผ่านมา +1

    Kajitoa muhanga maskini mungu akuweke miaka mia makonda

  • @TumainSimon-t8l
    @TumainSimon-t8l 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama yule aliyetutetea hayupo je makonda wetu atabaki salama kwerii, mungu mlinde makonda wetu

  • @HoseaPeter-yu3qh
    @HoseaPeter-yu3qh 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mim mwanaume nimejikuta nalia kama mtoto asant makonda nakupenda sana

  • @hijasalehe3098
    @hijasalehe3098 10 หลายเดือนก่อน +12

    Mwalimu alisema, UBEPARI NI UNYAMA! Hiyo yote ni tamaa ya mali, ubinafsi na roho mbaya. Mwenyezi Mungu akulinde Crd.

  • @Stelammole
    @Stelammole 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimelia Hadi. Nimenena Kwa lugha makonda Ubarikiwe sanaa babaangu 🙏

    • @MholaSubugo
      @MholaSubugo 6 หลายเดือนก่อน

      Tuko wengi haki nimelia sana

  • @nuraakram1025
    @nuraakram1025 6 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda mungu akubariki from kenya

  • @arya-star53
    @arya-star53 6 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda Mungu akutunze daima, daaah Hawa viongozi makatili Mungu awarehemu kwakweli huu ni uuwaji, ukiona Mwanaume analia ujue inaumiza mno😭😭😭

  • @MaryBeauty-ck8ne
    @MaryBeauty-ck8ne 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yani naona makonda kama magufur kabsa hana utofaut na baba yetu magufur mungu akupe maisha maref baba

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 5 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana kaka panga 19 kweli alisimama na wew🎉

  • @HussainMtati
    @HussainMtati 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sna kaka makonda kazi unayofanya ndie uliebaki baada ya magufuli

  • @GloriaUwamurera
    @GloriaUwamurera 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana makonda una hofu ya Mungu.asante kutetea wanyonge.

  • @FredrickKyando
    @FredrickKyando 10 หลายเดือนก่อน

    Dah mungu akulinde mh. Makondo kwa kuibuahaya. Kiukweli inauma sana inatoa machozi sana mtu mzima huyo analia kma mtoto kweli.
    Mtu kama huyo anauchungu na taifa lake tunampa awe mkuu wa wilaya hiyo hiyo aitumikie wilaya yake. Mungu akubariki sna akuongoze vema.

  • @ELIASMUSSAMUGETA
    @ELIASMUSSAMUGETA 10 หลายเดือนก่อน +4

    Inaumiza sana ila raisi inapaswa awe mwepesi kupokea tarifa za mabango kwenye mikutano yake kwani asiamini kuwa watu wake was chini wanamunga mkono

  • @JOYCEMDUDA
    @JOYCEMDUDA 6 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda mungu akupe maisha malefu uilinde Tanzania yetu

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 10 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda mungu akulinde sana mpk machozi yamenitoka

  • @AliJuma-ub6gw
    @AliJuma-ub6gw 6 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda Makonda Makonda. Akika Mungu akulinde nakukutiya nguvu na afya njema kwani sina cha zaidi kaka yangu

  • @jumannewazir6716
    @jumannewazir6716 10 หลายเดือนก่อน +15

    Mungu wangu ulie juu mtazame mheshimiwa makonda Kwa jicho la upendo muondolee husida muondolee Kila tatizo baya mbele yake mpe maisha marefu msimamie katika familia yake na watanzania sisi wote Kwa ujumla mungu makonda usmsahau katika kiti chako Cha milele mungu wangu mlinde makonda Kwa Kila jambo. Makonda wewe ni mwanadamu ulie na huruma sana ndani Yako hakika mungu yupo nawe mungu mtie nguvu mama yetu Samia suluhu khasani hakika ameteuwa mtu sahihi katika nchi hii ya Tanzania mama saimia unakitu chako kizuri Kwa mungu Allahumma taqabali duaa 🤲 amin

  • @SamwelLameck-rv3fd
    @SamwelLameck-rv3fd 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akulindee

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 7 หลายเดือนก่อน +1

    Inasikitisha sana.amen. mungu awe kinga yako,usiogope mungu ni kinga yako.haki huinua Taifa ball dhambi ni aibu ya watu wote.Amen

  • @SophiaRichard-nq5gq
    @SophiaRichard-nq5gq 5 หลายเดือนก่อน

    Nimelia sana,hakika una moyo Wa agape makonda MUNGU akupe maisha marefu na akuzidishie ulipotoa,akupe afya njema

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu mlinde makonda mtetezi Arusha 🤲maasi Mungu yatapungua

  • @LukasMasani
    @LukasMasani 22 วันที่ผ่านมา

    Ee mwenyezi mungu muangarie makonda jaman umurinde umpe maisha marefu mtetez wa wanyonge baba huyu haya uturetee mwngne tena😢

