Mapigano makali yalishuhudiwa kati ya wanajeshi na Al Shaabab 2012
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025
- Kwa miaka kumi sasa, wanajeshi wa jeshi la Kenya wamekuwa nchini Somalia kukabiliana na tisho la wanamgambo wa Al Shabaab. Katika Oparesheni iliyoanza kama LINDA NCHI, majeshi hayo baadaye yalijiunga na wenzao wa umoja wa mataifa wa bara la Afrika chini ya kikosi cha AMISON. Na muongo mmoja baadaye, mwanahabari wetu Hassan Mugambi anarejelea mojawapo ya mapigano makali kati ya majeshi hayo na wanamgambo wa Al Shabaab eneo la Hosingo