Tamaduni Zetu Tv
Tamaduni Zetu Tv
  • 15
  • 238 499
JAKAYA KIKWETE PAMOJA NA UTU UZIMA WANGU NILIJIKUTA MACHOZI YALITIRIRIKA.....PUMZIKA RAISI MAGUFULI
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema alimuamini zaidi Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na ndiyo maana alimteua kuwa Waziri katika wizara tatu tofauti katika kipindi cha miaka 10 ya utawala wake akisema, “alikuwa jembe langu.”
Kikwete aliyekuwa rais mwaka 2005 hadi 2015 ameeleza hayo leo Ijumaa Machi 26, 2021 katika ibada ya mazishi ya kiongozi huyo inayofanyika wilayani Chato Mkoa wa Geita nchini Tanzania.
Kikwete ambaye kwa nyakati tofauti alimteua Magufuli kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi; Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Ujenzi amesema kiongozi huyo alikuwa jembe lake alilolitegemea ndiyo maana alimuweka kwenye wizara tatu ngumu.
“Nilianza na wizara ya ardhi nilimwambia kule kuna wala rushwa, wanagawa viwanja mara nne nne, wale ni watu wagumu mno nikamwambia akawanyooshe.”
“Akaenda kufanya kazi kubwa akawanyoosha, akajitahidi lakini wale watu ni wagumu mno, Rais ukifanikiwa kuibadilisha wizara ya ardhi watu watashukuru,” amesema.
Amesema baada ya kufanya kazi hiyo vizuri alimuhamishia wizara ya mifugo ambako nako aliiendesha vyema wizara hiyo.
#ManenomazitoJakayaKikwetekuhusukifochaRaisMagufuli #kifochamagufuli #pumzikakwaamanimagufuli #magufuliazikwachato #jakayakikweteamliliamagufuri #ripmagufuli
Kikwete alieleza kuwa katika miaka mitano ya mwisho ya uongozi wake alimuhamishia Magufuli wizara ya ujenzi ili aweze kuiunganisha mikoa yote kwa barabara za lami.
“Miaka mitano ya mwisho nilitaka kufanya kitu ambacho kitaacha alama na niliona kuunganisha mikoa ndiyo kitu muhimu nikamkabidhi kazi hiyo Magufuli.”
“Tumeona sasa hivi mikoa karibu yote imeunganishwa kwa barabara kama imebaki ni michache, alifanya kazi hiyo kwa ufanisi,” amesema Kikwete.
มุมมอง: 40

วีดีโอ

Wasukuma X Nyamwezi - Sensema Malunde
มุมมอง 19K3 ปีที่แล้ว
Wasukuma X Nyamwezi - Sensema Malunde Jina "Wasukuma" lina maana ya watu wa Upande wa "Kaskazini", lakini maana hii haiwakilishi maana halisi ambayo watu wengi huitafsiri kwa mfano Wasukuma hutumia alama ya utambulisho (dira) kwa eneo fulani kwa viashirio vya makabila, kwa mfano wa jina kama hili: Kiya. Hili lina maana ya mashariki ambako ni maawio ya jua. Huu ni utambulisho ambao haukufananish...
Wasukuma - Manombo/Batoja
มุมมอง 6803 ปีที่แล้ว
Wasukuma ni kabila kubwa zaidi nchini Tanzania: linakadiriwa kufikia watu milioni 7, idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla. Jina "Wasukuma" lina maana ya watu wa Upande wa "Kaskazini", lakini maana hii haiwakilishi maana halisi ambayo watu wengi huitafsiri kwa mfano Wasukuma hutumia alama ya utambulisho (dira) kwa eneo fulani kwa viashirio vya makabila, kwa mfano wa jina...
Watanga - baikoko
มุมมอง 8434 ปีที่แล้ว
Mkoa wa Tanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania na uko Kaskazini Mashariki mwa nchi, ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjaro wenye Postikodi namba 21000. Mpaka upande wa kusini unafuata mto Mligaji kuutenganisha na mkoa wa Pwani. Makao makuu yako Tanga mjini. #watangabaikoko #ngomazawatuwatanga #baikoko Tanga ni kati ya...
Wayao - masaninga
มุมมอง 17K4 ปีที่แล้ว
Wayao ni kabila la Kibantu kutoka eneo la karibu na Ziwa Nyasa. Mwaka 2001 idadi ya Wayao ilikadiriwa kuwa 1,942,000, ambao kati yao 1,000,000 wanaishi Malawi, 450,000 ni wakazi wa Msumbiji, na 492,000 wako Tanzania [1] Wayao ni miongoni mwa Wabantu wanaopatikana katika mataifa kadhaa barani Afrika na kwa ujumla wao wameenea Malawi, Msumbiji na Tanzania katika mikoa ya Mtwara na Ruvuma. Wakipat...
Wayao Ngoma (Ngoma za Wayao)
มุมมอง 4.2K4 ปีที่แล้ว
Wayao ni kabila la Kibantu kutoka eneo la karibu na Ziwa Nyasa. Mwaka 2001 idadi ya Wayao ilikadiriwa kuwa 1,942,000, ambao kati yao 1,000,000 wanaishi Malawi, 450,000 ni wakazi wa Msumbiji, na 492,000 wako Tanzania [1] Wayao ni miongoni mwa Wabantu wanaopatikana katika mataifa kadhaa barani Afrika na kwa ujumla wao wameenea Malawi, Msumbiji na Tanzania katika mikoa ya Mtwara na Ruvuma. #wayaon...
