Highlights | Simba SC 2-1 Azam FC | NBC Premier League - 01/01/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 168

  • @selemaniAlly-cv2jb
    @selemaniAlly-cv2jb 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nainjoi na Simba nguvu moja😊😊😊❤

  • @alanndayavugwa3574
    @alanndayavugwa3574 3 ปีที่แล้ว +8

    Highlight za simba mnazichelewesha sana tofauti na zayanga kwa nn mbona mnakua wabaguzi hivo jaman

  • @suleimanzahor6878
    @suleimanzahor6878 3 ปีที่แล้ว +5

    Azam TV kwa Simba mnachelewesha au mna ugomvi

  • @bahatmbwana7354
    @bahatmbwana7354 3 ปีที่แล้ว +4

    Simba yetui hatupoi nawala hatuboi tupo vizuri waiteeee🦁💪💪💪❤️❤️

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว +3

    Nguvu moja ❤️ God bless Simba 🙏🏾

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante Sanaaa chama langu la Simba 🙏 point tatu muhmu

  • @MagdalenaJonas-j9k
    @MagdalenaJonas-j9k ปีที่แล้ว +3

    Imemmiss sakho huwa analazimisha lisilowezekana liwezekane❤

  • @azizintalla7348
    @azizintalla7348 3 ปีที่แล้ว +2

    azam tv vipi mbhm mech za simba mnachelewa sana kuweka

  • @fidnyon7876
    @fidnyon7876 3 ปีที่แล้ว +2

    Simba nguvu moja 🔥🔥

  • @babbymichel3293
    @babbymichel3293 3 ปีที่แล้ว +3

    Naipenda simba

  • @elickfungilwa3329
    @elickfungilwa3329 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera simba kwaushindi

  • @danieldastan1776
    @danieldastan1776 3 ปีที่แล้ว +3

    Happy new year

  • @ALEXLOTAN
    @ALEXLOTAN 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤Sako Ako wap saiv

  • @C.MCoachinvestmentlimited
    @C.MCoachinvestmentlimited ปีที่แล้ว +2

    Simba unyama sana

  • @farajasimkonda4548
    @farajasimkonda4548 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubar sanaa chama langu simba

  • @deogratiouswipson8448
    @deogratiouswipson8448 7 หลายเดือนก่อน +1

    Namkumbuka sana sakho nataman arud tena simba

  • @benjamindanielduday3181
    @benjamindanielduday3181 3 ปีที่แล้ว +3

    Azam tv kama mmeanza kuzingua fln hiv mnachelewa alafu video mbona haina viwango

  • @balakakashomwa
    @balakakashomwa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acha tuteseke maana hapo nyuma tuli enjoy sana

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 3 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda SIMBA mpaka rahaaaaa

  • @Learn_With_Zak
    @Learn_With_Zak 3 ปีที่แล้ว

    Was waiting for ths

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 3 ปีที่แล้ว +9

    Simba ndiyo tunashinda kihalali Topolo wamepania ubingwa wananunuwa hadi mechi

    • @msafirisalum8436
      @msafirisalum8436 3 ปีที่แล้ว +1

      Umelogwa mpira wa yanga upo vzr na upo wazi

    • @kennedymmbando
      @kennedymmbando 3 ปีที่แล้ว +1

      @@msafirisalum8436 We huoni plani zenu utopolo zimejawa na Ugomvi wa manara ?Kama huna hoja kaa kimya .Ukweli ni kwamba mmepania ligi ila kiuhalisia hamna timu na mwaka huu mtapigwa mechi zaidi ya 5 ......

    • @2times273
      @2times273 3 ปีที่แล้ว

      @@msafirisalum8436 rivers united nao mpira wao uko wazi

    • @emanuelkilinga9196
      @emanuelkilinga9196 3 ปีที่แล้ว +2

      Wananunua hadi pasi eti ili mradi waonekani wameuzidi simba. Simba hazidiwi kwa mbinu chafu hata siku moja

    • @kennedymmbando
      @kennedymmbando 3 ปีที่แล้ว +1

      @@emanuelkilinga9196 Simba nguvu mojaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @nuranzubail8134
    @nuranzubail8134 3 ปีที่แล้ว +6

    Sakho can run faster with ball dribbling than any yanga player

  • @mbaroukrashid6201
    @mbaroukrashid6201 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani sakho apewe ulinz Huyu jamaa ni zaidi ya Miquissone

