UREMBO NA PRINCES' ZEY
UREMBO NA PRINCES' ZEY
  • 141
  • 165 304
MSUKE MWANAO MTINDO HUU....MTINDO MPYA KWA WATOTO (CHRISTMAS 2024.)
Kama tunahangaika na mtindo mzuri na RAHISI Kwa ajili ya mtoto wako basi hii video ni Kwa ajili yako ....
Usipoteze muda kumsuka mtoto wako NYWELE nyingi zinazouma badala yake msuke mtindo huu mpya ambao atakua peke yake katika Christmas hii
MTINDO MPYA WA WATOTO 2024
มุมมอง: 113

วีดีโอ

MTINDO MPYA NA RAHISI KWA AJILI YA KUSUKA CHRISTMAS 2024.
มุมมอง 493วันที่ผ่านมา
Je umekua ukihangaika ni kipi usuke Kwa ajili ya Christmas hii......TAZAMA HII STYLE NZURI NA RAHISI KWA AJILI YA CHRISTMAS
JIFUNZE KUBANA STYLE HII.....NI RAHISI SANA HATA KAMA HUNA NYWELE NDEFU INABANIKA
มุมมอง 29314 วันที่ผ่านมา
Style hii inapendwa sana na warembo wa kichina na kikorea.....pia utakapoibana itakupa muonekano wa baby face ......kinachohitajika ni Rasta BUNDA MOJA TU
JINSI YA KUTONEA (KUUNGANISHA) NYWELE FUPI KWA UZI.
มุมมอง 35621 วันที่ผ่านมา
Je una nywele FUPI na unatamani kuzikuza Jifunze jinsi ya KUTONEA nywele FUPI Kwa kutumia Uzi
KWA ASIYEJUA KUSUKA; JIFUNZE KUUNGANISHA NYWELE NA UZI KWA URAHISI KABISA.
มุมมอง 27621 วันที่ผ่านมา
Kwa wale wasiopenda kusuka mara Kwa mara mtindo huu ni Bora zaidi Faida za mtindo huu ni kukuza nywele sana ,kuzifanya nywele zinyooke pia kuzifanya nywele kuwa laini
KWA ASIYEJUA KUUNGANISHA NYWELE NA RASTA, ANZA NA MTINDO WA TWIST.
มุมมอง 292หลายเดือนก่อน
Kama una hamu ya kujifunza jinsi ya kuunganisha NYWELE na Rasta ...twist ni style Bora ya kuanzia nayo kujifunza .....ni RAHISI na inasukika Kwa haraka pia haichagui kichwa Cha mtu
KWA ASIYEJUA LOLOTE KUHUSU NYWELE ....HII VIDEO NI KWA AJILI YAKO.
มุมมอง 262หลายเดือนก่อน
Kama hujui hata kushika nywele tumekuletea mtindo rahisi utakaoweza kuutengeneza ukiwa mwenyewe nyumbani
JIFUNZE KUBANA MTINDO HUU WA SHEREHE UKIWA MWENYEWE NYUMBANI.
มุมมอง 220หลายเดือนก่อน
KWA KUTUMIA RASTA BUNDA MOJA TU UTAWEZA KUBANA MTINDO HUU NA UTATOKELEZEA KULIKO YOYOTE YULE KWENYE SHEREHE
JIFUNZE JINSI YA KUBANA KILIMANJARO MADOIDO. (MTINDO RAHISI WA SHEREHE)
มุมมอง 5582 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE JINSI YA KUBANA KILIMANJARO MADOIDO. (MTINDO RAHISI WA SHEREHE)
JIFUNZE KUSUKA MTINDO HUU WA CRISSCROSS NI RAHISI SANA , TAZAMA MWANZO MWISHO
มุมมอง 1.1K2 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE KUSUKA MTINDO HUU WA CRISSCROSS NI RAHISI SANA , TAZAMA MWANZO MWISHO
JIFUNZE JINSI YA KUSUKA NYWELE ZA UTUMBO KWA URAHISI.
มุมมอง 3672 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE JINSI YA KUSUKA NYWELE ZA UTUMBO KWA URAHISI.
INASHANGAZA🤔🤔FANYA HAYA👆👆KOPE ZAKO ZIONEKANE KAMA ZA KUBANDIKA
มุมมอง 533 หลายเดือนก่อน
INASHANGAZA🤔🤔FANYA HAYA👆👆KOPE ZAKO ZIONEKANE KAMA ZA KUBANDIKA
FANYA NYWELE ZAKO ZILIZOFUMUKA KUWA MPYA TENA BILA KUFUMUA
มุมมอง 3413 หลายเดือนก่อน
FANYA NYWELE ZAKO ZILIZOFUMUKA KUWA MPYA TENA BILA KUFUMUA
FAHAMU JINSI YA KUPATA DIMPLES NDANI YA DAKIKA MBILI TU HATA KAMA HUNA
มุมมอง 2153 หลายเดือนก่อน
FAHAMU JINSI YA KUPATA DIMPLES NDANI YA DAKIKA MBILI TU HATA KAMA HUNA
MAELEKEZO MUHIMU KWA ASIYEJUA KUSUKA. JIFUNZE MBINU ZA KUKUPATIA PESA KUPITIA USUSI
มุมมอง 1.3K3 หลายเดือนก่อน
MAELEKEZO MUHIMU KWA ASIYEJUA KUSUKA. JIFUNZE MBINU ZA KUKUPATIA PESA KUPITIA USUSI
PATA HELA KUPITIA USUSI JIFUNZE HAPA JINSI YA KUSUKA KAMA HUJUI
มุมมอง 7584 หลายเดือนก่อน
PATA HELA KUPITIA USUSI JIFUNZE HAPA JINSI YA KUSUKA KAMA HUJUI
KWA WASIOJUA KUSUKA KABISA , JIFUNZE JINSI YA KUISHIKA NYWELE NA KUSUKA
มุมมอง 3114 หลายเดือนก่อน
KWA WASIOJUA KUSUKA KABISA , JIFUNZE JINSI YA KUISHIKA NYWELE NA KUSUKA
JINSI YA KUTENGENEZA NYWELE ZAKO KWA DAKIKA MBILI TU... UONEKANE KAMA HAMISA/TANASHA DONNA
มุมมอง 2.6K4 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUTENGENEZA NYWELE ZAKO KWA DAKIKA MBILI TU... UONEKANE KAMA HAMISA/TANASHA DONNA
JINSI YA KUFANYA NYWELE ZAKO ZIWE NDEFU KWA KU " CROACH " RASTA BUNDA MOJA TU
มุมมอง 5144 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUFANYA NYWELE ZAKO ZIWE NDEFU KWA KU " CROACH " RASTA BUNDA MOJA TU
KUZA NYWELE ZAKO KWA MUDA WA WIKI MBILI TU(TWO INCHES )KWA KUTUMIA KARAFUU.
มุมมอง 6814 หลายเดือนก่อน
KUZA NYWELE ZAKO KWA MUDA WA WIKI MBILI TU(TWO INCHES )KWA KUTUMIA KARAFUU.
JIFUNZE JINSI YA KUWEKA ROLLAS MWENYEWE UKIWA NYUMBANI NA KUSETI NYWELE BILA DRYER.
มุมมอง 1874 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE JINSI YA KUWEKA ROLLAS MWENYEWE UKIWA NYUMBANI NA KUSETI NYWELE BILA DRYER.
JIFUNZE KUBANA MKIA WA FARASI KWA KUTUMIA WEAVING UKIWA NYUMBANI
มุมมอง 2215 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE KUBANA MKIA WA FARASI KWA KUTUMIA WEAVING UKIWA NYUMBANI
KUZA NYWELE ZAKO HARAKA KWA KUTUMIA UWATU ( FENUGREEK SEEDS ) TAZAMA HAPA
มุมมอง 1.2K5 หลายเดือนก่อน
KUZA NYWELE ZAKO HARAKA KWA KUTUMIA UWATU ( FENUGREEK SEEDS ) TAZAMA HAPA
KAMA UNATAMANI KUWA NA NYWELE NDEFU ZENYE AFYA, USIACHE KUTAZAMA VIDEO HII
มุมมอง 1715 หลายเดือนก่อน
KAMA UNATAMANI KUWA NA NYWELE NDEFU ZENYE AFYA, USIACHE KUTAZAMA VIDEO HII
NI AJABU🤔🤔 ....KUZA NYWELE MPAKA MGONGONI KWA KUTUMIA MAJI YA MCHELE
มุมมอง 1035 หลายเดือนก่อน
NI AJABU🤔🤔 ....KUZA NYWELE MPAKA MGONGONI KWA KUTUMIA MAJI YA MCHELE
JIFUNZE JINSI YA KUWEKA MAWIMBI KATIKA RASTA KWA KUTUMIA MAJI YA MOTO
มุมมอง 3615 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE JINSI YA KUWEKA MAWIMBI KATIKA RASTA KWA KUTUMIA MAJI YA MOTO
JIFUNZE JINSI YA KUSUKA KNOTLESS
มุมมอง 2805 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE JINSI YA KUSUKA KNOTLESS
JIFUNZE JINSI YA KUTOA MBA KICHWANI MWAKO NA ZISIKURUDIE TENA.
มุมมอง 1K5 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE JINSI YA KUTOA MBA KICHWANI MWAKO NA ZISIKURUDIE TENA.
JE UNATAKA KUKUZA NYWELE ZAKO KWA HARAKA? FATILIA VIDEO HII MWANZO MWISHO
มุมมอง 605 หลายเดือนก่อน
JE UNATAKA KUKUZA NYWELE ZAKO KWA HARAKA? FATILIA VIDEO HII MWANZO MWISHO
JINSI YA KUOSHA NYWELE {BILA KUZIFANYA ZIRUDI NYUMA/KUKATIKA}
มุมมอง 1.8K6 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUOSHA NYWELE {BILA KUZIFANYA ZIRUDI NYUMA/KUKATIKA}

ความคิดเห็น

  • @SaidaAlly-m6l
    @SaidaAlly-m6l 3 วันที่ผ่านมา

    Asante sana dada yangu kwa mafunzo mazuri nakupenda sana

  • @DevothaKijue
    @DevothaKijue 5 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa kipenz kazi yako ni nzuri naomba kujua unapatikana wapi

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 4 วันที่ผ่านมา

      @@DevothaKijue nipo DAR ES SALAAM kitunda

  • @mwajumaally8374
    @mwajumaally8374 7 วันที่ผ่านมา

    Umenisaidia mno dada angu ubarikiwe sana

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 11 วันที่ผ่านมา

    From 🇧🇮 mashaallah 🥰

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 11 วันที่ผ่านมา

    From 🇧🇮 mashaallah 🥰

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 11 วันที่ผ่านมา

    From 🇧🇮 mashaallah

  • @asiaMashaka-n1k
    @asiaMashaka-n1k 11 วันที่ผ่านมา

    😢

  • @lorah1278
    @lorah1278 12 วันที่ผ่านมา

    Mtindo nishapata bado wa kutoka nae😂😂

  • @ShamimTailoringshop
    @ShamimTailoringshop 14 วันที่ผ่านมา

    Wasambaa wapewe maua yao❤❤❤❤

  • @janemwahalende6955
    @janemwahalende6955 14 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉

  • @ZainabuRajabu-bo3qb
    @ZainabuRajabu-bo3qb 15 วันที่ผ่านมา

    Nimeletewa ❤ Asante san hiy pas Sina naeza acha hivo hivo Bila wimbi au kunanjia nyingine yakuweka wimbi?

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 15 วันที่ผ่านมา

      @@ZainabuRajabu-bo3qb kama huna pasi utakata kinywele kifupi tu halafu unaacha hvyo hvyo.....ila kuwa makini usikate karibu na jicho sana

    • @ZainabuRajabu-bo3qb
      @ZainabuRajabu-bo3qb 15 วันที่ผ่านมา

      @@urembonaprinceszey saw asanteee love

  • @munnamunil2236
    @munnamunil2236 16 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉

  • @lorah1278
    @lorah1278 18 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @EsterEmmanuel-k8i
    @EsterEmmanuel-k8i 18 วันที่ผ่านมา

