NSYUKA 2 ( 2003 )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2020
  • Dorin anajikuta katika mazingira magumu baada ya kuarifiwa kuwa hapati ujauzito kwa sababu ya Nsyuka, roho hatari ya ukoo wa ukoo wake. Mambo yanakuwa magumu baada ya kuambiwa na kasisi wa jadi Kaningola kwamba anapaswa kufanya mapenzi naye ili kuondoa shida yake.‪@swahiliwood‬ ‪@BongoCinematv‬ ‪@bongofive‬ ‪@millardayoTZA‬ ‪@middlesimba‬ ‪@Wasafi_Media‬ ‪@CLOUDSMEDIA‬ ‪@BongoCinematv‬ ‪@negrombavu5889‬ ‪@ITVTanzaniaTz‬ ‪@TBC_Online‬ ‪@globaltv_online‬ ‪@bmtvtanzania‬ ‪@SinemaGo‬ ‪@mambo_media-KTz‬ ‪@CinemaSins‬ ‪@BongoBDMovies‬‪@allmovies8606‬ ‪@madebelidai10‬ ‪@SimuliziNaSauti‬ ‪@SamMisagoTV‬ ‪@Bongo-BD‬ ‪@BongMotivation‬

ความคิดเห็น • 201

  • @NdayishimiyeDjuma-is8gg
    @NdayishimiyeDjuma-is8gg 6 หลายเดือนก่อน +21

    Oyawe sis weny tunaitizam 2024 tujuwane hapa kw like

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 7 หลายเดือนก่อน +9

    Nipo hapa kuuaga mwaka 2023 welcome 2024

  • @albertmwakimi9449
    @albertmwakimi9449 3 หลายเดือนก่อน +6

    2024,gonga like hapa

  • @user-zw6jb4gh7u
    @user-zw6jb4gh7u 27 วันที่ผ่านมา +2

    Tunaoangalia mwaka 2024 like hapa 😅

  • @wilsonmbilimbi7144
    @wilsonmbilimbi7144 2 ปีที่แล้ว +13

    2022 bado nkiangalia hii movie naogopa jmn

  • @salmamganga6584
    @salmamganga6584 3 ปีที่แล้ว +10

    ongeza tena jmn ... i will watch of all these❤️❤️❤️❤️

  • @CareenPapius-je9nx
    @CareenPapius-je9nx 7 หลายเดือนก่อน +4

    2024 tuonane Apa

  • @issaahmed8622
    @issaahmed8622 ปีที่แล้ว +10

    2023 bado naicheki hii movie

  • @gracekamelle1553
    @gracekamelle1553 2 ปีที่แล้ว +26

    Who's still watching this movie 2021🤚

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 2 ปีที่แล้ว +11

    The best of the rest from TANZANIA🇹🇿. ALL ACTORS deserves enough 💵 not only appreciation, they did great job,.

  • @zuwenaothman5134
    @zuwenaothman5134 2 ปีที่แล้ว +13

    Still watching this movie 2022

  • @salimkombora2742
    @salimkombora2742 3 ปีที่แล้ว +9

    move kama hizi zirudiwe tena...wazimu balaa

  • @hadijahassan6467
    @hadijahassan6467 ปีที่แล้ว +5

    Nilitazama hii movie,nmekumbuka mbali 🥺🥺🥺🥺

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +6

    Tarehe 26 mwezi wa 1 mwaka 2022 naangalia ila bd naogopa sana...!!!

