| KIWEWE CHA VITA | Wanajeshi ambao hawajarejea kutoka Somalia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ค. 2019
  • Jua linapochweya na kukosa kufahamu aliko mpendwa wako huleta kiwewe moyoni, na baadhi ya familia za wanajeshi zimelazimika kuishi pasi na kusikia kutoka kwa wapendwa wao kwa miaka kadhaa sasa. Mwanahabari wetu Kadzo Gunga alikutana na familia zilizosimulia miaka ya ati ati bila taarifa zozote kuhusu wapendwa wao. Hii hapa sehemu ya kwanza ya makala ya 'kiwewe cha vita'
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.com/+CitizenTVKenya
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 259

  • @zaidazainab2407
    @zaidazainab2407 5 ปีที่แล้ว +161

    I see the difference btw mother love and wife love....
    Mama says better to have no compensation and see his son..vs wife waiting for compensation...
    Mama dying because of thinking whereabouts of his son...may she rip....
    No one can replace the love of a mother....hats off to all mummies....hit like if you believe mama's love is priceless.👇

    • @petermakori8442
      @petermakori8442 5 ปีที่แล้ว +2

      The cry of the mother vs wife 😭😭😭😭😢😢

    • @joseckerambo2184
      @joseckerambo2184 5 ปีที่แล้ว +2

      I think the wife was saying after they get the benefits their relationship with the army ends, therefore, they will lose the right to ask the army to look for her husband.

    • @topistarnelima6797
      @topistarnelima6797 5 ปีที่แล้ว

      What do you mean you see the difference if am his wife I could sign for compensation imagine seven yrs no phone call, no nothing other soldiers came back they have not heard of him she has children they need school fees and other needs she has no otherwise she have to sign compensation to support children.she have waited enough even if she says she dont want compensation he can't come and the army will not care about his family anymore

    • @zaidazainab2407
      @zaidazainab2407 5 ปีที่แล้ว +1

      @@topistarnelima6797 don't let my opinion consume you it's was viewed from a different perspective that differs from yours...and we all have different perspectives and that's nature.
      Eventually everyone is allowed to bring forth his/her own opinion in this forum.

    • @ekkarogie5
      @ekkarogie5 3 ปีที่แล้ว

      The love i have for my mum.....i just cry

  • @mattehltd4179
    @mattehltd4179 5 ปีที่แล้ว +45

    a mother is an angel sent from above .....Her last words broke me down

  • @lilililian575
    @lilililian575 5 ปีที่แล้ว +16

    Last words of this mama has made me cry 😭😭😭😭😭 so painful.............mungu mtie uyu mama nguvu katika harakati hii ya mauchungu and let your will be done

  • @ogambadivinah4333
    @ogambadivinah4333 5 ปีที่แล้ว +18

    Ni kweli mama hata wakupe mamilioni mingi bila mwanawe ni stress 😞😞😞😞😞😞😞

  • @Nyarsiaya2023
    @Nyarsiaya2023 5 ปีที่แล้ว +19

    Thank you so much Emma for the consideration you have to Kenya soldiers, I pray God gives the family peace that no man can give, God protect our soldiers wherever they are Amen

  • @daprince7545
    @daprince7545 5 ปีที่แล้ว +4

    Poleni Sana wafiwa mungu awape nguvu kwa wakati mngumu mnaopitia . Halafu imagine hii kazi ya jeshi ya kulinda taifa yetu wengi hutoa hongo ndio upate kazi ya jeshi. Halafu unaenda teseka huko Somali kwa kazi uliyo toa hongo . Inauma sana .

  • @musaamuj
    @musaamuj 5 ปีที่แล้ว +5

    I remember for 7years consecutive went for a recruitment without success even the last year of my age gap of 26 nlikuwa nisha chukuliwa corruption ikachezwa nikatupwa nje now I know the work of God can't complain of anything any more.

  • @koechkane
    @koechkane 5 ปีที่แล้ว +12

    The only genuine love in this world is mother's love.

    • @G9s7900
      @G9s7900 5 ปีที่แล้ว +1

      and there's no way i can disrespect mum because of my wife. umenena bro

    • @mwaoshkarish4197
      @mwaoshkarish4197 3 ปีที่แล้ว +1

      Even a fathers love mazee sio wamama pekee

  • @naknak150
    @naknak150 5 ปีที่แล้ว +5

    Si kazi kabisa, hata wakirudi wengine kujitoa uhai,ama wazimu.

