ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Shukran habibty nafurahi kuona upishi wako we bajia nami nafanya za kufturu inshallah
Leo nimegundua kumbe haitakiwi iwe mmiminiko Ila ichoteke na vidole,am so happy Thank you ruksii you're the best 💕
Asante kwa hii recipe, zimetokea tamu sana❤
Mashaallah mumy umetisha
Mashallah mashallah kweli ni tamu, tamu Sana nitapika Leo Asante habibty. Mungu akubarikie zaid
Ameen
Mashallah badia nzuri
MashaAllah nzuri n rahisi kuipika. Shukran sis 💐🙌🏽👏🏼👌🏽
Shukran ❤️❤️😘🙏🏻
Mashaa Allah amazing👌👌👌👌👌👌
Masha Allha Shukran
Mashallah shukran kwa darasa
Unafundisha vizuri
Yamy ...naomba kujua jinsi ya kutengeneza hiyo sosi ya kula na bajia
th-cam.com/video/B6XumMwKxH4/w-d-xo.html recipe hyo hapo
Da Rukia hivi inakuwaje nikiwa nachoma bagia,zonakuwa shapeless,yaani zinasambaa kwenye sufuria hazijibumbi?
Nzuri saana mwanangu
Fans naombeni kujua mimi napika na mito kiasi kabisa lakini haziivi ndani mpendwa shida inakua ni nini?
Pika na moto mdogo
Nazmia Ahmed unafundisha vifuri sana
Wow! I like it....my hobby.
Kesho napika zangu Asante sana dada
Napenda saut yako mum
Awwww thank you soo much 😘
Mashallah
Unga wa dengu Saumu na tangawiziKaroti kusaga 1Dania au kotimiriKitunguu majiChumviBaking powder
Mashaallah Naomba recipe ya chatni please
Nzuri sanaa
Thank uuuu
MASHAALLAH, ila hapo kwa maji kiasi ndio mtihani IN SHAA ALLAH next time please will be waiting for the accurate water measurements
I don't know why hawaeki accurate water measurement
Mapishi ya Pwani ya Kiswahili huwa measurements si jambo muhimu. Tunapima kwa macho wengi wetu. Wazungu ndo wana mambo ya vipimo. So jifunzeni kukadiria tu. Humble advice 🙏
MashaAllah nzuri sana yummy yummy
Shukran habibty ❤️❤️
Nicee
Shukran
Huo ni Unga wa ngano umetumia ama? Anyway they look yummy 😋
Unga wa dengu
Shukran mamy
Nzuri
Ma shaa Allah surely will try it
Inshallah ❤️❤️
Masha allah
Mashaallah
mimi ninayobacking powder ya chapa maandazi inafaa?
Ndio
Thank you so much🙏
Aslm alkm
Asnt
Thanks I did it
Yummy😋
Kuna wengine wanaweka na hamira lkn kumbe sio lazima
Watu wa mombasa nawasalimu
Nataman kuweka hamira maana hazina faida zinatoka chache
Baking powder nini
Baking powder kwa kiswahili nn
Chapa maandazi
Hiyo sel kitu gani?
CARROT NI LAZIMA?
Mbona sijaona utie hamira au hazitiwi
Maji ni baridi au uvuguvugu
😘😘😘😘
Hakuna viazi?
Where do i get the unga
Normally kwa duka Ama supermarkt
🥰
Giligilan inapatikana wap jaman
Giligilani another name dania or coriander leaves in English
@@RukiaLaltia nikitu gan auwez kuwek mboga zamajani
Maji naweka ya barid au ya vugu vugu
Santeee
Winifrida Haule ntaipika
sijaelewa kwenye kipimo cha kikombe kimoja naomba unifafanulie kikombe kimoja ni robo au nusu
Waeza kutumia Unga wa dengu kikombe kimoja na nusu
unga wa ndegu ni nini
@@SuperHussein10 Unga wadengu ni chapati kavu😁
Huweki amira kama za biashara?
Huwezi amira kama za biashara
Rukia ntapata wapi unga wa ndengu
Chooni
@@ahlamomar9249 😂😂
@@halimagandi5408 kwahiyo akenda Chooni ataupata😜
@@ayshaali1384 😂
Nzuri sana
Shukran habibty nafurahi kuona upishi wako we bajia nami nafanya za kufturu inshallah
Leo nimegundua kumbe haitakiwi iwe mmiminiko Ila ichoteke na vidole,am so happy Thank you ruksii you're the best 💕
Asante kwa hii recipe, zimetokea tamu sana❤
Mashaallah mumy umetisha
Mashallah mashallah kweli ni tamu, tamu Sana nitapika Leo Asante habibty. Mungu akubarikie zaid
Ameen
Mashallah badia nzuri
MashaAllah nzuri n rahisi kuipika. Shukran sis 💐🙌🏽👏🏼👌🏽
Shukran ❤️❤️😘🙏🏻
Mashaa Allah amazing👌👌👌👌👌👌
Masha Allha
Shukran
Mashallah shukran kwa darasa
Unafundisha vizuri
Yamy ...naomba kujua jinsi ya kutengeneza hiyo sosi ya kula na bajia
th-cam.com/video/B6XumMwKxH4/w-d-xo.html recipe hyo hapo
Da Rukia hivi inakuwaje nikiwa nachoma bagia,zonakuwa shapeless,yaani zinasambaa kwenye sufuria hazijibumbi?
Nzuri saana mwanangu
Fans naombeni kujua mimi napika na mito kiasi kabisa lakini haziivi ndani mpendwa shida inakua ni nini?
Pika na moto mdogo
Nazmia Ahmed unafundisha vifuri sana
Wow! I like it....my hobby.
Kesho napika zangu Asante sana dada
Napenda saut yako mum
Awwww thank you soo much 😘
Mashallah
Unga wa dengu
Saumu na tangawizi
Karoti kusaga 1
Dania au kotimiri
Kitunguu maji
Chumvi
Baking powder