Kifo ni kifo uzikwe kifaghar ama kimasikin, hisabu nikwamba umesha kufa. Mazishi mazur hayampelekei mtu kuingia peponi Ila kwa Amali njema (matendo mema)
Jamani umu wengine msijifanye kama mmetumwa na mungu kuja kuhukumu pambaneni na alizenu mbona nyinyi wengine ni wezi , wachawi ,wazinzi wanafki mungu ana wachoratu wala awawekei mabango
Naomba mungu nae aoneshe maajabu yake zAid ya uyo marehem alivoonesha kituko.mana aqkma alisamin kuanatakufa bas alitakiwa kujua kia kunamungu anaeweza zAid ya yye.wezake wakigundua kia ataufanye nni bado kuna mungu muamuz wa mwisho bas uwa wanaish kia na vtu vya kfahar na kutovuka mipanga ya maajabu
Usilinganishe dini na mhemko wa mtu. Naona mnaidharau sana Dini ya Kikristo kwani ililetwa na mtume au na Mungu mwenyewe. Muachieni Mungu kazi yake yeye ndio atajua ahukumu vipi
@@neemamdami7466 mbona makasiriko 🤣🤣🤣kiufupi ukifa mkristo motooooon hakuna mjadala hyo sio dini ya Allah ni watu tu walibuni upooo kwaio jiandae na adhabu ya Allah hakuna kufichana hpaa moto unawahusu kama ww ni kafiri upooo 😂😂😂kama ukichukia chukua sumu unywee 🤣🤣🤣✌️
@@evelynsalila9700 hahahaha jmn mbona jazba 🤣🤣🤣kufa tunakufa ttzo umefia kwenye ukafiri au sasa nyie makafiri moto wenu ni waina yke pole my hio ndo hali halisi 🤣🤣🤣ukivimba basti 😂😂😂
Mmmh unyenyekevu ni kitu kizuri kweli huyo kafa wew unaanza kujadili dini za watu vipi mda mwingine siyo lazima kukoment kama hujaelewa jambo na unavyo sema wakristo tukifa motoni utafikili wew ndiyo mwenye mbingu (pepo) mwenye mbingu ndo atakae amua siyo wew sawa🏃🏃
Ametumia helazake kuuhifadhi mwili wake sio dhambi. Na amepunguza adhabu ya udongo mengine hakina ajuaye ya ahera pengine wewe unayehumu ndio kitakipata
@@ryamhassani1441 wee ni mtoto wa kiislamu au laa sijui pengine ni jina tuu umeamua kutumia... ila kama ni muislamu kweli ni zambi kutetea upuuzi watu ndo wanakwenda na wakati ila mambo ya kidini hayaendi na wakati walivoelekezwa na allah ndivo hivo mpaka dunia inaisha. Sasa kama kweli we ni muislamu hembu tujuzane ni wapi au ni kitabu gani cha dini kimehalalisha makaburi ya namna hiyo? Tuache mihemko munguanasema HAWATAKUA RADHI MAYAHUDI NA MASARA MPAKA MFUATE MILA ZAO. Hizo ni mila za wayahudi muisla ukishadadia umepotea.
@@edinanchimbi702 ukisema hivo unakosea kazi ya pesa sio kumuhifazi mtu masuala ya kidini hayaendo na wakati ila watu ndo wanaenda na wakati masuala ya kuzikana yote yameongelewa hadi kwenye vitabu... sasa hebu niambie mtume gani au nabii gani aliwahi kuzikwa kwa staili hiyo? Sema tunapotoshwa na utandawaz ndo mana unakuta kaburi linawekwa tairiz hiyo ni kufuru waislamu huwezi kuwaletea upuuzi huo hata kama ulikua na pesa kontena utaratibu wa mazishi ni ule ule.
