Zuchu - Antenna (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6K

  • @BeatriceMbonea
    @BeatriceMbonea 25 วันที่ผ่านมา +586

    Tunao amini MUNGU gonga like hapa tutupemawe🔥🔥🔥..............shetani ashindwe kwa jina la YESU KRISTO

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 25 วันที่ผ่านมา +1

      th-cam.com/video/kt_WprctH8A/w-d-xo.html❤

    • @gerishomsimiyu743
      @gerishomsimiyu743 24 วันที่ผ่านมา +8

      Shetani atashindwa siku zote yeye huwatumikiza wanadamu kama vijakazi ,,you should not make a deal with the devil at the end anakumaliza tu ,,ila damu ya YESU inatosha

    • @angelmagezi8059
      @angelmagezi8059 24 วันที่ผ่านมา +1

      amen,,,,

    • @Understanding-God
      @Understanding-God 23 วันที่ผ่านมา +1

      Amen!

    • @CarolynBoyani-ew4gj
      @CarolynBoyani-ew4gj 23 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂 ameeeen

  • @stephenkichwa
    @stephenkichwa หลายเดือนก่อน +2318

    Aliye na macho ya kiroho ataona jinsi gani shetani amesifika hapa, ishindwe kabisa

    • @LupinajosephMatimba-pw7hw
      @LupinajosephMatimba-pw7hw หลายเดือนก่อน +4

      Huyooooooooooooooooooooo mchawi😂😂😂😂😂😂😂😂😂kujifqnyq mtakatifu😂😂😂😂ilooooooooooooooooooooooo

    • @otarueventsplanner1353
      @otarueventsplanner1353 หลายเดือนก่อน +74

      Kwel kabisa

    • @FridaDavid-u7w
      @FridaDavid-u7w หลายเดือนก่อน +85

      Kabsa yani huu ni ushetani umeingia Tanzania ndiomaana hatuishiwi n majanga

    • @MamuShkan
      @MamuShkan หลายเดือนก่อน

      Wenae 😂 😂 ​@@otarueventsplanner1353

    • @MaureenOwade
      @MaureenOwade หลายเดือนก่อน

      Uwee
      Mungu tusadue​@@FridaDavid-u7w

  • @nancyawuor7855
    @nancyawuor7855 25 วันที่ผ่านมา +383

    Ndio akuwe maarufu lazima asifu shetani but Mungu ndio asifiwe milele wakuu semeni Amen🙏🏻

  • @niffepetes5667
    @niffepetes5667 12 วันที่ผ่านมา +16

    Mungu tukumbuke ili atujui tunacho skiza ni ww tu unajua sisi ni wimbo tu unatuvutia mungu tusamehe thamba n'a utuondoe kwenye majaribio

  • @RonackAluvala
    @RonackAluvala หลายเดือนก่อน +992

    Zuchu Siku izi ni kusifu shetani 😭😭 wanao amini God ndio anatulinda kila siku tuseme AMEN 🙏🙏

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh หลายเดือนก่อน +4

      Amiina

    • @AfricanSwai
      @AfricanSwai หลายเดือนก่อน +22

      I think is about creativity

    • @AfricanSwai
      @AfricanSwai หลายเดือนก่อน +8

      I think is about creativity

    • @JacquelineJimmy-u3o
      @JacquelineJimmy-u3o หลายเดือนก่อน +8

      @@RonackAluvala It's creativity ww ndo shetani

    • @awadhhemed3421
      @awadhhemed3421 หลายเดือนก่อน +16

      Wakifanya kina REMA AMA KINA BURNABOY utasikia ati creativity lkn sasa wanyumba akifanya utasikia shetani😅😅

  • @leahgituku3035
    @leahgituku3035 27 วันที่ผ่านมา +202

    Huu ni Wimbo wa aina gani ,sina wivu lakini ishindwe katika jina la yesu rusheni mawe

    • @psmalagowilliam5275
      @psmalagowilliam5275 26 วันที่ผ่านมา +7

      acha uoga
      ni ubunifu tu nd umekuchanganya

    • @SwayInocent
      @SwayInocent 26 วันที่ผ่านมา +3

      Ubunif gan huo wa kishetani

    • @MagrethSamwel-s5z
      @MagrethSamwel-s5z 26 วันที่ผ่านมา +5

      Hebu zungusha antena alafu goma liendelee🤣🤣🤣

    • @boningassa4302
      @boningassa4302 26 วันที่ผ่านมา

      ​@psmalagowilliam5275 ubunifu gani hapa ww umeelewa?..kitu gani kimekuvutia?.

