Sijui ni seme nini regard from America Huu wimbo umenigusa sana ndio Nimeuona juzi hii ni siku ya tatu kila nikikaa nausikiliza naombeni nijue kanisa lenu Liko Wapi nikija nitakuja kusali nanyi niwaombe muimbe na huu wimbo thank you so much for this beautiful song
Kwa hakika ni moyo uliyopondeka, huu wimbo nlikutana não Facebook kama miaka 2 hivi Kisha ukafutwa, nmekuwa nkiutafuta Mara kwa Mara... Leo nmekutana não..... Kwa kweli naupenda na acha ututie nguvu katika changamoto zote za kimaisha. Representing kenyans here😢😢😢
The song has made me remember my past life which has been difficult but it gives me much consolation whenever I listen to it. Hongereni sana waimbaji na mtunzi wa huo wimbo.
Wimbo huu nimeusikia Leo, na umenigusa sana😢 mpaka nimeurudia mara kadhaa!! Hakika aliyeutunga, pamoja na waimbaji wenye sauti tamu za Unyenyekevu, kwa kweli Mungu Awabariki sana. Asanteni. Nashindwa kumsifu zaidi... Nimeuoenda mno.
@@msokasgallery8323 Thank you so Much regarding from America yani siishi kusikiliza huu wimbo Jaman unaniliza tuu very nice song thank you so much again nikika tanzania nitakuja kwa kanisa lemu niombe mniimbie huu wimbo jaman
Asanteni nyote kwa support yenu iliyoiwezesha Channel hii (Msoka's Gallery) kufikisha subscribers 1000 siku ya leo (7th December 2021). Mungu awabariki sana. Nawaombeni ambao hamjafanya hivyo, mfanye hivyo sasa na muwashirikishe wapendwa wenu wengine ku-subscribe ili nipate nguvu ya kufanya kazi nyingi na nzuri zaidi. Asanteni sana.
May all your intentions and that of my heart come to pass through Christ our Lord. Amen. Jamani huu wimbo ni Sala ya msamaha na ya kuufanya upya uhusiano wetu na kristo
tuliorud this year 2024 tujuane😢
Nimejikuta nalia tu.kwa kweli umegusa maisha yangu.Mungu akubariki sana mtunzi.
Beautiful song 🎉
Wimbo bora wenye maneno ya faraja
Tuvumilie magumu tunayoyapitia Mungu atatuvusha.wimbo mzuri saana
Amina 🙏
Amen 🙏🙏🙏
Wimbo usiochosha masikio, wimbo uliogusa maisha halisi ya wengi. Keep going brother Mungu aendelee kukutumia na kukupandisha viwango hadi viwango.
Amen, And thank you so much mdogo wangu Noela. May you be blessed too
@@msokasgallery8323 God will keep on blessing you Sir
@@dorissoni5974 Amen 🙏
Wimbo uliona mafunzo mengi umenguza roho yngu❤🎉
Hakika!
Kila nikiangalia hi video najikuta natoka machozi mwenyewe, mungu hawabariki kwa hi kazi mzuli.🙏🙏🙏🙏
Asante
Kazi nzuri sanaa💪
Asante
Nice work continue to produce another's
Wimbo mzuri huu..kila wakati niusikiapo machozi yanitoka naomba tu nimlilie Mungu...
Amina! Barikiwa sana
Wimbohuu umeniluz umegusa maisha yang mung awabarik waimbaj wote naamin ipi siku na mm nitaponyw majerah majerah yang amina
Barikiweni
Amina
Kazi safi ndugu yangu Hongera
Asante. Sifa kwake Mungu
Wimbo mzuri ...nimeupenda ... Na umetoa machozi.... MUNGU AMJALIA PAUL APONE ..MUNGU YU PAMOJA NAWE
Amina
Sijui ni seme nini regard from America Huu wimbo umenigusa sana ndio
Nimeuona juzi hii ni siku ya tatu kila nikikaa nausikiliza naombeni nijue kanisa lenu
Liko
Wapi nikija nitakuja kusali nanyi niwaombe muimbe na huu wimbo thank you so much for this beautiful song
Asante Peter, na karibu sana. Tunahudumu kwenye Parokia ya Chuo kikuu (Univerisity of Dar es Salaam), Tanzania
Nice song congratulations. May God strengthen your faith to countiue priseing.
Amen
Wimbo mzuri sana Kuna ujumbe yote kwa yote tuishi kwa kumtegemea mungu tu
Amina
Wimbo unagusa SANA...ni tiba kwa moyo uliopondeka.
