Muhimu tumuombe Allah atuweke tuwe kitu kimoja kama mtume walivyokuwa wamoja wakati huo anaekusudia ubishi itafika siku ya kweli mwenye hoja ataongea vzr
@@yassirsuleiman7804wajua arabuni nchi nyingi zafunga na mwandamo mmoja lakini bado hawaelewani muhimu ni hata kama tutatafautiana lkn tuhishimiane maana hata maaimmatul arba' walitafautiana na wakahishimiana
Allah akupe ufahamu, Hivi kabla ya hijja hii funga ilikuwa inafungamana na mahujaji wa wapi. Na je hii miaka ya covid ambapo watu hawakuhiji mlivyofunga mliambatana na nani
Assalamu aleikum. Kwa mtizamo wangu Kichwa Cha muktadha haiambatani na maelezo aliyoyatoa sheikh Kwa ufasaha. Shukran jaziilan Sheikhunaa Allah akubaarik
Tafadhali Shekhe kubali Kuna tofauti ya mawazo. Kubali kuwaelewa wenye mtazamo tofauti. Tofautisha Kisimamo Cha ARAFA (Kwa wanohiji) na Fungal ya ARAFA Kwa wote walio nje ya viwanda vya ARAFA: kuanzia walio Makkah Hadi nchi za mbali ikiwemo Tanzania Kisha rejea Hadithi ya Mtume Muhammad SAW . HADITHI inawahusu wote wasiokuwa viwanda vya ARAFA Kwa wakati huo na tarehe hiyo maalum. Tafakari pia fadhila zinazokuwepo Kwa Muda huu maalum; Allah SWT kushuk kwenye Arshi mchana badala ya usiku. Kitendo hiki ni mara Moja tu Kwa mwaka. Sasa tarehe 9 Yako ikiwa mbele au nyuma ya tarehe 9 ya Saudia wewe fadhila hii utaipataje wakati sharti ni uwe umefunga?? Ukifunga kesho yake tayari umeikosa!! TAFAKARI HILO!!!
Wewe unaona unapotoshwa ni sawa sasa je na uwewe unauhakika gani kwa hilo uliaminilo? Almuhimu kila mtu afanye lile alionalo yeye liko sawa kwani ajuaye zaidi nani yuko sawa na nani hayuko sawa ni mwenyewe Allah (S.W)
hatushindani pia sisi tuwasomi sio ww na sheikh lako njoo markaz taweed waa denyenye uone watu wasomavyo na misingi safi ilio sahii sio mupeleke watu muonavyo .
Naona.wengi munamsema anapotosha lakin sielew amepotosha wapi. Suala hapa ishu ya Aarafa na swaum aarafa ni Mada ya ya kimuandamo wa mwez kama ilivyo ramadhan. Lakin sheria aarafa ni mwez9 muandamo ktk dhul hijjah. So kila mmoja aendelee na ule mtazamo wake juu ya muandamo wa mwez ndio aende nao had siku ya tr9 dhul hija ndio afunge. Ila sheih akatoa nasaha kuwa ni bora ikukute funga ya aarafa mwez 8 kuliko ikupate mwez 10(siku ya Eid) Kwan utakuw mwenye hasara zaid. Kwakuw mwenye kufunga siku ya Eid haramallahu(Allah ameharamisha)
Mashekh wengi wamejisahau kalenda ya kiislam wakiongea tunwanataja kalenda isio kua yetu. Usawa taja zote ili waislam wanajisahau wakumbuke kalenda ya kiislam.
@@mahamoudduchi3318 kama wafahamu kiarabu basi msikize Shaykh Fawzan aliyetajwa na huyu ustaadh kisha utaelewa th-cam.com/video/_Sp1HLX0QC8/w-d-xo.html
Mtume alisema kwamba arafah ni tarehe tisa si siku ya kisimamo alafu kitu kingine ni kwamba makkah wenyewe hawataki kufutwa lakini nyinyi mawahabi muna lazima Hemu fanyeni mambo kisheria musifanye mambo kimazoea.
MUANDISHI HUJAIELEWA MADA, UNATAKIWA UJUE UJUMBE UNAMAUDHUI GANI NDIO UTOE KICHWA CHA HABARI, INAONESHA DHAHIRI ULIKUWA UNAFELI KWENYE SOMO LA LUGHA, KIPENGELE CHA KUSOMA HABARI KISHA UTOE KICHWA CHA HABARI HIYO, KASOMEE TENA HUJASTAHIKI KUWA NA FANI HII YA UANDISHI.
