ANDIKA JINA LAKO WEKA KWENYE MAJI YA CHUMVI USHUHUDIE MIUJIZA HII KWENYE MAISHA YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • ANDIKA JINA LAKO WEKA KWENYE MAJI YA CHUMVI USHUHUDIE MIUJIZA HII KWENYE MAISHA YAKO #fafanuomedia #knowledgeforyourfuture #tujengemahusiano
    ‪@FAFANUOMEDIA‬

ความคิดเห็น • 105

  • @BolasieNgongo-rh9wm
    @BolasieNgongo-rh9wm 4 หลายเดือนก่อน +2

    AMEN AMEN AMEN leho vimetoka kwa jina la YESU

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana ❤

  • @QeenRose-y4z
    @QeenRose-y4z 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana, ntakuja na ushuhuda

  • @JumajumaIsmail
    @JumajumaIsmail 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nice

  • @benkyalo
    @benkyalo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @Nyotajada
    @Nyotajada หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri sana bro pia tusamehe kwa maswali tunauliza ili tupate matokeo mazuri ukiweka Jina unamwaga Maji baada ya siku ngapi hapo Ndo umesahau mkuuu🤲🏻

  • @Zawadi-y2n
    @Zawadi-y2n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante

  • @monicaisuja8917
    @monicaisuja8917 4 หลายเดือนก่อน +4

    Maji Haya na chumvi na jina vinakaa Muda. Gani na baada ya hapo nayafanyaje

  • @Patience763
    @Patience763 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina nimatumaini kua nitarudi juu ya ushuhudaaa

  • @MetrineNafula-h3o
    @MetrineNafula-h3o 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa kupata haya mafundisho parikiwa sana

  • @agnessshao4883
    @agnessshao4883 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen

  • @felixsimiyu2196
    @felixsimiyu2196 4 หลายเดือนก่อน

    Amen, naenda ku_practice

  • @silvergold5855
    @silvergold5855 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah asante sana mkuu

  • @fedrickmakayula4859
    @fedrickmakayula4859 4 หลายเดือนก่อน +5

    Umetuelekeza lakini kuna vitu hujaweka bayana .
    Baada ya kuweka maji na chumvi umemaliza kuomba je maji unaoga,unakunywa au unamwaga tuelekeze vizuri

    • @maulinemakungu5322
      @maulinemakungu5322 3 หลายเดือนก่อน

      Inamwagwa

    • @Nyotajada
      @Nyotajada หลายเดือนก่อน

      @@maulinemakungu5322baada ya siku ngapi

  • @hellengitahi8837
    @hellengitahi8837 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen 🙏

  • @jrkessy3011
    @jrkessy3011 4 หลายเดือนก่อน +25

    Mkuu hujasema BAADA ya kuweka JINA kwenye maji unayatumia vip kuyamwaga au kunywa au...

    • @FAFANUOMEDIA
      @FAFANUOMEDIA  4 หลายเดือนก่อน +10

      Unayamwaga ndugu

    • @bahatichance8596
      @bahatichance8596 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mda wasiku gapi 🙏🙏🙏

    • @nellahpeter1235
      @nellahpeter1235 4 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@FAFANUOMEDIAnaweka kwa siku ngapi ndo nimwage?

    • @RebeccaMuhimba-be1pj
      @RebeccaMuhimba-be1pj 4 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@FAFANUOMEDIAmda wa siku ngapi

    • @PiliKahindi-zm1bl
      @PiliKahindi-zm1bl 4 หลายเดือนก่อน +2

      ❤​@@FAFANUOMEDIA

  • @AloycceRukasi-fk5nm
    @AloycceRukasi-fk5nm 2 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @agnessshao4883
    @agnessshao4883 4 หลายเดือนก่อน +4

    9:32

  • @YvonneYusra-zt8xc
    @YvonneYusra-zt8xc 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asant

  • @farajaflorence1690
    @farajaflorence1690 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @AssumeNgina
    @AssumeNgina 4 หลายเดือนก่อน +1