  • @theonlyfunguokeyz5638
    @theonlyfunguokeyz5638 5 ปีที่แล้ว +6

    Poleni sana.. MUNGU awalinde wanajeshi wetu wote walipo

  • @margretwangari1018
    @margretwangari1018 5 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana MUNGU awape amani

  • @haliimomar1692
    @haliimomar1692 5 ปีที่แล้ว +5

    Vita Sio kitu Kizuri na Musitafute Vita Abadan Bora Amani

  • @jotaya
    @jotaya 5 ปีที่แล้ว +5

    What I know is that the US, and other developed nations love love their soldiers too much, and that’s alright with me! This is so so sad for these families. It’s unacceptable and these are the areas Kenyans need to peacefully protest on and bring the country to a stand still. A chain is as strong as its weakest link. Our government has failed us big time! Let’s keep electing “mtu wetu or mwizi wetu.” I feel like we haven’t been brought to our knees yet enough to acknowledge that we deserve better from our government.
    Heartfelt condolences for these families! I hope the deaths are not in vain.

  • @mohamednagib2594
    @mohamednagib2594 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli uchungu wa mwana ajuae ni MZAZI...The lovely mother made me tha fact true by saying ; " hata wanipe millions , nothing can replace my child. "

  • @naknak150
    @naknak150 5 ปีที่แล้ว +11

    Mungu wasaidie kwani wanatumiwa nawakora serikalini,vita hivi ya Somalia. Ilikua ya muamerika akampatia muithopia ,muithopia nae alishindwa,museveni pia ameshindiwa. Je kenya itaweza?

  • @josiahalela7672
    @josiahalela7672 3 ปีที่แล้ว +1

    Being A Millitary Personell is not A Job, it is a service..........
    MAY GOD PROTECT THEIR FAMILIES

  • @sylviaabuor9494
    @sylviaabuor9494 5 ปีที่แล้ว +7

    Once a soldier ur a soldier

  • @cointhemoney9450
    @cointhemoney9450 2 ปีที่แล้ว +2

    Once I wanted in my life to a soldier,..buh my mom refused me ....💕🥰..

  • @vitukochronicleskenya6187
    @vitukochronicleskenya6187 5 ปีที่แล้ว +10

    So sad...loosing our army forces

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 ปีที่แล้ว +25

    Shida ya jeshi nikwamba mtu akifa vitani hawasemi yani hata kama ni mtoto wako au mume wako hutaruhusiwa kumuona wanataka tu wamzike hivyo and this is so sad, plz let this pipo know something about their son plz, they are in shock just break the news for them to be free

    • @puritykrishna1592
      @puritykrishna1592 5 ปีที่แล้ว

      Ukiingia jeshi unakua mali ya serikali

    • @annejane1311
      @annejane1311 5 ปีที่แล้ว +1

      So sad 😥😥

    • @samueljr9105
      @samueljr9105 5 ปีที่แล้ว

      @@puritykrishna1592 sawa lkn kma umekufa yr family wako na haki ya kukuona hata once hiyo ni sheria, lkn hawa hawaruhusu hata wazazi kuona mtoto wao hio sio sawa, kuna mwingine alizikwa baba alisema " am not sure if they bury my son coz i was not allow to see him" sasa hiyo ni nn? Ata kma ni mali ya serikali family members MUST BE allowed to see their son, brother, uncle bfr thry bury him

    • @briankenyan1799
      @briankenyan1799 11 หลายเดือนก่อน

      I think they do not want them to be traumatized due to the condition of the body

  • @theson5044
    @theson5044 5 ปีที่แล้ว +13

    Others see see themselves being a solder like another God.
    Hii kazi ni shida tu

  • @promaxemweli
    @promaxemweli 5 ปีที่แล้ว +5

    "Heri hizo pesa ipotee na mtoto wangu apatikane"😭😭

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 5 ปีที่แล้ว +12

    Hii sio kazi. Just risking life. Many innocent lives r sacrificed for the benefit of few.