Ndugu yangu iko ivi ujijengee usijijengee adhabu ya mungu iko palepale unapojiskia kufanya kitu hapa duniani we kifanye tu we Fanya tu kinachowezekanika
Mchezo huo uezi Fanya Kenya....Hilo geneza litaibwa na marehemu kutupwa hapo chini...MTU kama amekufa amekufa ...Yanini kuharibu fedha zote hizo wakati maskini walala Hoi wanakufa njaa...alafu mnafanya na maombi kabisa !...sio poa mjue
Kama kataka hivo kwa heshima zaidi wasingemtia kwenye jeneza Bali wangemkalisha kwenye kiti ameegemea na suti yake na feni limpepee ama aisii na MKONONI wangemshikisha simu na foñi masikioni na Kila baada ya MDA kuja kumbadilisha nguo na kuogeshwa kwa Mpira Kama inavooshwa gari car wash na pafyumu hapo ñdio watamuenzi kiheshima zaidi
Apumzike kwa amani unalaisisha tuu utazani mbingu ya mjomba ako kama alikua mwenye haki atalipwA haki kama alikua mwenye zambi atalipwA ya zambi kwa iyo mungu ndyo top wa hukumu ya haki mwanadamu huwezi batilisha nihayo tuu loho itendayo zambi ndyoo itakayo kufa
tena afadhali hizo pesa angewapa wamasikin wakala hata kama alikuwa namakosa wale aliowasaidia wakiongea na mungu tu kuwa amsameh makosa yake ampe punziko la popen angeweza kusamehewa baadh ya makosa sabab sie binaadam wote tunamakosa na ndi maana hutubu na kutoa sadaka ili touba na sadaka zishiriki kwa pamoja kutuomnea misamaha ya dhat kwa Allah
Kwer eti apumuzike kwa amani kivip maandiko yanasema mavumbini turitoka na mavumbini tutarudi sasa yeye kapingananMungu hajawekwa mavumbini inakuwaje sasa
Cc wabena tupunguze kujikweza ,kwani kama hatuna kwakuweka pesa zetu hapa Njombe tutafute mikoa mingne tuwasaidie watu wenye matatzo na kama hawapo wenyematatzo hapa Tz tupeleke pesa zetu huko Madagascar zikanunue vyakula watu wasife njaa
kweli kabsa ndugu una akili sana Allah akubarik kwa uwezo mkubwa wa akili na huruma na kutokuwa mbinafsi Allah akubarik wingine ubinafsi na uchoyo ndi unapelekea haya wakat binaadam winzie wanakufa njaa naye akifa anaoza hatobaki kitu kuna umuhimu gani wakugharamia kitu ambacho kitaish mifupa na watu hawaiyoni
mbona watu tukipata fedha huwa tunamkufuku mungu why yesu alizikwa kabsa na maandiko yanasema ulitokea mavumbin utarud mavumbin mbona watu mna fanya hvyo mungu hapend mfukien huyo mtu na udonngo muepuke laana
Umewahi kufuatilia Yesu alizikwa kwa style gani? Unafikiri alifunikwa na udongo? Unaambiwa jiwe liliwekwa mlangoni mwa kaburi sio alifunikwa na udongo.
Huo ni upumbavu ilibidi afukiwe na udongo ndio maana halisi ya mavumbini sasa hapo hawajamzika ila wamemuweka! Acheni kumkufuru mungu alaf isitosh alikua mganga wa kienyeji.
Wote hao wametawaliwa na ibilisi, munngu anasema mtu akiwa haoni maneno yake hapa duniani atapata maisha ya dhiki duniani na siku ya kiama atafufuliwa akiwa kipofu, uislamu raha na Mambo yake mepesi,
hiyo ni din yako ya uislamu na imani ya wenzio inasema ivo wanavyofanya soma vitabu vyote usisome msafi pekee ake halafu ukimbie kwenda kuwafundisha imani nyingine jinsi ya utaratibu wako
Ingefanyika ulaya msingeongea utumbo wenu, lkn kwa kuwa ni bongo watu wanaongea kama wamevimbiwa ndizi kisukari, nchi kibao tu watu hujiandalia makazi yao ya milele!
Mtu akishakufa haombewi na ukimuombea unapoteza muda wako tu,mara tu baada ya kufa ni hukumu,palipo nafsi ya marehemu ndipo matendo yake yalipo. Hakuna ktk Biblia palipoandikwa kuwa ombeeni marehemu,someni neno la Mungu kwa makini
Alikua Sawa Mana Mwili Wa Marehemu Inamana Kumbe Mtu Kabla Ya Dakika Za Kufa Unaweza Kuchukua Atua Ya Kujenga Kitu Cha Kuifazia Mwili Wako Inamana Mwili Ndie Wenye Kufa Nasio Roo Ajakosea Chochote Wenye Lawama Mjua Wazi Ajakosea Kujenga Kabuli La Kuifazia Mwili Wake
Hiyo ni imani yenu lkn quran inasema hakuna hata mmoja wenu isipokuwa yule atakayeingia jehanam, usalama wenu uko wapi hapo? Quran 19:71. Kasomeni hiyo kwanza, mkibisha mje niwape aya nyingine nyingi za kutosha zinazoonyesha hamuendi kokote isipokuwa jehanam.
