amen, ꨄ︎ pretty said i have cried with ts pretty song i have screamed with ts pretty song i have yelled with ts pretty song. i have stomach problems ts eats me. ts cuts me. ts swallows me i am young but still growing😭
Asante sana kwa wimbo mzuri. Watu wa Bujumbura tunabarikiwa kupitia nyimbo zenu. Ongera sana Bwana Paul Msoka. Ubarikiwe sana wewe na jamaa lako na marafiki zako.
Wapanda farasi na farasi uliwateketeza katikati ya bahari uliwatupilia mbali wana wa Israeli ukawakomboa wakakuimbia kwa furaha wakisema umetukuka Bwana hakuna kama wewe " imenibariki na kunipa encourage on each and every thing I'm doing
Nakupongeza saana kwa utunzi mwema, lakini ninaomba wimbo uwekwe kwenye mfumo wa Download maana nikitaka ku download unakosa wimbo Asanteee saana Msoka na Myunani.
Congratulations... a beautiful song with a beautiful message... beautiful video, congratulations to the director and all who participated, may God bless you Chuma kimesimama 🔥🔥
@@msokasgallery8323 kwa upendo wa kristo mm salome wa Mwanza nilipoteza namba yako hongera Sana kwa utume na nyimbo zako zinanifariji Sana na familia yng kwa ujumla Mungu aendelee kukulinda na kukutunza
And just like that you have gained a new subscriber...Your creativity of songs is next level. I am a Seventh Day Adventist but your songs hit different. May God bless you brethren
Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu
Amina 🙏🙏
Amen😊
Atubariki sote
Mashibe uko vizuri kwa kupiga kinanda, Mungu aibariki kazi yako
Nakuita baba maana unastahili, Asante kwa nyimbo zako kwa kweli zinanikuza kiroho, zinaponya na kuleta amani ndani yangu❤❤❤🎉
Amina 🙏 Barikiwa zaidi na zaidi
Hongera, Mungu azidi kuwabariki
Amina 🙏🙏
Kazi nzuri sana mungu awabariki wote
Amina 🙏🙏
Hongera nyingi.... Wimbo mzuri sana na umeandaliwa (umepikwa) vizuri
Amina 🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
Nafurahia mziki mtamu , nota zimepangwa sawia midundo na miondoko vinanipa Raha sana. Mungu awabariki tena,
Kazi nzuri sana hongera sana wapendwa mjaliwe kila hitaji la mioyo ye💖💖
Amina 🙏🙏
Hongera sana BABA MSOKA na wote mliofanikisha hii, mbarikiwe mno.
Asante Markus
Wimbo mzuri sana nimebarikiwa mmependeza sana Mungu awabariki sana
Amina 🙏🙏
hongereni sana kwa kazi nzuri. hongera nyingi sana kwa mwalimu Msoka.
Asante sana Frt. Bonaventure
amen, ꨄ︎ pretty said i have cried with ts pretty song i have screamed with ts pretty song i have yelled with ts pretty song. i have stomach problems ts eats me. ts cuts me. ts swallows me i am young but still growing😭
👏👏👏👏👏👏👏👏....Mungu awabariki nyote wana wa Mungu kwa utume Bora na uliotukuka 🙏🙏💕
Amen Dorothy 🙏
Mungu ndiwe Alfa and omega, Mungu awabariki daima maana hatuna cha kuwalipa duniani ila aliyewapa vipaji hivyo ndiye mpaji wa vyote
Kazi Ya mikono yenu ibarikiwe
Amina
Mungu azidi kukubarik baba msoka
Amina 🙏🙏 Asante Ibrahim
kazi safii
Amina 🙏🙏
Very amazing kwakweli.
Amina 🙏🙏
Excellent....🎉 hongereni sana wote...
Asante Fabian
Nilikuwa nausubiri Kwa hamu kubwa,msoka umetisha
Tumshukuru Mungu wetu na kumrudishia utukufu
Hongera mno kaka Paul Mungu azidi kukuimarisha. Nakukumbuka sana nyakati za sekondari ya shybush
Amina, Na asante sana Catherine 🙏
Asante sana kwa wimbo mzuri. Watu wa Bujumbura tunabarikiwa kupitia nyimbo zenu. Ongera sana Bwana Paul Msoka. Ubarikiwe sana wewe na jamaa lako na marafiki zako.