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 ปีที่แล้ว +4

    I loved it

  • @jenfan8781
    @jenfan8781 24 วันที่ผ่านมา

    Nmekutana na nsuuka leo, walai ana ngozi nzuuuri Sana bado kijana yaaaaaaan

  • @LeonardChimanda-fn5fr
    @LeonardChimanda-fn5fr 7 หลายเดือนก่อน +2

    Watching this movie in 2054 gonna like hapa

  • @reubenlameck6225
    @reubenlameck6225 3 ปีที่แล้ว +30

    Hatariiii kitambo Sana walio itazama hii 2020gonga like

  • @muhammadsungura9270
    @muhammadsungura9270 3 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana hivi ndio vitu vya kiutu uzima leten mpk mwisho watazamaj tupo

  • @husnamkumba1359
    @husnamkumba1359 2 ปีที่แล้ว +4

    Azam wangetuwekea sinema zetu

  • @user-bl3ee2vx4d
    @user-bl3ee2vx4d 22 วันที่ผ่านมา

    Jamn hii move inatisha daah yaan sio kidog

  • @abdulzackawami7780
    @abdulzackawami7780 3 ปีที่แล้ว +26

    Hizi ndyo filamu bhana sio siku hizi jini anavuka barabara huku anaangalia magari😂tuletee Kihongwe,mzee wa busara pamoja na Sawaka

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 3 ปีที่แล้ว +7

    Mm. Apa nop siwezi lala 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Nime enda 🙋‍♀️🙋‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️💃💃💃💃💃

    • @tinahfredy7066
      @tinahfredy7066 3 ปีที่แล้ว +2

      Yani nimeangalia hii muvi nimecheka sana leoo mm niliyekwa siendi ata kuoga wala kulala pekeangu kumbe ni hawa watu walopakwa unga na tomato 😹😹😹😹😹🤣

    • @azzaally9335
      @azzaally9335 ปีที่แล้ว

      Utakom 😂😂😂😂

  • @naifalorence6541
    @naifalorence6541 2 ปีที่แล้ว +3

    Kiukwel mpka Leo hii movie naiogopa

  • @rizikingowa7882
    @rizikingowa7882 2 ปีที่แล้ว +4

    Inatisha Sana sana

  • @mlongomlongo6680
    @mlongomlongo6680 ปีที่แล้ว +4

    Jamani inatisha hii movie hata nilikua sikujui wakati huo nangalia 3,12,2022

  • @enockbusungu3807
    @enockbusungu3807 3 ปีที่แล้ว +5

    paparazi roho ya mwandishi ihusike pia hapa pls

  • @mkwindamohamed7876
    @mkwindamohamed7876 3 ปีที่แล้ว +7

    km vipi irudiwe kw HD

  • @salimkombora2742
    @salimkombora2742 3 ปีที่แล้ว +4

    one of the best of bongo move

  • @salmamganga6584
    @salmamganga6584 3 ปีที่แล้ว +4

    waooooo ahsant jmn

  • @azzaally9335
    @azzaally9335 ปีที่แล้ว +1

    Leo tareh 14 /12/2022 bad naogp jamn but npend san movie kam hiz💕💕💕 kaz mzur 👍👍

  • @rehemasahwi5530
    @rehemasahwi5530 3 ปีที่แล้ว +7

    Ringo na jimmy mafuru nawapa hi 😂😂😂😂😂

  • @NasraIbrahim-iw3or
    @NasraIbrahim-iw3or 3 หลายเดือนก่อน

    ❤😊 naipenda sana

  • @user-ip5ht6ly1h
    @user-ip5ht6ly1h หลายเดือนก่อน

    nilkw silali kwa sababu ya hii move😂😂😂😂😂

  • @barakastephano9958
    @barakastephano9958 3 ปีที่แล้ว +5

    Chite ukae please

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakika Hakuna jipya chini ya Jua, ilkw ni zamani sana sana lakin filamu imebeba madhari ya uhalisia Wa kiafrica ,,,.na kusisimua kongore, wasanii kizazi kipya wanarakw kujifunza utunzi huu,....
    2020.