Hongera sana mtunzi
Asante, ubarikiwe sana
Ndugu zangu Ni wakati wakumrudia mungu na tumwombe mungu wety msamaha
Amina 🙏
Mungu awabaliki
Hii wimbo ni nzuri sana🙏🙏😭
Thanks
Hongeren mngu awajaliye msonge mere
Amina
Mungu azidi kuwabariki kwa kaz nzuri sana
Amen nice song barikiwa sana mpendwa Amen
Amina. Nawe ubarikiwe pia
Kwa hakika ni moyo uliyopondeka, huu wimbo nlikutana não Facebook kama miaka 2 hivi Kisha ukafutwa, nmekuwa nkiutafuta Mara kwa Mara... Leo nmekutana não..... Kwa kweli naupenda na acha ututie nguvu katika changamoto zote za kimaisha. Representing kenyans here😢😢😢
Amina
mngu awabariki wapenzi wabwana tuzidi kumtumikia daima
Amina
Hongereni sana wimbo wa tafakari sanaaaaa 🙏
Asante
Asante yesu kwa kuwepo kwa ajili yetu❤❤❤❤❤❤❤
Amina
Wimbledon ni mzuri sana tunaomba mtuandikie na hayo Mashairi tuimbe wote
Sawa Theresia, Tutalifanyia kazi ombi lako 🙏 Ubarikiwe sana
Unanitia moyo sana God bless you
Amen
Utukufu na sifa kwa mungu...Nice song
Amen
Eee mungu uniokoe moyo wangu umepondeka
Barikiwa sana
Mmmmh 😢wimbo amenipa faraja Kaka msoka hujawah shindwa...pongez nyingi kwako
Asante 🙏 Na Mungu akubariki
Mungu sifiwe
Amina
Wimbo huu ni zaidi ya faraja, hongereni sana kwa kazi nzuri.
Amina. Barikiwa sana
Huu wimbo umeniguza Hadi nikaguzika hongera kwenu
Amina
Kuimba ni kuomba mara mbili.. Blessed!
Amina
Hongera sana kwa kazi nzuri. Mungu aendelee kukubariki ndugu.
Asante Nicholaus
Uwez kumuimbia mungu ukakosa raha
Hakika. Ubarikiwe sana
Kweli hiyo kwaya inanikumbusha mbari
Ubarikiwe sana
Mungu awabariki sn,wimbo wenu umenigusa sn,albamu yenu nitaipataje!
Amina. Tuwasiliane kwa +255713265930 nikuelekeze utakapoipata
Mungu awabariki.ktk maisha yenu. Thanks God!!!!❤
Amina
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪... wimbo mtamu na wenye hisia sana❤❤... In Nairobi, listening to this sweet 🎧🎶..17/08/2024
🙏
Wimbo wenye faraja kwangu miaka yote since 2019
Now 2023
Barikiwa sana Herieth
Kaka MUNGU akuzishie baraka nimefarijika sana
Asante, nawe pia barikiwa sana
Mungu ni mwema wimbo unafariji
Amina
mubarikiwe sana wapendwa MUNGU azidi kututia nguvu kila iitwapo leo amina
Wimbo nzuri sana,mungu awazidishie,nimebarikiwa sana.
Amina
Uyu wimbo unanifaliji kwakwel nasikiya kuupenda san unanifunza mengi
Wimbo mzuri umenifundisha kuwa mvumilivu nipatwapo na tatizo
Amina
Nimeupenda sn huu wimbo, hongereni sn
Asante
Ee Mungu niokoe kupitia kwa mateso ya mwanao Yesu kristo
Amen
Nimeupenda sana wimbo huu❣️endelea na kazi yako nzuri Mwalimu Paul... Mungu akutie nguvu✨
Amina
Mzidi kubarikiwa kwa ujumbe mzuri sn
Amina 🙏
Amina sana
Karibu
Amen 🙏 🙏
🙏
Tumewamic sana Tanga Mr.&Mrs Msoka
Miss you too
Nimeipenda Sana wimbo huu Asante Sana waimbaji wote Mungu awatunze Amina
Amina 🙏
Mungu yupo pamoja nanyi
Amina
Napenda sana wimbo huu naiweka saa yote aki inanigusa sana hadi nikisikia majozi yanatirika ,
Amina. Barikiwa sana Philister
The song has made me remember my past life which has been difficult but it gives me much consolation whenever I listen to it. Hongereni sana waimbaji na mtunzi wa huo wimbo.