Hapo naona kwa macho ya kibinadamu ni kwamba tunaona jamaa anazikwa na ibada ya kidini inafanyika na sisi tunajua jamaa hakuwa mtu wa dini ila mganga wa kienyeji. Japo hatujui nyakati zake za mwisho jamaa alifanya kitubio au hakufanya hayo anajua Mungu na hao viongozi wa dini. Tofauti na hayo sioni kosa jingine sababu kama ni namna ya kuzikwa kwamba watu walitaka afukiwe na udongo nawakumbusha tuu kuwa hata Yesu na manabii na mitume wengine hawakufukiwa ila walihifadhiwa kaburini sababu ndio utaratibu wa Myahudi, msijifanye mnajua sana na huku maandiko hamsomi, mnasubiri kiongozi akujaze mauwongo uyabebe
Malaika walinde kaburi waache kulinda walio Hai maana u know how neno La Mungu linasema afavyo mnyama ndivyo hata mwanadamu maana wametoka mavumbini na mavumbini tutarudi
Huyu ni mtu anayejifanya mkubwa kama Prince Philip wa uingereza. Watanzania wenzangu acheni kujikuza. Hayo siyo maisha halisi ya waafrika.Hakuna tmalii atakayefika hapo
makumbusho yake hayo . angekuwa kiongozi tungeona fahari kufanyiwa hayo maana viongozi wengi wamejengewa makaburi lakini kwa kuwa huyou aliishi kijadi tutaongea mengi sana.
Kufa ni kufa nothing else uzikwe hewani au mchangani mwisho wa maisha yote Amen.
Hahahaaaa uzikwe hewani
Subhannahllah Allah atupe mwisho mwema, Alhamdulillah kwakuwa muislam
Nyooo
Kifo ni kifo uzikwe kifaghar ama kimasikin, hisabu nikwamba umesha kufa. Mazishi mazur hayampelekei mtu kuingia peponi Ila kwa Amali njema (matendo mema)
Xikwakufuluiyooooooooo atambinguniafikiiiiiiiiiiii ataixhia motoniiiiii mileeeree amen
Mm na shangaa, kuna watu wenyeshida wako hai, watu wengine wanachezea pesa badala ya kutanguliza kwa mungu kesho ukazikute.
Tumshukuru الله wote ambao tuko kwenye dini ya hakki, nazani tumeelewana, czani kama kunaambae alishawai kufanya huu upuuzi.
Kuna mayaatima, kuna watu wanaumwa kuna watu wana lala njaa na shida nyingi cczoelezeka, etu mnacheza na pesa. Malaika mnao usika fanyeni kazi yenu.
@@myunaniniahmad6463 amiiin
Jamani umu wengine msijifanye kama mmetumwa na mungu kuja kuhukumu pambaneni na alizenu mbona nyinyi wengine ni wezi , wachawi ,wazinzi wanafki mungu ana wachoratu wala awawekei mabango
Naomba mungu nae aoneshe maajabu yake zAid ya uyo marehem alivoonesha kituko.mana aqkma alisamin kuanatakufa bas alitakiwa kujua kia kunamungu anaeweza zAid ya yye.wezake wakigundua kia ataufanye nni bado kuna mungu muamuz wa mwisho bas uwa wanaish kia na vtu vya kfahar na kutovuka mipanga ya maajabu
Alhamdulillah ya rabby kwa kunijaalia kuwa muislamu naona fahari 👏👏
Usilinganishe dini na mhemko wa mtu.
Naona mnaidharau sana Dini ya Kikristo kwani ililetwa na mtume au na Mungu mwenyewe.
Muachieni Mungu kazi yake yeye ndio atajua ahukumu vipi
Ukiwa muislamu ndo haufi au
@@neemamdami7466 mbona makasiriko 🤣🤣🤣kiufupi ukifa mkristo motooooon hakuna mjadala hyo sio dini ya Allah ni watu tu walibuni upooo kwaio jiandae na adhabu ya Allah hakuna kufichana hpaa moto unawahusu kama ww ni kafiri upooo 😂😂😂kama ukichukia chukua sumu unywee 🤣🤣🤣✌️
@@evelynsalila9700 hahahaha jmn mbona jazba 🤣🤣🤣kufa tunakufa ttzo umefia kwenye ukafiri au sasa nyie makafiri moto wenu ni waina yke pole my hio ndo hali halisi 🤣🤣🤣ukivimba basti 😂😂😂
Mmmh unyenyekevu ni kitu kizuri kweli huyo kafa wew unaanza kujadili dini za watu vipi mda mwingine siyo lazima kukoment kama hujaelewa jambo na unavyo sema wakristo tukifa motoni utafikili wew ndiyo mwenye mbingu (pepo) mwenye mbingu ndo atakae amua siyo wew sawa🏃🏃
Atawoza. Anuke kweri🤔. Emungu wangu. Mwiri kweri umefadhiwa vizuri. Ira Rohoooo nayo
Hizo ni mbwembwe tu sana sana amejiongezea zambi... kichapo kipo pale pale mana hiyo ni kufuru.