    • @irenekamamie8061
      @irenekamamie8061 5 ปีที่แล้ว +1

      kweli aki kurisk my son nilikua namuulixa kama anawexa taka kua police aliniambia aaiii mum beta mechanic🙊🙊🙊

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 5 ปีที่แล้ว +10

    Poleni sana. Kwani Army hawana “broken arrow”? Ama ni negligence ya Kenya Airforce? My feelings Kenya air force neglected ground troops.

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 3 ปีที่แล้ว +3

    For real i liked this job whatever i apply they give me alot of things by Alhamdhulilah am in Saudia workin n i thnk Allah for this n wat am havin it know

  • @estherkihara3787
    @estherkihara3787 5 ปีที่แล้ว +3

    may God give you peace mama

  • @joycewairimu5016
    @joycewairimu5016 5 ปีที่แล้ว +7

    God protect our solders.

  • @mcsolootv1360
    @mcsolootv1360 5 ปีที่แล้ว +3

    I will always stand with my mum no matter what.

  • @mahatmustafa7041
    @mahatmustafa7041 5 ปีที่แล้ว +6

    our youth run for easy pay but the price is hard to accept & expect. Its good to stay hungry than put in war front in the name of defending a country of politicians hypocracy.
    poleni sana, my mother rejected me to join even prison & now ended up being professional teacher. congrats

    • @ilevejohnijtv4466
      @ilevejohnijtv4466 3 ปีที่แล้ว

      The best thing Government must do to these families,although nothing equivalent to a child, husband, wife or daughter but Government must respond and axplain to the family what happened and provide all kind of support needed to the affected as they process all kind of compensation...

    • @bonfaceohuru2517
      @bonfaceohuru2517 ปีที่แล้ว

      Thank you...little pay but safe with your family.

  • @josphatkibe5032
    @josphatkibe5032 5 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli, aujuae uchungu wa mwana ni mzazi!!!

  • @user-dg8qe9rf9h
    @user-dg8qe9rf9h 5 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana nduguzangu

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 3 ปีที่แล้ว

    Tuanzishe opereni Amani kwa watu wote na usalama kwa wote na MUNGU MKUU ATUSAIDIE SOTE. Inasikitisha sana . poleni sana wapendwa na MUNGU MKUU awape nguvu. Amen.

  • @faridmwinyi9462
    @faridmwinyi9462 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama anaongea kwa uchungu. God bless our mothers, Amen.

  • @ramenyaramenya6223
    @ramenyaramenya6223 5 ปีที่แล้ว +19

    Shukuru mola wewe umeketi na mpenzi wako.

  • @fahdchannel3788
    @fahdchannel3788 3 ปีที่แล้ว

    Kwanza poleni Sana wafiwa aki inauma Sana but kumbuka pia hawa vijana wamejitoa mhanga kwa sababu ya wakenya kwa ujumla lkn pia inauma Sana kumpoteza mpendwa God bless kenyan army kenyan heroes Kama unataka kujua nguvu ya Kenya defence forces then angalia malalamiko ya magaidi siku zote hulalamika kuhusu kdf mpaka wanakuja kuua innocent people of Kenya na watoto na wanafunzi hhh hakuna siku utaona wakilalamika na majeshi ya uganda ethiopia burundi djibouti na somalian army hapo utaamini Kenya defence forces are not weak like others hhhh kdf ni kipigo tosha kwa magaidi.. sisi Kama jamii ya kisomali tunawashukuru Sana wanajeshi wa Kenya God bless Kenya defence forces mungu awaongezee nguvu ya kuwatunza mamilioni ya watu

  • @user-by9ev5uk7c
    @user-by9ev5uk7c 2 หลายเดือนก่อน

    Heroes of this nation may God's keep ur souls in a safe side

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 3 ปีที่แล้ว +1

    Burundi🇧🇮🇧🇮 pia tuliwapoteza wengi

  • @kipkoechdennis5201
    @kipkoechdennis5201 2 ปีที่แล้ว +2

    May God continue to comfort these families

  • @marylandjowaka7069
    @marylandjowaka7069 5 ปีที่แล้ว +3

    We must pray for safety of our soldiers. ..govt should pull off

  • @commanderthecomedian1814
    @commanderthecomedian1814 5 ปีที่แล้ว

    Poleni

  • @wondersmotivation5543
    @wondersmotivation5543 5 ปีที่แล้ว +2

    Mr,,President plz return Kenyan's back to their country,,, let those hooligans guard them selves,,, we can't see our people dying for another people interest,,, let them come and do it here in their country,,,, we have those criminals everywhere,,,

