Maskini Jeuri - Part 1 | Official Bongo Movies|
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2020
- Hiki ni kisa cha tajiri anapotumia pesa zake kumnyanyasa maskini lakini maskini huyu hakukubali kuonewa fuatilia filamu hii Maskini Jeuri Part 1 #MaskiniJeuriPart1
Cast:
Haji Adam
Adobe Okoye
Asma Juma
Aisha Mohamed
Rutisia Shiraz
Ex:Producer By Kiwango Media Films
Kupata cctv camera za majumbani na ofisini
www.amazon.com/Surveillance-D... - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Wale tumetoka tiktok karibuni
Huyu hapa😂😂😂😂😂
Huyu hapa 🤣🤣🤣🤣
😀😀sisi hapa
Mimi hapa
💃💃💃
Wali ipenda hii filamu tu dondoshe ❤ hata kumi tu
Am from Tiktok kuja kujionea mwenyewe 😏😏
Kama ndiyo kwanza unaangalia hii movie like ili tuende sawa from tiktok
Kama unaangalia hii movie 2024 gonga likes
From tiktok
Mie too
Mwenzio 🤣
Me to nimetoka mbio nikaja search hii movie tamu xna
Uyu Monica aendi shule kazi kumfatilia mwenzie tu ndio anamakubwa Kama mtu mzima😀ila wapo vizuri watoto❤️💪
Ni nzuri kbs inamafunzo
Mashallah mkovizuli sana
Ipo xawa t ii
Yani kuna wazazi wakipata pesa wanawafundisha watoto Roho Mbaya xn Mwanao pesa ndo wamemaliza Monika kameshakuwa na roho Mbaya Mweeee
I'm from tiktok yakhi nmekuja kujionea mwenyewe.
Hahaha hahahaha mm pia apa nmetoka tiktok
Hahaha mi pia
Me too
@@starcell5555 naona tuko wengi
@@vionaauma1069 eeeeeh
Uyo mtoto pambe mungu amzdishie hata kwenye maisha yake ya badae
Uyu mtoto ni ana ujasiri kama jamila wa pete yaa ajabu❤❤
Nimeipenda sana iyo film Mtoto ameweza sana na hongeren washiriki wote
Pesa ni ghara la kuhifadhi mali
Ndio nimetoka tiktok sai much love bby gal
Hii Move Naipenda Uwa Sichoki Kiangaliya Ina Mafunzo Mazuri❤❤❤❤
Tafuta rafiki kabla ya njaa tafuta Jiran kbla ya nyumba😍
Asante kutuletea kitu kizuri.
Move inafundisha sana huyu binti ni noma simchezo
Movie nzuri Sana naipenda Sana hongereni 🙏 Nimempenda uyo mtoto
Asantee sana..
Sio vizuri kuwanyanyasa maskini kweli Nina huruma
@@KiwangoMediaFilms255 mvi nzuri Sana nimeipenda sana
Duuh nimeikubali move Kali na inafundisha pia
Yaaan da jaman nimeipendaaaaa😊😊😊😊😊😊
Daa hii mvi zur nimeipenda
Yani mtoto ana mafumbo yenye ukitafakari guy unakosa majibu congrats
misemo Safi na thabiti kabisa mungu awa bariki Sanaa
Wale wazee wa tik tok like twenze2
Kawaidaa mtoto watajiri akili yake haiwezi kuwa sawa na mtoto waasikiini masikini anabora zaidi
Ongereni viongoz
Waaaahhh mtoto yuko na maswali mengi
Movie mzuli sana mashaallah
Mjomba mlugulu unaempenda sana
Movie nzuriiii sana
Movies nzuri kabisa ❤
Hata mm nimependa sana hii movie
Wow ireally like this movie very talented kids
Tafuta akili kabla ya njia
Duuu 🎉🎉🎉
Nimempenda uyo babu yuko vzri
Mjomba reka kabisa kubuga❤😂
𝐦𝐨𝐯𝐢𝐞 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐲𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐨
Kazi nzuri sana
Movie nzur inamafunzo mazur sana 🥰🥰
Tajiri utakufa vibaya ww nakuhurumia 😆
Nimeletwa na tiktok humu
Haaaaaa kumbe tuko wengi 😂
Dhaa movie Kali sana ❤❤
huyo mtoto anakiri sana
💕💕
Hongera sana Susan wewe ni mtoto mwenye akili pianakupenda kwa ujasiri wako hapo ni haki.tu itendelea na huyo anaejiita tajiri akumbuke kuna mungu atakae hukumu sikuyasiku asijivunie Mali ni mfano wamauatu utashinda
Ipo sawa
Unafundisha mtoto ujinga kweli
Lakn malipo dunia
Xema mama monica ni pixi kali
Daaah namempenda sana uyo mtoto suz anajua sana
Shukrani..
Huyo mutoto aga koseya sana kwasababu mutu ukimuomba kitu huna humulazi mishe unamuacha
mover zury
Malezi mengne Aya ila kweny jamii yapo
Movi nzuri naipenda
Nzuri sana movi uwo mutoto iko nakipaji mungu amujariye
Mko vizuri
Movie nimeipenda san inamafundisho mazuri hongereni washiriki wote😍😍
Malipo hapahapa dunian
Duujamani
🕊🕊🕊🕊
Nice movie
Movie nzuri Ila huyo mjomba angelikuwa ni gabo zigamba ingenoga zaidi🥰🥰🥰
Hongeren Sana kwamuvi nzul
Asanteniii...
Yani uyu jamaa ananikumbusha nyumbani iyo ruga yake ya kirugulu safi sana
Kumbe tuko wengi
Hongereni kwa movie nzuri nimeipenda
Hizi movie zàfundisha sana
Dah
Big up
Ni hatari hapa kwer ni noma hii move kati ya zonte da ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mh vp wangu
Shukraniiii.....
From tiktok❤
Jibu hilo swali la uyo mtoto,mimi siwezi klijibu kwa haraka
Mashallh 🥰🥰🥰
Movie nzuri sana
Movie imenitoa machozi
Wow 😲 nzur sana yafundisha daa
Kweli maskini ana hekima sana
Inamafundisho mazur
Shukraniii....
Movie 🎬 mmja kali sana aky I like it 👌 😋 😍
Uyu mtt hapn
Tajiri na maskini tumeubwa na mola
From tiktok 🎉🎉
Ndo ss wote
Na mimi nimo nilotoka titok mpaka youtube
Pesa shetani inafundisha sana
Sawa mjomba
Siku zote matajiri hawana hakiri yakufikiria mbali
Movie nzur
Movie nzuri san Yan lilikuwa nikion Tiktok nusu nusu numehamuha kuhitafuta wee kali
Great
Nabi mswa ili
Hilo ndio linaitwa chawi gwiji 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Hongeren san
Hata kama nimejelewa ndio nafika kutoka tiktok
Kumbuka umaskini si kilema ilakutendayaliyo mema suzan hongera zako koma nae.huyu Mzee babake Monica atakomayeye hapo
Nimeipenda
Asanteee
Movie nzuri sana lakini jamila kaenda wapi??
Kweli huyu baba monica na mkewe pesa imewapa kibri ila ipo sku kitawaramba
Amina sana
Mamb
Movie ya masikin jeuli
Na mm nataka kuigiza jaman
sikili mtu ni masikni kama ni tajiri zaidi yako
Nakubali sana
Shukraniii..