jinsi ya kupika bajia za dengu tamu sana na kwa urahisi sana
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- nimetumia unga wa dengu vikombe 2
chumvi nusu kijiko
majani ya dania nusu kikombe
kitunguu maji 1
kitunguu saumu na tangawizi mbichi kijiko 1
beking powder nusu kijiko
pilipili mbichi 2
pilipili boga kipande na maji kiasi
❤❤❤nitatumia recipe hii innshallah nitatoa pishi mubashara
Maa Shaa Allaah
Nimependa mafundisho Yako dear upo vzr
Ahsante masha Allah napika kwa ajili ya ftari..
Shukraan habibti wangu❤
Napendasana...
Asante sana mamangu, nimefata recipe zako mbili sasa...Ma shaa Allah,nimepika keki ya chocolate na hizi bajia...familia imefurahi sana...sijawai pika hizi bajia zikawa tamu na laini hivi
ooo jaman naskia raha sana mashaallah asante sana sana my dear
@@ashayummy2299 karibu sana, tuko pamoja In shaa Allah
Mashallah mashallah 😋 😋 👌 zavutia Sanaa na hyo sosi tu
sana my love shukran ssna dear
Maashaallah, mapishi ya uhakika kutoka kwa Ashayummy.
shukran sana
Nazipendaga hivi Kwa chai ya rangi bila hata ukwaju nazila nyingi Sana Mimi da Asha 🙈🙈🙈ma sha Allah
🤣🤣🤣 ulijuaje naila kweli kabisa tamu sana hizi chakula na chai ya rangi tuutamaliza zote shukran love
Subhaanallah its looking good
shukran sanasana
🤣🤣🤣
Atleast na Mimi nimepata mwenzangu hapendi bhajia za sima
nilikuwa ninauliza
Nice
asante mwaya
🤣
Ivi auweki amira
Haziwekwi ugawangano?
Haziwekwe amira?
Asante sana
🤣karibu tena.🙏
Pambe
Aunty if you make burritos you will get a lot of views
ok I will make soon
Nilazma kuweka baking powder
Ukiweka nivizuri zaid