Jinsi ya kupika bagia/bajia/badia/bhagia za kunde tamu mno kwa njia rahisi sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 145

  • @bahatirajabkilavo6829
    @bahatirajabkilavo6829 5 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah, shukran kwa upishi ni nzuri MashaAllah🥰

  • @eliwanguminja593
    @eliwanguminja593 หลายเดือนก่อน

    Nimependaa sana U msafi❤

  • @ukpreppermuminspire-shoppingpa
    @ukpreppermuminspire-shoppingpa 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice recipe, Asante sana..I speak a little bit of swahilli 👍👍👍

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      SHOPPING PASSION LONDON - AFRICAN MUMINSPIRE thank you 🙏

  • @belykanbella7653
    @belykanbella7653 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana dear niambiye kunde ni aina ya maharage? Mimi sijuwe kiswahili sana na siko Tanzania ningependa kutengeneza Badgia hizi alakini sijuwe kunde ni nini, mtuu mmoja ameniambiya nitumiye green peas na fasi ni kweli? Nashukuru sana

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Kwa kingereza zinaitwa Blackeyepeas dear

    • @mignonneyvette5863
      @mignonneyvette5863 4 ปีที่แล้ว

      @@wardakhalid292 nimaharage ya muieupe ( white beans?)

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Hapana sio maharage meupe ni ni vidogo kidogo kidogo kuliko maharahe. Na zinarangi nyeupe na nyeusi kidogo.
      Icheki video hii nimezionyesha mwanzo kabisa👇🏻
      th-cam.com/video/Ii5cpkkAY4I/w-d-xo.html

  • @triphosamhiro2753
    @triphosamhiro2753 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa ujuzi mzuri,nimependa. Hayo machicha ya nazi yaliyochujwa au yasiyochujwa?

  • @GraciousJohnson-j7d
    @GraciousJohnson-j7d 2 หลายเดือนก่อน

    Naweza kutumia hand mixer jwaajil ya kusaga???

  • @sonkotv8870
    @sonkotv8870 4 หลายเดือนก่อน

    sorry i need to buy that blender ...how can i get it

  • @joycemwasote2959
    @joycemwasote2959 ปีที่แล้ว +2

    Bagia ni nzuri sana,unatoaje maganda ya kande kabla ya kuloweka?

    • @joycemwasote2959
      @joycemwasote2959 ปีที่แล้ว

      Hongera sana dear,bagia ni nzuri sana na zitaonekana ni tamu,unakoboaje maganda kabla ya kuloweka?

  • @sehewagidion4657
    @sehewagidion4657 3 ปีที่แล้ว

    Nimejaribu ila nilichokipata mhuuu ndani hazijaiva alafu kwa juu ngumu hatari japo niliweka moto kidogo sana

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Duh, pole sana ulifwa njia hii niliyotumia mimi, au umetumia njia nyingine dear?

    • @sehewagidion4657
      @sehewagidion4657 3 ปีที่แล้ว

      Hii hii sijui nimekosea wap maan zimeishia tu kunyonya mafuta

    • @sehewagidion4657
      @sehewagidion4657 3 ปีที่แล้ว

      Nilivozibrend nikaweka chumvi vitunguu, hoho na karoti nikazichanganya nakuanza kuzipika

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Yani nimejaribu kufikiria nimekosa jibu kwamba kitugani kimesababisha kutokea hivyo.
      Maana kama sio moto mkali au size ya bagia kubwa sana , au mafuta machache , au moto ulikuwa wa chini sana.

  • @AishaUrio
    @AishaUrio 24 วันที่ผ่านมา

    Jmn jinsi gan mnatoa maganda

  • @SoudAlly-gb7by
    @SoudAlly-gb7by ปีที่แล้ว

    jee lazima kunde zilokobolewa kwa zile mzima jee inakuaje?

  • @aishasalim1281
    @aishasalim1281 4 ปีที่แล้ว +3

    Ma shaa Allah badia mmmm 😋 denda 👍🏾

  • @azooz2622
    @azooz2622 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran habibty

  • @Miss_Lissah
    @Miss_Lissah 9 หลายเดือนก่อน

    Hello, unapika na moto wa size gani, mdogo au?

