Nakuelewa saana Mwl....nipo Mozambique huku nimeshakuwa fundi kupitia wewe...Barikiwa sana mkuu...uzuri au ubaya zaid huku hawatumii earth ktk umeme wao...
@@darasalaumeme7421 Pamoja saana Mwalim...nashindwa kukwambia uniunge Tsap line zang za Tz hazisomi...so inanipa ugumu wa jinsi ya kulipa gharama ya kujiunga
Usimkosoe mwinzio fundi yuko sahii ila kosa lake ni kidogo sana LA waya kuonekana nje circuit breaker iko sahii wewe hufai kuwa mwalimu in mganga njaa unaharibu taaluma ya ualimu
Lazima ueleze faida na hasara ya kuweka circuit breaker ndani ya main switch na uwekaji wa nje fundi amefanya viizuri kutokana na idadi ya circuit hakutaka idadi ipungue akaamua kuweka circuit breaker nje yuko sahii kosa lake waya kuonekana nje hapo tu acha kuganga njaa mtu wangu mwelemishe mwinzio nini afanye hakuna kosa lingine amelifanya nihili tu ambalo wewe ndio umeliona kuuubwa LA kumkosoa

Asante mwalimu
Asante mwalimu wetu mpendwa kwa hayo video channel za mafunzo nzuri Sana ubarikiwe zaidi
Mimi nipi na main switch y Havel na hain io sehem ss nifanyej
Dah Asante nimepata kitu hapo
Nitafute
Sasa kuna min switch nyengin huw hazin io sehem ss ufanyej?
Asante Mwalimu
Sawa mwalimu wangu nimekuelewa
Kaka umenisadia sana kwa kupitia darasa lako fund arikuwaananifudi alikuwa ataki nimurize maswari
Asante mwalim
Circuitbreker ya tronic inauzwaje jamani
Usimkosoe mwinzio fundi yuko sahii ila kosa lake ni kidogo sana LA waya kuonekana nje circuit breaker iko sahii wewe hufai kuwa mwalimu in mganga njaa unaharibu taaluma ya ualimu
Ilitakiwa iweje hapo
Maybe alifikiria kama kutakuwa na emergency
Plz fanya kutuletea na aina za Main Switch, maana mi hadi sasa nashuhudia kwetu kijijini hizo s.breaker zimekaa nje pembeni ya main switch
Uko sahii fundi huyu jamaa anawapotosha mafundi wanao chipukia
Lazima ueleze faida na hasara ya kuweka circuit breaker ndani ya main switch na uwekaji wa nje fundi amefanya viizuri kutokana na idadi ya circuit hakutaka idadi ipungue akaamua kuweka circuit breaker nje yuko sahii kosa lake waya kuonekana nje hapo tu acha kuganga njaa mtu wangu mwelemishe mwinzio nini afanye hakuna kosa lingine amelifanya nihili tu ambalo wewe ndio umeliona kuuubwa LA kumkosoa
Kuandika circuit breaker inakushinda alafu unajiita mwalimu wewe kweli majamani mnaofuatilia
fundi wangu kwani men switch hii kama hii si inakuwa kila fez ina riip yenyewe bila ya soket breka
Makosa si yake ni ya mwalimu wake