Wazaramo vanga - Naangaika (Naangaika Mwanangu kwa ajili yako)
มุมมอง 105K4 ปีที่แล้ว
Wazaramo ni kabila la watu kutoka eneo la Dar es Salaam, baina ya Rufiji na Bagamoyo, nchini Tanzania. Mwaka 2000 idadi ya Wazaramo ilikadiriwa kuwa 656,730 [1]. Lugha yao ni Kizaramo. Katika eneo la Rufiji wanajulikana pia kwa jina la Wamyagatwa. #WazaramovangaNaangaika #NaangaikaMwanangukwaajiliyako #vanganaangaikamwanangu Wazaramo ni sehemu ya Wabantu. Mababu wanaaminika waliingia katika ene...
Wazaramo vanga - mama (Mama Huyo)
มุมมอง 36K4 ปีที่แล้ว
Wazaramo ni kabila la watu kutoka eneo la Dar es Salaam, baina ya Rufiji na Bagamoyo, nchini Tanzania. Mwaka 2000 idadi ya Wazaramo ilikadiriwa kuwa 656,730 [1]. Lugha yao ni Kizaramo. Katika eneo la Rufiji wanajulikana pia kwa jina la Wamyagatwa. #wazaramomama #vangamamahuyo #wazaramovanga Wazaramo ni sehemu ya Wabantu. Mababu wanaaminika waliingia katika eneo la Tanzania katika milenia ya kwa...
Wazaramo - kutwanga na kupepeta
มุมมอง 4744 ปีที่แล้ว
Wazaramo ni kabila la watu kutoka eneo la Dar es Salaam, baina ya Rufiji na Bagamoyo, nchini Tanzania. Mwaka 2000 idadi ya Wazaramo ilikadiriwa kuwa 656,730 [1]. Lugha yao ni Kizaramo. Katika eneo la Rufiji wanajulikana pia kwa jina la Wamyagatwa. #Wazaramokutwanganakupepeta #wazaramokabila #wazaramongoma #wazaramokabila #wazaramohistoria Wazaramo ni sehemu ya Wabantu. Mababu wanaaminika waliin...
Wazaramo - kabibwa
มุมมอง 2.8K4 ปีที่แล้ว
Wazaramo ni kabila la watu kutoka eneo la Dar es Salaam, baina ya Rufiji na Bagamoyo, nchini Tanzania. Mwaka 2000 idadi ya Wazaramo ilikadiriwa kuwa 656,730 [1]. Lugha yao ni Kizaramo. Katika eneo la Rufiji wanajulikana pia kwa jina la Wamyagatwa. #Wazaramokabibwa #wazaramongoma #wazaramohistoria #wazaramokabila Wazaramo ni sehemu ya Wabantu. Mababu wanaaminika waliingia katika eneo la Tanzania...
Wazaramo - Ndugu Zangu
มุมมอง 18K4 ปีที่แล้ว
Wazaramo ni kabila la watu kutoka eneo la Dar es Salaam, baina ya Rufiji na Bagamoyo, nchini Tanzania. Mwaka 2000 idadi ya Wazaramo ilikadiriwa kuwa 656,730 [1]. Lugha yao ni Kizaramo. Katika eneo la Rufiji wanajulikana pia kwa jina la Wamyagatwa. Wazaramo ni sehemu ya Wabantu. Mababu wanaaminika waliingia katika eneo la Tanzania katika milenia ya kwanza BK. Historia yao ya kimdomo inasema ya k...
Wazaramo - duku (Duku Duku Iimenikaa rohoni)
มุมมอง 28K4 ปีที่แล้ว
Wazaramo ni kabila la watu kutoka eneo la Dar es Salaam, baina ya Rufiji na Bagamoyo, nchini Tanzania. Mwaka 2000 idadi ya Wazaramo ilikadiriwa kuwa 656,730 [1]. Lugha yao ni Kizaramo. Katika eneo la Rufiji wanajulikana pia kwa jina la Wamyagatwa. Wazaramo ni sehemu ya Wabantu. Mababu wanaaminika waliingia katika eneo la Tanzania katika milenia ya kwanza BK. Historia yao ya kimdomo inasema ya k...
Wazanzibar - kibao kata (Ngoma za Wazanzibar naumia we kibega)
มุมมอง 1.9K4 ปีที่แล้ว
Jiji la Zanzibar ni mji mkubwa wa kisiwa cha Unguja na mji mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Pia ni wilaya katika Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi wa Tanzania. #ngomazanzibar #kabilazanzibar #historiayazanzibar #Wazanzibarkibakata #Wazanzibarnaumiawekibega Jiji lina wakazi 206,292 (sensa ya mwaka 2002). Kitovu cha historia yake ni Mji Mkongwe (Stone Town) ulioandikishwa katika orodha ya UNESCO...
WAZIGUWA - MAME MWALI
มุมมอง 3.5K4 ปีที่แล้ว
Wazigula (au Wazigua) ni kabila la watu kutoka eneo karibu na Bahari Hindi baina ya Dar es Salaam na Tanga, nchini Tanzania. Baadhi ya kabila ya Wazigula wanapatikana kusini mwa Somalia, Mwaka 1993 idadi ya Wazigula ilikadiriwa kuwa 355,000 [1]. #waziguangoma #waziguakabila #historiawazigua #WAZIGUWAMAMEMWALI Lugha yao ni Kizigula, ya jamii ya lugha za Kibantu. Maana ya Zigua ni kuchukua au kuk...
Wazigua DDC Mlimani Park - Naukala ndima
มุมมอง 1.1K4 ปีที่แล้ว
Wazigua DDC Mlimani Park - Naukala ndima