  • @khalidbalala7753
    @khalidbalala7753 3 ปีที่แล้ว +4

    Azam TV mwajisahu na hamujui kama sisi Simba highlights ze2 ndio ziko trends alafu mwatubaguwa

  • @neemahema7370
    @neemahema7370 3 ปีที่แล้ว +4

    Mnachelewa kumtuma highlights

  • @C.MCoachinvestmentlimited
    @C.MCoachinvestmentlimited ปีที่แล้ว +2

    Simba unyama😢😢

  • @papaathadeo9272
    @papaathadeo9272 2 ปีที่แล้ว +3

    .
    Subiri

  • @dharaksharkh6915
    @dharaksharkh6915 3 ปีที่แล้ว +2

    Sakho fundi sana dah

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 3 ปีที่แล้ว +5

    Tunahutaji Morrison pembeni Sakho katikati

  • @bahatmbwana7354
    @bahatmbwana7354 3 ปีที่แล้ว +7

    Haka kasakho ni hatari🔥🔥🔥

    • @Emedroadtocanada
      @Emedroadtocanada 3 ปีที่แล้ว

      sana nimekapenda kanijituma kanaspidi

  • @adellahmongi5605
    @adellahmongi5605 3 ปีที่แล้ว

    Simba noma 2 -1 tume chapa azam💪💪💪🤩🤩❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @priscusdesigns
    @priscusdesigns 3 ปีที่แล้ว +3

    huyu sacko wazeeeee🤣🤣 tutaona mengi combination yake yeye na chama

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว +5

    Simba hata ifungwe goli 100 sihami jmn sihamii naipenda mno

  • @maryambeka7078
    @maryambeka7078 3 ปีที่แล้ว +9

    Alafu mbona highlights za simba mnatucheleweshea lakini acheni ubaguzi

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 3 ปีที่แล้ว

      Mbn nyingine waitoa jana usiku baada ya mpira tuu kumalizika hii ni highlight ya pili

    • @maryambeka7078
      @maryambeka7078 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ezeedi871 walitoa tu magoli na sio highlights

    • @magrethhenry7197
      @magrethhenry7197 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio za simba tuu wanachelewa sana siku hzi.... Sijui hawajui wengne hatuna tv 😪

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 3 ปีที่แล้ว

      @@maryambeka7078 zote ni hivyo hivyo wanatangulia za magoli zen baada ya masaa kadhaa ndo wanaileta highlight ya full hata ya yanga walitoa Jana akat mechi imechezwa juzi

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 3 ปีที่แล้ว

      @@magrethhenry7197 kabisa ni zote tuu watu wangu wa Simba tuache kulalamika

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah mchezaji km Sakho ni tunu ya Taifa

  • @joramgobness5281
    @joramgobness5281 3 ปีที่แล้ว

    Simba is 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sakho aliuwasha dah

  • @AmainaSadick
    @AmainaSadick 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuh sakho ni hatari sana

  • @nurummbaga1588
    @nurummbaga1588 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba Luis Jose Miquison arudi Simba Sc aunganike na Peter Banda na Sakho mambo yawe balaa

  • @meshackedson5254
    @meshackedson5254 ปีที่แล้ว +3

    Waliumwaga mwing Sana apo

  • @muhdumar5517
    @muhdumar5517 3 ปีที่แล้ว +4

    Azam tv mbona mnabagua za utopolo mnatoa ndefu za simbanatoa fupi au za uto anafanya shabiki wao?

    • @josebulugu1819
      @josebulugu1819 3 ปีที่แล้ว

      Mpira mtamu uko yanga achana na binanza hizi

  • @sophyodago5062
    @sophyodago5062 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hapa azam walistahili sana kupigwa mengi,, walicheza rafu nyingi sana

  • @nathanmkumbo8233
    @nathanmkumbo8233 3 ปีที่แล้ว +1

    Simba #nguvumoja

  • @MudySaid-vg5vg
    @MudySaid-vg5vg 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ila sako alud jamn da

  • @Magegesumuni
    @Magegesumuni 8 หลายเดือนก่อน

    Sakho na kapombe walikuwa wanaelewana sana acha tuteseke kwa sasa

  • @la_raib953
    @la_raib953 3 ปีที่แล้ว +2

    Mumechlwa sana kueka highlight

    • @emmanuelmwamwaja9486
      @emmanuelmwamwaja9486 3 ปีที่แล้ว +2

      AZAM TV mnachokitafuta kwa mashabiki wa Simba mtakipata

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 ปีที่แล้ว +3

    Sakhooooooo

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 ปีที่แล้ว +3

    sakho kana spidi atari kama miqsoni

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +1

    Lunyasi Siyo poa Mzee Baba wanajitahidi Sana kucheza mpira mzuri

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 ปีที่แล้ว +2

    sakho goli la uwezo wa hal ya juu

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 3 ปีที่แล้ว +5

    Tangia jana ndio mna tuma leo jana nili lala saa saba usiku kwakusubili hii lakini wapi😥

