Kaka manager hongera kwa kumsupport Suzy Mungu Atakulipa nakushauri canceling angalau kwa week mara moja. Na km atakuwa anakukosea mvumilie tu jamani. Na hongera since una msimamia naye amegaa(KAPENDEZA) Mashalah Jamani Ana kipaji natural
Muachen suzy kashasema ukwel sio kwake mashaalaah😂na kasoma shule nzuri ni maisha tu ila kikubwa uhai...Zaidi suzy kama shoga wa kithailand 😂mtangazaji yeye ni msosi tu hajali hata sauti ni mbaya
Wewe hujamuelewa anasema amempigia simu bila kumpanga kuhusu kipindi. Hivyo amemuuliza alipo kamuelekeza sasa hawezi kuacha kurecord kipindi na wao wameshafika eneo la tukio na kipindi lazima kiruke
Salehe jitaid ukioji watu basi wawe ktk nyumba zao wanazoishi inaleta mvuto na hamasa zaid kuliko mtu/msanii akiwa kwa mtu Haina Radha, Suzi kashakua mtu maarufu na mashughul ni vizur tukapajua kwake no matter what
Kaka manager hongera kwa kumsupport Suzy Mungu Atakulipa nakushauri canceling angalau kwa week mara moja. Na km atakuwa anakukosea mvumilie tu jamani. Na hongera since una msimamia naye amegaa(KAPENDEZA) Mashalah Jamani Ana kipaji natural
Kweli kabisa
Kwanini isiwe kwake unamtembezaje kwa watu jamaniiii mazoea gani yaliopitiliza kwa watu 😢
Kumbe suzi upande mpogolo ndomana huna baya mpogolo mwenzangu😂❤wapolo atupendi kujikweza,,tunapenda kuishi ktk huasilia,,niwaSema kweli,
Suzy bale kwann utuoneshe kwa meneja badala ya kwako? We huogopi 😂😂😂😂
Tunataka kuona nyumbani kwa best nasso mana nae ni mkongwe ambaye hajulikani kwake
Swaleh kupandisha miguu kwenye masofa ya watu tabia mbaya
😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kweli.
Hapa unavoona hii ipo kama HAITEBO na hii ni TIVII😅😅😅 kwa tusiojua TIVII tumejulishwa😂😂
HAITEBO 😂😂😂
Ila hii interview ingenoga sana ingekua uswahilini😊
Suzy apo alipoimba nyimbo ya sabaha mm ndohoii man Katia na vinanda na kucheza juu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nampenda sana anapambania maisha yake mungu ampe insha'Allah
Mungu,MUNGU not mungu
Mi nikajuwa kwake kumbe kwa ndugu mjuwano ilibidi akaoneshe kwake kabisa
Love you so much camaraderie tv
Hii nyumba kwa mama kamamaa😂😂
Jmn😂😂😂😂kwa mama kamamaa kabisa hapo ety kwa suzy
Mjini ukiwa na jina ulali njaaaa 😂😂😂😂😂 nampenda sana suz
Masha Allah tabaraq Allah nyumba pambe
😢😢😢😢hii irudiwe atupeleke kwake
Hainogi kabisa kumtembeza mtu nyumba ambayo sio yako yani hp nilipo naona aibu mimi😅
Me too naogopa
😂😂😂😂
Meneja kataka kujulikana na yeye 😂😂😂😂😂 katumia fursa
Muachen suzy kashasema ukwel sio kwake mashaalaah😂na kasoma shule nzuri ni maisha tu ila kikubwa uhai...Zaidi suzy kama shoga wa kithailand 😂mtangazaji yeye ni msosi tu hajali hata sauti ni mbaya
😂😂😂😂penye mtangazaji ni msosi tu
😂😂😂😂penye mtangazaji ni msosi tu
21:50 hivi vitabu ukijiskia unafungua unasoma 🤣kwandishi: kwani vinafunguka😆
Yani 😂
😂😂😂
Suzy ni kama yule demu wa Facebook wa kenya ❤😂😂😂😂
Ila watu hamjaangalia at maongez yao mnajimaliza mbon kaongea yote kuhusu apo sio kwak nasio kwao kwamenej wake pia ata kwak iposiku atapaonyesh
Kwani nini kina kufanya usiamini jaman mjini mipango
Nampenda Huyu dada jamanii
Suzy baleee mmoja tu😂😂😂😂
Nimeskia kisauti wakati mnaingia suzy anasema ntatoka kiaina 😂inamana mmeingia nae
kwelii sikusikia😂
rehemalusindengawa5186 siyo yeye ni huyo rehema alikuw anasema ngoja mie nitoke kiaina,Suzy ndo akamjb unatoka kiaina unaenda wapi
😂😂
❤❤ nampenda akichachambana na mau zinde
😂😂
Zamaradi sauti yenu mbaya sijui kwanini hamrekebishi muda mrefu wadau wanalalamika
Ila suzzy😂 una baya udugu
Ingenoga kama ungekuwa kwako
Mashallah nyumba nzuri🎉
Suzy and Rehema, wow, very good act👏👏❤❤❤
😂😂😂 susszy anaumbuka eti ivivitabo ukitaka unasoma
😂
Nampenda sana suzii
Nimecheka 😂😂😂
Family friend ama mnafanya mapenzi
Nakupenda da Suzi❤
Huyu ni vibe la kwenda every taim😅😅😅
Lailailaalha subhana u war
Taalaah weee suszy weweee😂😂😂
Huyo meneja hana makuu Mashaallah❤
Love u suzy🎉🎉❤
Hapo si kwa mamake kamamaa
Ndo penyewe
Ila we salee mnafki jmn ety ivyo vitabu vinafungukaa😅😅😅
