Yupo vizuri sana, anahitaji marekebisho kadhaa hasa ktk kujilinda , yupo wazi mno ana chanua sana mikono hali ambayo akipigana na bondia mzuri anajiweka ktk mazingira ya kupigwa vibaya. Vinginevyo ana jebu nzuri na nzito, movement nzuri na anajua kummaliza mpinzani yaani finishing kwakua yupo makini na anapata feedback ya ngumi zake kwa mpinzani wake.

Abdul mashaallah 🙏 Safi sana kuipaisha tz
Hongera Abdul ukirudi Tz Nicheck ndugu yangu Nina zawadi yako
Ajaenda na mkalimani mbona kila kitu anasema thankiuu😅😅😅
White kachezea vitasa hatariiii... Ubaya ubwela
Huyooo mwambaaa semaaa tyuu watu wa tz kusapoti vitu vizur wagumu kweliiiiii
Kabisa mwana anangum kali sana,ila tu anatakiwa atafute wepes zaid na zaid Azid kutuwakilisha
🇹🇿💪❤️
Tz one
Piga ua😅