Asante, barikiwa sana
Eee Mungu niokoe nimetoa machozi huu wimbo
Hakika inagusa Mungu simama nasi
Nice song from Msoka
Thank you Ommy
Mungu naomba utege sikio usikie kilio changu,uniokoe
Amina
Huu wimbo umenigusa saana katika maisha yangu
Amina
Very nice song.... mbarikiwe daima wapendwa 💕💕
Amen. Nawe ubarikiwe sana
Amen
Deeeeep,Eeh Mungu usikie kilio changu
Mungu akujalie maisha malef mtunz wa nyimbo nzur hii
Nabarikiwa Sana na wimbo huu,
Amina
Hongeren sana,,,nmefarijika machoz yametaman kunitoka,,,Mbarikiwe,,,,Na Atuponye kwan tunataabka sana,,
Nimeupenda wimbo mzuri
Asante
Amen wimbo mtamu sanå
Amina
My god sijui nalia nini Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu Mr msoke 😭😭😭
Amen 🙏 Ubarikiwe Teddy
Wimbo huu nimeusikia Leo, na umenigusa sana😢 mpaka nimeurudia mara kadhaa!! Hakika aliyeutunga, pamoja na waimbaji wenye sauti tamu za Unyenyekevu, kwa kweli Mungu Awabariki sana. Asanteni. Nashindwa kumsifu zaidi... Nimeuoenda mno.
Mungu awabariki sana kila ninaposikiliza huu wimbo unanifanya niwe karibu na Mungu na sijawai kuuchoka mbarikiwe sana
Wimbo mtamu zaidi
Asante
Mara yangu ya kwanza kuskiza this song and I'm touched, stay blessed
Asante sana Kwa sala hii yenye maneno ya toba
Amen
Wimbo mzuri wa kifariji
Amina
Wimbo nzur sana
Asante
Mbarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina 🙏🙏
Asant mtunz mungu akujalue maisha mema mtunz
Amina 🙏
This song healed me after losting my mum and my sister follows 😢...it was not easy to me...I made this song my prayer 🤲
A very nice song. Shukran. Naomba ukiwa waweza kunisaidia kupata wimbo wa merikebu. Tafathali.
Amina. Tuwasiliane kwa +255713265930
Mungu akupe imani,nkiskia huu wimbo natokwa na machoz
Amina. Tumuombe Mungu azidi kutubariki
i just got this song one day but i listen it more than 100 times a day, so touching may God bless you so much
Amen 👌
@@msokasgallery8323 Thank you so
Much regarding from America yani siishi kusikiliza huu wimbo Jaman unaniliza tuu very nice song thank you so much again nikika tanzania nitakuja kwa kanisa lemu niombe mniimbie huu wimbo jaman
Amina
Amina
Iam really touched by this song.God bless the composer and the singers.
Be blessed too
Hongera wapendwa Mungu awabariki
Mungu wa mbinguni azidi kuwatunza.
Amina 🙏
Amina mtumish mungu akupe heri umetugusa its good song
Mbarikiwesanamwendeleembele.
Amina
Mungu awatunze na awainuie kila mtu kwa hitaji la moyo wake
Hakika wewe ndiye mwamba tunzi zako ni mahadhi ya kanisa letu Safi sanaaaa
Amina. Sifa zote ni kwa Mungu wetu anayeyawezesha haya
Nimesikiliza mwimbo huu nikiwa pia nakabiliwa na ya dunia hii nashukuru watunzi nyimbo hii iminishusha Bp kanisa la mungu kweli li kila mahala🙆♂️
It's really toughing
🙏🙏
Asanteni nyote kwa support yenu iliyoiwezesha Channel hii (Msoka's Gallery) kufikisha subscribers 1000 siku ya leo (7th December 2021). Mungu awabariki sana.
Nawaombeni ambao hamjafanya hivyo, mfanye hivyo sasa na muwashirikishe wapendwa wenu wengine ku-subscribe ili nipate nguvu ya kufanya kazi nyingi na nzuri zaidi.
Asanteni sana.
Asante pia kushukul baba mungu yupo na we...
Love to subcribe but what's the meaning of the song in English
Great,the song is ministering to me,naipenda Sana,yaponye majeraha yangu🔥🔥🔥
@@yamungulameck8809 Amina
@@rachelberi Thank you Rachel. I'll send you the English translated lyrics of the song. Just send me your contacts
May all your intentions and that of my heart come to pass through Christ our Lord. Amen. Jamani huu wimbo ni Sala ya msamaha na ya kuufanya upya uhusiano wetu na kristo
Mwenyez mungu akubark sana🙏
Amina
Eeeh Mungu niokoe
Amina
Wimbo wa maisha ya kila siku
😭😭 🙏
Kwa kweli wimbo mzuri unafariji mioyo ya wengi mungu abariki utume wenu
Amina 🙏
Asante kwa msamaha
Amina
God is able &fight for those who call apon his name
Amen