  • @zainahassan2726
    @zainahassan2726 2 ปีที่แล้ว +3

    Naomba weka roho sita ya chuchu hansi

  • @glorylymo958
    @glorylymo958 2 ปีที่แล้ว +3

    Bora ata hii sauti inaeleweka,,,

  • @ashaomary249
    @ashaomary249 25 วันที่ผ่านมา

    Nilikuwa naogopa enzi hizo😅😅

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaomba Harusi ya Candy,My Darling,Neno,Shamba Kubwa, Behind the Scene,Masaa 24,Mfalme Seuta, Shumileta,Chozi la urithi,Mtemi

    • @user-fq9dd4mu6y
      @user-fq9dd4mu6y 7 หลายเดือนก่อน

      Kuna bosi YA kawambwa, Safar YA chiku Na kapili,mzee Wa busara part 1 YA zinduna Na somoe,jinamizi YA Kisa cha kweli kilichotokea Rufiji, Hasidi,Pete YA usaliti,Noti,mahabati

  • @nishamwenendi-vh4wk
    @nishamwenendi-vh4wk หลายเดือนก่อน

    Nilikua na miaka 5 nikiangaalia hi move nilikua naogopa sana 😂😂😂😂

  • @RUFUS_97
    @RUFUS_97 3 ปีที่แล้ว +5

    aisee mpaka leo na miaka yangu 30 bado naiogopa hii muvi kinoma,.........

    • @kefaprince6250
      @kefaprince6250 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha punguza uoga

    • @azzaally9335
      @azzaally9335 ปีที่แล้ว

      Aaaaa😂😂😂😂pol san

    • @esternyamakene206
      @esternyamakene206 11 หลายเดือนก่อน

      Mm hata udogon sikutakaga kuangalia nilivoambiwa inatishaaa

    • @user-xv9me9lm6g
      @user-xv9me9lm6g 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@kefaprince6250😂😂😂 kulalina

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 2 ปีที่แล้ว +2

    Mpaka leo tarehe 13/7/2022 bado naitizama move hii nawapenda sana jmn

    • @rahimmwayaga3715
      @rahimmwayaga3715 2 ปีที่แล้ว

      Sijui nitapta wapi jinamizi haki naipenda sana hyo movie

    • @azzaally9335
      @azzaally9335 ปีที่แล้ว

      Mm tareh 14/12/2022 inatish san sio sir yaan 😖😖😖

  • @Sharobabu
    @Sharobabu 3 ปีที่แล้ว +9

    Usisahau na fungu la kukosa ya riyama

  • @user-ii8qd6ux1h
    @user-ii8qd6ux1h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka hii muvi nilikua nikitoka kuingaria kwenye Banda la video kizaazaa kinaanza wakati was kurudi nyumbani ukisikia hata mbwa kabweka mbiiiooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @medyhsni4211
    @medyhsni4211 3 ปีที่แล้ว

    Nom sanaaaa

  • @saedmohamed9262
    @saedmohamed9262 2 ปีที่แล้ว +1

    leo ni tarehe 7/7/2022 siku ya alhamis naangalia muvi hii na hapa ni usiku lakini bado naogopa.... kazi nzuri hii sio muvi zetu za kipindi hiki za kuhamasisha ngono tu...

  • @user-nb5kw2cy7m
    @user-nb5kw2cy7m หลายเดือนก่อน

    Jamaa navuruga kikao mzee msisili kakomaa khaaaa

  • @yadugobz8214
    @yadugobz8214 3 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa naogopa huu usenge 😅😅

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 2 ปีที่แล้ว +5

    dah eti aliyeigiza insyuka amelipwa elfu 30

    • @beesmarttv3792
      @beesmarttv3792 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @monicakapama9977
      @monicakapama9977 2 ปีที่แล้ว +1

      Elfu 30 mwaka 2002 ilikuwa kama laki 5 ya sasa

    • @azzaally9335
      @azzaally9335 ปีที่แล้ว

      Enzi ezoo et but not now

    • @esternyamakene206
      @esternyamakene206 11 หลายเดือนก่อน

      Yeah ilikuwa kubwa Sanaa .... Maan mpk sh 5 zilikuwa Bado zatumika

  • @tosamz643
    @tosamz643 ปีที่แล้ว +2

    Watching 2023😅😅😅

  • @AliNassor-mj2yb
    @AliNassor-mj2yb หลายเดือนก่อน

    Kwel

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭Jamani

  • @emmyminnah4043
    @emmyminnah4043 2 ปีที่แล้ว +2

    Chite ukae part2 pls jmn

  • @ayyahmalik2408
    @ayyahmalik2408 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mie nilikuwa naogopa nini hapa 🤣🤣🤣wa 2022 mwez wa 10

  • @abdulrahmankibuo2317
    @abdulrahmankibuo2317 ปีที่แล้ว

    Best director Mussa banzi

  • @tausytee6623
    @tausytee6623 3 ปีที่แล้ว +3

    Nsyukaaa,alitutisha huyu baba

  • @lindakihoro2170
    @lindakihoro2170 3 ปีที่แล้ว +4

    ❤❤

  • @peterbyarugaba7507
    @peterbyarugaba7507 3 ปีที่แล้ว +3

    Ilikua Atari sana hii movie

  • @user-dp7cq5cv1d
    @user-dp7cq5cv1d ปีที่แล้ว +1

    Ila zamani walikua wanaigiza bana yan ni 🔥

  • @JumaOmari-mt7hj
    @JumaOmari-mt7hj 2 หลายเดือนก่อน

    Leo nakumbuka siku ile niliogopa kukaa gizani

  • @pillymakambi9133
    @pillymakambi9133 ปีที่แล้ว +1

    nliangalia hii move mwak 2006 daras l kwanza Hadi 2022/22 naogopa bdo

  • @user-wt3tf5xz7b
    @user-wt3tf5xz7b หลายเดือนก่อน

    Qatar man know Zoe

  • @rehemasahwi5530
    @rehemasahwi5530 3 ปีที่แล้ว +4

    Sauti inakatakata jmn

  • @chitwangandembo6302
    @chitwangandembo6302 9 หลายเดือนก่อน

    Tujuane hapa tuliokuja kuangali limovie lililotutisha miaka 20 iliyopita😂

  • @mauwapremice7080
    @mauwapremice7080 3 ปีที่แล้ว +11

    Hakuna filam iliyo nitishaga kama hiyi daah 🤔nilikuwa siwezi kuingiya ndani pekeangu..🤣🤣

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +1

      Ongea ww mm nilikuw nalia mkojo ukiniban au nikitumwa ndani

    • @mauwapremice7080
      @mauwapremice7080 3 ปีที่แล้ว

      @@aminatanzanya7475 daah 😁😁

    • @amybrown469
      @amybrown469 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata kuingia bafun ulikua ishu kwahy nkawa mchafu kuoga

    • @neemadaud7470
      @neemadaud7470 2 ปีที่แล้ว

      Nahic wote hamnifikii na hivyo nili kuwa mdogo

    • @beesmarttv3792
      @beesmarttv3792 2 ปีที่แล้ว

      @@amybrown469 🤣🤣🤣🤣

  • @mariammussa4593
    @mariammussa4593 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 ugomvi wa mke na mume duuuh

  • @coreyplatinum
    @coreyplatinum 11 หลายเดือนก่อน

    Mamamamamamaeeee dude hili lilitisha watu wengi enzi hizo sito sahau 😂😂😂 dah

  • @yowtz5450
    @yowtz5450 3 หลายเดือนก่อน

    Shenziii

  • @benedictflorence2870
    @benedictflorence2870 3 ปีที่แล้ว +4

    Duh Et jini nae linacheza na kuimba ngoma za tambiko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SalumMkumba-wj2wl
    @SalumMkumba-wj2wl 3 หลายเดือนก่อน

    Niliitazama 2001

  • @fatmakisanga4486
    @fatmakisanga4486 2 ปีที่แล้ว

    Jamani nimemuona da nai the don wamzingani

  • @Rahmamatengo6114
    @Rahmamatengo6114 11 หลายเดือนก่อน +1

    Inatisha jamn naogop kwel😰😰😰😰

  • @user-il5mf2dy5r
    @user-il5mf2dy5r 5 หลายเดือนก่อน

    2024 tunaitzama ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-le6eg6qt7z
    @user-le6eg6qt7z 9 หลายเดือนก่อน

    Kipindi naangaliya iyi igizo nilikuwa namyaka mi8. Imenikumbusha mbali sana. Izindozilikuwa igizo.

