Wazaramo vanga - Naangaika (Naangaika Mwanangu kwa ajili yako)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2019
  • Wazaramo ni kabila la watu kutoka eneo la Dar es Salaam, baina ya Rufiji na Bagamoyo, nchini Tanzania. Mwaka 2000 idadi ya Wazaramo ilikadiriwa kuwa 656,730 [1]. Lugha yao ni Kizaramo. Katika eneo la Rufiji wanajulikana pia kwa jina la Wamyagatwa.
    #WazaramovangaNaangaika #NaangaikaMwanangukwaajiliyako #vanganaangaikamwanangu
    Wazaramo ni sehemu ya Wabantu. Mababu wanaaminika waliingia katika eneo la Tanzania katika milenia ya kwanza BK. Historia yao ya kimdomo inasema ya kwamba walihamia pwani katika mazingira ya Dar es Salaam kutoka Uluguru (Morogoro) katika karne ya 18.
    Walipokaa kwenye pwani walikuwa karibu na makazi ya Waswahili wakaanza kufahamiana na Waislamu. Taarifa za wakoloni Wajerumani mwanzoni mwa karne ya 20 zinaonyesha ya kwamba wakati ule Uislamu ulikuwa umeenea kati ya Wazaramo na waliendelea kujiunga nayo haraka [2]. Siku hizi idadi kubwa wa Wazaramo ni Waislamu.
    Jiji la Dar es Salaam lilikua haraka na kumeza vijiji vingi vya Wazaramo na wengine walihamia jijini wakitafuta kazi.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 28

  • @rukiamapara-de4mg
    @rukiamapara-de4mg 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ wazaramo mpo

  • @yahyasuleiman4897
    @yahyasuleiman4897 2 ปีที่แล้ว +7

    Yaani hapooo upoo kwenyee mduwaraa aiseee hataa kangaaa ikikuvukaaaaa huwelewiii somoooo yaani wazaramooo safii sanaa good tribe nanii kama wazaramo weweeeh

  • @KhalidKhalid-ox4pg
    @KhalidKhalid-ox4pg 2 ปีที่แล้ว +3

    Aisha Oman mamaake na shomi hongera zetuu wazaramo popote tulipo nchini hatuna wapinzani 🇴🇲😂

  • @Omaromar-oj5lp
    @Omaromar-oj5lp 3 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂😂 Naangaika kwaajir yako MUNGU IBARIKI ASILI YANGU #WAZARAMO

  • @ruksanmlaw3233
    @ruksanmlaw3233 2 ปีที่แล้ว +4

    Team zaramo oyeeeeee

  • @RehemaMillasi
    @RehemaMillasi 4 หลายเดือนก่อน

    💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @user-es6sg4qw8w
    @user-es6sg4qw8w 5 หลายเดือนก่อน +1

    Apoo na mcheza mwanangu wa udele nimekuza mama

  • @selemankizundu5091
    @selemankizundu5091 4 ปีที่แล้ว +10

    Nahangaika kwa ajili yako mwanangu....wazaramo woyoooo

  • @hassankanduru1771
    @hassankanduru1771 4 ปีที่แล้ว +5

    Wazalamo nomaaaa

  • @stamilinsogolwa6979
    @stamilinsogolwa6979 3 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda hiyo

  • @vumbilacongokasongomundend1351
    @vumbilacongokasongomundend1351 3 ปีที่แล้ว +6

    Baho baho baho wazalamu mwalongaze hano😂

    • @ruksanmlaw3233
      @ruksanmlaw3233 2 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhhhhh nakwambia ngoma inogile

    • @iddyomary8646
      @iddyomary8646 2 ปีที่แล้ว

      Hatar yani raha sana wazaramo oyeeeeeee

  • @bigmzazee2961
    @bigmzazee2961 ปีที่แล้ว

    Seke ulonge idyoo

  • @khalfanmkadam2890
    @khalfanmkadam2890 4 ปีที่แล้ว +4

    Nahangaika kwa ajili ako!

  • @mghayayustin7880
    @mghayayustin7880 2 ปีที่แล้ว

    Bahobahobahobaho maneno kidogo wazalamu haooooo

  • @abdulrasouly1607
    @abdulrasouly1607 ปีที่แล้ว

    Mofani

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 ปีที่แล้ว +1

    💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃ukae kumenoga

  • @aminachoga9266
    @aminachoga9266 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @abdulrasouly1607
    @abdulrasouly1607 ปีที่แล้ว +1

    Jeusi mc

  • @salamaaahmaad749
    @salamaaahmaad749 2 ปีที่แล้ว

    Woyooool

  • @massoudsultan8484
    @massoudsultan8484 2 ปีที่แล้ว

    Ukaeeeee

  • @KhalidKhalid-ox4pg
    @KhalidKhalid-ox4pg 2 ปีที่แล้ว

    Aisha Oman mamaake na shomi usipime hakuna km vanga jmn wazaramo hapo hatuelewi kitu km talaka itoke kukosa iyo ngoma haiwezekani

  • @husmoabubakar8559
    @husmoabubakar8559 3 ปีที่แล้ว +2

    Nf

    • @nestdaniel7085
      @nestdaniel7085 2 ปีที่แล้ว

      Nazitaka na download kupitia wapi