Ukimwambia mwenzako ana dhambi je wew ni mtakatifu only GOD knows
Ametumia helazake kuuhifadhi mwili wake sio dhambi. Na amepunguza adhabu ya udongo mengine hakina ajuaye ya ahera pengine wewe unayehumu ndio kitakipata
@@ryamhassani1441 wee ni mtoto wa kiislamu au laa sijui pengine ni jina tuu umeamua kutumia... ila kama ni muislamu kweli ni zambi kutetea upuuzi watu ndo wanakwenda na wakati ila mambo ya kidini hayaendi na wakati walivoelekezwa na allah ndivo hivo mpaka dunia inaisha. Sasa kama kweli we ni muislamu hembu tujuzane ni wapi au ni kitabu gani cha dini kimehalalisha makaburi ya namna hiyo? Tuache mihemko munguanasema HAWATAKUA RADHI MAYAHUDI NA MASARA MPAKA MFUATE MILA ZAO. Hizo ni mila za wayahudi muisla ukishadadia umepotea.
@@edinanchimbi702 ukisema hivo unakosea kazi ya pesa sio kumuhifazi mtu masuala ya kidini hayaendo na wakati ila watu ndo wanaenda na wakati masuala ya kuzikana yote yameongelewa hadi kwenye vitabu... sasa hebu niambie mtume gani au nabii gani aliwahi kuzikwa kwa staili hiyo? Sema tunapotoshwa na utandawaz ndo mana unakuta kaburi linawekwa tairiz hiyo ni kufuru waislamu huwezi kuwaletea upuuzi huo hata kama ulikua na pesa kontena utaratibu wa mazishi ni ule ule.
Ndugu yangu iko ivi ujijengee usijijengee adhabu ya mungu iko palepale unapojiskia kufanya kitu hapa duniani we kifanye tu we Fanya tu kinachowezekanika
NENO DOCTOR LINAKOSEWA HESHIMA SANAA
MPAKA WACHAW ETI NI MADAKTARI
Namshukuru Allah kuwa mwislam makafir ni Moto 2
Acha ufo ww
Mungu ndo anajua husahii wa binadamu
Mchezo huo uezi Fanya Kenya....Hilo geneza litaibwa na marehemu kutupwa hapo chini...MTU kama amekufa amekufa ...Yanini kuharibu fedha zote hizo wakati maskini walala Hoi wanakufa njaa...alafu mnafanya na maombi kabisa !...sio poa mjue
😂😂😂😂😂
Sio Kenya tu Ata uku huwafanyaivyo Rabda uliziuwekwe Daima
Zake nawewe tafuta zako
apo lazma jeneza wapige ilo
Hiyo ni matumizi ya fedha zake..
Kama kataka hivo kwa heshima zaidi wasingemtia kwenye jeneza Bali wangemkalisha kwenye kiti ameegemea na suti yake na feni limpepee ama aisii na MKONONI wangemshikisha simu na foñi masikioni na Kila baada ya MDA kuja kumbadilisha nguo na kuogeshwa kwa Mpira Kama inavooshwa gari car wash na pafyumu hapo ñdio watamuenzi kiheshima zaidi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani 😳😳😳😳😳
😅
Apumzike kwa amani unalaisisha tuu utazani mbingu ya mjomba ako kama alikua mwenye haki atalipwA haki kama alikua mwenye zambi atalipwA ya zambi kwa iyo mungu ndyo top wa hukumu ya haki mwanadamu huwezi batilisha nihayo tuu loho itendayo zambi ndyoo itakayo kufa
tena afadhali hizo pesa angewapa wamasikin wakala hata kama alikuwa namakosa wale aliowasaidia wakiongea na mungu tu kuwa amsameh makosa yake ampe punziko la popen angeweza kusamehewa baadh ya makosa sabab sie binaadam wote tunamakosa na ndi maana hutubu na kutoa sadaka ili touba na sadaka zishiriki kwa pamoja kutuomnea misamaha ya dhat kwa Allah
Kwer eti apumuzike kwa amani kivip maandiko yanasema mavumbini turitoka na mavumbini tutarudi sasa yeye kapingananMungu hajawekwa mavumbini inakuwaje sasa
@@yusuphmalongo4514 isikuhangaisshe nae kaenda mavumbini maana mavumbi yamehusika kujenga hilo kabuli.