    • @ladyyumoo288
      @ladyyumoo288 25 วันที่ผ่านมา +3

      Tatizo la ubongo kukosa chakula chake,,, ungekuta ni msaani wa mambeleee Sasa ungesikia oooooh kabuni mbinu mpya na nzuri sana kwa sababu ni bongo naona shindwa katika jina La yesu zimekuwa nyingi Pyeeeeeee😂😂😂😂😂

  • @MNYARUALIM
    @MNYARUALIM 17 วันที่ผ่านมา +55

    Jaman wanao mwamini mungu wote semeni ameni kama humwamini mungu kaa kmy ameen🙏🙏🙏

  • @nicholaszuingli8748
    @nicholaszuingli8748 22 วันที่ผ่านมา +16

    Uyo ni upotevu kbsa!!
    Mungu ndiye mshindi

  • @khamsoleen
    @khamsoleen หลายเดือนก่อน +315

    Don't act like you didn't see this comment . I said God will provides all your needs."

  • @OlyTvShow
    @OlyTvShow หลายเดือนก่อน +150

    Leo wakwanza kutoka Burundi🇧🇮 jamani naomba ata like 50 🙏

    • @Espe-in6ym
      @Espe-in6ym หลายเดือนก่อน +1

      Nimezikupa ju nimeona una support star wangu na unatoka burundi

    • @Espe-in6ym
      @Espe-in6ym หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤

    • @OlyTvShow
      @OlyTvShow หลายเดือนก่อน +2

      ​@@Espe-in6ym asante❤🙏

    • @AminataBangura-pp3mo
      @AminataBangura-pp3mo 8 วันที่ผ่านมา

      Let go

  • @chocomomo_butyz
    @chocomomo_butyz 17 วันที่ผ่านมา +50

    Na hili watu watafunga macho kwa Zuchu, NAOMBA MUNGU AWAFUNGUE FAHAM ZETU NA MSIPUUZIE HILI JAMBO AMEN🙏🏾

    • @AminataBangura-pp3mo
      @AminataBangura-pp3mo 12 วันที่ผ่านมา +2

      Thanks ❤

    • @Seseboy-e6y
      @Seseboy-e6y 5 วันที่ผ่านมา

      Search song yangu pia utazame na ucoment

  • @Ghuyu33
    @Ghuyu33 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    After that Collaboration with Toss, I became a fan❤
    Much from SA 🇿🇦

  • @joashojine
    @joashojine หลายเดือนก่อน +31

    Ni kama video ni kama drama....creativity top notch❤❤❤

  • @skybilak5135
    @skybilak5135 หลายเดือนก่อน +124

    Watuu watu wanaoamini huu si uigizaji ila ni zuchu katangaza msimamo mpoo .... kwishaaaa

    • @VitalisBasso
      @VitalisBasso หลายเดือนก่อน +1

      Msimamo vp

    • @skybilak5135
      @skybilak5135 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@VitalisBasso kua shetani ni babake😂😂😂

    • @MelissaMushi
      @MelissaMushi 29 วันที่ผ่านมา

      @@skybilak5135😂😂😂😂

    • @skybilak5135
      @skybilak5135 29 วันที่ผ่านมา +2

      @MelissaMushi 😂😂 cni ukweli

    • @MwanaidiAthumani-y9k
      @MwanaidiAthumani-y9k 27 วันที่ผ่านมา +2

      Hakikaaa huu ni ushetani

  • @FrankKashamakula-xb1pc
    @FrankKashamakula-xb1pc หลายเดือนก่อน +63

    Shetani ana watesa sana hawa watu mungu awasaidie watoke huko siku za kuishi DUNIANI ni Chache sana 😢

