Yani tunaweza kusema kwamba saa zile Uhuru akiwabagua/kuwatenga wabajuni wa lamu kuwafungia kama vile kule old town ya mombasa na kuwacha sehemu zengine kama kijiji cha madhare ya Nairobi na kadhalika ndipo wabajuni mumekataa kuva mabarakuwa na kutimiza masaa za curfew ama hiyo video ni ya kabla ya porojo za corona kuanza?
Kwa hakika inapendeza sana hii 😍so good
Kwa kina dada hawa wamejisitiri. Hii yaonyesha wabajuni wameshikamana na dini lao la kiislam. Mungu awahifadhi nyote.
Sifichi asili yangu napenda sana I'm proud kua mgunya japo wazazi wanatunyima kutambia asili zetu kiundani from zanzibar
That my home town love you all guys from the USA
Aà
Amu tamu ...chondo hoyee mera hoyeeeee
Vugo ni la matondoni lina shangwe
Yasalaaam...
I miss this. Love from USA
Muacha mila mtumwa.. I miss home am happy to see this
MATONDONI HAPO KWETU MISS HOME
Asili haipotei home ground Madi Mera Allaah akuhifadhi
Esha bauya Hoyee🎉kma nakuona vle 😅❤❤
Bajuni always on top our culture is the best wallah
Not only you thing yours culture is the best but everyone's culture thing the same.
Yes Bajuni juu
haki mtu ni kwao ,nafurahi sana kuona kwetu,napenda sana hii ngoma
Lamu hoyeee
Home sweets utamaduni wetu ni bora
Nice culture
Safii sanaa
Sana
Bajuni hoyeeee
Utamaduni asilia wa amu
❤❤
Ninataman siku moja nifike lamu jaman 🥰🥰🥰
Karibu lamu
Hata mimi napenda na nyimbo zao
Hawa ukiwataka wawapataje jmn MI naapenda xan
nitafute mimi
Utawapata ukifika
Ukiwataka hawa nitafute kupitia namba hii +254729624594

Nimeipenda