The only channel in the world to hit a 100k in a moth and a million sub in short period of time we love you our brother on am I.your content is real I love the way he says wacha ni 😄😄😄😄😄😄😄 waonyeshe
Napenda vijana wanao fumbua macho vijana wengine wasikae wakitegemea nyumbani baada ya kumaliza chuo na kuingia pabaya,mnavyotokea watu kama nyie mnavyoonyesha vijana wengine inawezekana kwa mfano diamond platnams aliingia kwenye music watu nao vijana wakahamasika kufanya music baada ya kuona mafanikio yake kwa anachokifanya kwa moyo na kukipenda na bidii, ila mm nimetokea kukukubali wakufwainua vijana wengine kuwatia moyo wanaweza fanya kitu kwa mfano wako brother you made big Up💪👋🇹🇿
I live in Uganda but it is full of Chinese shoes of low quality but I really love original shoes especially converse or chuck Taylors but u can't find new ones here in Uganda coz these shoes last for longer and I like that, thx a lot for the vid Ibra
40K subscribers, kazi safi sana Onami.👏👏 Mazee I hope Kenyans tu learn from countries like Yues. Form ni quality over quantity na as much as we consume tu embrace production pia. Hao majamaa wamejipanga bana. Mtu kutupa TV, gari and other stuff ina maanisha kuna jobs therefore kuna income ya maana and opportunities for free enterprise so watu wakona disposal income. My prayer is that upate sponsors na endorsements ivi. You have so much potential and the sky is the limit.
7:18 hapo Kwa idea ya kuweka mkoko kanairo watu waweke ma cans utapata mkoko imeenda na cans zako pia😂 kanairo ata Kwa takataka dandora huwezi enda okota okota scraps Kuna wenyewe😂😂
Much love from zanzibar , we live in a world where the truths is a lie and a lie is the truths . Your channel is nothing but the truth in a world that many don't know.. keep up ,keep up the motivation
Ati hasla wa mjei??😳😳, hukai imagine but thanks for letting us know juu ni a good stori from rugs to riches. Usiuze hizo viatu za mjei, keep as a memento to remind you where you came from
pure kenyan content💯..i actually feel like am in the YUESS every time am watching your videos. The sheng is dope i just love how you make your videos simple and clear💙💙...saii ata naeza wapeleka chwom kadhaa huko minneapolis😂😂😂
Nili kuwa tu hiyo Dandora hata mimi nikitembea Yues na runinga lakini nimeitembea na maguu Zango hadi nimechoka karibu Kona zone to NY,Florida,Atlanta,Chicago DC,LA . Sasa tumechoka tunataka m kurudi home
Been following all your videos,have downloaded almost all,and i like them ❤️❤️,its like an adventure,so my suggestion is utufanyie video moja ya electronics, mostly simu na laptops 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Am sorry guys I don’t know why this video was low quality.🙏
Asante kwa video zako unanipatumaini kila siku nmejaribu lotary op nitafaulu
iko sawa bro
It’s not. The content ndo important and we got you… tukamezea viatu hapo so message home bro 👌🏾
Nivutishe rada vile hulifaulu kwa interview bro if u dont mind
@@zurimoiskitchen2003 kuna mtu hushare interview quesitions anaitwa Shiko Hopt Tv mtafute.
Presentation yako ya sheng ndio hunimbamba ya kabisa. Down to earth reporting. Heko Onami.
Your mama raised you well every time akitaka ku record lazma aombe ruhusa i love it 🤗🤗🤗
Its not about mama. In the us you could get sued mpaka ushangae
Huko nako ruhusa lazima
Bro sii unisakie job uko bana niko kenya
apo ni u.s banaa,utajieka kwa ngori mbaya zaidi,kenya napata msee anarecord ata kwa bank😂
U.S pia sio mchezo. You can get sued easily ukiwa kiherehere kuvideo watu without consent.
The only channel in the world to hit a 100k in a moth and a million sub in short period of time we love you our brother on am I.your content is real I love the way he says wacha ni 😄😄😄😄😄😄😄 waonyeshe
Tuko wa Tanzania wengi ambao tuna fatilia video zako 🔥
Na UG pia tupo
Cheki Ibra,nadai kukuuliza something personal..ntakuget aje
Tanzania 🇹🇿
Hehe wakenya tuko Apa pia....huko yues kiatu tamu iko
Hebu tuonyeshe
The phrase "huku yues" just takes me to US directly 🤣🤣🏃
Hahaa tuko wengi
Aki😅
😂😂😂😂😂
Yeah! Ibrahim is a great guy.😂😂
I like how courteous you're, lazima uombe ruhusa to record, you were brought up well, hongera kwa wazazi wako. I try to bring up mine that way too.
He is representing us very well
Uko na mguu kubwa buanaaa😂😂
I love the delivery. Basic and real. I prefer the sheng videos than the English one from before.
