Wenye kutambuwa tunajuwa wadhamini wanataka kujiweka pembeni maana zamu ya ubaya ubwela ndio itifaki na Nchi yenu.zamunkwa zamu baina ya majainti hao 2 wanapewa furaha kupokezana, kama mumenielewa nieleweni hivyo ndio ukweli
Hahahaha, ninyi ndiyo mliyo iharibia yanga kwa kuwasifia uwongo mkadhani mtamuangusha Mo hamuwezi hata kidogo acheni uwongo hasa wewe mzee wa kudele na kitenge
Matokeo ya kwenda kwa p Diddy
Wasafi mmepigwa na kitu kizito mnavyoipenda yanga 😂😂 ingekuwa Simba hapo mngeiponda hatari aibu ni kubwa kwenu Tabora hoyeeee 😂😂😂
Mapema tu alishasema mzee wa kudere kwamba yanga wajitafakari.
Ili kumentain.
Mmeumia vibaya mno leo radio ya machawa
Mbaka waseme wamezoea kuiponda simba leo ashauliki kwakuwa wamefungwa
Hiyo ni fire 😁😁😁😁
Mmepigwa na kitu kizito😊
Acheni izo mbona mlivokuwa mnashinda amkusema....😂😂😂 Ubwela uo bado ubaya
Ingekuwa simba leo mngeiponda mpaka basi ovyo
Gamondi ww umemuona wapi kocha analingana na jina diamond simba la masimba dangote 😅😅😅 alafu mondi kasanikiwa gamondi aaaah
Imefungwa timu yenu
Machawa wa utopolo nyiee kubabeki zenu kilio leo hya isemeni vbya leo sindano fc
Heris uyo 😅
Days zote walizokuwa wanashindwa,sifa zilipelekwa kwa kocha na benchi la Ufundi,then leo wanadai kocha hashauriki😅😅😅😢
C ndo apo sasa jmn
nilijua tu hayo yanayo semwa lolote linaweza kutokea
Wacha inyeshe😂😂😂
Wenye kutambuwa tunajuwa wadhamini wanataka kujiweka pembeni maana zamu ya ubaya ubwela ndio itifaki na Nchi yenu.zamunkwa zamu baina ya majainti hao 2 wanapewa furaha kupokezana, kama mumenielewa nieleweni hivyo ndio ukweli
Mwisho ni mwakani Yani apo Yanga watachukua mala ya mwisho ili kufikia Ile mala nne
@AmiriMalenge-kc5jk inawezekana hivyo kweli au kama kutakuwa kumebadilika inaweza kuwa mi 3 kwa mi 3 inategemea cha.cha tawala kinawapangiaje?
hahahahaha camond kwenye kikao kizito
Kocha makundi wachezaji hy itamletea shida kama shauriki atuachie timu
Hahahaha, ninyi ndiyo mliyo iharibia yanga kwa kuwasifia uwongo mkadhani mtamuangusha Mo hamuwezi hata kidogo acheni uwongo hasa wewe mzee wa kudele na kitenge
Wamesifiwa uwongo upi? Mafanikio waliyopata uliwapa wewe?
Hahahah, sindano ndiyo chanzo na uchawi
Simba la masimba😂
Kibwana shomar gamond amtak et
😂
Wewe Kuma tuu
Kwani lazima utukane?
Kama ya mamaako iliyokomaaa kama gogo la mpingo
garare hiya!!!!!!😅