  • @zubedamrutu3156
    @zubedamrutu3156 6 หลายเดือนก่อน

    Mm nasema mungu akulinde sana maana nchi hii ukiwa mkweli tu basi Yuko wapi amina chifupa yupo wapi magufuri mungu akulinde sana

  • @GladysMeena
    @GladysMeena 5 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Makonda Mungu akubariki kwa kuwa na moyo wa kipekee wa kutusaidia wananchi!! Mimi NINAOMBA Mmoja hizi shule za watu binafs naombai zifatiliwe kwa ukaribu zinamanyanyaso mengi sanaa

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Nimeumia sana jamani…Pole sana kaka Mungu akupe nguvu ya kuyashinda haya…🙏🏻

  • @OnesmoMsafwa
    @OnesmoMsafwa 27 วันที่ผ่านมา

    Daaah nimelia sana aisee inasikitisha so sil inaumiza kiuhalisia ukiona mtanzania mwenzako anateseka inauma😢😢

  • @ROSELINENYAMBEKINYAKERURI
    @ROSELINENYAMBEKINYAKERURI 5 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu tunakuomba umpe makonda maisha marefu na wakuu wengine wakoe waweze kufanyia haki 🤲🤲

  • @alvinmbugua9830
    @alvinmbugua9830 6 หลายเดือนก่อน

    Am always on my tears..God bless makonda...Tanzania is worst than kenya...watching from Nairobi

  • @HawaAntoni
    @HawaAntoni หลายเดือนก่อน

    Asante Kaka makonda mumngu akubarki sana

  • @angelinnamkingi2219
    @angelinnamkingi2219 13 วันที่ผ่านมา

    Inaliza kwakweli, Ubarikiwe sana mkuu wa mkoa.

  • @joyceatupele8848
    @joyceatupele8848 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akutunze umepokea mwujiza wa bwana maana hapo tu ni neema

  • @DorcasGeorge-e4h
    @DorcasGeorge-e4h 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akufiche kaka makoda

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 10 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda 🙏🙏🙏 mhm Makonda ,Makonda Mama samia asante mama kwa ajili ya huyu mneki🙏🙏

  • @AhajHhh
    @AhajHhh 7 วันที่ผ่านมา

    M mwenyewe nimelia mpk bc yn Mungu sijui akupe nn m nakuombea uwe Raisi wetu mm mwenyewe natamani nikutane na.ww jmn ata usipo nisaidia pesa hata mawazo yako❤

  • @graceannah8452
    @graceannah8452 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuzidishie makonda kaka

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 7 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda tangu enzi za baba Magu nilikua nakuombea sanaaaa sijawahi acha kaka nakupenda hadi nakipenda tenaaa

  • @NeemaGauso
    @NeemaGauso 7 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢 nchi yangu tanzania nakupenda lakini baadhi ya viongozi wetu wamekua mkuki daaah mama samia jionee wanao tunavyoteseka mama wew ni mama tutaenda wapii 😢😢😢 mamaa daaah

  • @dusasaidi454
    @dusasaidi454 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda wewe bnakuombea kwa munga akulinde,akupe maisha malefu ili aendelee kutetea haki za wanyonge hapo Tanzania na bala letu mheshimiwa.
    Ktoka Kigali 🙏🙏

  • @JamesDilla-e8c
    @JamesDilla-e8c 10 หลายเดือนก่อน +2

    Imeniuma sana inamaana haya yanafanyika ndani ya Taifa langu hilihili? Daaaaahhh😭😭😭

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 5 หลายเดือนก่อน

    Napenda kuangalia interview zako bro...na maneno yako ya busara na kusaidia wanyonge...lakin hua naumia xna...najikuta nkilia Tu mm hua😢😢

  • @ElizabethLucas-r8i
    @ElizabethLucas-r8i หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu sana

  • @RoseKaiza-g2j
    @RoseKaiza-g2j 10 หลายเดือนก่อน +3

    Haki nimelia sana hawa viongozi wachache ambao hawajitambui ndio wanaoichafua serikali yetu wafukuzeni kazin haraka

  • @VailetiLubakiji-vz9rn
    @VailetiLubakiji-vz9rn 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu akujaarie Makonda jicho lake lickuache naichukia ccm ila ww Mungu akulinde baba Kaegani

  • @AshaMsese-y5f
    @AshaMsese-y5f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kikweli mungu anatenda mungu akusimamie makonda wananchi wananyanyasika..km kiongoz na unakuswa km hivi na hisia zinashinda unamwaga choz hakika ww ni matumain na taa ya wanyongee

  • @fatumamsellem7622
    @fatumamsellem7622 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen
    Ina sikitisha Sana
    Allah Wakil
    Kuna watu wanashida mpka ukisikia washa shida zako walia kwa shida za kwenzako