    • @ortiyusuph9320
      @ortiyusuph9320 3 ปีที่แล้ว +2

      Wanazngua kinoma m mwenyew nilisubli sana lakin waapii!😬😬

    • @2times273
      @2times273 3 ปีที่แล้ว +3

      Wanawahisha za utopolo

    • @johnyusuph2884
      @johnyusuph2884 3 ปีที่แล้ว

      Wali2ma bhn hii niyapili

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 3 ปีที่แล้ว

      @@johnyusuph2884 Hawa jamaa nahic hawaja subscribe hii Chanel mbn jana walituma highlight kama nusu saa au lisaa limoja baada mpira kuisha hii ninayoangalia saiv niyapili

    • @magrethhenry7197
      @magrethhenry7197 3 ปีที่แล้ว

      @@johnyusuph2884 walituma magoli tuu

  • @goodluckbenny123
    @goodluckbenny123 10 หลายเดือนก่อน +2

    wanasimba tulikosea sana kumtoa sakho tulitakiwa kumpa muda

    • @KhalidAlliy
      @KhalidAlliy 8 หลายเดือนก่อน

      Sio Sako tu wachezaji wengi wazuri tumewatoa

  • @sumaelmohamed7420
    @sumaelmohamed7420 ปีที่แล้ว +1

    Simba howeee

  • @kadewelejosef4319
    @kadewelejosef4319 8 หลายเดือนก่อน

    Natamani kikosi hii ndo ingekuwa ya Leo! Bablay! Sijui ingekuwaje

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 ปีที่แล้ว +2

    Tangu lini Bwalya akacheza penalty wakati kagere yupo lkn?

  • @saidomari001
    @saidomari001 3 ปีที่แล้ว +1

    uamuzi wa reffa sioo sawa

    • @2times273
      @2times273 3 ปีที่แล้ว

      Kakosea wapi?

  • @AyubuJeremia-ts7ub
    @AyubuJeremia-ts7ub 8 หลายเดือนก่อน +1

    aliyemuza bwaliya atakufa vibaya sana

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 ปีที่แล้ว +2

    HII MECHI NAMKUMBUKA SANA SACKO ALIUPIGA MWINGI BALAA

  • @castoriarogatus3675
    @castoriarogatus3675 ปีที่แล้ว +1

    yan sacko tunakumis Sanaa tunajua utarud tu Simba ni nyumban

  • @azizajamary576
    @azizajamary576 3 ปีที่แล้ว +5

    Uto nyuso zimewashuka

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 3 ปีที่แล้ว

      Mlisahau za kwenu tulivyowafunga Do doma jiji.kenge mweusi WEWE

  • @farajasimkonda4548
    @farajasimkonda4548 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa bao mbili zinawatosha

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 3 ปีที่แล้ว

    Mtoto sakho ni waya ya stima aseeee anajua sana sakho

  • @maulidsheni6878
    @maulidsheni6878 3 ปีที่แล้ว +6

    Azam tv tuna wa penda saaana lakn jiangalieni mna kosea na hamtend haki
    Nyie ni taasisi kubwa saana msije poteza ….

  • @ManotiPaul-i3l
    @ManotiPaul-i3l 4 หลายเดือนก่อน

    Saf sana

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 3 ปีที่แล้ว +4

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 3 ปีที่แล้ว +8

    Azamtv mumeona AIBU naoana mumetoa Tena highlights mara mbili naona highlights ya kwanza aliaanda MSHABIKI WA YANGA amabaye yupo hapo Kwa warusha matangazo yapira

  • @hizzomaplan1409
    @hizzomaplan1409 3 ปีที่แล้ว +1

    Wawa ameupiga mwingi😂😂

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 5 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu huyu kipa alitoka nje ya line kabla mpira hujapigwa penalty ilifaa irudiwe kupigwa

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +1

    Happy new year to all

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna wachezaji wanapaswa kufukuzwa hawana faida yoyote kuwa Azam, hasa huyo Mbombo mi nashindwa kujuwa kaletwa na scout gani asiye na uelewa.