  • @cinderellaamina6115
    @cinderellaamina6115 3 ปีที่แล้ว

    Fanyeni kazi zenu acheni uoga alikubali kazi na roho safi tokeni mumutafute kwafanya wengine watakataa kuwa jeshi jili yatisha haya yoko hai anaitaji msaada tokeni

  • @catewambui9528
    @catewambui9528 5 ปีที่แล้ว +9

    God give them peace of mind

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 5 ปีที่แล้ว +11

    Sad aki uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi

  • @edwinwanjala7812
    @edwinwanjala7812 3 ปีที่แล้ว

    Waaah😭😭

  • @Coronado-og2dk
    @Coronado-og2dk 5 ปีที่แล้ว +1

    Mothers love the best

  • @fidelagala3262
    @fidelagala3262 5 ปีที่แล้ว +1

    very sad...😥😥 may God protect our soldiers

  • @cezzdankenya6812
    @cezzdankenya6812 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awafanyie wepesi 👪familia za hao wanajeshi

  • @terrykarey3553
    @terrykarey3553 5 ปีที่แล้ว +4

    Dear God protect our solders

  • @cheroshaz4703
    @cheroshaz4703 5 ปีที่แล้ว

    Haya Yahuzunisha sana, Maulana pekee aliye na majibu.. poleni sana

  • @mealemalika7565
    @mealemalika7565 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @ibrahimzaki2912
    @ibrahimzaki2912 5 ปีที่แล้ว

    So sad story polen sana

  • @mudezzali1257
    @mudezzali1257 5 ปีที่แล้ว +1

    Very painful

  • @robertngari6822
    @robertngari6822 5 ปีที่แล้ว +1

    Dunia tunapita hakuna atakae ishi milele humu duniani...
    Poleni mliofiwa

  • @denquekym9845
    @denquekym9845 5 ปีที่แล้ว +1

    oh my am shorts of words...boy child hupitia changamoto mob...may God bless this familys...

  • @rhodamakeila5924
    @rhodamakeila5924 5 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana

  • @janetkerubo7643
    @janetkerubo7643 5 ปีที่แล้ว

    Waa my bro live long

  • @margaretkariuki2519
    @margaretkariuki2519 5 ปีที่แล้ว

    Its so sad,I see more than money or work in this hero,sacrifice and love for there country ...unfortunately there just important when there live and Healthy if anything happen the country they were so loyal to forget so fast and there love love ones are left full of pain and sorrow....may Almighty protect our soldiers and there families

  • @sylviajebet7093
    @sylviajebet7093 5 ปีที่แล้ว +1

    So sad haki mungu azidi kuwafariji

  • @kamenyag352
    @kamenyag352 5 ปีที่แล้ว +16

    Hii ndio kazi nilikua naenda kuapply
    Woi ebu tusubuane na waarabu tu

    • @olefajohns1751
      @olefajohns1751 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂

    • @plmm7706
      @plmm7706 3 ปีที่แล้ว +3

      Walikua wananikataa kuingia jeshi kwa sababu Zina pesa za hongo ,Waja nikanyake gulf vilivyo Mungu anatulinda sana

    • @abdallakasim6027
      @abdallakasim6027 3 ปีที่แล้ว

      Fjdureuru

    • @abdallakasim6027
      @abdallakasim6027 3 ปีที่แล้ว

      @@plmm7706 y tur

    • @colbymackells7597
      @colbymackells7597 3 ปีที่แล้ว

      Wewe si mwanaume endelea kuosha vyombo za waarabu matako ya waarabu wazee

  • @mocua2910
    @mocua2910 3 ปีที่แล้ว +3

    Wazazi ficheni stakabadhi za watoto wasiende kwa usajili wa jeshi au polisi.

  • @mocua2910
    @mocua2910 3 ปีที่แล้ว +8

    I will do everything in my power to make sure no child from my family will serve in KDF or KPF.