Arafa mwezi Tisa akuna Sheria isemayo fateni maka-kwanza Dunia huahaifanani machweo utasikia mtu akisema fateni Maka akuna kama hiyo ambayo katamka mtume-
@Salim Abdullah wewe na mim utajua ukweli na usahhi kipindi cha umaut na siku ya kiama lazima niwe mjali napoona haki inapindishwa waziwazi mm sio mjinga mpaka nareact kiasi kwamba kuona upotoshaji unaendelea mm sio mjinga kama unavyofikiria wew na elimu yako ambayo na huyo shee naona kabisa hazina manufaa
@Salim Abdullah kesho utakuwa umefunga funga funga gni maana hata ukipiga sim maka watakuambia cku ya ARAFA ilikua Jana,na iyo hadithi ya uharamu wa cku kuu itakua haitumiki tena neno SIKU YA ARAFA mtume kasema sasa kesho itaitwa funga gani nijibu.
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته Hapa ustadhi asema Shaykh Fawzan peke yake ndiye apingaye saumu ya Arafa ikiangukia siku ya ijumaa lakini ukweli ni kwamba fatwa yake ustadhi ameichukua kutoka kwa Shaykh Fawzan kisha akasahau kwa sababu hii link Hapa chini Shaykh Fawzan asema haina neno kufunga Arafa ipoangukia Ijumaa kwa sabau niyyah sio kuipwekesha Ijumaa kwa saumu bali niyyah ni kufunga Arafa... th-cam.com/video/_Sp1HLX0QC8/w-d-xo.html
Jiepusheni na elimu za vituoni na mitandaoni kisha mkajiona mpo sawa elmu piga goti kwa masheikh na sio kupewa tu kama nishani haya rudi africa wewe ni Sheikh tayari poleni sana ndo kiwatesacho.
Arafah is known as the day Allah perfected the religion of Islam. It is also momentous because it was the day an important verse of the Qur'an, Surah al Maa'idah 5:3, was revealed you fast 7th 8th 9th July past present future sins.😀
Unajua mashekhe wakila haramu sisi tusio kua na elimu ndio tunakufuru kabisa kwa mashekhe kama hawa lazima umma upotee nandio maana ukiswal katika misikiti ya watu wa maulid saaf pia hawajui kunyoosha kila mmoja aswali atakavyo tu hilo lipo kila siku kwanza swala kwao hawaipi heshimu wanasukuma tu
الحَمْدُ ِلله ikiwa mm wahabi sijui mwezangu kama hili la kuwapa majina waislamu wenzako kikejeli umejifunza kwa mtume au ghadhabu lakini ikiwa ww muislamu kamili fikiria kabla ya kuongea inawisho hii
Hakuna hata siku moja mahujaji walisimama arafa mwezi 8 au 10. Pia kuna aina 3 za arafa kama ulivyosema. 1. Arafa siku: ambayo hii ilikuwepo tangu zama za nabii Adam (A.S) na alikua akifunga 9 na 10 skukuu. 2. Arafa mahali: ambapo Mahali hapa hapapati yeyote zaidi ya anaekwenda hijja pia haikamiliki hijja mpk aipate arafa na ndio maana Mtume (S.A.W) amesema 'Hijja ni Arafa' akimaanisha haitokamilika hijja ya mtu mpk asimame arafa ambayo inafanya katika kiwanja maalum na sio sehemu yoyote. 3. Arafa funga hii ni funga inayofungwa mwezi 9 Dhulhija na mwezi 10 wake ndio skukuu. Inaambatana na mwezi kama mwezi wa Ramadhan. Kutokana na hivyo waliokuwepo Makka mwezi 9 ukikuwa jana na leo wao ni skukuu. Lakini kwetu Zanzibar hata Tanzania kwa ujumla mwezi 9 ni leo na skukuu yetu ni kesho. Lakini pia mashekhe wamesema ukiwa unawasiwasi funga watu wakisimama arafa Makka na mwezi 9 wa sehemu uliyokuwepo. Jazaka llahu lhairi
@@mohammedmussa1616 .. kwanza... Wapi dalili Nabi Adam alihii Salam, alifunga siku ya 9 na siku ya kumi akala Eid. 2. Mtume Muhammad, alipo ulizwa kAtika hadkdh ya Abu Qatada Ansari.. kuhusu Saum yawmul Arafah.. alimaanisha hAmam Arafah ya kisimamo ama mahali ama siku.. 3. Mtume Muhammad alipopewa maziwa na Um ul Maimuna, ili ijulikane km amefunga ama laa, ilikua ni siku ya kisimamo cha Arafah ama kwa kwa kumfwata kalenda ya Zanzibar......?????

Shekhe wacha maneno mengi hatujaona dalili na wewe kaziyako nikutoa maneno bila dalili haya yote ulioyasema umeanukuu kitabu gani kama si kutuchekesha tu utakua muigizaji wa dini
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana siku Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama SIKU ya ARAFAH." Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: "SIKU ya ARAFAH, huteremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni." Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya SIKU ya ARAFAH Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata." [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika SIKU ya ARAFAH.” [At-Tirmidhiy] Hadithi zote zinasema tufunge SIKU ya ARAFAH, sio mwezi tisa. Arafah inapatikana Saudia tu.