    • @SimonGichuki-v8r
      @SimonGichuki-v8r 28 วันที่ผ่านมา +2

      By the way unasema ukweli God bless you 👼🙏🏻🙏🏻

    • @YannickKayembe-kp8cp
      @YannickKayembe-kp8cp 27 วันที่ผ่านมา +1

      @@FrankKashamakula-xb1pc 🤣🤣🤣🤣 ushetani uko wapi jamani

    • @fahadfrank4188
      @fahadfrank4188 27 วันที่ผ่านมา

      umasikini wako ndoo unaokusumbua

    • @jacklinedeus6068
      @jacklinedeus6068 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@fahadfrank4188sio umasikini.huu ni ushetani.hadi uwe na macho na akili ya ufahamu wa mambo hayo ndo utaelewa.😢😢

    • @BensonMbici-z9o
      @BensonMbici-z9o 27 วันที่ผ่านมา +1

      Wee kwenda😅😅punguza bangi,, hii ni creativity

  • @ishmaelnyongesa1678
    @ishmaelnyongesa1678 16 วันที่ผ่านมา

    Kama unafikiri huu ni wimbo tu,ole wako!

  • @Kanumbavevo
    @Kanumbavevo หลายเดือนก่อน +130

    Hii ndio video qali kuliko zote 2024 ....Kuna anaebisha ....aah pablo💥💥💥💥💥🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨

    • @AbdulSaidi-o3j
      @AbdulSaidi-o3j หลายเดือนก่อน +5

      Hamna video hapo sema tu.ukiwa.wasafi basi utasifia hata kibaya

    • @chizashungu8364
      @chizashungu8364 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna anaebisha,WCB WANAJUA SANA.HONGERA SANA QUEEN ZUCHU.

    • @KhadijaSaidy-v1h
      @KhadijaSaidy-v1h หลายเดือนก่อน +2

      Kisa kunamazombi au

    • @chizashungu8364
      @chizashungu8364 หลายเดือนก่อน +1

      Ndiyo utajua kwamba anaenda kukaa namba moja,kadondosha power,kadodosha baba Paula.Tulia Zuchu means business.

    • @OscarU.S.E.N
      @OscarU.S.E.N หลายเดือนก่อน

      Mm

  • @Vintonekaveli
    @Vintonekaveli หลายเดือนก่อน +140

    ❤❤ wa kwanza kuwatch from Kenya 🇰🇪 nipeeni likes zangu wakuu 🎉🎉

  • @jontezjonte6632
    @jontezjonte6632 หลายเดือนก่อน +54

    😢😢aki tuombee next generation Mungu ailinde isifuate mienendo ya hawa demonism wanaowatawala wasanii wa kisasa

  • @BobbyIsron
    @BobbyIsron 12 วันที่ผ่านมา

    Amapiano QUEEN ♥️♥️

  • @ira_faira_fa8010
    @ira_faira_fa8010 หลายเดือนก่อน +215

    Shetani akome kwa jina la YESU KRISTO

  • @amrimgole
    @amrimgole หลายเดือนก่อน +18

    Wanaomkubali zuchu gonga like hapo chini🎉🎉🎉🎉

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ หลายเดือนก่อน +56

    Unyamaaaa,,,Best Video By Female Artist 2024 Nakubaliiiiiii🔥🔥🔥🔥.

    • @AminataBangura-pp3mo
      @AminataBangura-pp3mo 29 วันที่ผ่านมา +1

      Thanks for your efforts

    • @RoseNtandu
      @RoseNtandu 29 วันที่ผ่านมา +1

      Okay🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @patrickmaruga5544
    @patrickmaruga5544 3 วันที่ผ่านมา

    Wow ngoma smart sana wekeni TikTok ❤❤🎉

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 หลายเดือนก่อน +180

    Kwani ata sijawahlllll pata like kwa zuchu fire

  • @NicomVirals
    @NicomVirals หลายเดือนก่อน +31

    Ngoma safi japo inakaa na ishara za kishetani

  • @JejemingaMinga
    @JejemingaMinga หลายเดือนก่อน +22

    Wa2 Leo toka moz🇲🇿🔥🔥🔥

  • @PeterMbilinyi-b5j
    @PeterMbilinyi-b5j วันที่ผ่านมา

    Zuchu yani mungu amusamehe jinga saifi ana sifu shetani 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😂😂❤❤