    • @antonymwagi4636
      @antonymwagi4636 3 ปีที่แล้ว +3

      For me i would not be the wall between my childrens i would like them 2 follow their passion ...? That is the act of being a coward for u....our fore fathers died and bleed for this country to gain our independence and yet they had no guns that time?..so if the war comes 2 ur door step u urself seem 2 run away?..am not judging but guessing..

    • @mohamedrahoy34
      @mohamedrahoy34 3 ปีที่แล้ว

      Then you are coward

    • @wambuibwaweru6920
      @wambuibwaweru6920 2 ปีที่แล้ว

      @@antonymwagi4636 huyu atapotea aache watoto na bibi haha

  • @KIM-xl6zs
    @KIM-xl6zs 5 ปีที่แล้ว +1

    I really pity this guys, mimi nilisema siwezi India jeshi, fighting for other people's interests, ikiwa wako genuine mtoto wa uhuru na ruto wawe kwa frontline

  • @florencenjoroge2844
    @florencenjoroge2844 5 ปีที่แล้ว +1

    Sad story

  • @mohamedmohamed614
    @mohamedmohamed614 3 ปีที่แล้ว +2

    Na baado watakufa saana;huyo rais wenu umvuta bangi atawapeleka pabaya apunguze kuvuta vuvuzela;wasomali wana uchungu ya kaskazini wa Kenya kwa ndani ya kenya baado anataka kismayu na bahari yake kumalamaayake kenyata

  • @aggycherry9400
    @aggycherry9400 5 ปีที่แล้ว

    So painful😢

  • @winslauschitechi983
    @winslauschitechi983 ปีที่แล้ว

    Mother's love 🙌💖🙏

  • @TheeMakau
    @TheeMakau 5 ปีที่แล้ว +1

    You’re a professional journalist

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 5 ปีที่แล้ว +1

    Wanajeshi wetu wanatumiwa na serikali ambayo hawana ajenda..wanajeshi wetu wangetuchunga kwa border na ndani ya nchi...hii vita ya Somalia haishii leo wala kesho,wachache katika serikali ndio wanafaidika.

  • @kenvolt173
    @kenvolt173 5 ปีที่แล้ว

    Nani kama mama👏

  • @mwaoshkarish4197
    @mwaoshkarish4197 3 ปีที่แล้ว

    For those commenting about a mother remember the Father too....he wouldn't have been featured here if he didn't care about his son's whereabouts

  • @user-he4fl7md2z
    @user-he4fl7md2z 5 ปีที่แล้ว

    Duh so sad poleni jamani

  • @sarahreeves472
    @sarahreeves472 5 ปีที่แล้ว

    so sad poleni sana

  • @DrSting-vp3hd
    @DrSting-vp3hd 5 ปีที่แล้ว

    So sad...it pains my heart

  • @karenchepkorir873
    @karenchepkorir873 4 ปีที่แล้ว

    Poleni xana

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว

    So Sad

  • @user-gv7is9oe9y
    @user-gv7is9oe9y 2 หลายเดือนก่อน

    I too wanted to be a soldier but mum refused. Unsteady she she sorted me with capital to start my own business.

  • @jimmykors3064
    @jimmykors3064 2 ปีที่แล้ว

    So sad indeed

  • @petal8776
    @petal8776 5 ปีที่แล้ว

    sad story

  • @faithchalangat2664
    @faithchalangat2664 5 ปีที่แล้ว

    aky pole sanw

  • @sheilajerop5314
    @sheilajerop5314 3 ปีที่แล้ว

    Rip😿😿

  • @ghettohyutemusiq611
    @ghettohyutemusiq611 5 ปีที่แล้ว +8

    Can the government just withdraw its forces there

    • @dominicmwangi3458
      @dominicmwangi3458 5 ปีที่แล้ว

      That is not the solution.

    • @hajjiyasin4255
      @hajjiyasin4255 3 ปีที่แล้ว

      I dont think they is benefits them to stay they

  • @Mr.George.N
    @Mr.George.N 5 ปีที่แล้ว +4

    Na mtu kuna anajiita Commander in Chief of the Diffence Forces.