@@jiongezeemaarifa1496 .. Masha Allah swali lako ni zuri Sana na ndio baadhi ya hoja wanayorumia baadhi ya wapotoshaji, ili kuwachanganya Waisilamu baadhi yao wasiohielewa.. kwa ufupi, inafaa ushukuru Allah kwa kuipara Arafah kwa wakati wake.
Chunguza Kwemye Comments Nyingi, Watu Ambao wanapenda Ku Comment Matusi, na Kuvulia Ma Sheikh Heshima, Niwa Tanzania(Wabongo) ALLAH Awaongoze Hawa ndugu zetu. Watafautishe Kati ya Uswahili na Uislamu.
Hii hadith haina mausoano baina ya funga ya Arafah na kisimamo cha Mahujaji katika uwanja wa ARAFAH....????? Juzuu ya 7, Kitabu cha 69, Nambari 509: Imepokewa na Um Al-Fadl: Watu walitilia shaka iwapo Mtume wa Mwenyezi Mungu alikuwa amefunga au ni Siku ya Arafa au la. Basi nikampelekea kikombe chenye maziwa na akanywa.
Wewe sufi acha uongo...umemsingizia shekhe FAUZANI kwamba amekataa kufunga ARAFA siku ya ijumaa...huo ni uongo tena utubie kwa kumzulia SHEIKH uongo...bali amesema haizuiwi kufnga kwani wewe hukusudiii ijumaaa bali unakusudia arafa...HE!!!SUFI WEEEE...
Wapi anapotosha sheikh .. Wakat unaporudi ktk vitabu vinasema siku ya arafa ni siku ya mwezi tisa yamfunguo tatu . ........ ........ ...... Halafu amesema pia kuwa : Hao masheikh wa saudia km vile Fauzaan Utaimeen pmj na na lbnu baaz hawajasema ufuate arafa ya makka km kwako itakua sio siku ya arafa . .......... ...... Kama kupotosha basi waliopotosha ni hawa masheikh wa kisaudia na sio sheikh lzzuddiin yeye amenukuu tu . ........... ..... Halafu mtume ﷺ hakusema . Funga ya siku ya kisimamo cha Arafa . Bali amesema " Funga ya siku ya Arafa" . Na siku ya arafa ni mwezi tisa mfunguo tatu . Kama walivosema maulamaa .
Mbona suala arafa kuangukia siku ya ijumaa lipo wazi kwa waislam.lmekatazwa kufunga suna siku ijumaa peke yake na jumamosi peke yake .Kama Kuna sababu ya kufunga masiku hayo Anza alhamisi unaunganisha .Mbona kwenye sita za shawal hakuna mjadala. Shehe. Muogope Allah usiwapotoshe waumini kwa kushindana kielimu na mahasimu wako
@@mafiatv5479 Hutakiwi kutumia lugha kali km hii ndugu yetu wakat wa kumjibu ndugu yako . Jitahidi kutafuta lugha nyepesi isio na matusi wala uvunjaji wa heshima . Allah ametwambia " Tulinganie ktk njia yake kwa hekima na mawaidha mazuri " ALLAH ATUSAMEHE MAKSA YETU NA ATUONGOZE
Lugha ipi unayotaka itumike ? Mtume ﷺ amesema " Funga ya siku ya arafa . Na wala hakusema : Funga ya kisimamo cha arafa . Na kwa mujibu wa qauli za maulamaa siku ya arafa ni mwezi 9 mfunguo tatu .
Ssa unamzushia kwa maslahi yake ipi?yaumu arafa ni siku ya arafa sawasawa na yaumul idd siku ya iddi lkn utapataje siku ya iddi ni kwa kuangalia mwezi.
Kufunga siku ya kumi imekatazwa kwa hadithi gn,ninayoijua mm ni siku ya cku kuu hufungi.na sisi hapa afrika mashariki na huko makka masaa na majira tunaendana.
@@salimjumaa8180 iv Kama sehem kila jumaa pili kuna kuwa na SOKO la bidhaa mtu akikuambia unatakiwa UFUNGE Swaumu siku ya soko ITAINGIA AKILINI Ukifunga Swaumu siku ya pili yake maana TUMEAMBIWA tufunge siku YA ARAFA Sasa yawaje mtu afunge baada watu kumaliza tukio la ARAFA
Unatoa maneno ya kumpinga shekh ukiwa una hoja yote ni ujahil ,shekh amejanga hoja kwako wewe tokea uuone mwezi ni mwezi kumi na sikuhiyo watu wamesimama Arafa kule makka utafunga? Napia watu wamesimama Arafa au wapi katika viwanja vya Arafa nchini kwako ni usiku he utafunga Arafa?.
Mashaa allah point muhimu sana ya kuwagonga nayo wanaolazimisha arafa iwe moja tu
Muhimu tumuombe Allah atuweke tuwe kitu kimoja kama mtume walivyokuwa wamoja wakati huo anaekusudia ubishi itafika siku ya kweli mwenye hoja ataongea vzr
@@yassirsuleiman7804wajua arabuni nchi nyingi zafunga na mwandamo mmoja lakini bado hawaelewani muhimu ni hata kama tutatafautiana lkn tuhishimiane maana hata maaimmatul arba' walitafautiana na wakahishimiana
Kabige dufu
Mulitupoteza kitambo sai tushajua ukweli Alhamdulillah arafah inamafungamano na kisimamo cha mahujaji
Hujielewi ww
Jisemee peke Yako usialike watu waliokua hawapo sema, mulinipoteza na si mulinipoteza.
