Huyu mhilu ana press vzur ila ana shida 2 kubwa Kwanza ni positioning yake kweny box ni poor sana,anapishana tu na mipira kwenye box Pili,finishing yake bado haijawa nzuri,nadhan bado ana pressure ya kutofunga goli tang asajiliwe,ina mfanya awe na papara anapoona nafas clear ya kufunga
HALAFU KUNA MIPUMBAVU INASEMA GOLI LA KWANZA BOCCO NI OFFSIDE SASA BASI KAMA HIYO MIJICHO YENU IKO NYUMA ANGALIENI VIZR MSHAMBULIAJI KATOKEA WAPI USISEME KAMA MPUMBAVU CHUNGUZENI KWANZA SIO MNAROPOKA TU MSHAMBULIAJI ALIKUA NYUMA YA MABEKI SIMBA SC 🦁💪, 1 TEAM, 1 DREAM AND 1 POWER 💪
Goli 7 daah!!! Kweli kichwa cha nyoka hakibebi mzigo, Huu ni msiba mwengine poleni Sana Ruvu Mungu awape Imani Ila taarifa Mjue Luis Miq anarudi msimbazi je itakuaje?????
Congratulations from Mexico, I enjoy watching Tanzanian league highlights
Simbawakovizurisana
Simba ikiendelea na kasi hii itafika mbali zaidi ya tunavo fikili mungu ibariki simba
Leo wachezaji wetu wa ndani wamenifurahisha Sana unatakiwa kua hvo ukipewa nafasi hata sekunde moja onyesha kua inakitu Mungu awabariki sana
This is Simba Nguvu Moja 💪
I proud to be a part of a Simba 🦁 fans
Asante Sanaa chama langu la Simba sports club ❤️🦁🦁🏆👊
🎉 hi simba
Wawa amekua genius sio poa
You have played a wonderful and enjoyful football for to day💪
Simba rahaaa sanaaa
Wanafuga lakin hawaligi wmaaa simba nawapenda san🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Duh, namna mtangazaji alivyopamba goli la kwanza Peter Drury hakamati
Huyu mhilu ana press vzur ila ana shida 2 kubwa
Kwanza ni positioning yake kweny box ni poor sana,anapishana tu na mipira kwenye box
Pili,finishing yake bado haijawa nzuri,nadhan bado ana pressure ya kutofunga goli tang asajiliwe,ina mfanya awe na papara anapoona nafas clear ya kufunga
Mtangazaji yupo sawa
Huyu Bocco jmn karudi huwiiinajengewe sana huyi chama ,Banda ,Osman saccko oooh wako vzuri mno simba jmm wanaupiga hadi unaogopa huwiiiii
Innalilah waina ilyhi rajiun. Ya Allah tupe mwisho mwema
HALAFU KUNA MIPUMBAVU INASEMA GOLI LA KWANZA BOCCO NI OFFSIDE
SASA BASI KAMA HIYO MIJICHO YENU IKO NYUMA ANGALIENI VIZR MSHAMBULIAJI KATOKEA WAPI USISEME KAMA MPUMBAVU CHUNGUZENI KWANZA SIO MNAROPOKA TU MSHAMBULIAJI ALIKUA NYUMA YA MABEKI
SIMBA SC 🦁💪, 1 TEAM, 1 DREAM AND 1 POWER 💪
Banda is coming in now
Simba hatali sana safari namziki
peter banda 🔥🔥🔥
Tumetishaaaa
tukiwa tunashida simba,Azam media muwe mnawaonyesha mashabiki wa yanga tuwaone sura zinavyochachuka maana huwa hawakosi mechi ya simba.
Simba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Magoli mengi Sana...pole masau bwire
Ety yanga Wana Lia jamni😀😀😀
Waliteseka sana
Goli la kwanza la Bocco na hilo la mwisho la Chama nayasubili kwenye kipyenga cha mwisho na VAR ya bongo
nani mwingine ameludi kuangalia hii mechi mwaka 2025 gonga like hapa
Tunafunga mengi mpka tunaona aibu sisi wenyewe😂😂
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Ally antoni sonso ulazwe mahali pem pepon 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏻😥😥😥😥⚽️
Goli 7 daah!!! Kweli kichwa cha nyoka hakibebi mzigo, Huu ni msiba mwengine poleni Sana Ruvu Mungu awape Imani Ila taarifa Mjue Luis Miq anarudi msimbazi je itakuaje?????