  • @adinanijunuzaj9580
    @adinanijunuzaj9580 10 หลายเดือนก่อน

    New generation hapa mutuache

  • @emmaeliasndege9436
    @emmaeliasndege9436 2 ปีที่แล้ว

    Movie noma san

    • @abdallahmkwizu-uf4fx
      @abdallahmkwizu-uf4fx ปีที่แล้ว

      Muvi ilinitisha ata ndani sikua naingia au kukaa peke yangu

  • @cartertv3233
    @cartertv3233 3 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @nevillysimbeye
    @nevillysimbeye ปีที่แล้ว

    Aiseee naogopa

  • @rahimkarim-py1yo
    @rahimkarim-py1yo 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba alinifanya nisiende dukan enz hizo atar san😂😂

  • @simoninzowah7817
    @simoninzowah7817 ปีที่แล้ว

    ...we inatisha sana hiii picha...

  • @KTMediatv
    @KTMediatv 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu bibi Kama Hakuchukua Tuzo Miaka ile Basi labda hazikuwepo Kama ziliwepo na hakupata hajatendewa Haki

  • @mbumikibona8072
    @mbumikibona8072 7 หลายเดือนก่อน

    Jmn😅

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว

    Nc movie 🤣😭

  • @sabrinahomary390
    @sabrinahomary390 8 หลายเดือนก่อน

    Movie haijawah chosha

  • @AbdulAziz-dv8vi
    @AbdulAziz-dv8vi 8 หลายเดือนก่อน

    2023

  • @robatimathew753
    @robatimathew753 ปีที่แล้ว

    Movie hii atari sana

  • @aliyusufali2521
    @aliyusufali2521 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyo Ringo chili na zimwi Nan kawaona Kam mimi

  • @nungabadest6913
    @nungabadest6913 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii muvi ilinifanya nisiwe naoga kwa kuogopa kuingia bafuni

  • @KefaGeorge-oo1jw
    @KefaGeorge-oo1jw 3 หลายเดือนก่อน

    naitazama 2024

  • @AlexanderMaganga
    @AlexanderMaganga 5 หลายเดือนก่อน

    Duh mbona haina sauti visehemu jamani 😢

  • @BrownLittle_boe192
    @BrownLittle_boe192 ปีที่แล้ว

    James lapulga jr
    😅😅😅😅😅😅

  • @KTMediatv
    @KTMediatv 4 หลายเดือนก่อน

    Nani kamuona Mzee Msisiri Kwenye Kikao Cha mazishi Hapo kumbe Kitambo Kwenye game. 😂

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee hii movie inlikua na miaka mitatu ndo ilitoka ilaa naiogopa ad sasahv ila ndomovie ya kibabe lete mzee was busala zoote ziludiwe

  • @elishajegeje6482
    @elishajegeje6482 3 ปีที่แล้ว +1

    Leta saradini

  • @hilalijafari7405
    @hilalijafari7405 3 ปีที่แล้ว +5

    Tuwekee kihongwe na saladin party two tunakuomba

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 10 หลายเดือนก่อน

    Shenaiza itupie pia

  • @macdonaldchaboka6117
    @macdonaldchaboka6117 ปีที่แล้ว

    Kmmke nkajua nikiiangaloa ukunwani haitishi🤣🤣 mbona ka yashtua shutua kidogo

  • @JblalyJoachim
    @JblalyJoachim 29 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂huyu nsyuka alnfanya mm nkashndwa kulala yn nkiiangalia movie kma hii nkiwa sjaoga hakiii siog au uwe unaangalia hii movie ghfla umeme ukatike weeeeh patamujee hapoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @reyca_v.i.p
    @reyca_v.i.p 2 ปีที่แล้ว +3

    Eti ulikua na mwanamke au kinyago sanjo nimekuambia house girl wangu daaah 🤣🤣🤣🤣