Allah akupe ufahamu,
Hivi kabla ya hijja hii funga ilikuwa inafungamana na mahujaji wa wapi.
Na je hii miaka ya covid ambapo watu hawakuhiji mlivyofunga mliambatana na nani
Assalamu aleikum. Kwa mtizamo wangu Kichwa Cha muktadha haiambatani na maelezo aliyoyatoa sheikh Kwa ufasaha. Shukran jaziilan Sheikhunaa Allah akubaarik
Hadithi inasema tufunge mwezi tisa, lkn mahujaji hawafungi kw hiyo inatuhusu tusiohijji kw miandamo ya kwetu
@@jamalsalum8726 sawasawa hivo ndivo ilivo nakubaliana na ww
Na huyu mwanagu Juma salum kazidi kwenda kombo
Hakuna hadithi hiyo inayosema tufunge mwzi tisa..hadithi imesema funga ya arfa
@@jamalsalum8726 jazaka llahu lhairi
Tafadhali Shekhe kubali Kuna tofauti ya mawazo. Kubali kuwaelewa wenye mtazamo tofauti. Tofautisha Kisimamo Cha ARAFA (Kwa wanohiji) na Fungal ya ARAFA Kwa wote walio nje ya viwanda vya ARAFA: kuanzia walio Makkah Hadi nchi za mbali ikiwemo Tanzania Kisha rejea Hadithi ya Mtume Muhammad SAW . HADITHI inawahusu wote wasiokuwa viwanda vya ARAFA Kwa wakati huo na tarehe hiyo maalum. Tafakari pia fadhila zinazokuwepo Kwa Muda huu maalum; Allah SWT kushuk kwenye Arshi mchana badala ya usiku. Kitendo hiki ni mara Moja tu Kwa mwaka. Sasa tarehe 9 Yako ikiwa mbele au nyuma ya tarehe 9 ya Saudia wewe fadhila hii utaipataje wakati sharti ni uwe umefunga?? Ukifunga kesho yake tayari umeikosa!! TAFAKARI HILO!!!
Allah atuhifadhi Kwa hufahamu
Mashaallah ao hawataki kufahamu hebu wafahamishe wafahamu Kwa sababu funga ya arafa ipo mwanzo kuliko kisimamao Cha arafa
Mambo haya yana ikhtilafu ndg, kwani maoni yako yapi?
Sheikh wetu shukran kwa waadh
Kaa kitako usome vizuri sheikh usipotoshe jamii ya kiislam
Unapotaka kumkosoa mtu njoo na hoja sio umwambie akasome wakati wewe mwenyewe hujui chochote
Tumuogopen Allaah mashekh munapotosha Allaah atakwenda kuaulza na muandae majibu mbele ya Allah
Wewe unaona unapotoshwa ni sawa sasa je na uwewe unauhakika gani kwa hilo uliaminilo? Almuhimu kila mtu afanye lile alionalo yeye liko sawa kwani ajuaye zaidi nani yuko sawa na nani hayuko sawa ni mwenyewe Allah (S.W)
Mwenyezi mungu atunusuru yarab
Jazakallah khair shekh
ALLAH 🙏 akujarieeeee
pole kwa ufahamu wako bado usipoteze watu .
Unauhakika anapoteza watu. Wacha ubishani soma ndipo utoe ushahidi. Pia wacha kudharau masheikh
hatushindani pia sisi tuwasomi sio ww na sheikh lako njoo markaz taweed waa denyenye uone watu wasomavyo na misingi safi ilio sahii sio mupeleke watu muonavyo .
Shukrn
Sheikh unawapotosha waislamu siyo vinzuri
Naona.wengi munamsema anapotosha lakin sielew amepotosha wapi. Suala hapa ishu ya Aarafa na swaum aarafa ni Mada ya ya kimuandamo wa mwez kama ilivyo ramadhan. Lakin sheria aarafa ni mwez9 muandamo ktk dhul hijjah. So kila mmoja aendelee na ule mtazamo wake juu ya muandamo wa mwez ndio aende nao had siku ya tr9 dhul hija ndio afunge. Ila sheih akatoa nasaha kuwa ni bora ikukute funga ya aarafa mwez 8 kuliko ikupate mwez 10(siku ya Eid) Kwan utakuw mwenye hasara zaid. Kwakuw mwenye kufunga siku ya Eid haramallahu(Allah ameharamisha)
Shukran
Aslm alkm ww...... Masha Allah. Jazakallah kheir 🙏
Hapo umepotea sana sheh
Mashekh wengi wamejisahau kalenda ya kiislam wakiongea tunwanataja kalenda isio kua yetu. Usawa taja zote ili waislam wanajisahau wakumbuke kalenda ya kiislam.