  • @motivationinspirationmumin8398
    @motivationinspirationmumin8398 4 ปีที่แล้ว +3

    Great work Sis, have a blessed day 💗L💗I💗K💗E💗

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว +1

      SHOPPING & VLOGS - LONDON AFRICAN MUMINSPIRE thank you so much 😊❣️

  • @chabychaby1096
    @chabychaby1096 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah hivi icho kimashine ntakipataje

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Inategemea uko wap mydear, kama uko UK unaweza kupata Maduka mengi tu , na Kama Tanzania, kuna watu wanasafirisha mizigo kutoka Uk wanaleta Tanzania kwa order kama huyu 👉🏻instagram.com/primestyletz.uk?igshid=4eibmplyl338

  • @elizabethluhanga7955
    @elizabethluhanga7955 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimebrend nimezidisha maji nifanyaje dear nisaidie

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 ปีที่แล้ว +1

    MAASHALLAH

  • @edithamsigwa6324
    @edithamsigwa6324 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh km huna brenda waweza sagia na nn?

  • @ahluljazira2259
    @ahluljazira2259 4 ปีที่แล้ว +3

    mashalllah looks yummy

  • @neemashoo5527
    @neemashoo5527 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa breda yako...inaitwaje nikienda dukani iwe rahisi kuipata.
    Thanks

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Mini food chopper au food processor

  • @estherabel7864
    @estherabel7864 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimeyapenda mapishi yako

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Faiza Said shukran

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Faiza Said shukran

    • @nunungwal3012
      @nunungwal3012 4 ปีที่แล้ว

      A alaikum mashaalah je unaweza usage kwenye blenda ya kawaida

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Waalykum salaam, ndio unaweza
      Angalia jinsi ya kutumia blender kwenye video hii th-cam.com/video/Ii5cpkkAY4I/w-d-xo.html

  • @baefifi1186
    @baefifi1186 ปีที่แล้ว

    Auweki amira

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi unaziloweka kwanza siku nzima? Naweza kuloweka kunde asubuhi jioni nikaosha kutoka maganda na kubrend km hivi?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว +1

      Yes unaweza dear ,Ila itakuchukua muda kutoa maganda. Zikiwa zimekobolewa ni rahisi zaidi.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 ปีที่แล้ว

      @@wardakhalid292 OK! Ss unakoboa na nn,coz mashine haiwezekani,au kwa kutwanga kwa kinu?

  • @SABRASAID-zg8od
    @SABRASAID-zg8od 7 หลายเดือนก่อน

    Hayo machicha nazi inakuwa ishakamuliwa

  • @sonkotv8870
    @sonkotv8870 4 หลายเดือนก่อน

    and where

  • @hadijamkambande7564
    @hadijamkambande7564 4 ปีที่แล้ว

    A.a wards I'm new in your channel hii machine ya Bahia napata wapi ama taitwa je?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Karibu sana , Waalykum salaam, mcheki huyu niliona anauza instagram.com/jadenhome_store?igshid=mgjcr4ggpj9t

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Au huyu. instagram.com/tasnem90?igshid=xc3wdz2nil1s

  • @edithamsigwa6324
    @edithamsigwa6324 2 ปีที่แล้ว

    Na unavosaga huweki hata maj kdgoo?

  • @aminamatimbwi8684
    @aminamatimbwi8684 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana hiyo machine bei gani

  • @teklaluambano4924
    @teklaluambano4924 4 ปีที่แล้ว

    Mom asant nmelewa vipi hiyo blenda ipo madukn na inaitwaje?
    Na Je naweza tumia blenda ya kawaida??

