Samahani mimi nataka kujua zaidi kuhusu protin teatment kwa mtu mwenye low porosity. Meaning afanye mara ngapi. Pia ni product zipi zinaleta unyevu 'na zipi ni kwaajili ya protin
Hi darling. Protein treatment kwa nywele ambazo ni low porosity inabidi kufanywa mara chache zaidi kwani ni rahisi kupata protein overload na kukatika nywele. Na ukichagua treatment yako angalia kwenye ingredients vitu kama silk au oat (mifano) kwani hizi ni proteins ndogo ndogo zinazoweza kuvumilika na low porosity hair. Muhimu zaidi ni moisturizing treatment. Kujua protein treatments angalia utaona imeandikwa for damaged hair, ama repair ama strengthen.
Samahani dada Mimi nywele zangu kwa Sasa ni kipilipili ch asili japo nwanzoni nilianzia kuweka dawa zilipokatika za dawa nikaendelea nazo kama kawaida ila jamani hazikui yaani zimedumaa ata hazisogei tena nisaidie nifanye Nini kunyoa ndo sitaki jamani napenda nywele
Asante kwa somo zuri sana na kuzijali nywele zetu za kipilpili
Hongera sana. Somo zuri sana
Nimependa
Asante darling
Asante Dada 🥰
Karibu mpenz
Asante sana ebu naomba utufundishe aina yakujuwa type ya nywere .
Karibu mpenz. Sawa usijaliii
@@rjsbeautycare asante
Kabisa Mimi ni kipilipili na Zamani nilikua nachekwa ila Sikuizi nimekua Mfano mzuri wa watu wenye Nywele Nzuri 🔥🔥🔥
Go girl💪
unaongea kwer?
Umefanyaje my
Salm aleykum I was suggesting km utaweza kutufunza Kwa vitendo if it's possible
Waaleykum salaam darling. Asante kwa suggestion my dear. Will find a way
Comment kama unakubaliana na mimi kua kipilipili kinakua
Asante😊
Haya wenye vipilipili tupo🤳
Samahani mimi nataka kujua zaidi kuhusu protin teatment kwa mtu mwenye low porosity. Meaning afanye mara ngapi. Pia ni product zipi zinaleta unyevu 'na zipi ni kwaajili ya protin
Hi darling. Protein treatment kwa nywele ambazo ni low porosity inabidi kufanywa mara chache zaidi kwani ni rahisi kupata protein overload na kukatika nywele.
Na ukichagua treatment yako angalia kwenye ingredients vitu kama silk au oat (mifano) kwani hizi ni proteins ndogo ndogo zinazoweza kuvumilika na low porosity hair.
Muhimu zaidi ni moisturizing treatment.
Kujua protein treatments angalia utaona imeandikwa for damaged hair, ama repair ama strengthen.
Napataje.mawasiliano
Unaweza kuwasiliana Nami kwa watsap number 0768945552
Yani mimi zinaniuma sio legevu sijuwi nifanyeje
Pole darling. Zinakuuma unapochana au?
Samahani dada Mimi nywele zangu kwa Sasa ni kipilipili ch asili japo nwanzoni nilianzia kuweka dawa zilipokatika za dawa nikaendelea nazo kama kawaida ila jamani hazikui yaani zimedumaa ata hazisogei tena nisaidie nifanye Nini kunyoa ndo sitaki jamani napenda nywele
Pole mpenzi. Hakikisha uko na routine inayoeleweka zitakua
Kwa sasa najitahidi kufata mafunzo yako huenda kwa kuyafata vizuri nywele zitakuwa