Ata mimi 😂
😅😅😅😂
Yes... You are such an original with Sheng
Juu hauelewi kizungu. Endeni shule baana
Nice shoes 👞 👟
Niko Gikosh saii😂😂😂kumbe pia mimi ntafika Yues siku moja 🙏
Good Job Onami👏
here we don't skip ads. lets support boy wetu
Ibra yesterday kept on refreshing this page for a new video, sema addiction to this channel, Huku Yues to the world....#1 fun
You’re so REAL and I love your content.. love from Greece 🇬🇷
Real dude doing real stuff when God opens doors I'll leave like this dude simple and real.
Onamire.....tunaangalia sana...kwanza wakupe trademark ya Huku YueS(US)...one love🇹🇿
🇹🇿
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Notification 🔔 on ,,🤣🤣🤣 izo like zikam please it's till morning guys
Unaona onami??? Wacha nikuonyeshe we love you our brother you are real .God bless you
Your channel is very unique yani mtu anajua usa vizuri bila kuvika usa😂
Napenda vijana wanao fumbua macho vijana wengine wasikae wakitegemea nyumbani baada ya kumaliza chuo na kuingia pabaya,mnavyotokea watu kama nyie mnavyoonyesha vijana wengine inawezekana kwa mfano diamond platnams aliingia kwenye music watu nao vijana wakahamasika kufanya music baada ya kuona mafanikio yake kwa anachokifanya kwa moyo na kukipenda na bidii, ila mm nimetokea kukukubali wakufwainua vijana wengine kuwatia moyo wanaweza fanya kitu kwa mfano wako brother you made big Up💪👋🇹🇿
I really like you no foreign accent kiswahili tu ni ya home despite being there for more than 7years
I live in Uganda but it is full of Chinese shoes of low quality but I really love original shoes especially converse or chuck Taylors but u can't find new ones here in Uganda coz these shoes last for longer and I like that, thx a lot for the vid Ibra
My number one fan. continue doing a great job huko YUES.
40K subscribers, kazi safi sana Onami.👏👏 Mazee I hope Kenyans tu learn from countries like Yues. Form ni quality over quantity na as much as we consume tu embrace production pia. Hao majamaa wamejipanga bana. Mtu kutupa TV, gari and other stuff ina maanisha kuna jobs therefore kuna income ya maana and opportunities for free enterprise so watu wakona disposal income. My prayer is that upate sponsors na endorsements ivi. You have so much potential and the sky is the limit.
Thanks so much am hoping one day to get some of the deals
He should learn to insert some ads in his videos .He deserves the best.
@@sarahoketch6915 The moment He will reach 4000 watch hour TH-cam will start to add the Ads to his videos
Wonderful!
Your sheng is on another level. Reason why I watch your videos. To listen to the sheng!
Nakupenda wewe na Marwa sema Marwa ni traveller mkubwa Kenya kazunguka dunia nzima from Tanzania
7:18 hapo Kwa idea ya kuweka mkoko kanairo watu waweke ma cans utapata mkoko imeenda na cans zako pia😂 kanairo ata Kwa takataka dandora huwezi enda okota okota scraps Kuna wenyewe😂😂
This channel is growing pretty fast....congratulations.
You are so authentic, this is what have been looking for.
wacha nitafute fare...nakuja kushona viatu💪🏽
Ninakufuatilia sana mkuu, Hongera sana and keep it up and so many blessings to you..
mimi nataka ni invest alafu nianzishe biz wa fundi wa vitau huko yuesA👌🏾
I wish ungeenda section ya women shoes tuone pia.
Much love from zanzibar , we live in a world where the truths is a lie and a lie is the truths . Your channel is nothing but the truth in a world that many don't know.. keep up ,keep up the motivation
Na like vile uko simple msee...uko majuu and you don't brag. Good work bro.
wow! This guy is more than Real. Selling what is truly Kenyan. Kudos 👍
niaje, ibra. nikitaka shelltoes number 9.5 naeza zipata aje. nimekua nikizitafuta
I just Love your Simple and clear Content...
May God Keep you Going Mr Onami
Yoh 😂😂😂😂 iyo phrase ya ati umenunua Gikosh ni noma man 🔥
Huku yues vitu za free ni mingi ona kuna ile home theater imetupwa Acha niwaoneshe 😂😂
Tuonyeshe place inauzwa tools za plumbing, electrical, carpentry na za kushona nguo . Zile za bei poa .
thanks buda kutuchanua content legit hopefully siku moja tutakuja ka technician
Umenipeleka, YUS mara nyingi kupitia hizi video zako. Nimeshop vile umeshop pia.
Ati hasla wa mjei??😳😳, hukai imagine but thanks for letting us know juu ni a good stori from rugs to riches. Usiuze hizo viatu za mjei, keep as a memento to remind you where you came from
pure kenyan content💯..i actually feel like am in the YUESS every time am watching your videos. The sheng is dope i just love how you make your videos simple and clear💙💙...saii ata naeza wapeleka chwom kadhaa huko minneapolis😂😂😂
Manzee!! 😅
@@soniamuthoni4490 Mtu akieza niambia sijaeda yuess tunaeza kosana vibaya saana
Walalo wako wapi huko na naskia kuna little Mogadishu huko
🤣🤣🤣
Congrats mkuu,,we believe one day tutafika majuu
Nakuelewaa sana mwamba from Tz 255
I’m happy how your channel is growing,Keep up.
