DKT.SLAA ANACHAMBUA HOTUBA YA LISSU JANA TAREHE 12. MAPUNGUFU NA UIMARA WA HOTUBA. KAFICHUA MAZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 หลายเดือนก่อน +1

    LEO DR. SLAA NIMEKUSOMA ZAMAN ULIKUWA NDUMILAKUWILI ILA SASA BAADA YA KUACHA UNDUMILA KUWILI HONGERA SANA

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 หลายเดือนก่อน +3

    Chadema Kuna makundi mawili, ila yatajukikana muda ukifika watakapo amua kuanikana ila kuna kundi la mbowe na kundi la lisu

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa หลายเดือนก่อน +5

    Wewe babu ebu tuache we uliondoka acha kutuvuluga acha haya watayajua wenyewe

    • @zulishoo9496
      @zulishoo9496 28 วันที่ผ่านมา

      Kutuvuluga= Kutuvuruga. Kiswahili chenyewe hujui utakuwa Siasa kweli.

  • @jacksonmipango8984
    @jacksonmipango8984 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mzee ni chawa tu

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu vipi!
    C lzma cdm iweke wagimbea wote,je kama haina?
    Haki inahitaji uweke,pale tu ulipo na wagombea wa uhakika.ccem yenyewe haina ubavu huo,nfiyo maana hununuwa wapinzani..
    GNU ya ccem/act ilikujaje?
    C Ilikuja ili kukinusuru ccem au...!

  • @mwalimukhamisi1680
    @mwalimukhamisi1680 หลายเดือนก่อน +1

    Slaa ni bora ungerudi nyumbani ili uweze kukosoa vrz.

  • @tanzanitetv
    @tanzanitetv หลายเดือนก่อน

    Lisu ni mkweli 100%

  • @nicolasnkembo4997
    @nicolasnkembo4997 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka huyu Mzee mwaka 215
    Alivyo fanyia wenzake

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 หลายเดือนก่อน +2

    Lisu kwenda kuongelea roman catholic church place it show how lisu trusted in Tanzania national as the politician with vision in Tanzania national education lisu has explain was vary wise although was not from head of chadema authority but is education to all Tanzania national

  • @ip_header
    @ip_header หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee alishaonyesha usaliti wa wazi 2015, umri umeenda lkn bado anatumika vibaya

    • @rahimsadru-ct4ot
      @rahimsadru-ct4ot หลายเดือนก่อน

      Slaa hawajah kua msaliti,,,ila yy ndo alisalitiwa kuletwa lowasa ambaye miaka Ming wap chadema walisema fisad

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 หลายเดือนก่อน

    Babu haujaelewa. ya Chadema. Freeman Mbowe yuko nje ya nchi kwa semina ya kuja kuwa mgombea Urais, na Antipas Lisu alikuwa anatarajia awe mgombea, hapo mzee Lisu ameamua kumwaga mboga ili Mbowe awe ameula wa chuya . Nahisi, nahisi hakuna maelewano kati ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti. Mungu saidia hawa watu wanavunja NGUVU wananchi na wana chama wa Chadema.

  • @stanleybwenge5838
    @stanleybwenge5838 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa nini we mzee ni kukosoa tu wewe binàfsi una jambo Gani la kußaidia nchi?

  • @GentleGiant-pj2rk
    @GentleGiant-pj2rk หลายเดือนก่อน

    Lissu aliweka wazi kwamba haongei kama kiongozi wa Chama ila anaongea ka mwanasiasa na kama mwanasheria

  • @iddykivu050
    @iddykivu050 หลายเดือนก่อน

    Dj Anakiua Chama kwa Maslai yake binafsi

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน

    Lissu kasema huo msimamo atawashawishi uwe ni msimamo wake!!

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn หลายเดือนก่อน

    Huyu ndio padri slaa Sasa amerudi kwenye uhalisia wake acheni kumlaumu anaongea ukweli kabisa kuhusu ubovu wa chadema.

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr หลายเดือนก่อน

    CHADEMA AWAKUJIPANGA NA HUU UCHUNGUZI MATOKEO YAKE MNAZOA WATU AMBAO AWANA SIFA ZA KUGOMBEA

  • @benswai8099
    @benswai8099 หลายเดือนก่อน

    Huyu mnafiki Silaa ana maumivu ya ndani. Acha kuisemea chadema maana wewe sio chadema. Ulishakimbilia ccm ukajiunga na mwendazake ukapewa ubalozi. Sasa unataka nini chadema?

  • @BernardBahatiMallya
    @BernardBahatiMallya หลายเดือนก่อน

    Naungana na kauli ya Lissu.

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 หลายเดือนก่อน

    Dr. Slaa kwa kweli sasa ungepumzika. La!

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 หลายเดือนก่อน

    Lisu na Chadema wanagombanishwa, bila kujijua

  • @Jerryrawlingschaula
    @Jerryrawlingschaula หลายเดือนก่อน

    Kumbe wewe n iCHADEMA unatudanganya kua huna chama

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa หลายเดือนก่อน

    Anatoa habari kwa Diaspora asipotoa habari hatalipwa

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee yuko wapi, ninyi chadema kuweni makini na watu ambao hawana jukwaa rasmi la kuzungumza, hilo ni jukwaa lipi linalompa access ya kuzungumzia mambo ya chadema.

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 หลายเดือนก่อน

    Dr. Slaa, Unatoa ushauri gani badala ya kikosoa?

  • @phedsonmwambete7813
    @phedsonmwambete7813 หลายเดือนก่อน

    Mbona huyu anamwandama mtu, akitaka arudi tu.

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq หลายเดือนก่อน

    Mzee unanichanganya hivi uko hauna chama kweli au uko chadema

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa หลายเดือนก่อน

    Slaa we ni mbayasana tabia yako mbaya ndo inajidhiilisha sasa

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Daima nipo na lissu Hadi tamati

    • @SimonSamwel-v3b
      @SimonSamwel-v3b หลายเดือนก่อน

      Mpaka tamati nawewe ni walewale mtu asiekua mtanzania rasmi utauzwa wewe ovyo hawajawa tayari kuiongoza hii nchi

  • @EsterKalinga-c3y
    @EsterKalinga-c3y หลายเดือนก่อน

    slaa sawa ila tundulisu jembe sana msimamo sana

    • @tumainimwaifunga3884
      @tumainimwaifunga3884 หลายเดือนก่อน

      Ni jembe Dawa aache kuropoka, na wanagombanishwa bila wao kujijua

    • @saliminyusuph6122
      @saliminyusuph6122 หลายเดือนก่อน

      Akihamia ccm utamwita msaliti.

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn หลายเดือนก่อน

    Huyu ndio padri slaa Sasa amerudi kwenye uhalisia wake acheni kumlaumu anaongea ukweli kabisa kuhusu ubovu wa chadema.

    • @brunomirambi8792
      @brunomirambi8792 หลายเดือนก่อน

      UMEONA???

    • @brunomirambi8792
      @brunomirambi8792 หลายเดือนก่อน

      Karudi kwel hata Mimi nilkkuwa simpendi hata angejenga hoja nzur nilikuwa simpendi ILA SASA HIVI NAONA AMEFUFUKA SAFI KABISA