Rais Samia kuongoza ufunguzi wa Ikulu mpya Chamwino - Dodoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ค. 2023
  • Rais Samia Suluhu Hassan kesho Mei 20, 2023 ataongoza tukio la kihistoria la ufunguzi wa Ikulu mpya iliyojengwa Chamwino, Dodoma ikiwa imejengwa na Jeshi la Ulinzi la Tanzania (JWTZ) kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ambapo ujenzi ulianza Februari 12 mwaka 2020.
    #AzamTVUpdates
  • กีฬา

ความคิดเห็น •