Kwenye vitabu nimechekaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊
Eti taratibu tuu utazoea kufungua hilo friji😂😂😂😂🙌
Mtangazaji unataka kutembezwa kndani kwa watuuu😮
Suzy ana sifa km kwake vp😂😂😂
Vp uyo kakake Suzy akona mke naulizia dadangu😂
Hii nyumba maarufu sana tiktok
Umeona eee
Ety Green bird nn 😂😂na iko wapi Suzi bhn umesahau Green bird ipo wilaya ya mwanga opposite Mwananchi Bank😊
Haaaaaa sabaha salumu,Sio Kwa kuluka mistari Iyo kuluka MNANIN NANYI VIUMBE MWAPITA MNILAUM
Sasa mbona inasema anaishi apa na si kwake ni kwa mwengine
Suzy we huogopi😊😊
😂😂😂
Mashaallah nyumba mzur sana ❤❤❤
Me nadhani ingekuwa kwake ingeleta ualisia zaidi 😊
Hii nyumba mbona km kwa mama kamamaa jmn😂😂😂
Ndio 😂😂😂😂
Mbona nae suzy kaongea na huyo dada anamwambia ampigie simu mamaa kamamaa aje na samaki😂😂😂
Weeh huogopi 😂😂😂
Hili bembea ndio lime mdondosha dee wetu ingekua mm na likata
Hapana jman d amepata ajali ya bembea shuleni sio hiyoo
soon utapata mujengowako nawewe pia mrembo
Sasa Wewe ndo ume fake maisha NUMBER 1 kwa kweli, ulianza kujigamba eti mimi sifake maisha 😢looooo jmn
Wewe hujamuelewa anasema amempigia simu bila kumpanga kuhusu kipindi. Hivyo amemuuliza alipo kamuelekeza sasa hawezi kuacha kurecord kipindi na wao wameshafika eneo la tukio na kipindi lazima kiruke
Hapo mbona kwa kina dee na kamama 😂😂
Tatizo hamsikilizi vizr mbn amesema apo kabisa sio kwangu huwa nakuja ni kwa kaka angu na ni meneja wangu
Tunataka to kwako
Suzy tiktok kuna nyumba huwa anatoka afu wanamrecord sa hii imetoka wap😂😂😂😂
Green Bird iko Mwanga wewe acha kujikanyaga, Arusha ipi?
watu wengi wanasemaga Moshi ni Arusha halafu kilimanjaro ndo kilimanjaro, yaani wanajichanganyaga
Ndy ivyo Sasa lazima wale sahan moja
Ivi vitabu ukitaka unakaa hapo unasoma... Vitabu vyenyewe havifunguki😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂sule mnafiki eti em vifungueee tuone
😂😂😂
Apo kwenye vitabu nimecheka na showcase imekuwa higt table 😅😅😅
"Ajanipiga huyu"😅😂😂😂
Kachambwa na Mauzinde njooni kwangu muone ubuyu
Haha haha mtakuja kuumbuka kwenye nyumba za watu 😂
Hio nyumba ya meneja 😅😅😅
Si amesema kwa meneja jamani
Hana ndoa kwa hiyo watoto wote 3 kazaa nje
@@SafiyaJ-yw2vtkazaa hosi
Etii stop kad mbili 😂😂😂😂
Apo katupiga nakitu kizito sokwake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kasema yupo hapo tangia juzi hajasema kwakwe
Familia frendi
😂😂😂 mi naogopa
Suzy tuonyeshe kwako unatuonyesha nyumba ya meneja😅😅
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣👍🏽
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Kwaiyo tufanyaje mwacheni
Atoke kiaina sii😂😂😂
MBONA KW DE KAM
Suzi kibiko kuambiwa tu maneno yanakuja wenyewe
Sasa mnatembezana ndani umo nyumba haimuhusu inakuaje
Ina maana karuhusiwa ulitakaje nyumba yako mwenye nyumba kamruhusu nawe tuliza mshono
😂😂😂😂😂😂😂penzi paja tunazeeka wote
Suzy ❤❤❤❤❤❤❤❤
Ana cheo gani mjini Tz huyo suzy?
Salehe jitaid ukioji watu basi wawe ktk nyumba zao wanazoishi inaleta mvuto na hamasa zaid kuliko mtu/msanii akiwa kwa mtu Haina Radha, Suzi kashakua mtu maarufu na mashughul ni vizur tukapajua kwake no matter what
Mpajue ili mgundue nn ss
@@janethmutokaunawashwa
Unikome umbea tuuu😏😏😏
@@janethmutoka umbea kwa mwanamke kawaida labda mwenzetu tom boy mfyuuuuuuu mamae
Watapata wapi nyumba watu wote na wakati watu wapo kwenye utafutaji
😂😂😂ila kutokujiamin ya nin kwa watu dah
Wasanii wengi wanafake life ndomaana neno msanii msanii maana yake mambo yake anafanya kisanii na si kweli
Bota mtu uonyeshe kwako hata kama no pabaya huenda ukasaidika 🤝
Mm nampenda sna susy❤❤❤❤
😅😅
Wanajua kumpigia mtu promo
Duuu😮
Mmmh mwenynyumba kazi ipo
Mbn sabufa linawaka😂😂😂salehe
Kuku kapanda baskeli😂😂😂😂😂
Lakini inabidi kama meneja amtafutie cm yake na sehem yake ingekua poa
Mpk pesa zirud sasa
Ila kwenye vitabu kufunguka nimecheka aseee😂😂😂
We Sasa unakosea
Hee apa ndo anaishi suzy bale
Nampenda da suzy
Ameishasema hapo kwa meneja wake
😂😂😂 kwake ndie ingekuwa poa ingenoga zaidi
Anajua suzy😅
Mmh suzy kishuzi