  • @DambweTz
    @DambweTz หลายเดือนก่อน +32

    Dooh! Aisee hili video lipo high CREATIVE KWA KWELI TUMPE MAUWA YAKE ZUCHU CHU CHU🎉

  • @elizabethodhiambo7621
    @elizabethodhiambo7621 22 วันที่ผ่านมา +7

    Shindwe pepo. Better I serve the Lord that I know. Mungu okoa waja wako

    • @elizajeptoo
      @elizajeptoo 21 วันที่ผ่านมา

      Shetani ishinde ashindwe katika jina lazima yesu

    • @vianzeconcious8051
      @vianzeconcious8051 14 วันที่ผ่านมา

      Jaman 😂😂 shitani yipi sasa

  • @LissaJackson-q6c
    @LissaJackson-q6c หลายเดือนก่อน +13

    My girl never disappoints ❤😊 much love from this side

  • @ozilbrown3604
    @ozilbrown3604 24 วันที่ผ่านมา

    Sijui alicho kiimba ila Video kali sana 💯

  • @DicksonLucas-ed6bj
    @DicksonLucas-ed6bj หลายเดือนก่อน +45

    Zuchu umeamua tulale tunaota usiku😂 bonge la video

    • @Gloriarespiki
      @Gloriarespiki หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂

    • @erickkasente8268
      @erickkasente8268 หลายเดือนก่อน +2

      Nomaaa zuchu💯💯💯💯

    • @jacquelinelodrick6069
      @jacquelinelodrick6069 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @camilasky254
      @camilasky254 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅aki

    • @NeemaOmari-h2j
      @NeemaOmari-h2j หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @44leo-c7e
    @44leo-c7e หลายเดือนก่อน +522

    Aliekubali hii creativity n unique agonge like apa

    • @JohnAdam-m7o
      @JohnAdam-m7o หลายเดือนก่อน +1

      Amewezaa🎉🎉

    • @JoyAgbiano-wr5cz
      @JoyAgbiano-wr5cz 29 วันที่ผ่านมา +2

      ka copy video y Rihanna

    • @moonmo7341
      @moonmo7341 29 วันที่ผ่านมา +1

      Mi nimegundua ukiangalia mwenyeww usiku unaweza usilalae😅😅😅😅😅😅😅

    • @AminataBangura-pp3mo
      @AminataBangura-pp3mo 28 วันที่ผ่านมา +1

      Thanks

    • @jacksonuraxa7875
      @jacksonuraxa7875 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@moonmo7341sasa ukiangalia thriller ya michael jackson si ndo hautalala kabisa

  • @roseakinyi5132
    @roseakinyi5132 หลายเดือนก่อน +112

    Alafu kuna sisi team zuchu Alafu kuna team maHaters 😅😅😅zuchu to the world ❤

    • @sinkalaemmakulata1509
      @sinkalaemmakulata1509 หลายเดือนก่อน

      Huna watoto ww

    • @YannickKayembe-kp8cp
      @YannickKayembe-kp8cp หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @Verna-c9t
      @Verna-c9t หลายเดือนก่อน +4

      In this world you can't be loved by all and hated by all. Ukiishi ukiweka haya kwenye akili then you'll survive in this world. Na sio wasanii tu wanapitia chuki. Hata pale nyumbani ,kazini. So learn to live with it. Hata yesu hakupendwa na wote na hakuchukuwa na wote.

    • @Awarewell4
      @Awarewell4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @Khadija-m7l
      @Khadija-m7l 29 วันที่ผ่านมา +1

      Zungusha antenaa

  • @PurityOnkanga
    @PurityOnkanga 14 วันที่ผ่านมา +4

    Wanao amini Mungu n mkuu gonga like hapa

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 หลายเดือนก่อน +18

    Video kali ya mwaka 💯🇹🇿

  • @tuckyprince5388
    @tuckyprince5388 หลายเดือนก่อน +51

    Jamani mie wa kwanza mnipe likes za kwangu zuhura kauwaaaa🎉🎉🎉mtoto hatari

    • @MNYARUALIM
      @MNYARUALIM 28 วันที่ผ่านมา

      Ndy semen hv mkijua nani kamsifu apo kwenye hyo nyimbo mnaongea na kishabikia tyu sku ya kihama tutakoma hakuna msamaa eeh mungu niepushe mimi🙏🙏