Kutoka kenya twasema mbarikiwe kwa wimbo uliopangwa ukapangika, ukaimbika na Mungu akutukuzwa..
Amina 🙏
Hongera Sana baba Msoka na wote mlioshiriki, nimebarikiwa sana
Amina 🙏🙏
Hongereni Sanaa Family 🔥🔥😘Nimebarikiwa mnoo, Mungu aendelee kuwatunza katika utume huu.
Asante Justino
Hongereni marafiki wa Msoka mmetuwakilisha hata sisi Mungu awabariki Sana wimbo mzuri
Amina na Asante sana Constantine 🙏🙏
Asante sana Prof Musoka Kwa kazi nzuri hiii. Hakika Hakuna kama Mungu. Kazi nzurii sanaaa.
Asante Paul. Sifa kwa Mungu wetu
Hongera sana kwa mtunzi na wote mlioshiriki kuifanikisha kazi hii🔥
Asante Joseph
Hongereni sana kwa kazi nzuri👏👏👏sifa na utukufu ni kwa Mungu
Amina 🙏🙏
Babangu msoka kazi zako mungu azidi kizinari na kukuongezea zaidi ya happo🎉🎉🎉🎉 unastahili maua yako babangi
❤❤❤🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥
You deserve congs Baba msoka na familya yote kwa Ujumla.
Asante Festo
Nyimbo nzuri kabisa niko apa Lubumbashi DRC na weza ku pata score
Yes, waweza pata. Tuwasiliane Daniel
Baba Msoka jamani Mungu akutunze,wimbo mzuri sana.. Hongerenii wote
Asante Mary. Barikiwa sana
Da wimbo unaingia moyoni pongezi Kwa mtunzi na mkasa
Asante Emmanuel
Such a Beautiful and Blessed Song🎉❤️🔥🔥
Pongezi nyingi kwako brother msoka wimbo mtamu San jamni Daaaa🎙️🔥🔥🔥 Sijuw nisem nin Bwana
Asante Benard
Hakuna Mungu kama wewe,,,kazi nzuri hongera.
Asante Joackim
Hongeraaa sanaaa Baba Msoka Paul kwa utume wako wa kuinjlisha kupitia kuimba hakika hakuna Kama wewe,,mbarikiwee sanaaa💥💥🙌🙌
Asante Dotto. Nawe barikiwa pia
Sauti za wanaume haongereni sana tena sana hakika mmeitendea haki hii kazi
Asante Theresia 🙏🙏 Wapewe maua yao 😊
Hongereni sana kwa kazi nzuri, pongezi za pekee pia kwa baba Msoka kwa kuandaa wimbo mzuri.
Asante Alex
Hongereni sana wimbo una ujumbe mzuri sana mwl msoka upewe maua yako
😊😊 Asante Kigahe
Hongereni sanaaaaaaa, wimbo ni mtamu sanaaaaaaa, Mungu awabariki sanaaaaaaa kwa kuendelea kumtukuza yeye kwa njia hiyo.
Amina 🙏🙏
Hasante san waimbaji kwahuyo wimbo tunabalikia
Amina 🙏🙏
Much respect my brother
Nimebarikiwa sana na wimbo mzuri
Thank you so much
Nimeupenda sana huu wimbo mbarikiwe sanaaa
Amina
Hakika wimbo bora sana huu hakuna mwingine Bwana ubarikiwe msoka
Wapanda farasi na farasi uliwateketeza katikati ya bahari uliwatupilia mbali wana wa Israeli ukawakomboa wakakuimbia kwa furaha wakisema umetukuka Bwana hakuna kama wewe " imenibariki na kunipa encourage on each and every thing I'm doing
Wimbo mzuri Sanaa jamani Mungu akutunzee msoka
Lakin mtusaidi wimbo uende vidment jamani mpaka tunahangaika kuupata wimbo na nota.
