Kuretouch inategemea na Aina ya NYWELE na namna unavyotunza NYWELE ZAKO Kama una NYWELE nyepesi na chache kichwani manake zitachelewa kuisha dawa kwahivyo utaretouch ukiona zimeanza kuotea Kama nywele ni ngumu zitawahi kuisha dawa ko ukiona zimeanza kuotea unaweza ukaretouch ila Kwa mwenye NYWELE ngumu hata asiporetouch mapema akasuka baada ya NYWELE kuotea NYWELE hazitakatika Pia Kuna utunzaji wa NYWELE kama umeweka dawa ukawa unazifanyia steaming unazipeleka salon unazisuka mara Kwa mara NYWELE Yako itachelewa kuotea ikitokea imeotea hata ukichelewa kuretouch haitakatika Shida Iko kwenye Aina ya dawa pia na upakaji wa dawa 0693682996 nicheki kama una maswali zaidi
Nice kipenz
Thanks hny
❤️
😢
Asante
Karibu
Umenisaidia sana Mimi kila nikiweka dawa huwa naungua
Nmefurahi kusikia hivyo
Kuritouch ni kila baada ya muda gan dada
Kuretouch inategemea na Aina ya NYWELE na namna unavyotunza NYWELE ZAKO
Kama una NYWELE nyepesi na chache kichwani manake zitachelewa kuisha dawa kwahivyo utaretouch ukiona zimeanza kuotea
Kama nywele ni ngumu zitawahi kuisha dawa ko ukiona zimeanza kuotea unaweza ukaretouch ila Kwa mwenye NYWELE ngumu hata asiporetouch mapema akasuka baada ya NYWELE kuotea NYWELE hazitakatika
Pia Kuna utunzaji wa NYWELE kama umeweka dawa ukawa unazifanyia steaming unazipeleka salon unazisuka mara Kwa mara NYWELE Yako itachelewa kuotea ikitokea imeotea hata ukichelewa kuretouch haitakatika
Shida Iko kwenye Aina ya dawa pia na upakaji wa dawa
0693682996 nicheki kama una maswali zaidi
Habar je kama hujawahi kuweka DAWA je unafanyaje
Unaitumia njia hii hii ila wewe utaweka Hadi mwishoni