@@yusuphmalongo4514 isikuhangaisshe nae kaenda mavumbini maana mavumbi yamehusika kujenga hilo kabuli.
@@pitargamba9208 sawa nimekuerewa k
Kaburi ndani ya nyumba na uko juu watu wanaishi au maana naona mapicha picha tu kweli dunia ina mambo hii ndo nini sasa
Hata Yesu Ajafukiwa Wakati Alikufa Ivo Yuko Sahihi
Raha ya milele akupe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie amina
utazania hekalu ya malkia😭😳😳siwezi hata kusema RIP juu bado hajarudi mavumbini msishindane na m mungu inaweza ikaporomoka anytime
Kwani Yesu alizikwaje?
Hii ndio Tanzania💥💥💥
Wabongo noma
Pastor Ameshawaombea na wote watakaozikwa humo, au nimeskia vibaya?
Eh Mungu utusamehe sote🙏
Mungu mpokee mwenzetu huyu AMEN
Wengi wao Mali sio za halali
Khaa hili kaburi au chumba. Kweli ukiwa na pesa unajikuta hata Mungu unammiliki. Kweli Mungu ni wapekee
Umeona ee
Ee Mungu,bariki vinavyostahilivBulletin kuombewa
Sasa imebaki nyumba ya mizimu😊
Kabisa
Jeneza ml 3 lkn hajakutana na mola wake akiwa salama mtihan mkubwa sana
Yaaan mm nilijua huko mbele kumbe ni hapa Tz
Mh jmn mungu mmoja ata angetaka azkwe mlangoni akiwa amekaa ktk kiti bado angekufatuu
Cc wabena tupunguze kujikweza ,kwani kama hatuna kwakuweka pesa zetu hapa Njombe tutafute mikoa mingne tuwasaidie watu wenye matatzo na kama hawapo wenyematatzo hapa Tz tupeleke pesa zetu huko Madagascar zikanunue vyakula watu wasife njaa
Mwache ni hela zake
kweli kabsa ndugu una akili sana Allah akubarik kwa uwezo mkubwa wa akili na huruma na kutokuwa mbinafsi Allah akubarik wingine ubinafsi na uchoyo ndi unapelekea haya wakat binaadam winzie wanakufa njaa naye akifa anaoza hatobaki kitu kuna umuhimu gani wakugharamia kitu ambacho kitaish mifupa na watu hawaiyoni
Ni hela zake tafta za kwako kasaidie watu
Tafuta zako ndo uzipangie hivyo sio za watu
mbona watu tukipata fedha huwa tunamkufuku mungu why yesu alizikwa kabsa na maandiko yanasema ulitokea mavumbin utarud mavumbin mbona watu mna fanya hvyo mungu hapend mfukien huyo mtu na udonngo muepuke laana
Umewahi kufuatilia Yesu alizikwa kwa style gani? Unafikiri alifunikwa na udongo? Unaambiwa jiwe liliwekwa mlangoni mwa kaburi sio alifunikwa na udongo.
Huo ni upumbavu ilibidi afukiwe na udongo ndio maana halisi ya mavumbini sasa hapo hawajamzika ila wamemuweka! Acheni kumkufuru mungu alaf isitosh alikua mganga wa kienyeji.
Wayahudi wanafukiana chini?
Wahindi wanafukiana chini?
Wachina wanafukiana chini?
Je kuwa mganga ni kosa?