  • @shiphrahblessing284
    @shiphrahblessing284 5 ปีที่แล้ว

    So sad

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 5 ปีที่แล้ว +1

    Inahuzunisha sana dah

  • @seinkonchelah1226
    @seinkonchelah1226 3 ปีที่แล้ว

    nawapenda KDF soldiers.God no mkuu wa majeshi..sio wamadaktar..mawakili etc...heri kufa Kama shujaa kuliko kuishi Kama pumbafu.wengi wanaitia nchi kwa hatari lakini KDF officers wanaweka Maisha yao kwa hatari juu yetu.mama pole...lakini jeshi huenda kwa Mungu akifa wakitupigania,

  • @mohamedswalehfumo9997
    @mohamedswalehfumo9997 ปีที่แล้ว

    Romeo India Papa our Officers

  • @johnmwaniki2031
    @johnmwaniki2031 5 ปีที่แล้ว

    Very sad

  • @josephmwangi9556
    @josephmwangi9556 3 ปีที่แล้ว

    sad

  • @helenkamau5096
    @helenkamau5096 5 ปีที่แล้ว +2

    Woiye mungu linda mume wangu na wanajeshi wengine.....najua fenye mtu huhisi aki 😶😶😢😢😢

    • @mercysimiyu6696
      @mercysimiyu6696 5 ปีที่แล้ว

      Helen Kamau mungu yu naye mummy

    • @daniels9835
      @daniels9835 5 ปีที่แล้ว +1

      Muombee kila siku na usisahau

    • @helenkamau5096
      @helenkamau5096 5 ปีที่แล้ว

      I always pray for him aki siyo rahisi

    • @helenkamau5096
      @helenkamau5096 5 ปีที่แล้ว

      Mercy simiyu thank you soo much dear be blessed

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 ปีที่แล้ว +10

    Kama unasema huwezi fanya kazi ya jeshi heri ufanye biashara zako nyumbani gonga tukisonga👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

    • @AminaAmina-rw8yy
      @AminaAmina-rw8yy 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwali Bora Ule Sima Na Chumvi Kuliko Mateso Haya

    • @mursilmursal
      @mursilmursal 5 ปีที่แล้ว

      @@AminaAmina-rw8yy 💯hii ni mateso sijui mbona watu hupenda hiii kazi heri uuze embe ama ubebe mzigo stage lakini ile kidogo chako ukona amani na unaishi na familia yako

  • @ltalallekulal9919
    @ltalallekulal9919 5 ปีที่แล้ว

    aki poleni family

  • @mamakeangel3885
    @mamakeangel3885 5 ปีที่แล้ว

    Wooooieee soo sad hope he is fine woooieee atafutwe aki pesa hatuwezi linganisha na mtoto

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbaya sana

  • @LionelMessi-ml4jf
    @LionelMessi-ml4jf 2 ปีที่แล้ว

    💔 💔 💔

  • @makeithappen2023
    @makeithappen2023 3 ปีที่แล้ว

    Nice research and reporting..wanted to be a soldier back then nikaitishwa hongo despite becoming number 2 fieldwork.lucky me.

  • @platumkoshy9930
    @platumkoshy9930 5 ปีที่แล้ว +40

    Kuliko kukuwa KDF heri kufanya kazi kwa waarabu

    • @mwangimuiruri6132
      @mwangimuiruri6132 5 ปีที่แล้ว +1

      Uku msharahara even though ndogo bt n safee sana

    • @platumkoshy9930
      @platumkoshy9930 5 ปีที่แล้ว

      @@mwangimuiruri6132 yes kuna salo poa..but surelly hii ni kurisk bana...

    • @dominicmwangi3458
      @dominicmwangi3458 5 ปีที่แล้ว

      Job no job

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 5 ปีที่แล้ว +1

      Tuko nao wengi uku arabuni wameacha kaz KDF

    • @doricaswanjiru9000
      @doricaswanjiru9000 5 ปีที่แล้ว +1

      I agree with you

  • @danmunesh6233
    @danmunesh6233 5 ปีที่แล้ว +2

    wanajeshi wacheni siri bana, mkiwezwa mnasema ukweli, mwache kutesa wazazi

  • @michaelmburu2331
    @michaelmburu2331 5 ปีที่แล้ว

    lets defend our borders inside our country, no need for our sons and daughters fighting in somalia fighting onbehalf

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 5 ปีที่แล้ว +3

    Sasa kwa nn waende uko somalia na wenyewe hawataki c bora wangebakia tu mipakani kuilinda nchi yao.