CROWN SPORTS: AHMED ALLY ANATEMA CHECHE/ AMTOLEA MANENO HAYA FEITOTO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
- LIVE CROWN SPORTS: RASMI SEMAJI ATUA MJENGONI/ KUTAMBULISHWA KIFALME
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Nawakubali sana crown sport and joga bonito tena kwa mpigo zaidi..
Vzr sana semaji
Simba nguvu moja❤❤❤🎉🎉
Jamani semaji km rais kweli ubaya ubwela much love❤❤❤❤🎉🎉
Ahamedi umeongea kitaala sana ahamedi wewe unaipenda sana kazi yako ndyomaana unaongea kiufasaha sana
Crown sport fm mko juu sana kwenye uchambuzi wa soka
Simb iko motor sanaaaa
Ubaya ubwelaaa🔥🔥🦁💪
Ahmed kichwa kubwa kazi kubwa ufundi.
Shida ya yote haya ni gsm. Kumiliki zaidi ya timu 1 mwisho y siku atamiliki. Vilbu vingi n kupnga nani n nani asaini wapi n msaini nani
Vizuri
Wachezaji wa zamani wa Simba kutoka Kigoma ni Aloo Mwitu, Athumani Juma, Julio, nk.
Julio Muhehe wewe
Aaaaa, sio kulalamika eee, simlitusema sasa imegeuka kwenu, wanakwambia usiongee kabla halijakufika
Semaji kamaliza kipind
Mwamba kabisa uyooo Ubaya Ubwela
Leo jemedari hujakimbiaaaa😅😅😅
Naitwa hafidha kinonono crowr karibu songea namtumbo njeen huku mm naipenda San niku ibieni kitu Kuna redio Kama sizoni
Aworeeeeee kadogodogo,, ubaaya ubwelaaa 💪
Simbaaa nguvu moja
❤
Jemedari guys mnaua
Vizur❤❤❤❤❤
Nimecheka hio ya mashakamashaka
Nyumbani
Matangazo yamezd na sio lengo la kuweka m.b zetu
Media zinadil na matangazo Zaid na hiyo video Iko full
Kule libya tulifanya ubaya Sasa DSM tunakamilisha ubwela Kwa Tripol Al ahl ya Libya ubwela ubwela tu
Senator la CAF ubaya ubwela.
Msemaji wenu si aende yanga
Daa ahamedi Aly metisha yoooo
Uko very nice
Crown wamekuja na speed200❤❤❤❤
Ubaya ubwela upo palepale
Hiyo inaitwa kuiga
Nakubali sana
Pongezi kwa ahmedy ally
too much matangazo ya biashara try to equalise issues
ndo vyanzo vya ela
Good
Ubaya ubwel mpanzu mingap
amakwili uyo ndie semaji lakafu kwani akuna wakumpiku apa tazania yetu lakini nipo nyumbani nimwa hila tunanda leo
Juma ayo utakuja Kenya wee balaa
Hapo kwa mutale coach alipaswa kumtoa mapema akampa Awesu
JUmapili ni Ubaya Ubwela tu.. lazima mabodogadi wao warudi wamewabeba!
Mimi nasema Leo niubaya ubwela tu
Timothy Gasper in house.
sio kuja namabausa ata wangekuja bajeshi lao lote kingekua palepale
Kuna kupambana na kutiana mafuta (kujazana ujinga) kwa hali ya juu
Ubaya ubwela
Hapa ninyumban
Jihadharini na maarifa ya uongo, ni hatari kuliko ujinga
watakaaje nyuma ya goli? uongo mtupu but, wapo wanakenua meno
Tulimpiga na as vita
Nasisi yanga tunge kuwa na msemaji kama Ahmed all tunge parta laha sana
mashabiki sio wajinga, wameshaona hii timu haina matumaini ya kushinda, y shld they spend their money for nothing?
Utakula Kono 🖐️🖐️🖐️la nyani 😂😂😂
Lijemedari haliipendi yanga na ss pia hatukupendi, kipindi cha msemaji wetu alikimbia na pia tunaomba usowe at unaichambua yanga yetu maana hatupendi uichambue pia😊
Kwaiyo mtu asifanye mambo yake 7bu msemaj wa yanga anakuja 😂
Yanga akili hawana 😂😂😂
Mama alo ndio hana akili
😂..hata Jemedari pia hakupendi
Hata sisi watu wa simba atukupendi
😂😂😂😂
Mechi ya Jumapili Makolo Kuna Mtu watamkumbuka nipo pale😊
🫡🫡🫡
Mi nashangaa mnaacha kuongelea timu ya simba mnaionhelea yanga, atasiwaelewi kabisa.
40:37