BONDIA ALIYETELEKEZWA URUSI Afunguka MAZITO - "WALITAKA KUNIKIMBIA, WAKANICHELEWESHA AIRPORT"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 62

  • @kingmrume
    @kingmrume 21 วันที่ผ่านมา +6

    Mwamba hongera sana, jeshi la mtu mmoja kutoka bara moja hadi bara jingine na mazingira magumu lkn umerudi na ushindi❤❤

  • @Mnuanofilms
    @Mnuanofilms 4 วันที่ผ่านมา

    Safi Kijana

  • @BuruhaniAdamWawa
    @BuruhaniAdamWawa 10 วันที่ผ่านมา

    Hayo mambo ya kawaida sana kwenye kusafiri, Ila bigup sana kwa ushindi

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 4 วันที่ผ่านมา

    Ningekua mimi bongo mngeniskia tu 😅

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q 15 วันที่ผ่านมา

    Jamani acheni kukoment o tumbo bila kugua uwakisia wake🇹🇿🇲🇿

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 23 วันที่ผ่านมา +3

    Hueleweki bro,mara hii mara hii,nyoosha maelezo

    • @djkombo3752
      @djkombo3752 17 วันที่ผ่านมา

      Chezea ngumu za kichwa wewe😅

    • @salumhamisi22
      @salumhamisi22 11 วันที่ผ่านมา

      Kwani lazima uandike comment?

    • @HashimaHashimu
      @HashimaHashimu 7 วันที่ผ่านมา

      Kwaio wewe ndo unaeleweka mpuuz

    • @nurumwashinga3662
      @nurumwashinga3662 6 วันที่ผ่านมา

      Wewe boya hata hakuna unajua

  • @ShayoZanzibar
    @ShayoZanzibar 23 วันที่ผ่านมา +4

    Bora aseme ajawahi kusafiri

  • @KavuShavu
    @KavuShavu 18 วันที่ผ่านมา

    Poleee kengee mdudu

  • @NassorHaambiwi
    @NassorHaambiwi 23 วันที่ผ่านมา +2

    Harmorapa wa pili😂😂😂

  • @herbethlukogela7657
    @herbethlukogela7657 11 วันที่ผ่านมา

    Oyaaah we nenda china au Japan hapo..... unakaa airport hadi siku mbili wanakukagua vizuri kabisaaaaa

  • @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt
    @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt 12 วันที่ผ่านมา

    Si bora kashinda pambano kama angeshindwa mambo yangekuwa mabaya zaidi

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz 23 วันที่ผ่านมา +2

    Si upige maisha tu uko uko popote maisha mzee

  • @OctavianMtui
    @OctavianMtui 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hueleweki nyoosha maelezo.OK urusi hakuna uswahili huo.

    • @salumhamisi22
      @salumhamisi22 11 วันที่ผ่านมา

      Kwa air port Hilo linawezekana. Kama ndege inaondoka saa 12 saa kumi uwe umefika

    • @nurumwashinga3662
      @nurumwashinga3662 6 วันที่ผ่านมา

      Mjinga hujui kitu

  • @FatumaMakame-c2s
    @FatumaMakame-c2s 4 วันที่ผ่านมา

    Uongo mtupuuuuuuu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 23 วันที่ผ่านมา +1

    Urusu kwa kuwepo na vita yawezekana n kweli ukaguzi n mkubwa sana

  • @MsafiriWatsoni
    @MsafiriWatsoni 23 วันที่ผ่านมา +1

    Tunashukuru kama umefika achana na watanzania wivu tu na fitina zimewajia

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 15 วันที่ผ่านมา

    Majaji watz .jifunzeni kwa majaji wa inje hapa tz ange pigwa kuna uhuni wa maamzi

  • @mustafarajabu4005
    @mustafarajabu4005 23 วันที่ผ่านมา +2

    Asa mbona haeleweki,kwaiyo pesa halikuwa nayo.mbona alikuwa anaomba msaada wa pesa.

  • @ShayoZanzibar
    @ShayoZanzibar 23 วันที่ผ่านมา +2

    Mwambie aache uongo asemekweli

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe tabia za warusi ni ugomvi na roho mbaya

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 23 วันที่ผ่านมา +3

    Uyu mbwa Mungo kanichefua kweli

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do 23 วันที่ผ่านมา +2

    Tafuta jembe ukalime ndio fani yk

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 วันที่ผ่านมา

    Wanasiasa kweli mngekuwa ni nyie huyu mngempa ushindi?

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 22 วันที่ผ่านมา

    MTANGAZAJI ujui kuhoji choko ww

  • @emmilemalewa4257
    @emmilemalewa4257 20 วันที่ผ่านมา

    Huo uongozi walitaka kuchangisha hela kwa wadau ili wapige Pesa.

    • @salumhamisi22
      @salumhamisi22 11 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ni theory yako

  • @IssaClinton
    @IssaClinton 22 วันที่ผ่านมา

    Urusi wanavita lazima wakague kwa umakin tunafurai umefka salama ongela sana

  • @AbuushafiyMasoud
    @AbuushafiyMasoud 22 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania vilopo lopo mmeskia changamoto aloipata mueleweni namuache kupenda kulalamika mlitaka aongee uongo mpate kiki😂😂jaribuni kusafiri nchi zenye vita ndio mtaelewa anachosema

    • @salumhamisi22
      @salumhamisi22 11 วันที่ผ่านมา

      Waambie. Kuna mijitu inapenda kukomenti vitu isiyojua

  • @ukwelitv9382
    @ukwelitv9382 12 วันที่ผ่านมา

    Hujama nitapeli huwezi enda pek kucheza kwa inchi zawatu

    • @salumhamisi22
      @salumhamisi22 11 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo alienda na nani?

  • @GastorMdudu
    @GastorMdudu 23 วันที่ผ่านมา +2

    Muongooo uyoooo

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani 23 วันที่ผ่านมา +1

      Acha umbea

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 23 วันที่ผ่านมา

      Kwani wenimkweliiiii

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 13 วันที่ผ่านมา

      Tuambie basi Ukweli wewe

    • @salumhamisi22
      @salumhamisi22 11 วันที่ผ่านมา

      Toa uthibitisho. Inaonekana unaroho mbaya

  • @iamnas_tz
    @iamnas_tz 21 วันที่ผ่านมา

    Tatizo wabongo kila mtu ni mjuaji

    • @salumhamisi22
      @salumhamisi22 11 วันที่ผ่านมา

      Haya ambaye mbumbu ni mjuaji

  • @ShayoZanzibar
    @ShayoZanzibar 23 วันที่ผ่านมา +2

    Uwanja gani unakaa masaa yote hayo,muongo, hiyo tanzania yenyewe haukai mda kama huo

    • @yusuphsanga7194
      @yusuphsanga7194 22 วันที่ผ่านมา

      Japan tulikaa uwanja wa ndege siku tatu

    • @iamnas_tz
      @iamnas_tz 21 วันที่ผ่านมา +1

      Kama haujawahi kusafiri kaa kimya ndugu

    • @zitongwang6278
      @zitongwang6278 12 วันที่ผ่านมา

      Inawezekana kutokana na ukaguzi

    • @peacemakerjoseph6587
      @peacemakerjoseph6587 11 วันที่ผ่านมา

      Inaonekana wewe ni mgeni na changamoto za airport ndio maana unaona kama huyo jamaa anadanganya

    • @zitongwang6278
      @zitongwang6278 11 วันที่ผ่านมา

      Kila nchi na taratibu zake, TANZANIA is TANZANIA my friend TANZANIA 🇹🇿