Waah akuna fundi wa viatu mtaani!!!
I really enjoy your videos my brother keep up the good work 💯💯💯💯
Thanks bro, kwa kutuchanua
Hakuna Mwenye anakununulia hapo before upeleke Ibrahim displays iko poa
Nafuatilia Sana video zako bro mungu akubariki
Napenda content very unique 💪
Very true watu huku wako na closet ya viatu pekee especially madem. Maze unadhani ni shop na bado wanashop for more
Thus true 😂
Tupeleke na rieng ya viatu zote , timberland, Nike (air force) vibrant,
Huku US mtu hununua unachotaka🤪😂😂😂I should name my channel huku China as well 😂,good content bruh
2:34😂😂😂jamangu ulikuwa hustler
Onami l like it omerah USA nitacom bro majaliwa
Iove the way una show maboyz life ya usa continue my bro with the same mood thanks
Just discovered your channel ..so real 🔥🔥🥰
Ibra, 😊 content naipenda sana
nalike venye uko real. Video Iko fitti ibra
Mr Onami your doing great.
Sema natembea yues nikiwa hapa dandora.😊😊
Nili kuwa tu hiyo Dandora hata mimi nikitembea Yues na runinga lakini nimeitembea na maguu Zango hadi nimechoka karibu Kona zone to NY,Florida,Atlanta,Chicago DC,LA . Sasa tumechoka tunataka m
kurudi home
@@mushken65 😂😂
Dah iyo raba nmeikubali
Karibu nithani tuko garden city 😂😂 yani vile unafanya tuone ni kama Yuwes ni apa ivi ata si mbali. Nitamuok pia mimi
Ibraa huku Us... eneyewe lazima kupatia uplift closet after looking for money, nakubali
Hio kiatu hujaitupa, nakufeel, iko na sentimental value 😅👌🏽
I like famous footwear. Viatu vyao vinadumu.
Onami huku Yuwess sijawaiona fundi wa viatu🤣 Great content bro💯
Video zako tamu Sana, alafu tena naeza taka kuona lifestyle ya walami wenyewe
Hapo naona tu Mali safi safi msee damn it..Van's inaweza sana buana
I think sai najua kila place in minessota courtesy of Ibrahim Onami
Hizo timber ni noma
Captions zako huwa funny and attracts me to definitely watch 😁
Iyo timberland imeweza.
Yea ni original $200
Izo viatu ni bei kali Sana!
Dahhh we mwamba bahiri sana yani viatu miaka yote unavyo tuui
Been following all your videos,have downloaded almost all,and i like them ❤️❤️,its like an adventure,so my suggestion is utufanyie video moja ya electronics, mostly simu na laptops 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ibrahim onami do Video for this request
He did ..already
Napenda venye we husema ukikaatanzwa kurecord hununuii but wakiitia unanunua
Weee tuonyeshe baze ja jaba🍀
Tunakubamba sana kutoka Tz🇹🇿
vipi ndugu kuusu safari ya kuja usa gharama shilingi gapi
🤣🤣🤣wakikubali you record unawapromote,wakileta nyef nyef potelea mbali,hizo Timberland ziko poa,hauna open shoes, great job videos 👍🤝😎
You bro thanks for the exposure in the state hope to join you someday
Iyo buyu Bei gan inauzwagwa huko
Ume shikanishwa sana uko, na usipeleke ukenya uko. Usikae na viatu 5 years bana
enyewe sasa nishafika huku US... big up ibra be blessed for this information
That pink and blue Nike shoe is 🔥 buy me a pair 🥰
Alafu shoe game yako is 🔥🔥🔥
Safi sana Ibra,Keep on moving brother
You are doing a good job kaka
I love your content so much Mr handsome.
Hiyo sign itapotea kama itafika kenya . Wauzaji watabrush na mswaki
Yeah I real like an enjoy the video from Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Huko US,,inakaaani maisha poa aki,,,I wish one day I'll make it there,,nishaaa apply green card najua nitawin,,,,,
no.kuna shida mingi pia. kaa uku na UWE na bidii
utawin sister pia mimi ndio naaply, tutawin
Same here I subscribed to this channel because I am hopeful nitafika @#huku us sahii Niko Dubai UAE
Niaje Ibra... Unaeza fanya video ya air force shoes please sir
Yues nikama wazungu wanatupa vitu mingi yenye mtu akianzisha biashara ya kuleta kenya atakula fsuri sana
Onami I like the titles on your videos. They emanate from a creative mind.
fan frm tz dah nmejkuta nakufatilia kila cku
Manzee bro na kubig up kwa show yko
Bronjez Onami viatu kwako ni kama njugu 😁 si unijenge sneaker wallahi na ubarikiwe..😊
IBRAHIM bro all the time I love your jom thanks 👍 👍👍👍👍👍
You are so real. Good job bro keep it real tutulie tu hapa