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Inaitwa Minni Chopper au food processor . Ndio unaweza kutumia blender ya kawaida na kama blenda yako ina hitaji maji mengi ili kuweza kusaga angalia video yangu hii nimeelezea zaidi jinsi ya kusaga bagia za kunde kwa kutumia blender th-cam.com/video/WKa2cU5nk4A/w-d-xo.html

  • @MonicaMkwama-xi3zs
    @MonicaMkwama-xi3zs ปีที่แล้ว

  • @teresiamsigala5925
    @teresiamsigala5925 3 ปีที่แล้ว

    Hii unayosagia inatumia umeme? Na kinaitwaje? Na ntakipataje?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Kinaitwa mini chopper , kwa tz maduka mengi ya vyombo wanavyo,
      Aun unaweza kumuagia mtu from Uk analeta vitu kwa order tu .
      Hii hapa ni page yake ya insta👇🏻
      instagram.com/p/CQ0_9Y9HbsZ/?

  • @mariamngoya8737
    @mariamngoya8737 3 ปีที่แล้ว

    Cha kusagia ni sh ngap?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Nilipi ni£15 , sijajua ulipo dear

  • @omlavalonge3177
    @omlavalonge3177 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyc

  • @rodajulias8285
    @rodajulias8285 3 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @yushalforever7216
    @yushalforever7216 4 ปีที่แล้ว

    Jaman Kuna special blender ya kusagia kunde?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Yushal forever hakuna dear ila ukitumia kama niliyotumia mimi haitakulazimu kuweka maji kabisa. Ila ukisaga na blenda yakawaida itakubidi uchuje maji kwasababu blenda ya kawaida inahitaji maji mengi kusagia
      na maji yote yakichujika vizuri chini kabisa ya maji utaona kuna unga umeganda , yatoe maji yote ya juu taratibu then chukua ule unga urudishe kwenye kunde zako. Inasaidia bagia zako zisisambaratike wakati wa kukaanga.

    • @yushalforever7216
      @yushalforever7216 4 ปีที่แล้ว +1

      @@wardakhalid292 shukran

    • @yushalforever7216
      @yushalforever7216 4 ปีที่แล้ว

      @@wardakhalid292 blenda Kama hizo zinapatikana wapi

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Yushal forever you’re welcome

  • @zeejaff2948
    @zeejaff2948 4 ปีที่แล้ว

    Sio soft Kama za kwako

  • @remarkable_reene
    @remarkable_reene 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante ila naomba maelekezo ya kiasi cha moto wa kupikia hasa kwa jiko la umeme.

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  2 ปีที่แล้ว +1

      Kama ni kwa namba 1-8 , weka namba 6

    • @remarkable_reene
      @remarkable_reene 2 ปีที่แล้ว

      @@wardakhalid292 oh! Ni sawa na medium heat kwa jiko hili nililonalo, ahsante 🤝 ngoja nami nijaribu upishi huu weekend hii 😃

  • @zuhuratychumu2420
    @zuhuratychumu2420 3 ปีที่แล้ว +1

    Naweza kusaga kwa kutumia blender

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  2 ปีที่แล้ว

      Ndio unaweza dear , video hii nimeelekeza👇🏻
      th-cam.com/video/Ii5cpkkAY4I/w-d-xo.html

  • @hafsamhamed9227
    @hafsamhamed9227 3 ปีที่แล้ว

    naitaji hiyo machine naipataje dada

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Zipo maduka ya vyombo vya umeme dear

  • @estererick3055
    @estererick3055 4 ปีที่แล้ว

    Hizi bagia haziwekwi baking powder?

  • @rebecasalehe5810
    @rebecasalehe5810 ปีที่แล้ว

    Hayo machicha ya naz tayar yameshachujwa au bado yan naz

  • @lutfiahaji3076
    @lutfiahaji3076 3 ปีที่แล้ว

    Hukutia unga wa ngano eee na km hujatia je hazivurugiki wkt wa kuchoma na kutokuja shape ya kiduara

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Hapana siweki unga wa ngano
      Hazivurugiki, kama unataka ziwe kiduara zisage mapema kama asubuhi alafu ziwache mpaka jioni ndio uchome zitavimba na utaweza kushika kwa mkono vizur na kutengeneza kidura.

