Hii kundi nayifuatilia niko Burundi saana hamjawai kutupatisha haya kwanyimbo zenu zinatusaidia saana kwamaombie ongeleni saana bwana wetu YESU CHRISTO awapiganie kwanyakati zenu
Duuuhhh. Hatari sana chana langu la mikael kawe. Jaman mmeytendea. Haki huu wombo jaman mwenze. Furahisha niko zangu morogoro pande. Za. Ngerengere. Nawatakia kila lakheriiii
Kazi nzuuri saaana. Hongereni. Pro studios audio zenu bwana zinabadili kabisa soko la muziki. Audio imetulia saaaaaaana. Hongereni mzidi kua juu zaidi na zaidi.
Tumshukuru Mungu hata kwa yale ambayo hajajibu maana ndio mapenzi yake kwetu..Asante Mungu wangu nakushukuru
Amina
Paul Msoka hujawahi kunifelisha nakukukubali Sana brother Mungu akubariki Sana utnzi wako na utume wako
noma sana
Amen naomba audio ake jmn
Tuwasiliane kwa +255713265930.
Hongera sana Paul Msoka,KMM-Kawe pia Devine Studios 🔥🔥🔥🔥
Asante Lucy
KMM-KAWE mmeua, Mungu awainue kwa kiwango cha juu, msichoke kumuimbia Mungu ❤
Hiki kiwango ni cha kilele na milele twawaombea na tutazidi kuwapa kongole...shukran
Asante
Hii kundi nayifuatilia niko Burundi saana hamjawai kutupatisha haya kwanyimbo zenu zinatusaidia saana kwamaombie ongeleni saana bwana wetu YESU CHRISTO awapiganie kwanyakati zenu
Hongera sana;ni vyema kumhukuru Mungu
Asante
Hongereni tu saana na Mwenyezi Mungu awabariki.🙏🙏🙏
Satisfied❤
Nzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbarikiweeeee sanaaaaaaa kwa kazi nzuriii
Duuuhhh. Hatari sana chana langu la mikael kawe. Jaman mmeytendea. Haki huu wombo jaman mwenze. Furahisha niko zangu morogoro pande. Za. Ngerengere. Nawatakia kila lakheriiii
Hatuna budi kumshukuru Mungu Kwa Kila jambo. Baba Msoka kongole kwako kazi nzuri sana unafanya much appreciation
Wimbo Mzuri sana,💯🤗 Live long Mr Msoka I honestly love your Composition 🙌
Hongereni wimbo mtamu sana
Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Wimbo mzuri sana, mbarikiwe🙏
❤❤❤❤🎉🎉 Wimbo mzuri mno😊
Asante Nakushukuru Bwana
❤❤❤ ongera sanaa,
Naiskiza hii kazi nashindwa kuzuia machoz ya shukrani ❤🙏🤍
Hongera Kwa kazi nzuri Baba Msoka
Kazi nzuuri saaana. Hongereni. Pro studios audio zenu bwana zinabadili kabisa soko la muziki. Audio imetulia saaaaaaana. Hongereni mzidi kua juu zaidi na zaidi.
Nice work. Hongera sana waimbaji hongera pia Ba Msoka. Endelea kubarikiwa kwa kazi nzuri nzuri sanaa💥💥👏👏🙏
Hakika kazi imenoga pande zote video audio wimbo ❤❤
Huu wimbo ni mzr sauti zimetulia vzr
Kazi nzr sana mwl Msoka
Mungu ni mwema sana kazi imenogaa sanaa.
Mwalimu MSOKA na kwaya yote hongereni mko vizuri na siku zote mnatisha... Nilikuwa naomba copy ya nota yake sijui naipataje
Mwalimu msoka.. Nawezaje kupata COPY ya nota kutoka huu wimbo
Ulipata copy kaka?
Yes,,,, pongezi ziwafikie,, Idala zooote kwa kazi hii tukufu 🙏,,,,,,naisikiliza nikiwa huku Malawi
Wahoo Aisee wimbo umenibarik mno ❤pongez kwako Broo msoka
Wawoooo nice song mmechangamka Mungu akawainue kila siku
Nimesubiri usiku mzima hahahah hatimaye
Mungu azidi kukutia nguvu katika utume, barikiwa sana
Mwimbo unanipa nguvu
Amina
Alto mmetish sana🎉🎉
Nyimbo ni tamu,pongezi kwa juhudi❤
Naaaaaam 👏👏👏
Napenda huu wimbo sana ❤
Ubarikiwe
🔥🙏🙏
Safi san❤❤
🎉nice one ...
Nzuri🎉
Hongera msoka
Hatariiiiiiii
🔥🔥🔥Nice
Waooooh nyimbo nzurii sana
Great
Bravo
nyimbo nzuri sana
Nahitaji copy
Tuwasiliane kwa +255713265930
Bravo