Innalillah wainnailayh rajuun Allah tusamehe hatujuh tulitendalo
Mungu ampunzishe amen
Kungekuwepo na rufaa ya kifo alikuwa na uwezo wa kukata rufaa haki Iko Kwa Mungu tu
At mafundi ujenz bado haujaisha,vip ciku mkirudi kumalizia ujenzi mkutane nae akiwa kasimama mtamsalimia si et ee
🤣🤣🤣🤣🤣
Naona wameweka na socket jirani na sehemu itakayowekwa jeneza sasa sijui watampa na Smart Phone
😂😂😂 we nawe bhan
😂😂😂😂
Atakua anachaji cm
Uyoo fundi anasema ijenzi bado unaemdeleaa😱😱😱
Wote hao wametawaliwa na ibilisi, munngu anasema mtu akiwa haoni maneno yake hapa duniani atapata maisha ya dhiki duniani na siku ya kiama atafufuliwa akiwa kipofu, uislamu raha na Mambo yake mepesi,
hiyo ni din yako ya uislamu na imani ya wenzio inasema ivo wanavyofanya soma vitabu vyote usisome msafi pekee ake halafu ukimbie kwenda kuwafundisha imani nyingine jinsi ya utaratibu wako
😂😂😂 huyuu alojijengea kaburi hilii anaonekana anaogopa kufaaa ndio maana kajijengea kaburi na katika na taaaa 😂😂😂😂😂😂
Ingefanyika ulaya msingeongea utumbo wenu, lkn kwa kuwa ni bongo watu wanaongea kama wamevimbiwa ndizi kisukari, nchi kibao tu watu hujiandalia makazi yao ya milele!
James, Ulaya watu hawafanyagi ujinga ujinga. Ukifa au unavhomwa unarudi majivu au unaxikwa tu udongoni. Hivi ni vituko vya ulimbukeni
Pumuzika kwa Amani Dr Anthony Mwandulami
Yan kumbe Mwandulami alikufa jmn,baba yule alikua mganga konki balaa
Jaman mm huyu baba namfahamu alikuwa mganga mkubwa sana pale Njombe jina la uganga alikuwa anaitwa Mwandulami
Mbona kazikwa na padre wakat hawaruhusu?
@@simonmushi5569kwan kama alikua mganga na anasali Kwann padre asisali
Mtu akishakufa haombewi na ukimuombea unapoteza muda wako tu,mara tu baada ya kufa ni hukumu,palipo nafsi ya marehemu ndipo matendo yake yalipo. Hakuna ktk Biblia palipoandikwa kuwa ombeeni marehemu,someni neno la Mungu kwa makini
Mchungaji ana kazi kwakweli
Sasa huo msalaba,wanini,mbona mnaidhalilisha,msalaba,huyo vyake,nivibuyu,namkia wafisi
Msalaba Ni mti wa aibu kwa hiyo akiwekewa msalaba Ni sawa.
Vibuyu ni aibu na msalaba pia Ni aibu.
😂😂😂😂😂😂😂😂Pole nimecheka
Huyu ni mganga wa kienyeji maarufu sana mkoani Njombe
Alikua Sawa Mana Mwili Wa Marehemu Inamana Kumbe Mtu Kabla Ya Dakika Za Kufa Unaweza Kuchukua Atua Ya Kujenga Kitu Cha Kuifazia Mwili Wako Inamana Mwili Ndie Wenye Kufa Nasio Roo Ajakosea Chochote Wenye Lawama Mjua Wazi Ajakosea Kujenga Kabuli La Kuifazia Mwili Wake
Ama kweli mafundi wana kazi yaani watakua wanajenga na jeneza liko hapo kweli 😠😠😠😧
Waache hata waje waone joka linatafuna maiti
@@subiramohd1895 😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣kwakweli
@@subiramohd1895 hahahaha wamuone katolewa nje kajaa mavumbi
Maiti atafufuka kuwasogezea udongo wamalizie kaburi lake mi ndo ingekuwa mwisho lkn comment za humu znanichekesha sana jmn
Jamani wengi mnamuhukumu kama mbingu hataiona niyeye nawewe uangalie yako tukisoma bibilia tunaona wazee wetu walikuwa nawake wangapi
Siku ya mwisho kiama mbingu zita kunjwa kama karatasi biblia Inasema hivyo
Mbingu hazikunjwi zinakua milango ndan ya quran
Hahahaaaa kaburiii apo alipo halitaki hata kulisikiya hamujui tuu ee mungu nidumishe kwenye uislamu inshallah
insha allah yaraby na tufe tukiwa islam safi na tutoe shahada kwake Allah
Hiyo ni imani yenu lkn quran inasema hakuna hata mmoja wenu isipokuwa yule atakayeingia jehanam, usalama wenu uko wapi hapo? Quran 19:71. Kasomeni hiyo kwanza, mkibisha mje niwape aya nyingine nyingi za kutosha zinazoonyesha hamuendi kokote isipokuwa jehanam.
Yesu ndie njia
Hakika hii ni laana acha tubaki waisilamu
@@zumbeshauri8114 laani ni nn????
Mm najiuliza tu kipindi mafundi wanajenga alikua anaaga mke wa kia anaenda sait au???
🤣🤣🤣
Nadhani hamjui Mwili wa binadamu unavyotia harufu kali Mtakuja kimbia nyumba hiyo.
Mmmmh🙏
Hilo jengo ghorofa hawaishi watu ni gorofa ya kaburi tu.
@@restutarweyemamu2344 wameukausha
Maonesho hayo mungu tuhurumie Sisi waja wako Tulio baki
Hapo naona kwa macho ya kibinadamu ni kwamba tunaona jamaa anazikwa na ibada ya kidini inafanyika na sisi tunajua jamaa hakuwa mtu wa dini ila mganga wa kienyeji. Japo hatujui nyakati zake za mwisho jamaa alifanya kitubio au hakufanya hayo anajua Mungu na hao viongozi wa dini. Tofauti na hayo sioni kosa jingine sababu kama ni namna ya kuzikwa kwamba watu walitaka afukiwe na udongo nawakumbusha tuu kuwa hata Yesu na manabii na mitume wengine hawakufukiwa ila walihifadhiwa kaburini sababu ndio utaratibu wa Myahudi, msijifanye mnajua sana na huku maandiko hamsomi, mnasubiri kiongozi akujaze mauwongo uyabebe
Malaika walinde kaburi waache kulinda walio Hai maana u know how neno La Mungu linasema afavyo mnyama ndivyo hata mwanadamu maana wametoka mavumbini na mavumbini tutarudi
06:44 mchungaji kabla ya kuanza Sara niwaite wazee(Waganga wa kiengeji)
Nami nimepata ukakasi wa uwepo wa mtumishi wa Mungu any mwenye kuhukumu ni Mungu pekee
Hatujawah zika siye tukaendelea kuliona jeneza
Angafnya la ajabu kuzuia kfo chke.dah na mtumusha nae anaitoa ibada etc apo ndo kazikwa au?cjaelewa
Wangeweka na lift ya kushusha jeneza ingependeza!
😆😆😆😆
Kamekufa kabra kabr halijaisha
@@gracedotto5523 yani si aliplan ujenzi uishe lini dah ukiwa na pesa ni shida😢
@@joycechaz2840 hahahahaaaaa jamn mi mnanifurahisha
Sasa kawekwa hapo afufuke au itakuwaje pesa hz kwakweli ni maradhi
Mmh haya mapya.. sijawahi kuyaona tangu kuzaliwa kwang
Watu wanachati chini ya kabuli hahahahha
😁😁
Karibu moro
Hahahaaaaa nimecheka mie
Hata ningezikwa kwenye kaburi la matirion. Swali. Je Roho yang inakwenda wapi , MOTON AU MBINGUNI.
Me ingekuwa mwisho kujenga,, mmmh
Kina Firauni walizikwa kwenye mapiramidi lakini ndio wamekufa tuu
Huyu ni mtu anayejifanya mkubwa kama Prince Philip wa uingereza. Watanzania wenzangu acheni kujikuza. Hayo siyo maisha halisi ya waafrika.Hakuna tmalii atakayefika hapo
Kinacho fata akiwa anaharibika harufu itakuaje duhhh.patakua hapatoshi
Kakaushwa hawezi kuoza huyo
jaman
Sijawah kuona mazishi ya namna hii wala kuskia kuna kitabu cha Mungu kilichosema kuna kuzikwa kwa namna hiyo hii ni waz kbs kiyama kipo krb
makumbusho yake hayo . angekuwa kiongozi tungeona fahari kufanyiwa hayo maana viongozi wengi wamejengewa makaburi lakini kwa kuwa huyou aliishi kijadi tutaongea mengi sana.
binadamu wengine tumuogope mwenyezimungu kwa hili jamani kufuru ya mwenyezimungu hiii
Kwasababu tuu amewahi kufa kabla hajamalia angeweka, tv na friji kwaajili ya vinywaji
Kabisa
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,na kibaa chakishkaji kwaajiri yakuenjoy weekend angeweka uyo,sema mafundi wanaendelea naujenz so ukute wakaweka kagrosary apo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,mungu atuhurumie jamani pesa izi.