    • @lutfiahaji3076
      @lutfiahaji3076 3 ปีที่แล้ว

      @@wardakhalid292 saw asante

  • @SophiaTafuna
    @SophiaTafuna 4 ปีที่แล้ว

    je kunde hizi ni nyeupe?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Yes ni nyeupe. Check hii video nimezionyesha. th-cam.com/video/Ii5cpkkAY4I/w-d-xo.html

    • @SophiaTafuna
      @SophiaTafuna 4 ปีที่แล้ว

      ok asante sana sis

  • @maryammtingwa394
    @maryammtingwa394 4 ปีที่แล้ว

    Hizo bajia haziwezi achia zikitiwa kwenye mafuta bila kuzipitisha kwenye unga au mayai??

  • @RayaOthman-o8w
    @RayaOthman-o8w 11 หลายเดือนก่อน

    Wakati wa kusaga hutii maji au vp

  • @gee6970
    @gee6970 4 ปีที่แล้ว

    Inawezekana kutumia blender ya kawaida??

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว +4

      Yes, unaweza, ila blender itakuhitaji utumie majimengi ili iweze kusaga vizuri kunde . Na baada ya hapo utazimimi kwenye chujio huku umeweka chombo kingine chini yake ili maji yajichuje kama lisaa . Na baada ya hapo utachukua kile chombo kilichokuwa maji yanajichujia humo bila kukitingisha na kutowa maji ya juu na chini kabisa ya chombo utaona unga umeganda utauchota vizuri na kuurudisha kwenye kunde zako . Hiyo inasaidi au inazifanya ukichoma bagia zako zisisambaratike.

    • @gee6970
      @gee6970 4 ปีที่แล้ว +1

      @@wardakhalid292 oooh asante

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      You’re welcome

  • @fatmamazige9486
    @fatmamazige9486 3 ปีที่แล้ว

    Hayomachicha inamaana Nazi imechunjwa hayo nimachicha tupu au hayajachunjwa?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Yoyote yanafaa dear ambayo hayajachujwa ndio mazuri zaidi💕

  • @AA-kn2ho
    @AA-kn2ho 3 ปีที่แล้ว

    While making chatin sio lazima maembe I thought people mix maembe na nazi?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza ukamix pia inakuwa nzuri dear💕, ila sii lazima

  • @is-haqyussuf3625
    @is-haqyussuf3625 4 ปีที่แล้ว

    How to make bhajiya

  • @nuruissa2648
    @nuruissa2648 3 ปีที่แล้ว

    Hawatii hamira ??????

  • @zeejaff2948
    @zeejaff2948 4 ปีที่แล้ว

    Mbona bajia zangu zikikaa zina zidi kuwa ngumu ??

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว +1

      Zee Jaff inawezekana hazikurowana vizuri mpaka unazipika zilikuwa too dry , ndio maana zikikaa zinakuwa ngumu. Hakikisha unafanya mchanganyiko wake usiwe mzito sana , hakikisha mchanganyiko wako mlaini wakuweza kushikana kwa ajili ya kutengeneza hizo shapes. Na ukiona mzito sana kabla ya kuzichoma bajia zako weka maji kidogo sana na uchanganye vizuri then kaanga. baada ya hapo bajia zako zitakuwa laini hata zikikaa mpaka siku ya pili

    • @zeejaff2948
      @zeejaff2948 4 ปีที่แล้ว +1

      Warda Khalid Ohhh okay .. sawa sawa. Kesho napika tena baasi nitaweka maji kidogo .. Asante Sana dear 🙏🏻👍🏻😘

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว +1

      You’re welcome 😘

  • @assilaa2007
    @assilaa2007 3 ปีที่แล้ว

    Jmn sjaon uweke kitunguu au c lazim mamy

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Nimeweka dear kitunguu maji na kitunguu swaumu💕

    • @assilaa2007
      @assilaa2007 3 ปีที่แล้ว +1

      @@wardakhalid292 oohhh saw maa🥰nimependa ntafanya then nikupe mrejesho hapa hapa... bt cjui ile chakne yao inafanyw vip😔

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Ok InshaAllah
      Chatney ni nazi unaweza uakuna fresh au ukanunua ukasagia na pilipili chumvi ndimu na kotmiri kama unapendelea.