  • @ShaymaaSeeyd
    @ShaymaaSeeyd หลายเดือนก่อน +7

    This creativity is 🔥🔥

  • @samwelmsongoa1861
    @samwelmsongoa1861 12 วันที่ผ่านมา

    Shindwa shetani kwa damu ya yesu

  • @DavidSasi603
    @DavidSasi603 หลายเดือนก่อน +43

    inaonekana Diamond alifanya ile kitu saii ako ndani

    • @aminachoka1884
      @aminachoka1884 หลายเดือนก่อน +3

      Kumbe we pia umeona😂

    • @ChannellaChacha
      @ChannellaChacha หลายเดือนก่อน +1

      Kitu gani😅😅

    • @DavidSasi603
      @DavidSasi603 หลายเดือนก่อน

      @@aminachoka1884 eeh nimeona yoteee

    • @DavidSasi603
      @DavidSasi603 หลายเดือนก่อน +1

      @@ChannellaChacha angalia video vizuri

    • @AminataBangura-pp3mo
      @AminataBangura-pp3mo 20 วันที่ผ่านมา +1

      Thanks

  • @technicalanalysis8124
    @technicalanalysis8124 หลายเดือนก่อน +32

    she already sold her soul,,heavy message she
    reflecting

    • @eysherqdout8361
      @eysherqdout8361 หลายเดือนก่อน +4

      Ona hii mbwa 😅😅ila watu wa mkoan mnakuaga washamba

    • @kikalamu
      @kikalamu หลายเดือนก่อน +3

      I've have seen a lot of demonic music videos,.. and this is the only one I can defend as just being artistically creative.
      Usipotoshe watu, wasanii wetu wakibongo hawana mambo ya kijinga kufika huko.. mtu yoyote anayeangalia miziki atakwambia hicho kitu

    • @blessmimi
      @blessmimi หลายเดือนก่อน +2

      False ..Zuchu is a devoted Muslim she don’t play about that

    • @motivational_leader
      @motivational_leader หลายเดือนก่อน +4

      Music is art , huoni views ni wengi?,sio kila kitu ety ni she sold her souls ,muziki ni ubunifu

    • @toxic-vee
      @toxic-vee 26 วันที่ผ่านมา

      Type of comments I'm looking for

  • @vickynyakio7346
    @vickynyakio7346 หลายเดือนก่อน +24

    Zuchu kamaliza kazi aliyotumwa na diamond 😂😂❤❤❤❤

  • @esthermurangwa3618
    @esthermurangwa3618 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman mbona mmetuletea mambo ya kutisha lakini mdundo mzuri❤❤❤❤❤🎉 like kama ni kweli

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou 5 วันที่ผ่านมา

      Très beau rythme en effet
      BIG UP ZUUH ❤❤❤❤❤🎉
      🇨🇬

  • @nasirdaudimkunga228
    @nasirdaudimkunga228 หลายเดือนก่อน +89

    Aliwaambia ni movie.... She killed it @zuchu umezima zote af umewasha yako

  • @Khadija-m7l
    @Khadija-m7l 29 วันที่ผ่านมา +9

    Zuchu this is next level, 🙌🙌🙌, talent runs in your blood,

  • @YannickKayembe-kp8cp
    @YannickKayembe-kp8cp หลายเดือนก่อน +92

    Jamani nilisubiriya iyi antenna kwa hamu zuchu wangu nakupenda saaaana 🎉

  • @Pokomobae
    @Pokomobae 22 วันที่ผ่านมา

    Mwislamuu mzima...... subhanallah 😢😢

  • @Storyzaibrahim
    @Storyzaibrahim หลายเดือนก่อน +18

    Duu hii move zuchu,hongera Kwa direct

  • @dennisMuoki10
    @dennisMuoki10 หลายเดือนก่อน +17

    The creativity on top notch ❤❤❤❤🇰🇪

  • @MariamNgereza-p9g
    @MariamNgereza-p9g หลายเดือนก่อน +12

    Nilivyomuoga Leo silali 😂😂🎉🎉.....😊

    • @officialG-iq4cw
      @officialG-iq4cw หลายเดือนก่อน +1

      Achaaa bas 😂😂😂

    • @joharimizamba4580
      @joharimizamba4580 หลายเดือนก่อน +1

      Umenifanya nigaili kuangalia 😅

    • @alhajisabigoro2408
      @alhajisabigoro2408 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @naahcute-o2m
      @naahcute-o2m 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

