JINSI YA KUJUA KAMA KUNA UPOTEVU WA UMEME BILA WEWE KUJUA NA KUSABABISHA BILL YA UMEME KUA KUBWA..!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Watu wengi wamekua wakilipa bill kubwa ya umeme bila kujua kua kuna kiasi cha umeme kina potea nje ya matumizi ya kila siku ina pelekea kua kelo na hasara ya kila wakat

ความคิดเห็น • 8

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 3 หลายเดือนก่อน +1

    Iko sawa

  • @FredrickMgassa-y2t
    @FredrickMgassa-y2t 12 วันที่ผ่านมา

    Maelezo mengi mzee jalibu kuwa una go direct to the point .......ila nashkuru sana kwa hili darasa

  • @MKANYIA
    @MKANYIA หลายเดือนก่อน +1

    Samahani sana mkuu, naomba kupata ufafanuzi kuhusu...
    1. Earth Resistance
    2. Earth Leakage

    • @willemdachi
      @willemdachi  หลายเดือนก่อน

      @@MKANYIA Endelea kufuatilia kwa ukaribu chanel yetu upate kuelewa vizur cha msingi subsribe ili upate notification ya vipindi vyetu vijavyo

  • @MKANYIA
    @MKANYIA หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu nashukuru sana kwa somo hili na upo vizuri sana katika kutoa elimu inayohusiana na masuala ya umeme.
    1. Je hii POWER LOSS inasababishwa na nini?
    2. Je nitajuaje kama mcb ni mbovu au imechoka?

    • @willemdachi
      @willemdachi  หลายเดือนก่อน +1

      @@MKANYIA 1)Hiyo nilisha kujibu
      2)Njia nyepesi ya kujua kama mcb imekufa, chukua tester pima input na output ukiwa umezima mcb, kama itakua ina toa pande zote mbili hiyo ilisha kufa. Pili ipandishe na kuishusha ukiona ina kua nzito sana au una tumia nguvu nying hiyo pia ni dalili imekufa. Lakin pia iwashe then pima input na output kama ita kua haitoi moto kweny output imekufa hyo

  • @MKANYIA
    @MKANYIA หลายเดือนก่อน +1

    Huwa nasikia kwamba umeme unavuja...
    1. Je umeme unavujaje na kuvuja huko kunasababishwa na nini?

    • @willemdachi
      @willemdachi  หลายเดือนก่อน +1

      @@MKANYIA 1)Hua ina sababishwa na uchakavu wa wiring ya nyumba yko, hii hutokea pale ambapo wiring yako ina muda mrefu sana toka iwekwe haija fanyiwa maintenance kulingana na sheria za kiumeme za kila baada ya interval ya muda
      2) Hua ina sababishwa pia na uchakavu wa electrical appliance
      3)Wiring yako ikifanywa kimakosa hasa kweny upande wa connections na ufungaji wa electrical appliance
      4)matumizi ya vifaa visivyo na ubora na matumizi ya waya zisizo na ubora pia huchangia kwa kiasi kikubwa