  • @JacquesonMbwana
    @JacquesonMbwana 8 หลายเดือนก่อน

    Daaaaah simba kazi tunayo tunaacha akina sakho &bwalya tunachukua mbugila kama jobe& Fredd kwel hvi tunajua tuanchokifanya?

  • @ericsallu3237
    @ericsallu3237 8 หลายเดือนก่อน

    2024... Simba 3-Azam 0😂😂😂😂

  • @happymacha9053
    @happymacha9053 3 ปีที่แล้ว +2

    Sankooo

  • @happinnesspius9854
    @happinnesspius9854 2 ปีที่แล้ว +2

    Mm n simba mpka kufa

  • @bekaahsilayo1836
    @bekaahsilayo1836 2 ปีที่แล้ว +1

    Wamepambanaa saan simba

  • @dicksonimwakibete3748
    @dicksonimwakibete3748 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa.simba.hii.hatuachi.kitu

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 ปีที่แล้ว +2

    *NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO UNIPENDAGE KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🎶🎵🎵🎵🎤🎼*

  • @samaduchilory7769
    @samaduchilory7769 3 ปีที่แล้ว +1

    Simba ndiyo baba lao hakuna Tena kama simba

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 3 ปีที่แล้ว +2

    Simba kwa sakho wamelamba dume

  • @farajasimkonda4548
    @farajasimkonda4548 3 ปีที่แล้ว +2

    Asnt sakho

  • @abbycool5446
    @abbycool5446 6 หลายเดือนก่อน

    sakhoooo weee ungekuwepo

  • @filiminaremis8152
    @filiminaremis8152 3 ปีที่แล้ว +1

    Chapa hao timu yang bomba 🤣🤣🤣🤣

  • @costantineMazoya
    @costantineMazoya 8 หลายเดือนก่อน

    Unaacha sakho unasajili mchezaji kama jobe jamandaaaah tunafel wapi cjui

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 3 ปีที่แล้ว +1

    Marefa wetu bado hawajajua kuangalia faulo zinazotokea wakat wa kuoiga penalt, hii ilipaswa irudiwe coz kipa alitoka kabla ya mpira haujapigwa

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 ปีที่แล้ว +2

    sakho kama msuva ivi

  • @boniphacegodwin5582
    @boniphacegodwin5582 3 ปีที่แล้ว +1

    This is simba

  • @EzekielDaud-nz1hx
    @EzekielDaud-nz1hx 8 หลายเดือนก่อน

    Sakho jaman

  • @alisenipeter4307
    @alisenipeter4307 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa sakho ndio kalikava Nafasi ya chama

  • @sadikiwilliam823
    @sadikiwilliam823 8 หลายเดือนก่อน

    Kama ingekua inawezekana tungeungana tung'oa uongozi uliopo lasivyo mioyo itatanuka mangungu try kajula matola mana aondowana fanya kaziyakuuza wachezaji bora wakutuletea magalasa

  • @jaykeenmamba
    @jaykeenmamba 3 ปีที่แล้ว +1

    Sakho ni zaidi ya miquison simba bila sakho hainogi

  • @kajungumturi7414
    @kajungumturi7414 3 ปีที่แล้ว +2

    Goli moja la Azam ni la kiufundi zaidi kuliko magori mawili ya Simba!

  • @jasminemfaume8500
    @jasminemfaume8500 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa cmba hii wataloa2

  • @IfrahAshery
    @IfrahAshery ปีที่แล้ว

    Ivi Hawa ndo Simba wa sasa au tumebadilishiwa

  • @SelemaniMbappe
    @SelemaniMbappe 8 หลายเดือนก่อน

    Simba ilikosea kuleta mbadala wa sakho,sakho nikijan naatafta pesa mngu amlende

  • @emanuelmathayo4762
    @emanuelmathayo4762 3 ปีที่แล้ว +2

    onyangooooo vp toboo hloo

  • @MrBm369
    @MrBm369 3 ปีที่แล้ว

    Nipo Simba nakula bata🥣🥗🥪🍽️🍹 tu.Wengine mnateseka mkiwawapi🤣🤣🤣

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 3 ปีที่แล้ว

    Rojer Scolar awa Azam naupiga mwingi

  • @GeraldMichael-bu2gk
    @GeraldMichael-bu2gk 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi hizi records jamni hata board ya simba haioniii???.....sakho arudiiiiii

  • @nathanijotham652
    @nathanijotham652 8 หลายเดือนก่อน

    Acha niangalie Simba ninayoijua sio hii ya sasa

  • @peterenock1575
    @peterenock1575 3 ปีที่แล้ว +2

    Nihatar