Pita kishoto kasome vizuri
Acha kujitoa fahamu ww
Shukraan Sana sheikh wetu
Adi Raha
Jamani hv ni kweri amefariki au nijulishe I.
@@maryamtan682 baba yake ndo kafarik
Allah akufahamishe kisha utubie kwa umma maana hauna dalili ni maneno tu.
Jmn Mambo haya yanatatiza...
Kullukum rai wakullukum.....
Rai yako
Hujielewi Allah akuongoze katika hakki
Wewe unojiolewa tufahamishe basi ili ajielewe huyo asojielewa pia.
@@mahamoudduchi3318 kama wafahamu kiarabu basi msikize Shaykh Fawzan aliyetajwa na huyu ustaadh kisha utaelewa
th-cam.com/video/_Sp1HLX0QC8/w-d-xo.html
Elewa anacho sema ustadh.shkrn
Duh sijawhi skia kitu hiki toka nijitambue
Sheikh unapotosha waislamu siyo mzuri saumu ya arafa ni mzuri bana wewe vipi
Elewa anacho sema ustadh kaka.shkrn
Njaa tu zinakusumbua
Sheikh MCHE ALLAH
Kwa nn wasema hivyo? Una uhakika kua hamchi Allah?
Mtume alisema kwamba arafah ni tarehe tisa si siku ya kisimamo alafu kitu kingine ni kwamba makkah wenyewe hawataki kufutwa lakini nyinyi mawahabi muna lazima
Hemu fanyeni mambo kisheria musifanye mambo kimazoea.
MUANDISHI HUJAIELEWA MADA, UNATAKIWA UJUE UJUMBE UNAMAUDHUI GANI NDIO UTOE KICHWA CHA HABARI, INAONESHA DHAHIRI ULIKUWA UNAFELI KWENYE SOMO LA LUGHA, KIPENGELE CHA KUSOMA HABARI KISHA UTOE KICHWA CHA HABARI HIYO, KASOMEE TENA HUJASTAHIKI KUWA NA FANI HII YA UANDISHI.
Kabisa kabisa
Muogope Allah
Acha usenge
mashaAllah sheikh umefafanua vyema Allah akulipe kheri
Mashaallah
Hoja dhaifu sana
Mm mwenyew cjaelewa saaa watu c wanafuatisha muandamo wa mwez
Masikhara katika dini, kwa mtu alosoma dini ni makosa sana...
Shukran shekh
UTAKAPO SIMAMA KWENYE VIWANJA VYA ARAFA NYINYI MLIO PEPEZONI MMESUNIWA KUFUNGA
ILI MPATE FSDHILA YA ARAFA
Arafa mwezi Tisa akuna Sheria isemayo fateni maka-kwanza Dunia huahaifanani machweo utasikia mtu akisema fateni Maka akuna kama hiyo ambayo katamka mtume-
FUNGENI SIKU YA ARAFA,limetumika neno SIKU,hajasema tufunge ARAFA.
Rudi darasani wew
@Salim Abdullah wote nyinyi ni walewale tu mnakera saana na mnatia hasira
@Salim Abdullah wewe na mim utajua ukweli na usahhi kipindi cha umaut na siku ya kiama lazima niwe mjali napoona haki inapindishwa waziwazi mm sio mjinga mpaka nareact kiasi kwamba kuona upotoshaji unaendelea mm sio mjinga kama unavyofikiria wew na elimu yako ambayo na huyo shee naona kabisa hazina manufaa
@Salim Abdullah kesho utakuwa umefunga funga funga gni maana hata ukipiga sim maka watakuambia cku ya ARAFA ilikua Jana,na iyo hadithi ya uharamu wa cku kuu itakua haitumiki tena neno SIKU YA ARAFA mtume kasema sasa kesho itaitwa funga gani nijibu.
Assalam alaykum, haiwezekani Maka iwe tar 9 arafa is na Tanzania iwe 10. Kinacho angaliwa ni mahujaji wakiwa viwanja viwanja au?
Dalili ya Quran au Sunna au qawli ya mwanachuoni twaiomba
Shekh tunakufahamu vizuri ww ni muigizaji tu wadini na kuchutekesha? Jamani mashekh kama hawa kaeni nao mbali.