Mtumishi sijui anasalishaje swala ya maiti, ulirud kwa udongo na uliumbwa kwa udongo,, duh aisee
Makubwa😭😭😭😭😭🥺🥺🥺
😂😂😂🤣
Hayo ni ya kibinadamu ngoma huko alipo mtu ambaye ni roho ndio Kimbembe yuko wapi?
Mmmhhhhhh, mi nilizan ndani kuna shimo, mmmmh hiii ni mpyaaaaaaaa,
Pesa za masharti huwa unaambiwa siku ya kufa
Kweli kabs
Kabisa wakinga Tena duuu
Malengo yake hayakuwa ufahari ila kuweka kivutio ili akumbukwe na watu wajue habari zake hata akifa sio mbaya ametumia jasho lake hajamchangisha mtu.
Ht mm nimeona ivyo kafanya km makumbusho
Amiiiiiiniii
Ibada nusu mkristo wake watatu
Hizo pesa angewasaidia masikini angejiwekea hazina yake mbinguni
Misaada alikua anatoa sana. Alifanya ya watu na mwisho kafanya yake kwani kakosea nn jamani.
Wamuekee na mziki mamma mapesayoo wa daimond na TV
😃😃😃astghafiru llah
Hata utupwe porini kuna una Mungu inatosha acheni ushamba
inawezekana naye ardhi imemkataa km ilivyomkataa firauni sisi tunaona ni mbwembwe lakini ni 1 ktk adhabu za Allah .
Ardhi inaweza kumkataa akiwa hai?
@@joycechaz2840 Ardhi.inamkata anapokufa . mfano nzuri firaun
@@kiri5807 ooh kumbe asante kunielewesha
@@joycechaz2840 🤝
Hiyo kali kama tungekuwa tunarudi tungejionea mambo yaani chini Kama ulaya du
Katikista paroko ameona akutume weww
Hahahaha , huyo ni mwinjiristi.
Ngoja atoe harufu ,muone kam mtakaa hapo,
Maana wajua taratibu zote zilizopagwa fyuu wabongo kujiongelea2 umaskini ndio mnaharisha tyu
Fakih,,, Hata Mm Ndio Najiuliza Inakuwa Akioza Hapo Maana Yupo Njee tu.
Asila ngoja watakimbizana ,mlango utaota harufu wakome ,Binaadam anahatufu mbaya PUNDA AFADHALI
Jamani mimi nifundi hii tenda naiuza wengine muendelee mimi nimefika mwisho khaaaaa
Kwanini umeuza
Hahahaaaaaaaaa uza tu kaka maana hapo mmezikwa wote na maiti sa si mko kaburini
Huwa nikipita hapo huwa naogopa kabisa mm kwakweli
Sasa subiri harufu mpaka mlifukie
Umeinae
Kule ndani kunashimi lilichimbwa,lake na wake zake,ila Mungu aangalii hivyo
Anaagalia nn
Siku akianza kunuka ndio watapata akili mganga wa kienyeji na wewe mchungaji njaa hujui huyo ni mpagani
kabsa hana dini
Atakuwa amekaushwa
😂😂
Hapo amechemka
wachungaj wa siku hizi hawamuheshm mungu wanajali hela tu hapo kapewa mkwanja akamsalit na yesu
Kumbe Ni mganga wa kienyeji
Ni kujipotezea muda tu.
Bora hiyo pesa angeachia familia yake angalau wajipunguzie shida za hapa duniani
Kwake na familia pesa haikuwa tatizo alitaka tu aweke kumbukumbu vzr pindi akifa
Mpuuzi wewe umeona familia inanjaa kama unavofikiri wewe?Angalia maisha yako acha kuhukumu mwenye kuhukumu ni Allah pekee
Grace hujaelewa bado, ukielewa utakumbuka.
Wakwe mbona kazi wanayo
Hivi wakwe wangekufa kabla yake ingekuwaje?
WHAT IS THIS?
Wanarana
Na MTU kuishi kwa kumtumainia Mwenyezi Mungu huwezi kuteseka ivi, kwanamna ingne nimateso tu kwani inamaanisha nn mmh! Hii ni dhehebu gani lkn?
Haisaidii kitu
Hatari
Uyo ataishi apo apo ndani awenzi enda freemason nimeani freemason wapo wapo sijawai ona tangu nizaliwe
Waaa hehehe I give up 🙄🏃🏃🏃
ndio shida yakua nahela nyingi
It doesnt matter how it made !
Mtumishi Aliyeongeza ibada ya mazishi ni mtumishi wa tumbo ,
Mganga wa kienyeji na msalaba?
Ajabu sana