I like simba sport club
Dah inaumiza sana yake mbele yetu nyuma R.I.P SONSO😭😭
Wonder kid🐒🐒🐒🐒
Hapo ingalikua poa Kama Hilo bango lingali chukuliwa na wachezaji mmoja wa Simba na mmoja wa ruvu
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl
Banda bonge la Fundi haswa.
Kaz ilikuepo
Hii ndoo Simba brother
Simbaaaaaaaaaaaaa goooooooooooo iiiiiiiiii
Mtangazaji alikua na mood ya mziki 😂
Waindad
Sifaaa
ALAFU WALA HATULINGI.....SIMBA BHANA.
Leo bokooo duuh
Simbaaaaaaaaaa
#mackpesacomedy
Mmoja amshike chama amwambie bhasss😂😂
Simba baba lao
Tunaitaji kumfunga mtani Yanga magoli kama haya ili tuufunge zip mdomo wake mana anaongea Sana bila vitendo
Bado kuna kitu hakipo sawa Simba. Kocha anatakiwa kukiweka sawaa ili timu ibalance
@@mohdhakim8216 nNi kweli hakuna Connection nzuri kati ya speed ya banda matokeo ya ufungaji
Simba walifanya mistake kumuacha banda
Uyu Banda jamn n hatar
JOGOO KAMEZWA NA MAGOYA YAKE
Namuona masau bwire anatuma msg za mapenzi jukwaani🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈
😂😂😂😂😂
Sio mbaya, Congrats to Simba sc. But 2 Goals were offside for those who knows football.
Ok, tufanye 5 bila. UTOPOLO mna shida nyie
I'm not a Tanzania neither do I support any of the two teams. I'm giving justice of my own opinion.
U are right
😅😅😅hii ndo simba wazeee
Ambayo haijarogwa🤣🤣🤣
Sijuw hata niseme nini jamani dah ninafuraha
Banda fundi
Banda fund
Hii ilikua sionzurii aisee
🏄🏾
Kipigo day
Watajua awajui piga kelelee
Sara
Waooo
Magoli mingi mpaka zinawakera utopoloooko
Chsma 2 Bocco 3 kipindi cha kwanza chs pili tano tna kumi zinmluzika haha
Simbaaaa
Mau mpemba
Uyu gorikipa shati hamna mtu hapa
Sio golikipa, timu nzima
Balaka
Simba raha tupu utopolo wanateseka tu jaman🐸🐸😛😛
Vita
Watajua hawajui kudadek
Vita iliyo tokea kibirashi
Muvi
Hawa jamaa waliteseka sana
Eeeeeeee waache wateseke
🛌🛌🛌🛌
X
Hii ruvu ni uozo 😁😁 ,,,,vigoli vnngne vya mchongo ,,,,offside ya bocco ya kwanza na chama ya mwisho
Kajifunze mpira ndo uje upige kelele hk ndan
Jikaze
WEWE MUSIC KAZI YAKO KUIMBA MAMBO YA MPIRA HUYAJUWI TUACHIE SISI VIDUME.
Unateseka ukiwa wapi Utopolo. Somea urefa.Kwani Utopolo wote mmekuwa VAR.
@@mahadshekh398 VAR ZA MITAANI 🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa hakuna mechi ni matokeo so msivimbe kichwa kuona mnaweza ruvu walikuja kukamilisha ratiba amini usiamini mechi ilikuwa na upofu mwingi
Hata ASEC ilikua hivo hivo
@@2times273 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣😂🤣😂🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Vita iliyo tokea tanga
AUDIO🔊🔊 Artists!
Meja Kunta Ft D voice
Song:Simba Nguvu Mona
Link👉👉👉th-cam.com/video/0Yph8bd6mM8/w-d-xo.html
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl