KWIKWI ZA HAR MAGEDONI SEH #5: MCHUNGAJI PAUL SEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @JobithJovin
    @JobithJovin 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana Mchungaji nitafuatilia tena wiki ijayo j5.

  • @godsonmollel1
    @godsonmollel1 19 วันที่ผ่านมา +1

    Dah...Thank you Pastor

  • @GeraldDominic-yp7gm
    @GeraldDominic-yp7gm 18 วันที่ผ่านมา +4

    Unabii wa Danieli ulioonyesha
    bila kukosea wakati wa kuja kwa Masihi, na kwa wazi kabisa ulitabiri juu ya kifo chake, kiasi kwamba
    wao walikatisha tamaa watu kujifunza unabii ule, na mwishowe marabi walitamka laana kwa wale wote
    ambao wangejaribu kufanya mahesabu ya wakati ule. Katika upofu na kutojuta kwao watu wa Israeli
    katika kipindi cha karne zilizofuata wamesimama, wakiwa tofauti na neema iletayo wokovu, wakiwa
    hawana ufahamu wa baraka za injili, kama onyo dhahiri na la kuogofya la hatari ya kukataa nuru kutoka(PAMBANO KUU UK 321.ONYO LAKATALIWA)

    • @bibletruthprophecyminister2329
      @bibletruthprophecyminister2329 18 วันที่ผ่านมา

      @@GeraldDominic-yp7gm haya acha wawaaminishe watu muda Bado , watakuja wajibu, na wanatoa laana kwa wanaokokotoa unabii 😥

    • @GeraldDominic-yp7gm
      @GeraldDominic-yp7gm 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@bibletruthprophecyminister2329inashangaza sana Ingekuwa pasta Semba ni MUNGU hakosei hapo ndipo ningemuamini,lakini Kwa kupinga ujumbe huu wa miaka 6000 Ilihali unanukuliwa kwenye maandiko basi Sina shaka na kusema kuwa nyota inazimika.Inabidi watu wachunguze maandiko wao wenyewe upofu wa kuwategemea wachungaji ambao wanasimama kupinga maandiko yaliyowazi, Ilihali makosa mengi yanafanywa Ndani ya kanisa wamenyamaza kimya.
      Nilikuwa namkubali sana pr lakini Kwa hili amedanganyika na kinachoniuma ni umati wa watu wengi wanamuamini sana kama ni mtu asiyekosea

  • @kabangalaDaudi19
    @kabangalaDaudi19 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu tulinde tukutane tena jumapili🙏🙏

  • @josephathkerima7808
    @josephathkerima7808 20 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @kabangalaDaudi19
    @kabangalaDaudi19 20 วันที่ผ่านมา

    Bwana akubariki sana mchungaji 🙏

    • @gumbadushie2944
      @gumbadushie2944 10 วันที่ผ่านมา

      Ambariki Kwa kusema uongo ? Pepeto linaendelea, wale wanawatumainia wachungaji watakuja shangaa, YESU KRISTO anarudi upesi kuliko tunavyozani tena hatuvuki 2031.5.maana 2027 sheria ya jumapili lazima ipite, 2026 mwisho wa bank zote,yaan unabii upo wazi wote BWANA anatuongoza.kwanza unabii Tz ulishapigwa marufuku, ukifundisha unabii tuu Toka vitabu vya Ellen G white na Daniel na Ufunuo unaambiwa unawatisha watu na unaeza futwa ushirika au karipio, Ili wachungaji waendelee kula Hela washiriki waandaliwe kupokea alama ya mnyama na kuchomwa moto.

  • @TheLastMinuteMessages
    @TheLastMinuteMessages 20 วันที่ผ่านมา

    AMEEEEN AMEEEEN 🙏

    • @bibletruthprophecyminister2329
      @bibletruthprophecyminister2329 19 วันที่ผ่านมา

      @@TheLastMinuteMessages dada mbona kama huwa sikuelewi miaka 6000, Kuna wakati unaiamini, tukija kwa semba una support tena hii ni hatari sana, lakini Tungoje kwa busara sana Mungu najua anatumia njia ambayo wengi hawataamini, ujumbe wa miaka 6000 ni Biblical na Roho ya unabii Iko wazi ni sema wanaopresent sio wachungaji ndio maana hawaaminiwi

    • @GeraldDominic-yp7gm
      @GeraldDominic-yp7gm 18 วันที่ผ่านมา

      ​Ndugu hapa Kuna hatari sana za watu wengi kupotezwa