    • @assilaa2007
      @assilaa2007 3 ปีที่แล้ว +1

      @@wardakhalid292 Thanks mamy ubarikiwe san😊

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Ameen 🙏
      💕

  • @aminakweyamba1329
    @aminakweyamba1329 4 ปีที่แล้ว +1

    NIMENDA MAPISHI YA KUNDE

  • @zainabmohamed4503
    @zainabmohamed4503 4 ปีที่แล้ว

    Je ukiwa una icho kidude

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Tumia blender kwa kutumia maelezo haya nimeelezea vizuri kwenye video hii👇🏻
      th-cam.com/video/Ii5cpkkAY4I/w-d-xo.html

  • @EmmyNyambulapi
    @EmmyNyambulapi 3 หลายเดือนก่อน

    Machicha unakamua chuja kwanza au yenye nazi tujibu

  • @kiwamgweno4699
    @kiwamgweno4699 4 ปีที่แล้ว

    Samahani hutii labda hamira au bakin pouder nijulishe

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว +1

      Hapana siweki hamira wala baking powder kwenye bagia za kunde, zaidi ya hivyo nilivyoweka💕

    • @DayanaGrayson-w6l
      @DayanaGrayson-w6l 9 หลายเดือนก่อน

      Weee niliwahi pika bila hamira kilichotokea mungu shahidi😂

  • @MamaMama-em8je
    @MamaMama-em8je ปีที่แล้ว

    Hazitiw amila

  • @abdalamputa8642
    @abdalamputa8642 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaweza kutumia Brenda ya juic

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว +1

      Abdala Mputa Yes, unaweza, ila kama itakuhitaji utumie majimengi ili iweze kusaga vizuri kunde .itakubidi uzichuje maji baada ya kuzisaga huku umeweka chombo kingine chini yake ili maji yajichuje kama lisaa . Na baada ya hapo utachukua kile chombo kilichokuwa maji yanajichujia humo bila kukitingisha na kutowa maji ya juu na chini kabisa ya chombo utaona unga umeganda utauchota vizuri na kuurudisha kwenye kunde zako . Hiyo inasaidi au inazifanya ukichoma bagia zako zisisambaratike.

    • @abdalamputa8642
      @abdalamputa8642 4 ปีที่แล้ว

      Asanteee

  • @ahluljazira2259
    @ahluljazira2259 4 ปีที่แล้ว

    naomba utupikie katles za kuku mtupu please. kila nikijaribu huwa cziwezi cjui nakosea wapi?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Ahlul Jazira nyama ya kuku peke yake bila viazi?

    • @ahluljazira2259
      @ahluljazira2259 4 ปีที่แล้ว

      @@wardakhalid292 ndio niliziona pahali nikazipenda sana alitumia chicken breast kama hivo

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว +1

      Ahlul Jazira ok , sizifahamu ila nitafatilia nizijue😁

    • @teresiagama3308
      @teresiagama3308 4 ปีที่แล้ว +1

      Woooh

    • @zahrasaid5195
      @zahrasaid5195 4 ปีที่แล้ว

      Mashine kama iyo itaipataje

  • @mariamkitamkanga5855
    @mariamkitamkanga5855 4 ปีที่แล้ว

    Madam hcho kifaa kinauzwa wapi jamani nakitafta kam naweza kukipata no yangu 0711925326

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  4 ปีที่แล้ว

      Mcheki huyu dada analeta vitu kutoka UK instagram.com/primestyletz.uk?igshid=jkqv7ue4zof2

    • @mariamkitamkanga5855
      @mariamkitamkanga5855 4 ปีที่แล้ว

      @@wardakhalid292 ahsante

  • @donnahcyldion4609
    @donnahcyldion4609 3 ปีที่แล้ว

    Kama sina Brenda naweza kutwanga kwenye kinu?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Sijawahi jaribu, ila nahisi unaweza 💕

  • @aminamatimbwi8684
    @aminamatimbwi8684 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana hiyo machine bei gani

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  3 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa £14.99 Lidl, miaka 4 iliyopita sijui kwa sasa ni bei gani

  • @ummysoso859
    @ummysoso859 ปีที่แล้ว

  • @is-haqyussuf3625
    @is-haqyussuf3625 4 ปีที่แล้ว

    How to make bhajiya