    The truth will set us free

  • @TeblaMuyava
    @TeblaMuyava 2 หลายเดือนก่อน

    Amina🙏🙏🙏💯My brother nisaidie niko job but boss lady hainipei resting tike na job ni mingi😢iam feeling tired

  • @VianneyNinziza
    @VianneyNinziza 2 หลายเดือนก่อน

    Nc

  • @YOUNGKING-xf6cw
    @YOUNGKING-xf6cw 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asate Sana kwa mafudisho mazuri Sasa naweza kufanya kilasiku naile maji naweza kuimwanga

  • @KakuleAnicet-jo8vy
    @KakuleAnicet-jo8vy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa mafundisho

  • @Rosematuku-cr1zx
    @Rosematuku-cr1zx หลายเดือนก่อน

    Thanks. But after the prayer, what should i do with water? Should i throw or drink or shower with the water.

  • @MohamedRashid-xb5gx
    @MohamedRashid-xb5gx 4 หลายเดือนก่อน

    Yes

  • @WinnieCherono-e4q
    @WinnieCherono-e4q 4 หลายเดือนก่อน

    Thanks

  • @erickmisilakuba6426
    @erickmisilakuba6426 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @UpendoMguli-bq3ro
    @UpendoMguli-bq3ro 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wmen

  • @JacksonBiyaga
    @JacksonBiyaga 25 วันที่ผ่านมา

    Je! Mtumishi ,baada ya kumaliza hatua zote maji hayo unayaoga, unayanywa, unayamwaga, au unayaweka wapi? Naomba maelekezo.

  • @siscoministry8400
    @siscoministry8400 4 หลายเดือนก่อน +1

    Chumvi +maji this is really...nikiwa mdogo kunasiku nlienda kanisani (catholic ) nlijikuta tu nmeonja maji baraka nijue yana tofauti gani na yanyumbani nikagundua yalikua yana ladha ya chumvi , sikuwahi kuelewa maana yake hadi leo ndo nmeelwa kwanini chumvi.... ubarikiwe sana MOG.

    • @PeterPaul-yf6ut
      @PeterPaul-yf6ut วันที่ผ่านมา

      Maji hayo yenye kina yana kaa wapi kwa muda gani na baada ya hapo kipi kinaendelea kunywa kuoga au kuyamwaga?

  • @dinaniyo4921
    @dinaniyo4921 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏽

  • @Esther-lg8fx
    @Esther-lg8fx 4 หลายเดือนก่อน

    Do we cover the glass or not please tell me.

  • @RachelChriss
    @RachelChriss 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsant

  • @FrankBkazurunge
    @FrankBkazurunge 2 หลายเดือนก่อน +1

    Samahan nataka kujua kwa mimi nina jina nilopewa na wazazi wangu na ninajina la ubatizo kwaiyo kati ya haya majina mawili kati ya jina la wazazi au la ubatizo??

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 4 หลายเดือนก่อน

    Asate ❤

  • @veronicamaganga8737
    @veronicamaganga8737 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo glass unaiweka wapi ukishachanganya maji na chumvi? tena kwa siku ngapi

  • @AnthonyMweu
    @AnthonyMweu 4 หลายเดือนก่อน

    asante kwa mafudisho mazuri nmeyapoke lakini baada maombi ya maji na chumvi ntamwaga au niweke kwa nyumba?

  • @PitonTumba
    @PitonTumba 4 หลายเดือนก่อน

    Asante asa iyo jina inaweza ku kaa kwa muda wa siku ngapi jumla?