  • @rebeccahkyakimwa9146
    @rebeccahkyakimwa9146 4 วันที่ผ่านมา

    Queen 👑 de musique in Africa 🌍 njoma

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu หลายเดือนก่อน +11

    kama una amini zuchu kua like hapa tuhesab ❤❤❤❤

  • @BabaRikodi
    @BabaRikodi หลายเดือนก่อน +10

    Zuchu pure talent daah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤦🏾‍♂️👌

  • @BabygGee-wi9lu
    @BabygGee-wi9lu หลายเดือนก่อน +9

    Nipen like zangu km unamkubali zuchu❤

  • @GKF-hashtag
    @GKF-hashtag 7 วันที่ผ่านมา

    Hii nayo ni Kali DADA❤❤❤❤❤🥰😍

  • @PrinceCloudydeSultan
    @PrinceCloudydeSultan หลายเดือนก่อน +22

    Kwanza kwanza kuna mi mi mi afu kuna nyinyi 🔥🙌

  • @Tima-ou1wf
    @Tima-ou1wf หลายเดือนก่อน +49

    Kwa mara ya kwanza nime kuja TH-cam kuangalia video za music nyimbo zote namalizia TikTok uko uko ila Kwa hii zuchu 🔥🔥 ❤

  • @Diamond_platinumztz
    @Diamond_platinumztz หลายเดือนก่อน +18

    Good Music mpenzii❤

    • @PrincessOmmy
      @PrincessOmmy หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 You’re not diamond

  • @brownmwananje-z4u
    @brownmwananje-z4u 12 วันที่ผ่านมา

    Dunia imepotea mungu atusaidie kwa haya majaribio

  • @GloryKomba-s4v
    @GloryKomba-s4v หลายเดือนก่อน +11

    Zuchu we ni mnoma san🎉

  • @Carinno2217
    @Carinno2217 หลายเดือนก่อน +17

    Video ya kwanza bora toka tupate uhuru❤

  • @ashleystella
    @ashleystella หลายเดือนก่อน +16

    Hii nayo kali mwanangu🔥💯

  • @JOHNSAMBA-v9f
    @JOHNSAMBA-v9f 3 วันที่ผ่านมา

    Zuuh wew fundi bana 🎉🎉🎉

  • @bestmusictz6331
    @bestmusictz6331 หลายเดือนก่อน +20

    African queen herself wap like zake anaweza sana

  • @blackeagle4441
    @blackeagle4441 หลายเดือนก่อน +10

    Big creativity ❤ producer UMEUWA BABA❤❤

  • @mrblessing5603
    @mrblessing5603 27 วันที่ผ่านมา +35

    Wickedness at its highest level
    I still believe God can use anybody lets continue praying for Zuchu and the wasafi at large

  • @ShantyMondistar
    @ShantyMondistar 21 วันที่ผ่านมา

    Sir God all the way,Shetani ashindwe

  • @DorcasBurton
    @DorcasBurton หลายเดือนก่อน +35

    zuchu weeee noma umetuweza wote jaman jaman kama umeikubali video gonga like hapa

  • @ahmedbinsule5586
    @ahmedbinsule5586 หลายเดือนก่อน +18

    Zuu umetisha ❤💪💪💪💪💪 ni moto fire 🔥

  • @AntoniaMathew-i5s
    @AntoniaMathew-i5s หลายเดือนก่อน +57

    Mmmmh hii video Mungu atusaidie..san...nakushukuru Mungu kwa kila jqmbo🙏🏼

    • @Miss_Gemah
      @Miss_Gemah 29 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢dah yani wee acha tuu

