SUALI LANGU NI JE ANGE KUA HAI MTUME SWALA NA SALAM ZA ALLAH ZIMUENDEE HAWA ANGE SEMA NI WAISLAM AU ANGE YARIDHI HAYO WANOYO YAFANYA? MCHENI ALLAH NA MTAMBUE YA KWAMBA IPO SIKU YA MALIPO. ALLAH ATUONYESHE HAQI KUA NI HAQI NA ATUJAALIE KUIFAATA. ALLAH AWAONGOZE. HUO NI UPUUZI WA WAZI.

Mashalah tabarak alah nawapenda mola awajaze kazi nzuri❤❤❤
Mashaallah nimeipenda 🥰🥰🥰
Mashallah❤❤❤❤
Mashalah
mashaaAllah 🔥🔥🔥🔥kwa wanao elewaa
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤
Mashallah
watoto wakisunna wanahifadhi quran na hadeeth na watoto wakitwariqa wanafunzwa kukata mauno
Labda Qur'an ingine kama ni hii tena wetu wamehifadhi zaidi na hamtoshi acha kujidanganya hapa
Mashalah Allah bariq
@@madrasatulnoorislaamiyaera3163 /" mashallah
Dhana yako itakupelka pabaya shykh
Una uhakika unacho kisema watoto wa kiwahabi hamuwawezi watoto wa kitwarika kwa kuhifadhi quran lini muliwashinda twarika kwa quran qma ilimu
Ilikuwa nauliza hii ni dhehebu au dini gani?
Kwani hii inaeza kua dini ama madhbi kweli jamani..
Zamuni ni nini?
Ukiangalia wwe inakaa kua n dini ama n madhbi gani"?
🙏💧💖😑😊🥺I LOVE MY MOTHER LAND AFRIQIA MUSLIMIIN WE DON'T NEEDS ALL THIS LOXULY WE FOLLOW OUR ANCESTORS 💧💖 FOOT STEPS FROM DAY O TOO ZAA 🥺😊😑💖🙏🌎