Mbowe ana hekima sana atamwachia huyu mwenyekiti tumemfahamu sasa ni mtu wa siasa na anauchungu na nchi yake mwenyekiti achana na wapambe mwachie Lisu na mfanye pamoja mtaona kitakachotokea ktk hii nchi
Watanzania tujifunze kwa waliowahi kufanya haya yanayoendelea ktk vyama vyao na walishia kutokuteuliwa ktk vyama vyao na wakahama na vyama vikaendelea na taratibu zao. Utulivu ktk vyama muhimu.
Huyu LISU ana HOJA!!Mbowe ni dicteta wa chama!! hawezi ukadai tume huru wakati kwenye chama tu hakuna uhuru!!wachukue form then wanachama wachague wanaemuona anafaa

we want lisu.
Lisu alindwe
Huyu jamaa kitu nampendeya hana uongo uongo kama baadhi ya wanasiyasa
Kila jambo na wakati wake, umefika muda wa Tundu Lisu kushika hatamu ya chadema na taifa, Huyo ni Mungu kabisa kwa asilimia 100
Hamna anachokiongea huyu kazi take uchochez TU bomu likilipuku huyoooo ughaibuni
Mbowe tuachie Lissu. Heshima yako ni kubwa sana na itaishi milele.
Tunamtaka Lissu
Wezi ndio wanataka wizi wao usijulikane
Kwan lisu mwananch kikombe chake Cha yangs
Watanzania tujifunze kwa waliowahi kufanya haya yanayoendelea ktk vyama vyao na walishia kutokuteuliwa ktk vyama vyao na wakahama na vyama vikaendelea na taratibu zao. Utulivu ktk vyama muhimu.
Mbowe mpishe mzee