    • @AminataBangura-pp3mo
      @AminataBangura-pp3mo 28 วันที่ผ่านมา +1

      Go an show your family

    • @IdrisaJohn-o1j
      @IdrisaJohn-o1j 27 วันที่ผ่านมา

      Oseni

    • @shaklaomar697
      @shaklaomar697 26 วันที่ผ่านมา

      Hi video mungu atusaidie ama kweli hapa shetani kasifiwa 😮

    • @MajaliwaJuma-c5g
      @MajaliwaJuma-c5g 26 วันที่ผ่านมา

      Kweli atusaidie mungu

  • @lydiaadidja8141
    @lydiaadidja8141 11 วันที่ผ่านมา

    Bulozi iyi kabisa. 😢😢😢😢😢😢😢😢 unaenda naweye zushu

  • @ramandau357
    @ramandau357 หลายเดือนก่อน +354

    Tuliopenda hii movie ya antenna like apaaaa zifike ata 10 tu jmn

    • @HasnaSheby
      @HasnaSheby หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @jacquelineurio3032
      @jacquelineurio3032 หลายเดือนก่อน +2

      Kali sana

    • @afnaankhamis9838
      @afnaankhamis9838 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂​@@HasnaSheby

    • @SATTYBWOY37
      @SATTYBWOY37 29 วันที่ผ่านมา

      th-cam.com/users/shortsw6vsj3CFivU?si=AcMgPpEPO-2z3R--

    • @AmosLameck-x5c
      @AmosLameck-x5c 8 วันที่ผ่านมา +1

      Acha ujinga ushetani huu nani apende

  • @giuspinanyenza5907
    @giuspinanyenza5907 หลายเดือนก่อน +20

    Nimekua wa kwanza❤❤

  • @jumakihiyo4590
    @jumakihiyo4590 28 วันที่ผ่านมา +19

    Mtoto anabalaa🥰🙌🙌🙌zuchu atengwe kweny game ya bongo fleva ya kina dada

  • @RusiaKisouh-r5i
    @RusiaKisouh-r5i 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni kila kitu❤

  • @fatmhborndy7325
    @fatmhborndy7325 หลายเดือนก่อน +53

    Jaman mumewaona wenye macho yakiroho wako youtube zuchuuu twende kaziiiiiiiiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂🤣🤣😂😂

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki หลายเดือนก่อน +7

    Kama unamkubali zuchu like apaa🎉🎉🎉

  • @BongoVibesTV
    @BongoVibesTV หลายเดือนก่อน +117

    Hii ni zaidi ya bongo movie, inaonesha ni kiasi gani wasanii siku hizi wanatamani kutoa kazi nzuri, hongera sana Zuchu ❤

    • @dangoteabdul9541
      @dangoteabdul9541 29 วันที่ผ่านมา +3

      😢😢😢

    • @Sunflower001-xt3ou
      @Sunflower001-xt3ou 29 วันที่ผ่านมา +2

      Sanaaa thos creativity tukiendelea hivi aki tutafika mbali

    • @fatumajumaa7050
      @fatumajumaa7050 29 วันที่ผ่านมา +4

      Zakishetan

    • @BongoVibesTV
      @BongoVibesTV 29 วันที่ผ่านมา +1

      @@fatumajumaa7050 😂😂 kwan maonesho yote ya kutisha ni ya kishetani?

    • @MillyOwnio
      @MillyOwnio 29 วันที่ผ่านมา

      Creativity gani iko kwa hii Video? Ya'll should wake up. ​@@Sunflower001-xt3ou

  • @AmosLameck-x5c
    @AmosLameck-x5c 8 วันที่ผ่านมา

    Wote mnaokubali wimbo huu baba yenu shetani hiyo hampingi nanyi mkiendelea moto wa jehanam unawahusu

  • @ErickKeroige
    @ErickKeroige 12 วันที่ผ่านมา +8

    Saitani shindwee mapepo kabisaaa 😮😮

  • @hqtanzania
    @hqtanzania หลายเดือนก่อน +8

    Kama team zuchu gonga like hapa

  • @ShufaaMansoory
    @ShufaaMansoory หลายเดือนก่อน +17

    Zuchu zuchuu umebaruza Humuuuu❤🙌🏼🔥

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 6 วันที่ผ่านมา

    IyoNi Moja Ya Sanaa Hatupo Kabisa Hapa We Vip😂😂😂

  • @ElieSesa-y3q
    @ElieSesa-y3q หลายเดือนก่อน +24

    The first person to view from DR Congo. Share for our zuchu.!!!❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @faa2023-ngaragu
      @faa2023-ngaragu หลายเดือนก่อน