  • @shanizyusuf2723
    @shanizyusuf2723 4 หลายเดือนก่อน

    Kalamu gani kk blue ama red

  • @hellenakinyi9976
    @hellenakinyi9976 4 หลายเดือนก่อน

    ni kweli baada ya hapa maji na jina lako utapeleka wapi

    • @nusaibahassan9517
      @nusaibahassan9517 หลายเดือนก่อน

      Unamwaga kwenye mgomba shinani

  • @FrolenceFelix
    @FrolenceFelix 3 หลายเดือนก่อน

    Apo ukimaliza una muaga a.m😮🎉🎉

  • @user-ic9iu8sw3e
    @user-ic9iu8sw3e 4 หลายเดือนก่อน

    Ukishaweka jina lako kwenye maji utayakunywa? Ao?

  • @silaochieng3851
    @silaochieng3851 4 หลายเดือนก่อน

    Haya maji ya chumvi huachwa kwa muda upi, ndiyo matokeo yawe sawa sawa?

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 4 หลายเดือนก่อน

    Je naweza kuandika majina ya wanangu kuwasafiisha kwa chumvi ya mawe

  • @PriscaKimario-s2i
    @PriscaKimario-s2i หลายเดือนก่อน

    Ukisha weka vina kaa siku ngapi

  • @AssumeNgina
    @AssumeNgina 4 หลายเดือนก่อน +1

    Akuna uchawi apo ni imani broo

  • @LameckMeckson
    @LameckMeckson หลายเดือนก่อน

    Samahani maji ya chuvi na karatasi ya jina Nita ya mwaga au nakunywa

    • @nusaibahassan9517
      @nusaibahassan9517 หลายเดือนก่อน

      Unamwaga kwenye mgomba shinani

  • @hakiyangu
    @hakiyangu 4 หลายเดือนก่อน

    Hayo maji unayamwaga wapi?

  • @jamilaabdallah-v2f
    @jamilaabdallah-v2f 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli hukusema maji tuyafanye nini tuyanywe ama tuya ogee ama tuyaweke tuu kwa siku ngapi.?naomba utuelezee.

  • @GraceKisoka-ip6ym
    @GraceKisoka-ip6ym 4 หลายเดือนก่อน

    Baada ya hapo maji tunayafanyaje

  • @WakumwaoSichisambwe
    @WakumwaoSichisambwe 4 หลายเดือนก่อน

    Nikiweka hivo na nikiomba vp hayo maji nayaweka au nayamwaga .! by moabu

  • @JosephMagebo
    @JosephMagebo 2 หลายเดือนก่อน

    Yale maji utayamwaga lini tena

  • @user-fi8qt7wm5v
    @user-fi8qt7wm5v 4 หลายเดือนก่อน

    Ss ukishafanya hv maji unayafanya nn niyameage au niyafanye nn hy maji

  • @FrenkiraymondFrenkiraymond
    @FrenkiraymondFrenkiraymond 4 หลายเดือนก่อน

    haya maji badae ya hapo

  • @HadijaSalumOmar
    @HadijaSalumOmar 2 หลายเดือนก่อน

    Ukimaliza unamwaga au unakunywa

  • @RutexNalex
    @RutexNalex 4 หลายเดือนก่อน

    Naeza eka pesa pia kwenye maji ya chumvi au sio vema

  • @PendoHamisi-qy7jw
    @PendoHamisi-qy7jw 3 หลายเดือนก่อน

    Alafu ukimalz ayobmaji unayafanyaje

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona huwelezi kwambpangilip je mengine unasahau ukimaliza kufanya hivyo unamwaga na kile kikaratasi unak8fanya ni chenye jina lako tuelezeni vizuri hutwambi hafu uje utupe utak7ja kusema umekoseya mashari ile nursing zinazid badala ya kuondoka

  • @AllySonyo-bi5gs
    @AllySonyo-bi5gs 3 หลายเดือนก่อน

    Flash,inkaa,siku,ngap,ikiw,ina,jina,namaji,,tenured,chumvi

  • @PrisilaGwakisa-no6kx
    @PrisilaGwakisa-no6kx 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akatende muujiza nitarudi kutoa ushuhuda.

