ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA JENGO LA KAMANDA WA POLISI MKOA KATAVI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Jengo la Kamanda wa Polisi mkoa Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 14 Julai, 2024.

ความคิดเห็น • 3

  • @kuntaalkinte5415
    @kuntaalkinte5415 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama unajitahidi kuleta maendeleo nchini napenda na kuthamini kazi zako, Nakuombea kwa Allah akupe afya njema na nguvu ktk kutekeleza majukumu yako,

  • @user-mf9bj5uo8b
    @user-mf9bj5uo8b หลายเดือนก่อน

    Nchi yangu Tanzania,Amani!Amani!Amani tuilinde pongezi mama wa Taifa kwa kusimamia Amani yetu❤

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv หลายเดือนก่อน

    Jengo zuri sana IGP mwenyewe hana jengo kama hilo makao makuu.