Maelezo haswa anaitwa Shariff abdulshakur kutoka Yemeni,ni Mwarabu kati ya warabu waliyotoka Yemen ili kusambaza dini.walikuka ndugu wa 5.mmoja ni huyu mdogo wake amezikwa masjid kitumbini,mwingine alienda bagamoyo mwingine mombasa mwingine arushA na mwingine alirudi kwa baba yake Saudi Arabia hakurudi nyumbani yemeni.shariff alishiriki mambo mbalimbali ktk serekali ya Tanganyika alikuwa ni mtu MWENYE msimamo wa dini na alikuwa Benet na rais mwalimu Nyerere ktk hekma na Dua zake,hapo alipozikwa kulikuwa na MSIKITI wake ambao alikuwa akiswalisha enzi za wagermani wakamwambia unapiga kelele za adhana unatuamsha hivyo chukua eneo kisutu ufanye IBADA ZAKO Shariff hakupenda kwenda baada ya mvutano mauti yakamfika na AKAFATIKI na wakamzika karibu na MSIKITI wake baada ya hapo hapakuwa na nguvu Tena ndipo MSIKITI ukavunjwa ukahamishwa kisutu na ndugu yake akawa mwendelezi wa masjid kisutu na kaburi likabaki pale Hadi enzi za marehemu rais mkapa alipoamrisha kaburi Hilo lihamishwe na eneo lijengwe.ndipo walipopeleka katapila kubunja kaburi likawa linatikisika na katapila lake.likaacha nyufa kidogo na ripoti ilipelekwa kwa rais mkapa na hapo ndipo ikapewa idhini kwa maandishi kaburi Hilo lisitolewe. Hii ni kuonesha kuwa mtu anapokuwa MCHA MUNGU sahihi mungu Huwa karibu nae humkubalia maombi yake sio uchawi ila ni ucha mungu na nia yake hakutaka wagermani KUCHUKUWA eneo lake.WOTE TUNAWEZA KUWA WACHA MUNGU NA ALLAH AKAWA NASI NA KUJIBU MAOMBI YETU ...SHATIFF ABDULSHAKUR ATTAS NI MTU TU MWENYE KARAMA ALLAH AMLAZE PEMA NA WAJA WEMA....KIDOGO NILICHOKIPATA KWA BABU YANGU WA ARUSHA SHARIFF ABDALLAH ATTAS NI HICHO SIJUI ZAIDI ...WA BILLAH TAUFIQ
Dolvine Kwamboka, jina lako peke yake linaoneshe kwamba hujitambua wazaz angalien majin ya kuwapa watoto wenu tembea wew pumbav uone sio hilo tu nenda masharik ya kat ukajionee zaid pumbav wew unakaa mpanda huko ujieli ....pumbav..
Sio MAJINI ndugu ni karama ni mtu aliyeshika dini sana.unaposhika dini MWENYEZI MUNGU Huwa karibu nawe na hukusukiliza maombi yako.kila mtu anamiujiza yake ya karama ikiwa TU upo karibu na Mungu ....
Subhanallah!! Allah atujaalie tuchume mema hapa duniani na atupe mwisho mwema! Amiin ya Rabb 🤲
Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu
Mashaallha ❤️
ni uchawi huo wala haimaanishi kwamba alikuwa mwaminifu kwa Mungu
Mpuuzi wew usijua ibada za watu
We ndo mchawi
@@husseinally5550 pamoja na wewe
Kila mlinganiaji alipokua akilingania basi uambiwa ni uchawi uliowazi lakini punde watajua
Hawatoi maelezo yanayokizi wanaoulizwa,lilikataaje?lilikuwa linasema
😂😂😂
Ni kweli maelezo mafupi sana
Maelezo haswa anaitwa Shariff abdulshakur kutoka Yemeni,ni Mwarabu kati ya warabu waliyotoka Yemen ili kusambaza dini.walikuka ndugu wa 5.mmoja ni huyu mdogo wake amezikwa masjid kitumbini,mwingine alienda bagamoyo mwingine mombasa mwingine arushA na mwingine alirudi kwa baba yake Saudi Arabia hakurudi nyumbani yemeni.shariff alishiriki mambo mbalimbali ktk serekali ya Tanganyika alikuwa ni mtu MWENYE msimamo wa dini na alikuwa Benet na rais mwalimu Nyerere ktk hekma na Dua zake,hapo alipozikwa kulikuwa na MSIKITI wake ambao alikuwa akiswalisha enzi za wagermani wakamwambia unapiga kelele za adhana unatuamsha hivyo chukua eneo kisutu ufanye IBADA ZAKO Shariff hakupenda kwenda baada ya mvutano mauti yakamfika na AKAFATIKI na wakamzika karibu na MSIKITI wake baada ya hapo hapakuwa na nguvu Tena ndipo MSIKITI ukavunjwa ukahamishwa kisutu na ndugu yake akawa mwendelezi wa masjid kisutu na kaburi likabaki pale Hadi enzi za marehemu rais mkapa alipoamrisha kaburi Hilo lihamishwe na eneo lijengwe.ndipo walipopeleka katapila kubunja kaburi likawa linatikisika na katapila lake.likaacha nyufa kidogo na ripoti ilipelekwa kwa rais mkapa na hapo ndipo ikapewa idhini kwa maandishi kaburi Hilo lisitolewe. Hii ni kuonesha kuwa mtu anapokuwa MCHA MUNGU sahihi mungu Huwa karibu nae humkubalia maombi yake sio uchawi ila ni ucha mungu na nia yake hakutaka wagermani KUCHUKUWA eneo lake.WOTE TUNAWEZA KUWA WACHA MUNGU NA ALLAH AKAWA NASI NA KUJIBU MAOMBI YETU ...SHATIFF ABDULSHAKUR ATTAS NI MTU TU MWENYE KARAMA ALLAH AMLAZE PEMA NA WAJA WEMA....KIDOGO NILICHOKIPATA KWA BABU YANGU WA ARUSHA SHARIFF ABDALLAH ATTAS NI HICHO SIJUI ZAIDI ...WA BILLAH TAUFIQ
jini hilo!
Dolvine Kwamboka, jina lako peke yake linaoneshe kwamba hujitambua wazaz angalien majin ya kuwapa watoto wenu tembea wew pumbav uone sio hilo tu nenda masharik ya kat ukajionee zaid pumbav wew unakaa mpanda huko ujieli ....pumbav..
😂😂😂😂
Sio MAJINI ndugu ni karama ni mtu aliyeshika dini sana.unaposhika dini MWENYEZI MUNGU Huwa karibu nawe na hukusukiliza maombi yako.kila mtu anamiujiza yake ya karama ikiwa TU upo karibu na Mungu ....
Huo ni utambulisho kuwa ni Mji wa kiislaam.
Huyu ni Shariff attas na ndugu yake kazikiwa kitumbini,sio muhindi ni Mwarabu wa yemeni.hizo ni karama ni mtu wa dini.