  • @BesoonYusuph
    @BesoonYusuph 4 หลายเดือนก่อน

    Alafu ukishaweka majina kwenye maji hayo unafanya nin

  • @reubennjogu8290
    @reubennjogu8290 4 หลายเดือนก่อน

    FC m❤p

  • @Jackison-fr7xd
    @Jackison-fr7xd 4 หลายเดือนก่อน

    Bado hujasema mkuu

  • @sulemanmadahatv1691
    @sulemanmadahatv1691 4 หลายเดือนก่อน +5

    Huo ni uchawi msijaribu. Ni kweli Biblia mara kadhaa imenukuu habari za chumvi, Je context ya maandiko unayonukuu ni kweli yalilenga chumvi itumiwe hivyo? Maandiko yanasema tutumie jina la Yesu we unasema tutamkie chumvi we huoni huo ni ushirikina? Hayo maelezo ya kuweka chumvi kwenye glass na uweke jina kwenye Biblia yameandikwa kitabu gani?

    • @farajaflorence1690
      @farajaflorence1690 2 หลายเดือนก่อน

      Sio uchawi mbn watumishi waa Mungu wanatumia mwenyewe padre alikuja alichukua maji na chumvi akaombea akamwaga kwangu hata sio uchawi

    • @sulemanmadahatv1691
      @sulemanmadahatv1691 2 หลายเดือนก่อน

      @@farajaflorence1690 unapotea kwakuwa haujui maandiko wala uweza wa MUNGU. Jitahidi kusimama katika Neno la Mungu si watu ulionao kama mapadre na hao unaowasema

    • @Nyotajada
      @Nyotajada หลายเดือนก่อน

      Acha ushamba wewe Ndo hujui kufafanua biblia Mbona kulihani ni neno la mungu lakini kila kila tu huwa wanatoa maneno kwa kuluhani hata wakitaka kumuua mtu wanasoma vifungu vya kolahani na mtu kweli anakufa so hapo ni uchawi WAPi?

  • @JosephEdward-o9c
    @JosephEdward-o9c 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsnt

  • @creative_designs_tz
    @creative_designs_tz 3 หลายเดือนก่อน +3

    2 Wafalme 2:20-22
    [20]Akasema, Nileteeni chombo kipya, mtie chumvi ndani yake. Wakamletea.
    [21]Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akasema, BWANA asema hivi, Nimeyaponya maji haya; hakutatoka huko tena kufa wala kuzaa mapooza.
    [22]Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena.

  • @JusminSaid-zi6id
    @JusminSaid-zi6id 4 หลายเดือนก่อน

    Nina majina mawili nfanye kwa majina yote

  • @TedyMeni-yv9cw
    @TedyMeni-yv9cw 4 หลายเดือนก่อน

    Punguza kukopi maudhui ya watu

  • @KidawashiManyara
    @KidawashiManyara 4 หลายเดือนก่อน +1

    Fqffwwgwgwgwhth-cam.com/channels/csh_MamETjVbacronGcXxw.html

    • @SaudaMfaume
      @SaudaMfaume 4 หลายเดือนก่อน

      Asante lakin hujasema karatas na maji kish yamwage yakae sik ngap hukusema bosi

    • @SaudaMfaume
      @SaudaMfaume 4 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba jibu

    • @agnessshao4883
      @agnessshao4883 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@SaudaMfaume❤

    • @agnessshao4883
      @agnessshao4883 4 หลายเดือนก่อน

  • @JohnJumbe-ee9qx
    @JohnJumbe-ee9qx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @agnessshao4883
    @agnessshao4883 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen

  • @NekesaMercy-v6r
    @NekesaMercy-v6r หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @MohamedRashid-xb5gx
    @MohamedRashid-xb5gx 4 หลายเดือนก่อน

    Yes

  • @BettyKamete
    @BettyKamete 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @MonksCyber-sz8ud
    @MonksCyber-sz8ud 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @LucyPenfod
    @LucyPenfod หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JohnJumbe-ee9qx
    @JohnJumbe-ee9qx 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @BellaNathalie-xt5gm
    @BellaNathalie-xt5gm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen