```Wananchi 4:2-8 Nao baada ya kusikia habari zile za kushtua ya kwamba wanakutana na mnyama wakafadhaika sana mioyoni mwao. Tazama ndipo mmoja wao akapaza sauti na kusema "Ee Morrison tunakuhitaji Sana katika kipindi iki" naye Morrison baada ya kuwasikia akasema " Enyi wananchi msinililie mimi, walilieni viongozi wenu na refa aliyewapeleka nusu fainali. Kwa maana ubaya na hila zao hakika ni aibu kwenu" Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake. Simba SC Tanzania #Nguvumoja. By Faustine Machibya 🦁🦁🦁🦁💪💪🔥```
Hongereni wachezaji wetu kwa kazi nzuri mliyo ifanya kwa hawa vyura kwa sababu wanaongea sana sasa leo tumewaonyesha lile goli walilo tufunga ktk vpl ule ni uchawi waliloga sasa leo ndiyo umechezwa mpira 4G Simba Next Level.
Mm ni mkenya na nashabikia Simba..... One love all the from +254🇰🇪🇰🇪
Karibu Tanzania, karibu Simbaaa
Nimeshangilia soka la Barcelona leo utopolo kimyaaaaaaaaaa maaaaaaaaeeeeeeeee
Safi sana
Hii ndio Simba Sports Club inatandaza kandanda safi sana
Pmoja sana jirani yetuu
Simbaaaaaa
Yaani leo nimeshangilia mpaka kichwa kimeuma. Daaaaa I love ❤️ you have siiimbaaaaaa
Poaw ndo faida za ushindi
Dhaa ata mm kinauma mpaka now
👍🏻💃🏻
Nawaona mbali Sana champions league ,,SIMBA WATAFIKA NUSU FAINALI ,nimeoteshwa niwaambie Wana Simba wote....weka like hapa tulipaishe Dua HILI...
Baraka Edison Mpenja unajua kutangaza mpira, Kwa upande wa Azam kutangaza mpira upo juu sana, sauti ya radi.
th-cam.com/video/hZj63wG2Mlk/w-d-xo.html
You can see mwanza city video here👆👆
ambae anairudia mpaka leo gonga like twende zetu wana msimbaziii
Ndo niko enyewe nacheki hapa 🦁🦁 ni nouuuma sanaa
Yesu ni zaidi ya yootee Kama unaamini sema ameen
Amen
Amen
Ameen
K
Ameen
Washabiki was simba mkowap tupeni like twende sambamba
"Thalatha bin sufur, msikit umeuzwa shehe" Mpenja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
simbaa hii ni barcelona? like zang jamani
Anawekame⚽🎾🏄🏃🏂⚾⛳🎳
💪💪💪💪💪
Au ni coka la kifaransa
❤❤❤
```Wananchi 4:2-8
Nao baada ya kusikia habari zile za kushtua ya kwamba wanakutana na mnyama wakafadhaika sana mioyoni mwao. Tazama ndipo mmoja wao akapaza sauti na kusema "Ee Morrison tunakuhitaji Sana katika kipindi iki" naye Morrison baada ya kuwasikia akasema " Enyi wananchi msinililie mimi, walilieni viongozi wenu na refa aliyewapeleka nusu fainali. Kwa maana ubaya na hila zao hakika ni aibu kwenu" Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake. Simba SC Tanzania #Nguvumoja.
By Faustine Machibya
🦁🦁🦁🦁💪💪🔥```
Umetisha
Risk
We faustine wewe ni kiboko umeandika kama waraka wa mtume Paulo kwa wafilipi hahahhahaha, 🦁🦁🦁 oyeeee
Hahahaha noma sana
🤣🤣🤣🤣🤣 fala sana we jamaa,,,wananchi watakuroga ,umeuaaa💥💥💥💥
Duh simba kama barca love you simbaaaaaaa
Triple C Mwamba wa Rusaka one man in a million oohhh yeeees the unstoppable striker Saluteee!
Km umefurahia huu ushindi mwana simba tujuane
Kwakweli leo wameipata
@@aishaanthony4508 🔥🔥🔥
Wako vizr saana
Mwana ukome hiyo
@@zakiahamisi9840 😁😁
Msikiti umeuzwa mzee😂😂like zangu jmn
Msikiti umeuzwa sheikh
Wanaoludia kama mimi tujuane mara ya 10 sasa aichoshi
yaaan niko apa naichek cjui n mara ya 50 kila kukicha nataman nishinde TH-cam kuchek mpikicho wa trh 12 hahahaaaaaa this is wonderfully guess
Hata mm narudia
Tupo
Tam sana hii
Kweli bwana
Kama kuna mtu amemsikia mtangazaj akisema Ndev za karantin kama mm gonga like
congration simba tambeni hongela
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Konk
😆😆😆😆
🤣🤣🤣😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dalili mbaya zinanukia, kama umeelewa gonga like
5 😂😂
Dala
😂😂😂
Kweli
Mpaka leo hii mechi highlights ina trend namba moja daaa 😂😂😂 simba ni balaaa
Sana kk
Nilisema tangu mwanzo huyu Miquison ni balaa.dogo leo alikuwa anahaha uwanja mzima 🔥🔥🔥
Dte
Nduuuuu!!
This is simba 😘
Team Simba 💪 all the way from Kenya
Yanga Wana Domo Sana leo wamekila kichapo eti devu za quarantine aaaaaaaa
Mwana kulitafutaa mwana kulipataaaa walitakaaa wenyewee fainaliiiii
Kama umefurahi kuwaona matola na van Brock wakikumbatiana kwafraha twende sawa
Simba Gonga like Twende sawa
Simba for Life! 💪🏼💪🏼💪🏼🔥
Anae amini simba anabeba FA tujuane !
Namungo watatusamehe tunalitaka hili kombe pia
Hakuna upinge
Mwakani yanga wajiandae kushangilia tim za nje, msikiti umeuzwa shekhe. Dalili mbaya zimerejea. Yanga dk 90 zote shuti moja tuuu
Simba ❤❤🔥🔥🔥🔥 from 🇰🇪 naipenda sana
Morrison's attitude sio professional
Fantastic football by simba
Ndugu zang wana jangwan...mm naipenda yanga mpaka sio vzur nipen like zang
Pamoja
@@illuminathersunzura1153 Hivi mnapataje nguvu ya kuangalia magoli 😆😆😆
😂kajifunzeni tena miaka saba ndiomujecheza na simbia ushauriwangu 😂
simaba ni moto wao 🔥🔥🔥🔥
Wanangu wa simbaaaaa piga keleleeeee #mabingwaaaaa this is simbaaaa
Hoyooooooooo
Mechi yangu inayoniliwazaga wakat wakulala mpka niangalie ndo nalala vzr like zen jmn😂😂❤❤✅
Aliesikia ndevu za karantini tukutane jangwani, kudadeki this is simba
Simbaaaaaa
👑👑👑
Love the swahili commentary 🔥🔥
Nan amesikia Simba amemgonga mwananchi 4g?? Kama umesikia weka like tuendelee kufraia kwa pamoja
Ama nn kakaaaaa
vp
th-cam.com/video/hZj63wG2Mlk/w-d-xo.html
You can see mwanza city video here👆👆
Mwananchi anachezea virungu
Kwel
1 on trending yaan noma kwel
Jamani sijachelewa leo cku yangu ya kuzaliwa na simbaaa wameni sapriseeee. Nimefurahii mimi asaye simbaaa nime enjoi
Happy birthday to you
Happy birthday
Ongera dada fata soda
Happy birthday
Hbd enjoy mamaaaa
Haipiti siku jamani nikirudi home nawasha sabuufa na conect na brutooth kumsikiliza mpenja alivyowakera watu😂
Simba yenyewe ndohiyo
Yaani mimi naijua vizuri Sana simba naipenda Sana simba
1 on trending
Number 1 trending
Kama unaangalia uku unatabasam tujuane😊😎
Leo Manara tutamkoma !!
Simba for life 😍😍
Naangalia hii clip karibu mara ya kumi hii nikiwa Oman jmn hii ni simba au Bayan? Mtangazaji kanifurahisha eti thalatha bin sufri
Tuliwambia bila uchawi hamuwezi kutufunga 😅😅😅😅😅
Kwa hyo na nyingi mmetumia uchawi? Ebu jitulize ndo mpira
Ha ha ha Boniface matoke naona leo hawajaenda kuloga
Ahsanteeeee hapana chezea simba
Kama wewe Simba gonga like twende pamoja
Zahanati ben10👕👖🎩👓zavenp👑😷😷😎👬👬👬👬👬👬👬
Vzr simba kiboko yao
Hongereni wachezaji wetu kwa kazi nzuri mliyo ifanya kwa hawa vyura kwa sababu wanaongea sana sasa leo tumewaonyesha lile goli walilo tufunga ktk vpl ule ni uchawi waliloga sasa leo ndiyo umechezwa mpira 4G Simba Next Level.
tuache masihara jamani Kennedy juma yupo vizuri sana
Kkabisa
Sisi hatuna subra ndo kelele za mwamnyeto ziishe
Hakika anazidi kuimalika siku hadi siku, aendelee kupewa nafasi na kuaminiwa na kocha atatusaidia sana
This is Simbaaaaaa 😀🏆💪
Wewe ulisikia wapi?
SHEIKH KAUZA MSIKITI WAUMINI WATASALI WAPI? HAHAHAHAHA HATARI SANAAAAAAA
😂😂😂😂😂weee mtangazaji sio mtu mzury
Ety morison na ndevu za karantin
Hahahaha kwani uongo
Safi kabisa
Tunaongalia kuanzia 10/01/2021 tujuwane kwa kuipenda SIMBA nguvu 1
Hahhhhhh Yanga walianza mpira kwa kumsakama mnyama e bwana walivyotaka tu kumgusa sharubu ndo msako ukaanza hawajapewa pumzi mpaka wakanyweaa😂
#1 on trending,
Mpenja Azam wakuongezee mshahara
@KILELE MEDIA TZ sapot ya nin
Ohhh my Jesus Simba imetwanga mwananchi inne ni htrai sana timu langu Mwaaaa nkupenda sana Simba❤️❤️
Ula wamepigwa 5 😅😅😅
No 1 on trending
Kifurushi cha 4g gonga like!
Najua wa upande wa pili ni ngumu Ku like. Jamani like zenu
Km umeskia Thalatha bin Sufur gonga like twende wote.
Hahhaha tharathaa
1.1.2021 happy new year Young Africans! Mwaka huu kabla haujaisha tunawapa tena kama hii
KM UMESIKIA MORRISON NDEV ZA KARANTIN GONGA LIKE
Ngoma zilizam bila tatizo safi Sana this is simba mnyama
Anaeamin mpenja anapata mzuka Simba wanaposhinda like hapa
One on trending
Noma sana
Kuna yule bwege wa Yanga alisema atakunya kuanzia taifa mpaka kariakoo
Tumtafuteni Mana ahadi ni deni
Ha ha anye sasa tuone
Aaaaaah kwani hujui JANGWANI wamezoea harufu mbaya. Baada ya mvua tu VYURA wanafia kwenye madimbwi na kutoa harufu mbaya
Asituchafulie MJI
kwani manara 8march alitembea kw mguu kutoka spain had dar??
Ngoja tuone kesho akinya
Ndevu za karantinii 🤩🤩
This is simba brother 4goals Morison WAP leo
2021 naitazama na Bado iko na mzukaaa
Huyuu jamaa et msikitin umeuzwaa shekhee
Haha haha 😆 hahaha Dah!
Poleni ndg zangu Yanga....Nadhani sasa mmemwelewa Manara...
Basi
Basi
Basi
Dhuluma....
Aliesikia msikiti umeuzwa shekh bonyeza like
Kazi nzuri ya chama
Yani nmeshangilia mpaka sauti haitoki (this is Simba)
We tuko pa1 sauti ndo inarudi hii time
@@sephaniamwakipesilemwakipe9939 dah!!! Ilikuwa Vibe la hatari
Msikiti umeuzwa sheikh,nampenda huyu mtangazaji mwaah
Better than Ekstraklasa Poland
Etii chama na molinga wanacheza ligi mojaa daaaahh hii cyo fair🦁
Congratulations Simba
Best derby match ever, yanga hawatasahau hii
Ndevu za karantini 🤣🤣🤣🤣
#1 trending 🙌🙌
Mpenja ni kichaa aisee, Nipeni like zake jamani.
Huyo ni mnyama damu damu humwambii kitu kwa simba mnyama😁😁💪
Ndevu za karantini.
😂😂😂
Ndevu za karanteen Leo yupo simbaaaaaaa
"wamemtumbukizia mtu" hahahahahaha ww mpenja ww unazidi kuwaumiza watu
Simba hakika imetupa heshima kubwa walitamba sana eti wape salamu Sasa hzo salamu zimefika mungu ni mtakatifu "mheshimiwa Rukiza"
Yaani naangalia marudio yanga bado wanafungwa tu😁😁
wakuu azam tv tunaomba mtuwekee hii game full kwasabb haikinai🙏
Kelele kwa simba akeeeee
Weweeeeeeeeee
Weweeeeee
Waooooo Simba baba laoooo
Kutoka Kenya na kuanzia jana mimi shabiki wa Simba. Hahahaha.
Nakupenda chama
Kama wew ni simba damudamu weka like hapa tujuane
Hongeren kwa ushindi mnono
Simba Kama MAN UTD 🔥🔥🔥
Number One