Tarehe hazipishani shekha samahani tumepishana na masaa duniani si siku
Sio kweli tumepishana mpk masaa mbona Makka leo mwezi 10 na sisi Tanzania leo mwezi 9
Anapotosha watu huyu, mungu amuongoze
Mi cjasoma lkini uyu xhekhe kashatumwa 😅😅😅😅
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Hapa ustadhi asema Shaykh Fawzan peke yake ndiye apingaye saumu ya Arafa ikiangukia siku ya ijumaa lakini ukweli ni kwamba fatwa yake ustadhi ameichukua kutoka kwa Shaykh Fawzan kisha akasahau kwa sababu hii link Hapa chini Shaykh Fawzan asema haina neno kufunga Arafa ipoangukia Ijumaa kwa sabau niyyah sio kuipwekesha Ijumaa kwa saumu bali niyyah ni kufunga Arafa...
th-cam.com/video/_Sp1HLX0QC8/w-d-xo.html
Jiepusheni na elimu za vituoni na mitandaoni kisha mkajiona mpo sawa elmu piga goti kwa masheikh na sio kupewa tu kama nishani haya rudi africa wewe ni Sheikh tayari poleni sana ndo kiwatesacho.
Swadaqta...
Arafah is known as the day Allah perfected the religion of Islam. It is also momentous because it was the day an important verse of the Qur'an, Surah al Maa'idah 5:3, was revealed you fast 7th 8th 9th July past present future sins.😀
You fast from date 1st to 9th that's according to hadith of the prophet (s.a.w)
@@aftinali4345 we are following the Quran 5:31
A/aleykum warhmatullah uyu Sheikh sio mara yakwanza lugha aijui kisha ajaelewa masomo mbona unawazingua watu jamani mtihani sana.
Mhh
Unajua mashekhe wakila haramu sisi tusio kua na elimu ndio tunakufuru kabisa kwa mashekhe kama hawa lazima umma upotee nandio maana ukiswal katika misikiti ya watu wa maulid saaf pia hawajui kunyoosha kila mmoja aswali atakavyo tu hilo lipo kila siku kwanza swala kwao hawaipi heshimu wanasukuma tu
Zungumza haki za Allah kuna siku ya maswala zaidi kweli ipo wazi fahamisha usifanye maskhara na Allah
Acha uzuka ww
Mtume aliulizwa ni ipi siku ya arafah akajibu kwamba ni tarehe tisa dhul hijjah mbona hakusema ni siku ya kisimamo yafaa muelewe mawahabi.
الحَمْدُ ِلله ikiwa mm wahabi sijui mwezangu kama hili la kuwapa majina waislamu wenzako kikejeli umejifunza kwa mtume au ghadhabu lakini ikiwa ww muislamu kamili fikiria kabla ya kuongea inawisho hii
halaf usifikirie akili yako ndio hadithi za mtume fasiri zipo humo haya kama hakujibu aliulizwa akiwa kenya
Tupeni hadithi isemayo arafa ni siku ya kisimamo tupeni hamuelewi twataka ushahidi utokao kwa mtume hata kama ni hadithi dhwaifu nimewaruhusu tupeni
Kwani ALLAH na Mtume wake waketuacha kwa Giza, Mpka unasema fwata pale unaona ni sawa kwako... Sema ya Haki sio KUBABAISHWA Watu
Kuna Siku mahujaji walksimama Arafah Mwezi 8 ama 10 na Arafah ni Siku, mahali ama Mwezi ?????
Hakuna hata siku moja mahujaji walisimama arafa mwezi 8 au 10. Pia kuna aina 3 za arafa kama ulivyosema. 1. Arafa siku: ambayo hii ilikuwepo tangu zama za nabii Adam (A.S) na alikua akifunga 9 na 10 skukuu. 2. Arafa mahali: ambapo Mahali hapa hapapati yeyote zaidi ya anaekwenda hijja pia haikamiliki hijja mpk aipate arafa na ndio maana Mtume (S.A.W) amesema 'Hijja ni Arafa' akimaanisha haitokamilika hijja ya mtu mpk asimame arafa ambayo inafanya katika kiwanja maalum na sio sehemu yoyote. 3. Arafa funga hii ni funga inayofungwa mwezi 9 Dhulhija na mwezi 10 wake ndio skukuu. Inaambatana na mwezi kama mwezi wa Ramadhan. Kutokana na hivyo waliokuwepo Makka mwezi 9 ukikuwa jana na leo wao ni skukuu. Lakini kwetu Zanzibar hata Tanzania kwa ujumla mwezi 9 ni leo na skukuu yetu ni kesho. Lakini pia mashekhe wamesema ukiwa unawasiwasi funga watu wakisimama arafa Makka na mwezi 9 wa sehemu uliyokuwepo. Jazaka llahu lhairi
@@mohammedmussa1616 .. kwanza... Wapi dalili Nabi Adam alihii Salam, alifunga siku ya 9 na siku ya kumi akala Eid.
2. Mtume Muhammad, alipo ulizwa kAtika hadkdh ya Abu Qatada Ansari.. kuhusu Saum yawmul Arafah.. alimaanisha hAmam Arafah ya kisimamo ama mahali ama siku..
3. Mtume Muhammad alipopewa maziwa na Um ul Maimuna, ili ijulikane km amefunga ama laa, ilikua ni siku ya kisimamo cha Arafah ama kwa kwa kumfwata kalenda ya Zanzibar......?????

Kwani matusi ya nini tenaa huyu ni aalimu kumtukana haifaii khasa ukitokubali faman shaa a falyuminu waman shaa a fal yakfur, sasa utusi unakujaje?
Shida watu wanasumbuliwa na makundi
We mpotoshaji mkubwa saana
Shekhe wacha maneno mengi hatujaona dalili na wewe kaziyako nikutoa maneno bila dalili haya yote ulioyasema umeanukuu kitabu gani kama si kutuchekesha tu utakua muigizaji wa dini
KUMBE HUYU NAE BADO HAJASOMA.
Towa hoja ndipo umwambie hajasoma uislamu hautaki kupelekwa kibubusabubusa kama unazohoja mfahamishe
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana siku Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama SIKU ya ARAFAH."
Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: "SIKU ya ARAFAH, huteremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni."
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya SIKU ya ARAFAH Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata." [Muslim]
Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika SIKU ya ARAFAH.” [At-Tirmidhiy]
Hadithi zote zinasema tufunge SIKU ya ARAFAH, sio mwezi tisa. Arafah inapatikana Saudia tu.
Sawasawa umefahamika na hivo ndivo ilivo
Katika zile nchi ambazo muda huo wa kisimamo cha arafa wao ni Magharibi wafunge lini?
@@jiongezeemaarifa1496
Wafunge SIKU YA ARAFAH
@@jiongezeemaarifa1496 .. Masha Allah swali lako ni zuri Sana na ndio baadhi ya hoja wanayorumia baadhi ya wapotoshaji, ili kuwachanganya Waisilamu baadhi yao wasiohielewa.. kwa ufupi, inafaa ushukuru Allah kwa kuipara Arafah kwa wakati wake.
Shekhe nilikua nakuamini sana, lkn kwa hili la siku ya Arafa umebambanya, haki unaiona lkn unaificha.
Kwani kuna Arafa mbili?
@@eddieeddie2755 kuna arafa kisimamo na funga ya arafa
@@jamalsalum8726 Una akili sana Mashaa Allah 💓
@@jamalsalum8726 Sasa hapo Arafa mbili ziko wapi? Km kufunga ni Arafa sasa watu wanaenda kufanya nini maka? Nisaidie Mwalimu
@@eddieeddie2755 Allah awaongoze wote wanaotukana mashekh
Awatoe kwenye ujahil huo
Acheni matusi huna lazima ya kucoment nyie wa bongo mnamatizo gani
Kaishiwa Sheikh wako lazma watu wamueke sawa
Chunguza Kwemye Comments Nyingi, Watu Ambao wanapenda Ku Comment Matusi, na Kuvulia Ma Sheikh Heshima, Niwa Tanzania(Wabongo) ALLAH Awaongoze Hawa ndugu zetu.
Watafautishe Kati ya Uswahili na Uislamu.
Hii hadith haina mausoano baina ya funga ya Arafah na kisimamo cha Mahujaji katika uwanja wa ARAFAH....?????
Juzuu ya 7, Kitabu cha 69, Nambari 509:
Imepokewa na Um Al-Fadl:
Watu walitilia shaka iwapo Mtume wa Mwenyezi Mungu alikuwa amefunga au ni Siku ya Arafa au la. Basi nikampelekea kikombe chenye maziwa na akanywa.
Arafa nj Ibada ya kuabudu sanamu
Tanzania n'a kenya tunalingana masaa nasaudia
@@mariamgaga5085
Sahihi
@@mariamgaga5085 ndio masaa yako Sawa
Wewe sufi acha uongo...umemsingizia shekhe FAUZANI kwamba amekataa kufunga ARAFA siku ya ijumaa...huo ni uongo tena utubie kwa kumzulia SHEIKH uongo...bali amesema haizuiwi kufnga kwani wewe hukusudiii ijumaaa bali unakusudia arafa...HE!!!SUFI WEEEE...
MashaAllaah ... Umetabahhar kwenye elimu lakini jitahidi kuuchunga ulimi wako unapomkosoa mtu has a kwa lile mulilotofautiana..
Stop misleading the Muslim Ummah
Baki na unachokiamini usipotoshe watu weka arafa yako apo mombasa
Mombasa hawaweki arafa, wanafunga arafa, na waliopo Makka hawafungi arafa
Sheikh katoa maelezo mazuri ila sisi tuliokariri ndio tunaotoa kasoro na si kielimu zaidi
Ww lete dalili yako ya ukweli,,, acha uzuka shoga ww,,, yupo sawa na ndo mana akazungumza
Wapi anapotosha sheikh ..
Wakat unaporudi ktk vitabu vinasema siku ya arafa ni siku ya mwezi tisa yamfunguo tatu .
........ ........ ......
Halafu amesema pia kuwa : Hao masheikh wa saudia km vile Fauzaan Utaimeen pmj na na lbnu baaz hawajasema ufuate arafa ya makka km kwako itakua sio siku ya arafa .
.......... ......
Kama kupotosha basi waliopotosha ni hawa masheikh wa kisaudia na sio sheikh lzzuddiin yeye amenukuu tu .