    Wow nilikuwa sijui kama kuna mwalim mzur hv ntakufuatilia nijue zaid jmn❤

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 18 วันที่ผ่านมา

      @@EsterEmmanuel-k8i ahsante sana kpenz changu ❤️❤️❤️❤️

  • @Budatallent-d1d
    @Budatallent-d1d 20 วันที่ผ่านมา

    Unajua sana dada unanikosha Hai prices zey hapo tuuuu

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 17 วันที่ผ่านมา

      Hahahha ahsante sana kipenz ❤️❤️❤️

  • @ZainabuRajabu-bo3qb
    @ZainabuRajabu-bo3qb 21 วันที่ผ่านมา

    Asante kipenzi🎉🎉

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 21 วันที่ผ่านมา

      Nimetimiza 🥰🥰Sina deni

    • @ZainabuRajabu-bo3qb
      @ZainabuRajabu-bo3qb 20 วันที่ผ่านมา

      @@urembonaprinceszey kabisa mpenzi 🥰 usituchoke nayebo mumy

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 20 วันที่ผ่านมา

      @ZainabuRajabu-bo3qb nitaandaa kipindi Kwa ajili ya hii

    • @ZainabuRajabu-bo3qb
      @ZainabuRajabu-bo3qb 20 วันที่ผ่านมา

      @@urembonaprinceszey saw mumy mungu akubariki ❤️❤️❤️

  • @aderymasta
    @aderymasta 21 วันที่ผ่านมา

    Safii🎉🎉

  • @muzishuaybu3566
    @muzishuaybu3566 21 วันที่ผ่านมา

    Wow🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Budatallent-d1d
    @Budatallent-d1d 21 วันที่ผ่านมา

    Hiii gays karibu kusuka na princess zey

  • @Budatallent-d1d
    @Budatallent-d1d 21 วันที่ผ่านมา

    Safiii

  • @Budatallent-d1d
    @Budatallent-d1d 21 วันที่ผ่านมา

    Safiiii kijana wangu

  • @Budatallent-d1d
    @Budatallent-d1d 21 วันที่ผ่านมา

    Safiii

  • @SarahEnock-e4k
    @SarahEnock-e4k 23 วันที่ผ่านมา

    Uko vzr nami Nataman nijue hatua moja na zngne zifuate

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 22 วันที่ผ่านมา

      @@SarahEnock-e4k Anza kujifunza kipenz Ondoa uoga halafu fanyia mazoez tu utajua

  • @beckhammzawa5862
    @beckhammzawa5862 24 วันที่ผ่านมา

    Mm cna mtu wa kumsuka najisuk mwenyew japo ndefu napamban naz hvyhvy

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 24 วันที่ผ่านมา

      @@beckhammzawa5862 pole taratibu taratibu utajikuta unaweza

  • @beckhammzawa5862
    @beckhammzawa5862 24 วันที่ผ่านมา

    Shukran tunaelekea kujua

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 24 วันที่ผ่านมา

      @@beckhammzawa5862 nafurahi kusikia hivyo kipenz changu mzur ❤️

  • @HaidarhMbwembwe
    @HaidarhMbwembwe 25 วันที่ผ่านมา

    Mm natumai ntaelewa ndonaanza kufatilia darasa

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 25 วันที่ผ่านมา

      Kikubwa mazoezi kipenz changu mzur mzur

  • @lorah1278
    @lorah1278 27 วันที่ผ่านมา

    Mtindo wa kuombea mkopo❤😂😂

  • @lorah1278
    @lorah1278 27 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @lorah1278
    @lorah1278 27 วันที่ผ่านมา

    Daaaah, una balaa❤❤

  • @ClaraHhawu
    @ClaraHhawu 29 วันที่ผ่านมา

    Asanteeeeh dadk

  • @EstherGODGIFT-o8f
    @EstherGODGIFT-o8f หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo zuri Dada; Mungu akubariki sana. Nilikuwa ninaomba utufundishe kusuka minyoosho kushikizia na uzi

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@EstherGODGIFT-o8f sawa kipenz changu mzur mzur nitaifanya Kwa ajili yako

  • @CarenMosha-p4t
    @CarenMosha-p4t หลายเดือนก่อน

    Mimi caren.napenda.jinsi.unavyo.fundisha❤❤❤

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@CarenMosha-p4t ahsante sana kpenz changu mzur mzur ❤️❤️

  • @AgnesMamahb
    @AgnesMamahb หลายเดือนก่อน

    Nataman kujua uko mkoa gan dada

  • @ZainabuRajabu-bo3qb
    @ZainabuRajabu-bo3qb หลายเดือนก่อน

    Somo nimelielewa ❤❤🎉

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@ZainabuRajabu-bo3qb ahsante sana kpenz changu ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @ZainabuRajabu-bo3qb
    @ZainabuRajabu-bo3qb หลายเดือนก่อน

    Ako kanywele hapo mbele umefanyaje kipenz

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@ZainabuRajabu-bo3qb nimetoa NYWELE mbili za upande mmoja nikaziwekea shanga Kwa pamoja Kisha nikazivutia upande mwingine

    • @ZainabuRajabu-bo3qb
      @ZainabuRajabu-bo3qb 29 วันที่ผ่านมา

      @@urembonaprinceszey asanteee mumy kwakunielewesh mungu akubariki ❤️❤️

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 28 วันที่ผ่านมา

      @@ZainabuRajabu-bo3qb ♥️♥️♥️

  • @paulsperatus1676
    @paulsperatus1676 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @JaneLyana-c5w
    @JaneLyana-c5w หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@JaneLyana-c5w ❤️❤️❤️❤️

  • @cenahfabian5306
    @cenahfabian5306 หลายเดือนก่อน

    👍🏼

  • @PhinerGreyson
    @PhinerGreyson หลายเดือนก่อน

    Kwan hauna group la whatsap la kufundisha? man naelewa kirahisi isivyo kawaida asante mollah akubarik

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@PhinerGreyson group halipo labda unicheki tu Kwa maswali na ushauri 0693682996

  • @EllianaDallu
    @EllianaDallu หลายเดือนก่อน

    Asante nimeongeza ujuzi na Mungu akubariki

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@EllianaDallu amiiina amiiina tubarikiwe wote ❤️🙏

  • @agnessmnyole4416
    @agnessmnyole4416 หลายเดือนก่อน

    Ngoja dada angu arudi nimjaribu kusuka

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@agnessmnyole4416 kweli utajikuta unaweza

  • @SaraMtabazi
    @SaraMtabazi หลายเดือนก่อน

    nnapenda Sana kujua kusuka lakn sifaham kabxa ndo naanza kwako mungu akubalik kwa kazi yako kipenz

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey 24 วันที่ผ่านมา

      Amiiina amiiina ......UKIWA na maswali zaidi nicheki 0693682996

  • @beckhammzawa5862
    @beckhammzawa5862 หลายเดือนก่อน

    Ntk nijue kusuk ila kl nikijaribu cwez 🤦🤦

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@beckhammzawa5862 kwanza kabsa ni Imani Inatakiwa ubadili huo mtazamo wa siwezi na ujione mbaaaaliii sana katika USUSI tia juhudi na mazoez MENGI hakika utafanikiwa hamna aliezaliwa anajua

  • @mwarabufilms
    @mwarabufilms หลายเดือนก่อน

    Nipo njiani nakuja kusuka kilimanjaro kudafeki❤❤ kumbe ni fundi hivi🎉🎉

  • @AgnessLeonard-ug5oq
    @AgnessLeonard-ug5oq หลายเดือนก่อน

    Ahsanteni sana dada angu nilikua cjuji kusuka mnyoosho na vibutu vzr ila kwa sasa daaah Mungu ni mwema naweza ubarikiweee sana dada

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@AgnessLeonard-ug5oq ahsante sana kpenz changu mzur mzur ❤️❤️❤️❤️

  • @AgnessLeonard-ug5oq
    @AgnessLeonard-ug5oq หลายเดือนก่อน

    Dada me ninashida ya kukata mistari tu

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@AgnessLeonard-ug5oq th-cam.com/video/rPlt-BXFZus/w-d-xo.htmlsi=y4G3CniBEwuu_CcD

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@AgnessLeonard-ug5oq bonyeza hii link kutazama jinsi ya kukata mistari 👇👇👇 th-cam.com/video/rPlt-BXFZus/w-d-xo.htmlsi=8lIq9xUPGUMJRvMr

  • @PaulineDaniel-l2c
    @PaulineDaniel-l2c หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe kila htaji la moyo wako dad ang nimeelewa mnoo😂😂

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@PaulineDaniel-l2c Amiiina amiiina.....nawewe pia Mungu akubariki mno

  • @PaulineDaniel-l2c
    @PaulineDaniel-l2c หลายเดือนก่อน

    Unafundixha vze sana dadang ❤❤

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@PaulineDaniel-l2c ahsante sana Kwa kuelewa

  • @OliverOsere-v7v
    @OliverOsere-v7v หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤wewe ni mwalimu bora unanifanya mtu aelewe vizuri hongera madam

    • @urembonaprinceszey
      @urembonaprinceszey หลายเดือนก่อน

      @@OliverOsere-v7v ahsante sana kpenz ♥️♥️🙏🙏🙏