ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Amina MUNGU awabaliki ndugu zetu wa Congo 😊 🙏. Tanzania na Congo ni ndugu
Tanzania is the hub of Africa
Tuungane na nchi ya Kongo iwe nchi moja. Muungano wetu upige hatua zaidi kuliko huu wa Tanganyika na Zanzibar.
❤❤❤ beautiful
Ni miujiza kweli!!! Lakini ni utashi na maamuzi ya kisiasa vimeletaaendeleo haya!
Angemalizia kusemma iko sasa mpango ya serikali hii treni ifike hadi Maniema Kindu kwa Max Nzengeli... 😂
Tunaomba tupate amination ya jengo la abiria jinsi litakavyo kuwa station ya mwanza. Na ikibidi liwe kubwa na zuri zaidi
KWA PAMOJA TUNAWEZA KARIBUNI SANA BANA YA CONGO
Tanzania ilitakiwa kuwa na maendeleo haya miaka ya 1980s. Lakini wizi na ufisadi vimeturudisha nyuma sana!!! Hivi hatoni mchango wa Magufuli? Bila yeye tungekua hapa?
Watanzania bwana!!!!!! Hua wanaanza vizuri lakini hua si endelevu!
ACHA kuishi kwa historia ndugu yangu
Kimataifa zaidi 🇹🇿
Ninyi Wacongo acheni vita ili muendelee!
Hii imekaa poa...