........... .....
Halafu mtume ﷺ hakusema .
Funga ya siku ya kisimamo cha Arafa .
Bali amesema " Funga ya siku ya Arafa" .
Na siku ya arafa ni mwezi tisa mfunguo tatu .
Kama walivosema maulamaa .
@@mafiatv5479 usitukane sheikh zuia hasira zako
Allahu yaalam
Wwe unaarafayako fanyauko kwenu Kenya usitwambie arafa nimwezi Tisa yakwenu cc hatukubali maoniyako hadithi huzisemi za mtume SAw unatoa makisioyakotu Arafa niwanayosimama mahujaji nasio utakoyaowwe natarehe zako
Leo mm cjamuelewa uyu
Mbona suala arafa kuangukia siku ya ijumaa lipo wazi kwa waislam.lmekatazwa kufunga suna siku ijumaa peke yake na jumamosi peke yake .Kama
Kuna sababu ya kufunga masiku hayo Anza alhamisi unaunganisha .Mbona kwenye sita za shawal hakuna mjadala. Shehe. Muogope Allah usiwapotoshe waumini kwa kushindana kielimu na mahasimu wako
Kwani kuna arafa mbili usituchanganye wekeni arafa yenu kama mashia na nyinyi
Akili huna msenge weww
Swadaqtaaa 👌🏼
Wapotosha watu jamaayngu muugope Allah . Ama cjui umevuta kidogo. Wewe mwenyewe wapotosha
Sheikh mnapotosha Kwa maslahi yenu, mm naomba tufafanulie Nini yaumi arafa Kwa tafsiri nyepesi ya kilugha?
Acha usenge,, mtoe ww makosa, ktk hy alozungumza, acha ujinga na ushoga
@@mafiatv5479
Hutakiwi kutumia lugha kali km hii ndugu yetu wakat wa kumjibu ndugu yako .
Jitahidi kutafuta lugha nyepesi isio na matusi wala uvunjaji wa heshima
.
Allah ametwambia " Tulinganie ktk njia yake kwa hekima na mawaidha mazuri "
ALLAH ATUSAMEHE MAKSA YETU NA ATUONGOZE
Lugha ipi unayotaka itumike ?
Mtume ﷺ amesema " Funga ya siku ya arafa .
Na wala hakusema : Funga ya kisimamo cha arafa .
Na kwa mujibu wa qauli za maulamaa siku ya arafa ni mwezi 9 mfunguo tatu .
Subhanallah ubaya ulioje wa hay maneno
Ssa unamzushia kwa maslahi yake ipi?yaumu arafa ni siku ya arafa sawasawa na yaumul idd siku ya iddi lkn utapataje siku ya iddi ni kwa kuangalia mwezi.
Arafah itakuwa ln jmn???
Kwa ss tulokua uku oman arafa ni kesho jumamos id
Sheikh aache kupotosha wewe faatuwa yako iliyo sawa ni ipii? Ukitaka kujuwa na kumjuwa mtu asie elmu utaona ubishi wake.
Kufunga siku ya kumi imekatazwa kwa hadithi gn,ninayoijua mm ni siku ya cku kuu hufungi.na sisi hapa afrika mashariki na huko makka masaa na majira tunaendana.
Hio cku ya kumi ndio eid ssa, ndio maana haifai kufunga
@@salimjumaa8180 iv Kama sehem kila jumaa pili kuna kuwa na SOKO la bidhaa mtu akikuambia unatakiwa UFUNGE Swaumu siku ya soko ITAINGIA AKILINI Ukifunga Swaumu siku ya pili yake maana TUMEAMBIWA tufunge siku YA ARAFA Sasa yawaje mtu afunge baada watu kumaliza tukio la ARAFA
Haifai kufunga cku ya eid. Kwaio kma leo ni Arafa bc kesho kufunga haifai
Hey kabla ya yote sijaielewa content hapo juu tafadhali, ipo complicated sana
Wee huna elimu mpotoshat mkubwa wewe
Huyu anajikokea kuni mwenyw,na mtapoteza wajinga tuu
Acha kupotosha wewe kasome vitabu
Dini hii cio ya wasuudia ongea point
Acha uzuka
Acha kuongopa ww
Huyu Hana lolote ni mpuuzi tu
Unatoa maneno ya kumpinga shekh ukiwa una hoja yote ni ujahil ,shekh amejanga hoja kwako wewe tokea uuone mwezi ni mwezi kumi na sikuhiyo watu wamesimama Arafa kule makka utafunga? Napia watu wamesimama Arafa au wapi katika viwanja vya Arafa nchini kwako ni usiku he utafunga Arafa?.
Yan hawa mashekh sio poa sasa utadh nilikua namuamini lkn kwahili hapan hoja yake hapa niipi ety unaangalia tarehe ba arafa yake itakua lini
Pumbavu kabisa wewe mpotoshaji mkubwa huna hata haya jahiria mkubwa wewe. Allah atuongoze