      Hh use english my friend.Crois-Tu que le français va passer ici?😊

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou หลายเดือนก่อน +2

      Moi je viens avec le Français et je dis vive la Reine ZUCHU ❤❤❤❤❤❤🎉🇨🇬🇨🇬🇨🇬🇨🇬

    • @AminataBangura-pp3mo
      @AminataBangura-pp3mo หลายเดือนก่อน

      Thanks so please share the video

    • @YannickKayembe-kp8cp
      @YannickKayembe-kp8cp หลายเดือนก่อน +2

      ​@@OlgaAmboulouzuchu notre reine ❤

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou 28 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@YannickKayembe-kp8cpQue vive notre Reine ZUCHUUUUU FOREVER ❤❤❤❤❤❤🎉🇨🇬

  • @Arsenalidamu3538
    @Arsenalidamu3538 หลายเดือนก่อน +13

    👏👏👏👏👏nice job lady wa tz nko Lock nikiwa Kenya

  • @BonlateMulama
    @BonlateMulama หลายเดือนก่อน +11

    Hii video nimengoja truly iko fit❤❤❤❤

  • @jamestaifa3461
    @jamestaifa3461 14 วันที่ผ่านมา

    Daaah at ease inapigwa mlimani😂😂😂

  • @LeylaLupembe
    @LeylaLupembe หลายเดือนก่อน +5

    Ila zuchu ni fireeeeeeee🔥🔥🔥🔥

  • @rashidygoda9009
    @rashidygoda9009 หลายเดือนก่อน +9

    Umeua mama...this is your era ❤@zuchu 😅

  • @DanjeseGaaray
    @DanjeseGaaray หลายเดือนก่อน +14

    Sanaa shemeji yetu kwa diamond platinum

  • @WadhifaFaidawadhifa
    @WadhifaFaidawadhifa 8 วันที่ผ่านมา

    Setan yuko kazin, ashindwe kwa jina la yesu:

  • @djidjiofficiel6802
    @djidjiofficiel6802 หลายเดือนก่อน +22

    I don't understand what she's singing, but I like Tanzanian music ❤️❤️❤️

    • @annkithinji9262
      @annkithinji9262 26 วันที่ผ่านมา +1

      Its in Kiswahili/Swahili, Mostly it is targeted to Swahili speakers like Kenyans like myself

  • @TonyVander
    @TonyVander หลายเดือนก่อน +10

    Zuchu Umetisha nakubaliii ❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน +17

    Nimekuwa wa kwanza zuchu my queen❤❤❤🎉🎉🎉

  • @stephenlucky7947
    @stephenlucky7947 18 วันที่ผ่านมา

    Zippy 🦁 from 🇰🇪 zuchu hio style yako😭

  • @MollMall
    @MollMall หลายเดือนก่อน +20

    Ayaaaaaaaaah ZUHURA wewe ni MWISHOOO🙌🙌❤️❤️❤️

  • @ElizabethMwamalumbili-w8w
    @ElizabethMwamalumbili-w8w หลายเดือนก่อน +27

    Jaman huwa mnaangalia movie za ki zombie leo mseme mtu analeta ushetani, nyie ndio mashetani sasa msyiuuu,,, Kazi nzuri zuchu 🥰

    • @CollinsBarasa-sn7oi
      @CollinsBarasa-sn7oi 29 วันที่ผ่านมา

      Sasa mume wake zombie tayari, uyu ni aziraeli😂

    • @SofiaMafuta-wh1ov
      @SofiaMafuta-wh1ov 28 วันที่ผ่านมา +1

      Sikubaliani na wewe

    • @SofiaMafuta-wh1ov
      @SofiaMafuta-wh1ov 28 วันที่ผ่านมา +1

      Hii ni ushetani jamani bila ya kuhukumu

  • @JaruLoner1
    @JaruLoner1 หลายเดือนก่อน +32

    Kama unamkubali Zuchu nipeni like zangu🙌🏾

  • @udakutv5071
    @udakutv5071 14 วันที่ผ่านมา

    Ushetani pure...inabidi apewe misingi iginyu