  • @RachelChengula
    @RachelChengula 6 หลายเดือนก่อน +1

    Makondaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Mungu azidi kukuona

  • @CesiliaIsdory
    @CesiliaIsdory 7 หลายเดือนก่อน +1

    Polee sana kaka hii ndio Tanzania yetu😢😢😢😢😢

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akujalie bada ya samia uwe ww makonda kiukweli unajali binadamu

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 5 หลายเดือนก่อน

    Dah!! Inauma sana😭😭😭 hv mtu anakuwaje kiongozi Kwa kuongoza namna hii!!!??? Damu ya watu iliyomwagika itawalilia😭😭😭

  • @PatrickZinenanie
    @PatrickZinenanie 15 วันที่ผ่านมา

    God be with u and protect u abundantly makonda

  • @EmsonSambo
    @EmsonSambo 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka Makonda iyo Roho umetia wapi kaka angu. Wewe 😢😢😢😢😭😭😭😭 nimelia aswa. Yani wangekuwa wanaume wengine. Saizi wangekuwa wamekaa baa iyo hela wanakunywa ila wewe Makonda una Mungu ndani yako utapokea na kusanza.

  • @AibaSaidy-jz3xs
    @AibaSaidy-jz3xs 10 หลายเดือนก่อน +3

    Duh! Nakosa neno la kusema..Hawo ndo viongozi wateule.

  • @EmsonSambo
    @EmsonSambo 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu anamakusudi na Makonda. Tumia kusudi la Mungu lilopo ndani yako. Tumezoea vilio vya wanawake Leo mwanaume mwenzio analia mbele yako. 😢 Nchi yenye Aman

  • @alfredbalazire
    @alfredbalazire 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu aku Bariki Mheshimiwa Makonda. Wewe ni Magufuli wa sasa.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 10 หลายเดือนก่อน +2

    Maziiiito, machungu sana familia ya baba huyu inaelewa nini. RAIS WETU MWAMINIFU SANA NA KUMTEUA MTU HUYU MH MAKONDA NA MACHOZI YAKE YATAJIBIWA TU, SI BURE.

  • @dastansimpanzye4019
    @dastansimpanzye4019 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kwa yote yaliyo kupata,Mungu akuponye

  • @HelenaNkwera
    @HelenaNkwera 10 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢😢😢dah hongera Kwa upendo makondaa

  • @upendomwampulule1724
    @upendomwampulule1724 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nasikia kulia tena kwa nguvu hivi Oooh nchi yangu Tanzania

  • @magrethibrahim9636
    @magrethibrahim9636 4 หลายเดือนก่อน

    Jaman kiongozi akiwa na hofu ya Mungu anapata uchungu mkubwa na huruma jaman Mungu akupiganie kila iitwapo leo🙏🙏

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 7 หลายเดือนก่อน +1

    Haijalishi unaonekanaje ninamuona Rais ajaye, ninamuoma Baba yangu Magufuli ndani yako. Ee Mwenyezi Mungu tutendee watanzania kupitia mtu huyu na umlinde !! Amen !!

  • @Gaudensiamuganga
    @Gaudensiamuganga 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze Makonda Wewe umeitwa Na Mungu kwa ajili ya Taifa na anakusudi na wewe

  • @Shishinaya1554
    @Shishinaya1554 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu ndie kiongozi sasa.🇰🇪🇰🇪

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. Makonda uwe na moyo wako wa utu huo huo na ufikie che cha kwanza katika nchi yetu ya Tanzania unesha mapendo yako kwa wananchi wakupende ili uwe daraja la juu fuata nyoyo hio hio hongera ndugu Makonda

  • @philipomapundaa6801
    @philipomapundaa6801 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu akulinde akuongeze maisha malefu mwenye namba za mweshimiwa naomba najua amekua mku wa mkoa naitaji nimwone

  • @Tamali-s3f
    @Tamali-s3f 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akutunzeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 6 หลายเดือนก่อน

    Nimelia mungu akupe ulinzi wa kutosha akupiganie katika utetezi wa wanyonge Allah muweza wa yote 🤲 akurinde akupe malaika wema kila pande kwa ulinzi🙏

  • @SmilingBakedBread-no2do
    @SmilingBakedBread-no2do 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze kipenzi cha wananchi

  • @salmawage7259
    @salmawage7259 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuhifadhi naendele kukutunza

  • @judithkahise6451
    @judithkahise6451 5 หลายเดือนก่อน

    Panga 19 siyo mchezo hakka njia zake hazchunguziki🙌

  • @philipoburton3450
    @philipoburton3450 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu makonda.....Mungu akupiganie baba😭😭😭😭😭

  • @AishaSabo-r6t
    @AishaSabo-r6t 21 วันที่ผ่านมา

    Ya Allah mpe MRI mrefu kaka angu makonda

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 7 หลายเดือนก่อน +3

    MAKONDA YESU AKULINDE

  • @HassaniMkwera
    @HassaniMkwera 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezmungu akucmamie kwakila ulitendalo kiongoz