Kazi nzuri sana, hongeren jamani
Asante Elizabeth
Msoka hongera sana hii nilikuwa naiongojea kwa hamu sana❤❤🎉🙏🙏🙏🙏mziki mtamu sanaaaaa mungu azidi kukupa maisha marefu sana babangu
Amazing 🥰
Amina 🙏🙏
Nawaona kaka Msoka, Gervas , Dickson na Dada angu Mery 👏👏👏👏🙏💕
🙏🙏
Asante Mdogo wangu Dorothy
So amazing... Be blessed
Amina 🙏🙏
Kongole mwalimu na team kwa kazi njema. Mungu awainue
Amina 🙏
It's really nice God bless good work so touching
Hongereni Sana 🥰 nmebarikiwa Sana kwa kweli🔥🔥
Asante Glory
kweli hakuna mungu kama wewe ila ni wewe tu tunakuomba utuebushe na machanga
Nakupongeza saana kwa utunzi mwema, lakini ninaomba wimbo uwekwe kwenye mfumo wa Download maana nikitaka ku download unakosa wimbo Asanteee saana Msoka na Myunani.
Asante Jonas. Tutafanya hivyo
@@msokasgallery8323 Amina.
Hongera Kwa sauti nzuri
Asante Agnes
Amina hakuna aliye sawa na Mungu. Hongera sana baba Msoka kwa wimbo wenye ujumbe mzuri✨
Asante Jackline
Hongera kwenu, wimbo mzuri!
Umetishaaaaaaaaa
Sifa kwake Mungu wetu
Hogeka san nyimbo nzul
Woow more touching many blessings guys
Amen
Aki this songs hits hard, listening to it makes me think am with Angels😢 pure blessings indeed, barikiweni🙏🙏
Duuh!! Wimbo mtamu sana, hongera kwa kazi nzuri ya kumtukuza Mungu Baba. Pia hongera kwa wote walio fanikisha kazi hii. #Msoka i wish you a long life.
Amina 🙏🙏
Congratulations... a beautiful song with a beautiful message... beautiful video, congratulations to the director and all who participated, may God bless you
Chuma kimesimama 🔥🔥
Thank you Linus
@@msokasgallery8323 kwa upendo wa kristo mm salome wa Mwanza nilipoteza namba yako hongera Sana kwa utume na nyimbo zako zinanifariji Sana na familia yng kwa ujumla Mungu aendelee kukulinda na kukutunza
Hongera Sana baba msoka Kwa wimbo mzuri na wote mlioshiriki mbarikiwa sana
Amina 🙏
Bjr
Hongera kwa kazi
Wow! Nice one
And just like that you have gained a new subscriber...Your creativity of songs is next level. I am a Seventh Day Adventist but your songs hit different. May God bless you brethren
Amen 🙏🙏 And thank you so much Muange
Wimbo mzuri
Hongera zenu mungu awabaliki sana ❤❤❤
Amen 🙏🏽🙏🏽
Simple words composing powerful music sang and danced well and calmly. Thank you. Be blessed abundantly 🙏🙏
Amen
Good song, congratulations to y'all
Thank you Frenk
Hakika hakuna aliye sawa na Mungu 🙏
Mbarikiwe nyote🙏
Amen 🙏🏽🙏🏽
Very nice song. I love it. Words, voices wonderful. Be blessed as you continue preaching the Gospel through your songs.
Amen 🙏🙏
Powerful!!
Very nice song it's the best 😍
Thank you Omonya
Waaaoooo 🥰🥰🥰
Paul Msoka! I salute you and admire you!!Congratulations brother!!!
Thank you Fredy 🙏 Be blessed too brother
Congrats 👏👏 🔥🔥hii moto sana beautiful voices ❤
Thank you Mercy
What a touching song
God bless Msoka and friends
Amen 🙏🏽🙏🏽
Beautiful song ❤️
Thanks Esther
very Nice song, unapenda sana how can i get the lyrics of this song. I would appreciate very much.
Glory to God 💫💫👏
Thank you my birthday twin 🙏 You played a great role to this achievement. May God bless you Eng. Mary
🎉🎉🎉🎉
Nyc1💯
🙏🙏
Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu
Amina 🙏🙏
🔥🔥🔥🔥
Hongera zenu mungu awabaliki sana ❤❤❤
Amen 🙏🏽🙏🏽